Usipoteze muda wako kusoma ujumbe huu endapo tayari unajua siri ya kupata watalii katika misimu yote ya mwaka mzima. Hata hivyo, kama utapenda kugundua njia mpya na ya kipekee ya kuvutia watalii zaidi kwa urahisi…

Hivi Ndivyo Ambavyo ‘Tour Operators’ Kutoka Thailand, Ugiriki, Ufaransa na Ufilipino Wanatumia Mbinu Hizi Mpya Kupata Watalii Ndani Ya Masaa 48 Kwa Kutumia Matangazo Ya Kulipia Facebook na Instagram!

Hata Kama Akaunti Yako ya Matangazo Imefungwa —Nitakusaidia kuifungua au Nitakufungulia akaunti ya Matangazo Mpya!

Kutoka kwa: Mr Bokko

Social media Marketing & Advertising Expert.

Dar es Salaam.

Ndugu Tour Operator,

Kama wewe ni mkongwe kidogo kwenye biashara ya utalii, nina imani umejiunga na madarasa mengi ya jinsi ya kufanya matangazo ya kulipia Facebook na Instagram, lakini bado changamoto ya kupata watalii iko pale pale!

Ninalijua hili kwa sababu, mwaka 2023 mwezi wa tano, nilitoa programu moja inayoitwa “Facebook & Instagram Mapene,” ambayo ililenga kufundisha wafanyabiashara mbinu ya Targeting Hack—njia ya kugundua mamia ya interests ambazo, ukizilenga, unapata faida kubwa kwa bajeti ndogo.

Wafanyabiashara 558 walijiunga kwenye programu hii.

Wapo waliojiunga kwa bei ya 80,000, wengine kwa 55,000, na wengine kwa 35,000.

Wafanyabiashara wengi sana waliipenda programu hii, na kwa kweli, iliwasaidia sana.

Miongoni mwa wafanyabiashara hao waliojifunza kutoka kwenye programu hii walikuwa ni pamoja na Tour operators.

Lakini sasa, je, Tour operators hao walifaidika na mafunzo haya?

Ngoja niwe mkweli na muwazi. Lakini kabla sijakuambia ukweli huo, napenda kuweka wazi mapema kuhusu ujumbe huu: Unamfaa Tour Operator ambaye…
  •  Anapoteza pesa nyingi kwenye matangazo ya kulipia Facebook na Instagram bila kupata watalii

  •  Upepo wa janga la Korona ulipita na biashara yako ya utalii hivyo unahangaika huku na kule kurudisha biashara yako ya utalii kwenye mstari.

  •  Unapata watalii kadhaa lakini wanashindwa kukutumia hela kwasababu hawana imani na wewe

  •  Unatamani upate watalii katika misimu yote ya mwaka mzima lakini mbinu unazozitumia zinakukwamisha

  •  Unapoteza pesa kuwalipa graphic designers wakutengenezee picha na hujui kama unaweza kutumia AI kutengeneza picha zenye mvuto ndani ya muda mfupi.

  •  Huna uelewa wa “The Tourism Funnel” Hizi ni hatua zote muhimu ambazo unatakiwa uzizingatie ili kupata watalii wengi na kwa gharama ndogo kwa kutumia matangazo ya kulipia Facebook na Instagram. Ukosefu wa uelewa wa “The Tourism funnel” ndio chanzo kikubwa kwanini licha ya kutumia mbinu tofauti tofauti kwenye matangazo yako bado unahangaika kupata watalii.

  •  Huna ujuzi wa copywriting wa kukusaidia kuandika matangazo mazuri yenye ushawishi mkubwa kwa watalii na hujui kama unaweza kutumia AI ikakuandikia matangazo yenye ushawishi mkubwa ndani ya muda mfupi badala ya kuumiza kichwa na kupoteza muda kujifunza ujuzi wa copywriting.

  •  Unapoteza pesa kuwalipa videographer wakutengenezee video na hujui kama unaweza kutumia AI kutengeneza video zenye ubora wa hali ya juu ndani ya muda mfupi.

  •  Unahangaika kupata “Interests” sahihi za kulenga ili upate watalii kwa gharama nafuu na hujui kama unaweza kutumia AI kukupa orodha ya “Interests” sahihi ndani ya sekunde kadhaa.
  •  Una mgogoro wa kifamilia baada ya biashara yako ya utalii kushuka

Baada ya kuona ujumbe huu unamfaa mtu gani basi tuendelee na swali letu…

Je, na Tour operator walifaidika kutoka kwenye mafunzo ya programu yangu ya “Facebook & Instagram Mapene”?

Ukweli ni kwamba walifaidika kidogo sana. Wapo walionipigia simu wakisema wamepata mwanga, lakini shida yao ya kupata watalii ilibaki pale pale.

Sababu kuu kwanini programu hiyo haikuwasaidia sana ni kwamba mafunzo yake yalilenga biashara zinazolenga wateja wa ndani, yaani Watanzania. Lakini, kwenye biashara ya Utalii, walengwa ni watu kutoka nchi za Ulaya, Canada, na Marekani.

Sasa, kurusha matangazo ya kulipia Facebook na Instagram kwa ajili ya watu wa Ulaya, Canada, na Marekani ni tofauti kabisa na jinsi unavyorusha matangazo yanayolenga Watanzania.

Nitakufafanulia utofauti huo mbele kidogo, lakini kwa sasa ngoja nikuambie kilichotokea baada ya baadhi ya tour operators kunipigia simu wakihitaji msaada zaidi.

Kusema ukweli, kwa wakati ule sikuwa na msaada wowote wa kuwapa tour operators kwa sababu sikuwa na mbinu za kuliteka soko la kitalii la Ulaya, Canada, na Marekani.

Kwa hiyo, niliendelea kutoa mafunzo kwa wafanyabiashara ambao soko lao ni la ndani, Tanzania. Nikaanzisha programu nyingi ambazo zote zilienda kuwa “Best Sellers.” Wafanyabiashara wengi walipenda mafunzo hayo na bado wanayapenda kwa sababu yalibadilisha biashara zao.

Ilipofika mwezi wa 10 mwaka 2023, nilipata wazo la kuingia kwenye soko la Ulaya, Canada, na Marekani.

Wazo langu lilikuwa kufanya “High Ticket Affiliate Marketing” — kuuza bidhaa za thamani kubwa ambazo zinagharimu $1997 hadi $5000, ambapo mimi nalipwa asilimia 40%–60% ya mauzo.

Kwa mbinu nilizokuwa nazo hapo awali, nisingeweza kufanikiwa kwenye biashara hii. Kwa hiyo, niliamua kununua kozi moja ya $2497.

Kozi hiyo ilifundisha mbinu zote za kuuza bidhaa yoyote ya bei kubwa kwenye masoko ya Ulaya, Canada, na Marekani.

Miongoni mwa yaliyofundishwa kwenye kozi hiyo, kulikuwa na kipengele cha “The Tourism Funnel” — mbinu za kuuza package za utalii kupitia matangazo ya kulipia.

Kwa kuwa lengo langu la kununua kozi hiyo lilikuwa kujifunza “High Ticket Affiliate Marketing,” hicho kipengele cha biashara ya utalii sikukitilia maanani sana. Nikaamua kuachana nacho!

Kwa miezi kadhaa, nimekuwa bize na biashara ya ‘High Ticket Affiliate Marketing’ mpaka siku moja aliponipigia simu tour operator mmoja, akiniuliza kama natoa mafunzo ya jinsi ya kupata watalii kupitia matangazo ya kulipia kwenye Facebook na Instagram.

Kwa kuwa miezi kadhaa ilikuwa imepita tangu niliponunua programu ya ‘High Ticket Affiliate Marketing,’ nilikuwa nimeshasahau kama kuna kipengele kinachofundisha hatua zote za kuuza package za utalii.

Hata hivyo, baada ya simu ya huyo tour operator, kumbukumbu zilirudi. Nilirudi kwenye hiyo course na kupitia kwa kina kipengele cha ‘The Tourism Funnel.’

Katika kipengele hicho, kuna case studies, reviews, na shuhuda nyingi kutoka kwa tour operators wa Thailand, Ugiriki, Ufaransa, Ufilipino, na nchi zingine kibao.

“The Tourism Funnel” ni njia Mpya, ya Kipekee na Ambayo Hujawahi Kuiona Au Kuisikia Sehemu Yoyote Ile!”

Baada ya kuona tour operators kutoka nchi zingine wakisifia njia hii na kutoa shuhuda za matokeo wanayopata ndani ya muda mfupi, nilikumbuka kuwa tour operators wengi wa Tanzania bado wanahangaika kupata njia sahihi na ya uhakika ya kupata watalii. Hivyo, nimeamua kuandaa programu mpya ambayo nimeipa jina la...

48-Hour Tourist Surge!

Katika program hii utajifunza mambo mengi sana na haya ni mambo machache (machache sana) ya mambo yote ambayo utajifunza kutoka kwenye program hii:

  • Siri ya kugeuza matangazo yako ya Facebook na Instagram kuwa mashine ya kuvutia watalii moja kwa moja kwako—ndani ya masaa 48 tu
  • Aina 4 ya matangazo yanayoleta watalii wengi kwa gharama ndogo!
  • Gundua jinsi ya kuepuka kosa moja kubwa ambalo linazuia 'Tour Operators' wengi kupata watalii wengi kwa haraka
  • Sasa unaweza kutengeneza video zenye ushawishi mkubwa kwa watalii bila kumlipa videographer—kwa dakika 5 tu kwa kutumia AI!
  • Njia rahisi ya kurusha matangazo yenye 'Objective' sahihi ili kuvutia watalii wengi kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi!
  • Gundua hatua za muhimu ndani ya 'The Tourism Funnel' zinazofanya matangazo yako kuwa na ufanisi mkubwa.
  • Mbinu rahisi ya kuunda matangazo yenye nguvu ya kushawishi kwa dakika 2 tu kwa kutumia AI!
  • Fikiria kujikosesha watalii kwa kuzima tangazo ambalo kwa uelewa wako unahisi halifanyi kazi kumbe linafanya kazi. Baada ya kujiunga na mafunzo haya, utajifunza jinsi ya kupima viashiria muhimu vya utendaji (KPIs) ili kubaini kama matangazo yako yanafanikiwa au la. Usipokuwa na uelewa wa KPIs hizi, unaweza kuzima matangazo yenye mafanikio au kuendelea kurusha yale yasiyoleta matokeo!
  • Ondoa presha ya kurusha matangazo yasiyoleta matokeo kwa kufuata hatua hizi 3 za kurusha matangazo ambayo ndani ya masaa 48 yanaanza kukuletea watalii.
  • Jua jinsi ya kutumia AI kupata ‘Interests’ sahihi zinazovutia watalii ndani ya masaa 48!
  • Tengeneza picha zinazowashawishi watalii bila kumlipa graphic designer—kwa dakika 2 tu kwa kutumia AI!
  • Vutia watalii ambao wapo tayari kulipia safari kwa kutumia kitu Hiki kimoja pekee!
  • Punguza gharama za matangazo yako kwa kutumia mbinu sahihi ya kupata 'cost per click' ndogo!
  • Gundua sababu halisi kwa nini matangazo yako hayaleti matokeo na badala yake yanakupotezea pesa!
  • Fikiria unarusha tangazo lako watalii wanakutafuta lakini wanasita kukutumia hela kwasababu ya kutokuwa na imani na wewe! Tumia njia hii kuondoa wasiwasi wa kuaminika kwa watalii wako na ujipe nafasi ya malipo ya haraka!
  • Geuza kampuni yako ya utalii kuwa mjadala kwa kampuni zingine wakijiuliza kwanini kampuni yako haiishiwi watalii katika misimu yote ya mwaka mzima.
  • Fikiria jinsi utakavyotengeneza hela na kuishi maisha ya ndoto zako, kufunga ndoa ya viwango unavyotaka, kuwa na familia yenye furaha zaidi, kununua gari la ndoto zako, kuishi kwenye apartment ya kisasa zaidi, kujenga jumba la kifahari — ikiwa utaanza kupata watalii katika misimu yote ya mwaka! Baada ya kujiunga kwenye mafunzo ya programu hii, utagundua ni rahisi sana kuanza kupata watalii katika misimu yote ya mwaka haijalishi janga la korona limeifanya biashara yako ya utalii kuwa katika hali mbaya sana kiasi cha kuanza kufanya biashara zingine ambazo hazilipi kama ya utalii.


Hayo ni baadhi ya mambo machache ambayo utajifunza kwenye program hii. Yapo mengine mengi sana. Ukurasa huu hautoshi kuyaelezea yote!

Program hii ya 48-Hour Tourist Surge Inaanza Lini?

Mafunzo ya program hii yameshaandaliwa tayari. Na mafunzo yapo katika mfumo wa video.

Kwahiyo program ishaanza tayari ni wewe kujiunga na kuanza mafunzo haraka iwezekanavyo.

Na mafunzo haya yanatolewa kwenye tovuti yangu (Online) na sio kwa kukutana ana kwa ana na kuanza kufundishana.

Utapata kujifunza ukiwa sehemu yoyote ile hapa Tanzania na kwa muda wako.

Inagharimu kiasi gani kujiunga Kwenye Program hii ya 48-Hour Tourist Surge? 


Kabla sijakwambia bei ya kujiunga kwenye program hii ningependa wewe mwenyewe ujipangie bei.

Unajipangia bei kiasi gani kwa program ambayo ni daraja la kukuvusha kutoka kwenye hali ya kuhangaika kupata watalii kuja kwenye hali ya kupata watalii katika misimu yote ya mwaka mzima?

Unajipangia bei kiasi gani kwa program ambayo mbinu ninazofundisha kwenye program nimeweza kuzipata kwa gharama isiyopungua 7,000,000/=?

Unajipangia bei kiasi gani kwa program ambayo mbinu nitakazokufundisha huwezi kuzipata sehemu nyingine yoyote ile kwa hapa Tanzania tofauti na kwangu?

Nadhani ukijipangia 2,000,000/= utakuwa upo sahihi japo “Walimu” wangu wakisikia nakuuzia kwa hiyo bei wataumia sana na kuniona mimi mwehu maana milioni mbili ni ndogo sana ukilinganganisha na faida utakazozipata kupitia mbinu nitakazokufundisha.

Lakini unajua chakushangaza ni nini? Hutalipia hiyo 2,000,000/=

Pesa utakayolipia hata nusu ya hiyo milioni mbili haifiki.

Utajiunga kwenye program hii kwa ADA ya:

500,000/=

Hata hivyo nakupatia punguzo la bei zaidi.

Kama utawahi kujiunga kwenye program kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri maana yake utalipia 20,000/= Tu

Lakini baada ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri bei itapanda mpaka 500,000/=

Kwahiyo jinyakulie OFA hii kabla hujachelewa.

Kwanini Natoa Punguzo La Bei Kubwa Sana Hivyo?

Kuna sababu 2 na ni rahisi kuzielewa.

  1. Nashusha ngazi chini ili hata walio chini waweze kufika juu.

Tazama, mafanikio hayapatikani kirahisi.

Na hakuna mtu yeyote hapa chini ya jua ambaye anaweza kufanikiwa pasipo muunganiko wa juhudi binafsi na msaada kutoka kwa watu waliomtangulia.

Tunaishi Dunia ya Saidiwa Usaidie

Kuna maarifa nisingeweza kuyapata na nisingekuwa hapa nilipo leo hii endapo nisingepewa punguzo la bei.

Kwahiyo mimi kupunguza bei  ni kama kushusha ngazi chini ili ambao wanataka kupanda juu haraka iwe rahisi sana kwao.

       2. Nahitaji uwe mteja wangu wa kudumu.

Tazama kwa kupunguza bei nina uhakika ntakuwa nimekuwekea urahisi wa kujiunga kwenye program hii.

Baada ya kujiunga kwenye program hii mbinu utakazojifunza lazima zifungue milango kwako ya kuanza kupata watalii katika misimu yote ya mwaka mzima.

Mpaka hapo ntakuwa nimeuteka moyo wako na...

Kwakua nina madarasa mengine mengi ambayo ninauza kwahiyo nina uhakika utanunua maarifa tena na tena kutoka kwangu.

Kwa maelezo rahisi ni kwamba punguzo hili lina faida pande zote 2. Kwako na kwangu.

Hata hivyo, kama ukijiunga kwenye program hii nitakuzawadia na BONUS ifuatayo kwa BURE kabisa kama asante ya kujiunga kwenye program hii.

BONUS: Kuondoa Account Restriction!

Kama ni mkongwe katika kurusha matangazo ya kulipia Facebook na Instagram lazima kuna wakati akaunti zako zimefungwa pasipo sababu maalumu au kwasababu umekiuka kanuni na masharti yao ya utangazaji.

Ukifungiwa kama hujui hatua sahihi za kuirudisha akaunti yako unaweza kujikuta unafungiwa tena na tena na hivyo kusababisha uishie kutanga tanga kufungua akaunti mpya ambazo zinaishia kufungiwa.

Lakini usijali. Kama akaunti yako ya matangazo imefungwa nitakusaidia kuifungua au nitakufungulia akaunti nyingine mpya kwa kufuata hatua ambazo akaunti hiyo mpya haitafungiwa tena.

Thamani ya BONUS hii ni 150,000/=

BONUS hii utaipata kwa BURE kabisa endapo utajiunga leo kwenye program hii ya 48-Hour Tourist Surge

Kwahiyo kwa ujumla, hii hapa orodha ya vitu Vyote utakavyovipata kama utalipia leo:

  • Program ya 48-Hour Tourist Surge – Thamani yake 500,000/=
  • Kuondoa Account Restriction – Thamani yake 150,000/=

Jumla ya Thamani ya Kila kitu utakachojifunza ni 650,000/= lakini wewe utalipia 20,000 Tu Kwa Leo kupata kila kitu.

Guarantee image

Kama baada ya kujiunga kwenye program hii utakuwa hujalidhishwa na mafunzo ya program hii (Kwa Sababu yoyote) nijulishe kupitia namba ya simu ambayo itakuwa kwenye risiti ya malipo nitakurudishia pesa zako zote bila kinyongo chochote.

Hata hivyo nina uhakika utaipenda sana program hii na utalidhika kwa mafunzo nitakayokupatia.

Kwanza nadhani wewe mwenyewe utashangazwa kwa kile ambacho naenda kukufundisha kwenye program hii.

Ukweli ni kwamba, biashara yako ya utalii inaenda kubadilika kwasababu kupata watalii litakuwa ni jambo rahisi sana kwako.

Hizi Hapa Sababu 15 Kwanini Kujiunga kwenye programu hii ya 48-Hour Tourist Surge itakuwa moja ya maamuzi ya maana sana ambayo umewahi kuyafanya kwenye biashara yako ya utalii:

  1. 1
     Matokeo ya Haraka: Utajua jinsi ya kurusha matangazo sahihi ya kulipia Facebook na Instagram yanayoleta watalii ndani ya masaa 48 au chini ya hapo!
  2. 2
     Epuka Makosa Makubwa yanayofanywa na Tour Operators Wengi: Utajifunza kosa moja kubwa linalozuia watalii kuja kwako, na jinsi ya kuepuka kosa hilo mara moja ili upate watalii zaidi kwa gharama nafuu.
  3. 3
     Uelewa Kamili wa “The Tourism Funnel”: Utajifunza hatua zote muhimu ambazo unatakiwa uzizingatie ili kupata watalii wengi na kwa gharama ndogo kwa kutumia matangazo ya kulipia Facebook na Instagram. Ukosefu wa uelewa wa “The Tourism funnel” ndio chanzo kikubwa kwanini licha ya kutumia mbinu tofauti tofauti kwenye matangazo yako bado unahangaika kupata watalii.
  4. 4
     Pata “Interests” Sahihi kwa Watalii: Hutahangaika tena kutafuta “Interests” za kulenga, badala yake utatumia AI kupata orodha kamili ya “Interests” sahihi zinazokuletea watalii ndani ya masaa 48!
  5. 5
     Gundua Kwanini Matangazo Yako Hayafanyi Vizuri: Utagundua jinsi ya kubadilisha matangazo yako yasiyofanya vizuri kuwa yenye matokeo bora, ndani ya muda mfupi na kwa bajeti ndogo.
  6. 6
    AI Inakusaidia Kuandika Matangazo Bora: Sasa unaweza kutumia AI kukuandikia matangazo yenye mvuto na ushawishi mkubwa ndani ya dakika 2 tu—bila kumlipa copywriter au kupoteza muda ukiumiza kichwa kujiandikia mwenyewe.
  7. 7
     Usipoteze Pesa Kwenye Matangazo Yasioleta Matokeo: Utajifunza jinsi ya kupima Key Performance Indicators (KPIs) muhimu ili kujua kama tangazo linafanya vizuri au vibaya, na kuepuka kutumia bajeti yako vibaya.
  8. 8
     Utaelewa "Angle 4" za Matangazo Yenye Ushawishi Mkubwa: Matangazo haya ya aina 4 yatakusaidia kupata watalii kwa gharama ndogo na bila kupoteza pesa nyingi kwenye matangazo yasiyo na matokeo.
  9. 9
     Hutapoteza Pesa kwa Graphic Designers Tena: Utajifunza jinsi ya kutumia AI kutengeneza picha nzuri na zenye mvuto kwa matangazo yako ndani ya dakika 2 tu—bila kumlipa graphic designer yeyote.
  10. 10
     Sio Lazima Tena Kumlipa Videographer: Utajifunza kutumia AI kutengeneza video bora zenye ushawishi kwa watalii ndani ya dakika 5 tu—bila kumlipa videographer yeyote.
  11. 11
     Tangazo Lenye Kivutio Kikubwa kwa Watalii: Badala ya kutangaza package zako za safari (Itinerary), utajifunza kutangaza kitu kimoja maalum kinachowavutia watalii mara moja na kuwafanya waje wakiwa tayari kulipia package yoyote utakayoweka.
  12. 12
     Kuondoa Presha na Wasiwasi: Baada ya kujiunga na programu hii, wasiwasi,  presha, na msongo wa mawazo vinavyotokana na hali ya kurusha matangazo yasiyokuletea watalii vyote vitatoweka— kwa sababu utakuwa na uhakika wa kurusha matangazo yenye kuleta matokeo.
  13. 13
     Jifunze Kuchagua Dhumuni Sahihi la Tangazo Lako: Utajifunza jinsi ya kuchagua dhumuni sahihi la tangazo lako, ili kupata watalii wengi kwa gharama nafuu na ndani ya muda mfupi.
  14. 14
     Kuwa Mfano wa Kuigwa kwa Tour Operators Wengine: Utaelewa mbinu zitakazokufanya uwe “Tour Operator” ambaye wengine wanatamani kukuiga, na kuwa na watalii misimu yote ya mwaka—hakuna tena dolo la upungufu wa watalii!
  15. 15
     Mbinu Rahisi Zinazoboresha Maisha Yako: Mbinu utakazojifunza zitarahisisha maisha yako, kupunguza migogoro ya familia, na kukufanya uwe "Tour Operator" mwenye mafanikio na watalii katika misimu yote ya mwaka mzima.

Unasubiri nini kujiunga kwenye programu hii? Hii ni njia mpya, rahisi, na ya haraka ambayo haifundishwi popote pengine—ni tiketi yako ya kupata watalii katika misimu yote ya mwaka mzima. Usikose fursa hii ya kipekee!

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Soma kwanza maelekezo yote ya kufanya malipo ya kujiunga kwenye program hapa chini:

Hatua ya 1: Bonyeza kule chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini. (Hii ni picha tu sehemu ya kubonyeza ni kule chini. Kwahiyo soma maelekezo yote kwanza halafu ndo uanze taratibu za kufanya malipo)

Hatua ya 2: Bonyeza kwa juu upande wa kulia sehemu iliyoandikwa "Viewcart" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

Hatua ya 3: Hakikisha bei (Price) inasoma 20,000 Idadi (Quantity) inasoma 1 na "subtotal" inasoma 20,000. Baada ya kumaliza uhakiki unabonyeza sehemu iliyoandikwa "Proceed to checkout" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

Hatua ya 4: Baada ya kubonyeza "proceed to checkout" utaletwa kwenye ukurasa wa kujaza taarifa zako zote kwa ajili ya mfumo kutengeneza Risti (Receipt) ya malipo utakayofanya ili baada ya kukamilisha malipo utumiwe Risti ya malipo yako. Taarifa hizo ni kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

Hatua ya 5: Inatakiwa utengeneze "Username" na "Password ili baada ya kukamilisha malipo mfumo ukupeleke darasani moja kwa moja . Username weka jina lolote kulingana na mapendeleo yako. Na kutengeneza password yako unabonyeza kwenye alama ya jicho kisha unafuta password iliyopo na kutengeneza ya kwako wewe ambayo utaikumbuka. Hata hivyo, kama baada ya kulipia utasahau password yako kuna sehemu utaomba kubadili na kuweka password mpya. Baada ya kukamilisha kutengeneza username na password utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Place order"kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

Payment step-5

Hatua ya 6: Malipo yanafanyika kupitia moja ya mitandao 4 ya simu. Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel. Unachotakiwa kufanya bonyeza kwenye alama ya pembe tatu halafu chagua mtandao wa simu mmoja ambao utautumia kufanya malipo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

SMBPayment step-8

Hatua ya 7: Kulingana na mtandao wa simu ambao umechagua kwenye hatua ya 6, Weka namba ya mtandao husika ambayo itatumika kufanya malipo. Kwa mfano; kama kwenye hatua ya 6 umechagua mtandao wa Vodacom, hapa kwenye hatua ya 7 unaweka namba yako ya Voda. Na utafanya hivyo ikiwa umechagua mtandao tofauti. Baada ya hapo utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Pay TZS 20,000" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

Hatua ya 8: Baada ya kubonyeza "Pay TZS 20,000" kwenye hatua ya 7, utaletewa USSD Push (Meseji) kwenye simu yako ya kukamilisha malipo. Bonyeza 1 kukubali kufanya malipo. Halafu weka namba yako ya siri ya mtandao ambao unakuwa umechagua kuutumia kufanya malipo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

Ukimaliza kuweka namba yako sa siri bonyeza 1 kuruhusu 20,000/= ikatwe kutoka kwenye simu yako. Baada ya pesa kukatwa na malipo kukamilika mfumo utajua na utakupeleka darasani moja kwa moja. Itabaki juu yako kuanza kujifunza muda huo huo au badae au siku nyingine kulingana na mapenzi yako.

Labda tuseme unasoma ujumbe huu kwa kutumia simu yako kubwa halafu namba ya simu ambayo unataka uitumie kufanya malipo ipo kwenye simu nyingine kubwa au kitochi (Ndogo) utafanyaje?

Ni rahisi tu...

Fuata hatua ya 1-7 kwa kutumia simu yako kubwa ambayo unaitumia kusoma ujumbe huu sasa hivi halafu mfumo utatuma meseji hiyo ya hatua ya 8 ya kukamilisha malipo kwenye namba ambayo umeweka. Hata kama namba hiyo itakuwa kwenye simu nyingine (Kubwa au ndogo) mfumo utatuma huko huko kwenye simu nyingine tofauti na hii ambayo ndio unaitumia kufanya mchakato wa malipo. Baada ya mfumo kutuma meseji hiyo kwenye simu nyingine unatakiwa ulipie kupitia simu hiyo ambako meseji imetumwa na baada ya hapo mfumo utagundua kuwa umekamilisha malipo na kwenye simu hii uliyofanyia mchakato wa malipo mfumo utakupeleka darasani moja kwa moja licha ya wewe kukamilisha au kumalizia kufanya malipo kwa kutumia simu nyingine.

Lakini pia unatakiwa kwenye simu yako uwe na zaidi ya 20,000/= maana makato ya serikali na mtandao husika ni nje ya hiyo gharama ya kujiunga kwenye darasa. Kama pesa kwenye simu yako itakuwa 20,000/= kamili au chini ya hapo malipo hayatafanikiwa na pesa haitakatwa kutoka kwenye simu yako.


Hizo ndizo hatua za kufanya malipo. Kwahiyo sasa unaweza kuanza kufanya malipo kwa kubonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA"

20,000/= | 500,000/= | Save 96%

Naweza kughairi kujiunga sasa hivi kwenye mafunzo nikajiunga badae au siku nyingine? Ndio unaweza kujiunga badae au siku nyingine lakini ukifanya hivyo mambo yafuatayo yatatokeo:

  • Kupoteza Fursa Mpya na ya Kipekee ya Kubadilisha Biashara Yako ya Utalii: Mafunzo ya program hii ni fursa mpya na ya kipekee, kwa hiyo kadri unavyochelewa kujiunga, unatoa nafasi kwa “tour operator” wenzako wenye uchungu wa kuanza kupata watalii kukuchukulia nafasi yako. Hivyo, fursa hii haitakuwa ya kipekee tena, na badala yake ushindani utaanza kuwa mkubwa. Jiunge sasa hivi ili uwe mbele ya washindani wako na uanze kupata faida ya kuwa wa kwanza kutumia mbinu hizi mpya!
  • Kupoteza Mapato kwa Kila Siku Inayopita: Kadri unavyosubiri, ndivyo unavyopoteza fursa ya kuvutia watalii zaidi na kuongeza mapato yako. Kumbuka kwenye programu hii utajifunza matangazo yenye ufanisi wa kuleta mabadiliko makubwa ndani ya masaa 48 au chini ya hapo. Kwahiyo usiendelee kusubiri jiunge kwenye mafunzo sasa hivi.
  • Kukosa matokeo ya Haraka Kabla ya Msimu wa Utalii: Ukiingia kwenye programu sasa hivi, utakuwa na muda wa kutosha kujifunza na kujiandaa kabla ya misimu yenye watalii wengi. Ukisubiri, unaweza kupoteza misimu muhimu ya utalii ya kupiga dola za kutosha.
  • Gharama za matangazo kupanda juu: Ukichelewa kujiunga tour operator wenzako wakakuwahi maana yake ukija kujiunga mtakuwa wengi ambao mnatumia mbinu hizi hivyo kuna uwezekano wa gharama za matangazo ya kulipia kupanda kadri washindani wanavyozidi kuingia sokoni. Jiunge sasa hivi ili upate gharama nafuu za matangazo na matokeo bora kabla ushindani haujaongezeka.
  • Kukosa Usaidizi wa Mapema na Kipekee: Kujiunga sasa hivi kunakupa fursa ya kupata usaidizi wa karibu zaidi kutoka kwangu, kwani wateja wachache wa mwanzo nataka niwape msaada na sapoti ya kipekee ili nipate shuhuda za haraka ambazo zitanisaidia kuongeza mauzo. Kwahiyo jiunge sasa hivi upate sapoti ya kipekee ambayo itakusaidia upate matokeo ya haraka ili unipe shuhuda yako.
  • Kukosa Mbinu za Kipekee Ambazo Wengine Hawajazijua: Ukiwa mmoja wa watu wa kwanza kujiunga, utaweza kutumia mbinu za kipekee ambazo washindani wako hawazijui bado. Hii itakusaidia kuwa mbele sokoni kwa muda mrefu lakini ukichelewa utakuta tour operator wenzako tayari wamesha jiunga na hivyo mbinu hizi zitakuwa zinajulikana kwa wengi hivyo upekee wa mbinu hizi utakuwa umeukosa.

Na kwa wote ambao hawatajiunga kabisa kwenye program hii watakuwa wamejikosesha mambo yote haya:

  •  Kujua sababu halisi kwa nini matangazo yako yamekuwa hayaleti watalii na badala yake yamekuwa yakipoteza pesa zako —na jinsi ya kugeuza matangazo yako kuwa yenye matokeo bora, ndani ya muda mfupi na kwa bajeti ndogo.
  •  Kujua kurusha matangazo ya Facebook na Instagram yanayokuletea watalii moja kwa moja ndani ya masaa 48 au chini ya hapo.
  •  Kujua ‘angle’ sahihi ya matangazo ambayo itakuletea watalii wengi kwa gharama ndogo!
  •  Kujua kosa moja kubwa ambalo linazuia 'Tour Operators' wengi kupata watalii wengi kwa haraka—na jinsi ya kuliepuka kosa hili kubwa mara moja!
  •  Kujua kutumia AI kupata orodha kamili ya 'Interests' zote sahihi ambazo, ukizilenga, ni uhakika wa kupata watalii ndani ya masaa 48!
  •  Kujua kutumia “The Tourism Funnel”—Hizi ni hatua muhimu zote ambazo unatakiwa uzizingatie ili kupata watalii wengi na kwa gharama ndogo kwa kutumia matangazo ya kulipia Facebook na Instagram.
  •  Kujua kuchagua “Objective” yaani dhumuni sahihi unalopaswa uchague wakati wa kurusha matangazo yako ili kupata watalii wengi kwa gharama nafuu na ndani ya muda mfupi!
  •  Kujua mbinu ya kurusha matangazo ya kulipia Fb na IG ambayo yana cost per click (CPC) ndogo.
  •  Kujua mbinu za kupata watalii katika misimu yote ya mwaka mzima.
  •  Kuifanya kampuni yako kuwa mjadala kwa kampuni zingine wakijiuliza kwanini kampuni yako haiishiwi watalii katika misimu yote ya mwaka mzima.
  •  Kujua kutumia AI kuandika matangazo ya aina 4 yenye ushawishi mkubwa kwa watalii ndani ya dakika 2 tu.
  •  Kujua sababu pekee kwanini hutakiwi kutangaza package zako (Itinerary) badala yake unatakiwa utangaze kitu kimoja ambacho nitakufundisha na ndicho kitu pekee cha kufanya watalii wakutafute wakiwa tayari kulipia package yoyote ya safari.
  •  Kujua kutengeneza picha nzuri kwa staili yoyote ile unayotaka, haraka na kwa wepesi ndani ya dakika 2 kwa kutumia AI bila kumlipa graphic designer yeyote.
  •  Kujua kutengeneza video nzuri zenye ubora wa hali ya juu, haraka na kwa wepesi ndani ya dakika 5 kwa kutumia AI bila kumlipa videographer yeyote.
  •  Uhakika wa kuondokana na presha, wasiwasi, na msongo wa mawazo unaosababishwa na kurusha matangazo ya kulipia yasiyokupatia watalii— Katika programu hii utajifunza kurusha matangazo yenye ufanisi zaidi na kubwa kuliko yatakuwa ni matangazo yanayoleta matokeo ndani ya masaa 48 au chini ya hapo.
  •  Kujua njia pekee ya kufanya watalii wakuamini haraka ili iwe rahisi kwao kulipia package zako.

Kadri unavyoendelea kusubiri ndo unajikosesha mambo haya. Bonyeza “LIPIA SASA” ujiunge sasa hivi ili uwe miongoni mwa tour operators wachache wenye uelewa wa mbinu hizi.

20,000/= | 500,000/= | Save 96%

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. Ni matumaini yangu kwamba tutakutana kwenye program hivi karibuni.

Cheers,

Mr Bokko.

Dar es Salaam.

P.S: Bado unasita kujiunga kwenye programu?

Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa mafunzo ya programu hii hayatakusaidia kuanza kupata watalii.

Huna chakupoteza. Una kila sababu ya kujiunga kwenye programu hii ili uanze kupokea watalii haraka iwezekanavyo.

Ndio, Nipo Tayari Kuanza Kupokea Watalii

Copyright - Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

>
error: Content is protected !!
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications