"Unaelekea Kugundua Njia Moja Sahihi Na Ya Kipekee Ya Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kufanya kazi kwa dakika 60 Tu Kila Siku Ukiwa Mahali Popote Kupata DOWNLINES Wapya 4-8 Kila Wiki Hata kama Hujawahi kuingiza Mtu Yeyote Kwenye Fursa ....Bila Hata Kuhangaika Kuwashirikisha Ndugu au Rafiki Zako Wa Karibu Kuhusu Unachokifanya, Bila
Hata
Kupoteza Muda kwenye inbox za watu kuwatumia “Scripts” za kuwaomba namba zao Au Kupoteza muda Kuhangaika kupiga simu kwa “prospects” ambao hata ufanye nini hawawezi kuja kuona Fursa Yako!"
Darasa hili ni dawa ya kutibu na kukomesha maumivu ya kukataliwa, kukosa prospects wa kutosha na Downlines wapya.
Katika darasa hili, utagundua...
Mfumo ambao utakusaidia kupata downlines wapya 4-8 kila wiki ukiwa mahali popote kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku
Namna ya kupata watu (Prospects) ambao wako tayari kujiunga kwenye fursa yako hata kama ukiwa umelala au unafanya shughuli zako zingine!
Mfumo (System) ambao mamilionea wachache tu kwenye network marketing wanautumia kuchuja watu ili kuhakikisha wanatafutwa na “Prospects” wenye uhitaji wa kuanza biashara [Hint: Ukitumia mfumo huu hutokutana na “Rejection” yoyote tena maana utakuwa unatafutwa na “prospects” wenye mzuka wa kuanza biashara.]
Hatua 4 sahihi za kuchagua aina ya prospects ambao wapo tayari muda wote kuanza biashara bila kukuwekea kipingamizi chochote
Namna pekee ya kutoishiwa watu (Prospects) wenye uhitaji wa kushirikishwa fursa yako [Hint: Kukosa watu wa kuwashirikisha fursa yako ni moja ya changamoto kubwa za networkers wengi.Kwahiyo baada ya darasa hili hutokutana na changamoto hii tena]
Je ni sahihi kuwaambia “prospects” upo kampuni gani kabla ya wao kutaka kujiunga kwenye fursa yako? Jibu lake litakushangaza sana
Namna ya kujiweka na kujitofautisha na Networkers wenzako ili prospects wakukimbilie wewe na kutaka kujiunga kwenye timu yako
Kitu kimoja pekee unachotakiwa kufanya ili prospects wakutafute wao wenyewe wakiwa tayari kuanza biashara na sio wewe kuwatafuta wao [Hint: Mtu akikutafuta mwenyewe maana yake ana uhitaji lakini ukimtafuta wewe maana yake wewe ndio mwenye uhitaji. Wafanye prospects wenye uhitaji wakutafute wenyewe ili iwe rahisi kwako kuwaingiza kwenye timu yako bila kipingamizi chochote]
Namna pekee ya kuwafanya prospects waamini kila unachokiongea na kukung’ang’ania uchukue pesa yao wajiunge kwenye timu yako.
Namna sahihi ya kuwafanyia ufatiliaji prospects ambao hawajaanza biashara bado ili iwe rahisi kwao kuanza [Hint: Pesa nyingi zipo kwenye kuwafanyia prospects ufatiliaji. Changamoto ni kwamba networkers wengi hawajui namna sahihi ya kuwafanyia prospects ufatiliaji]
Na mengine mengi, mengi sana!
Hayo ni baadhi ya mambo machache tu utakayojifunza kutoka kwenye darasa hili.
Darasa hili utatumiwa kwenye Email yako. Kwahiyo ili nikutumie darasa hili jaza hapa chini jina lako na barua pepe (Email) unayoitumia kwenye simu yako halafu bofya “Ndio, nataka kupata Downlines wapya 4-8 kila wiki”