1732 Downlines Checkout - Online Marketing System Pro

Ukurasa Wa Kufanya Malipo

Hongera sana, upo hatua ya mwisho ya kupata access ya kozi yako!


Kufanya malipo ni rahisi tu.

Bonyeza hapo chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA 50,000 "

Baada ya kubonyeza sehemu hiyo, utafunguka ukurasa mpya ambao utaonekana kama kwenye picha hii hapa chini.

Kama unavyoona kwenye picha unaweza kulipa kwa mitandao yote ya simu: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, Halopesa.

Tafadhali hakikisha una salio la kutosha kwenye simu yako kabla ya kulipia.

Salio lako liwe ni zaidi ya 50,000/=

Hii ni kwa ajili ya makato ya kawaida ya serikali na mtandao wa malipo.

Jaza majina yako kamili, barua yako pepe (email), na namba yako ya simu, kisha bonyeza Pay Now.

Baada ya hapo, ujumbe wa malipo (popup) utaonekana juu ya screen ya simu yako ukikuomba uweke namba yako ya siri (PIN) ili kuthibitisha malipo kutoka kwenye akaunti yako kwenda Selcom.

⚠️ PIN yako hutumika moja kwa moja kuthibitisha malipo na haitunzwi wala kuonekana na mtu yeyote.

Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo.

Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications