Weka ODA Yako Kwa Kujaza Fomu Hii Kikamilifu.
(Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa namba hii 0768354507)
Watu wengi wanajua mpangilio mzuri wa chakula na kufanya mazoezi vinatosha kukufanya upungue uzito/ unene au kitambi:
Kuongezeka uzito ni rahisi sana. Kula chakula cha kila aina. Usiwe na msongo wa mawazo. Usifanye mazoezi. Lala vizuri. Matokeo yake siku hadi siku utajikuta aidha una kitambi au umeongezeka uzito au unene.
Kwa akili ya kawaida kwakuwa kilichopelekea mpaka ukaongezeka ni ulaji mbovu wa vyakula vya kila aina na kutofanya mazoezi basi suluhisho pekee ni kupangilia chakula vizuri na kufanya mazoezi.
Hivyo ndivyo ambavyo kila mtu anayetaka kupungua anafanya.
Je ni sahihi kufanya hivyo na inasaidia kupungua kweli? Jibu: Ndio ni sahihi kabisa kufanya hivyo lakini taarifa mbaya ni kwamba hutopungua hata siku moja.
Kwanini? Kwasababu Kufanya mazoezi na kupangilia chakula vizuri haviondoi kiini cha tatizo.
Kiini cha tatizo ni kipi? Ngoja nikuelezee:
Chukulia kwa mfano mwili wa binadamu ni kama GARI. Injini ya gari tuifananishe na seli za mwili wako. Tank la mafuta tulifananishe na hifadhi ya mafuta mabaya mwilini mwako.
Ili gari litembee inatakiwa uliwekee mafuta. Kitendo cha kuliwekea gari mafuta tukifananishe na wewe kula chakula.
Na mwisho kabisa: Kitendo cha kuendesha gari kwa kasi tukifananishe na kufanya mazoezi.
Kwahiyo kwa maelezo rahisi ni kwamba gari litatembea endapo utaliwekea mafuta kwenye tank. Na kadri unavyozidi kuliendesha ndivyo mafuta yanaisha kwenye tank.
Kwa maana hiyo ukitaka mafuta yaishe haraka kwenye tank kuna njia mbili. Moja: Uweke mafuta kidogo kwenye tank na mbili: Uweke mafuta ya kutosha lakini uendeshe gari kwa kasi na kwa umbali mrefu.
Lakini naomba nikuulize swali: Hivi ili gari liwake na kutembea ni kweli mafuta, tank la mafuta na injini peke yake ndio vinahitajika? Jibu ni hapana. Kuna vitu vingi vinahitajika. Lakini kikubwa zaidi ni hewa safi (Oxygen) ya kuisaidia injini iweze kuunguza mafuta ndio gari litembee!
Hewa hii ya ‘oxygen’ ikikosekana hata ufanye nini mafuta hayataungua na gari halitatembea hata siku moja.
Tukirudi kwenye kupungua: Watu wengi wanapangilia chakula vizuri wakidhania itasaidia kuzuia mafuta mabaya kuongezeka mwilini na kufanya mazoezi wakidhania mazoezi yatasaidia kuanza kuunguza mafuta mabaya mwilini ili uanze kupungua.
Ukifanya hivyo una utofauti gani na gari ambalo limewekewa mafuta kwenye tank lakini hewa safi imekosekana ili injini iyaunguze hayo mafuta na kulifanya gari litembee?
Tazama... Watu wengi wanajua kupungua uzito au unene au kitambi ni kama mfano huo wa gari kuwaka kwa kufikiria vitu 3 tu –yaani mafuta, tank la mafuta na injini pasipo kufikiria kitu ambacho kitachochea mafuta hayo kuungua.
Mtu anajua akipangilia chakula vizuri na kufanya mazoezi basi inatosha kumfanya apungue uzito/ unene au kitambi. Lakini sio kweli.
Nisikilize kwa makini: Unapokula maana yake unaongeza mafuta kwenye tank lako la mafuta mwilini. Kwahiyo kwa akili ya kawaida ili mafuta hayo yapungue unachokifanya unapunguza ulaji kwa kupangilia chakula vizuri au unafanya mazoezi ili kuyaunguza hayo mafuta. Si ndio? Unahisi mafuta hayo yataungua kirahisi hivyo? Sio kweli. Mafuta hayataungua...
Kwasababu kuna kitu kipo nyuma ya pazia ambacho wewe hukioni. Na kitu hicho ndicho kimebeba uwezekano wa wewe kupungua au kuongezeka.
Kitu hicho ni kipi? Kukujibu swali hili ngoja nikurudishe nyuma siku ambayo ulianza kunenepa au kuongezeka uzito au kitambi ili ujue hatua zote zilizotokea kwasababu ukielewa ni hatua zipi umezipitia mpaka kufika hapo ulipo utajua ni nini ufanye ili kurudi kwenye umbo na shepu ulitakalo.
Iko hivi...
Mwili unahitaji nguvu (nishati) ili uweze kufanya kazi mbalimbali. Nguvu hizi kwenye mwili ni kama mafuta kwenye gari. Kwenye gari unaweka mafuta lakini kwenye mwili unakula chakula. Kwahiyo chakula ndio chanzo cha nguvu zinazohitajika ili mwili ufanye kazi. Lakini inatakiwa ufahamu kwamba...
Vyakula vimegawanyika katika makundi makuu 3.
A. Vyakula vya kuupa mwili nguvu( Wanga)
B. Vyakula Vya kujenga mwili (Protini)
C. Vyakula vya kuulinda mwili (Vitamini na madini).
Hizo ndo kazi 3 za chakula mwilini. Kundi ‘C’ halizalishi nguvu mwilini Lakini kundi ‘B’ (Protini) licha ya kujenga mwili inazalisha nguvu pia mwilini japo sio kwa kiwango kikubwa kama kundi ‘A’ (Wanga).
Kwa maisha tunayoishi watu wengi tunakula sana chakula cha kundi ‘A’ (Wanga) ukilinganisha na makundi mengine ya chakula. (Ugali mkubwa mboga kidogo au wali mwingi mboga kidogo –ndo maisha ya wengi wetu)
Ukila chakula cha wanga nini kinatokea mwilini? Kabla sijakwambia nini kinatokea naomba nikuulize swali:
Ushawahi kujiuliza kwanini unapata njaa na kwanini ukila chakula baada ya muda unahisi kushiba?
Ukielewa kwanini unapata njaa na kwanini ukila chakula baada ya muda unaanza kuhisi shibe utakuwa umegundua nusu ya kwanza ya kukusaidia wewe upungue uzito, unene au kitambi.
Nisikilize kwa makini: Njaa na shibe ni matendo ya kibailojia. Tendo lolote la kibaiolojia ili liweze kutokea lazima kuwepo na kichochezi (Homoni) ya kuchochea kitendo hicho kitokee. Kwa maana hiyo kuna kichochezi ndani ya mwili ambacho kazi yake ni kukufanya uhisi njaa ili ule chakula na wakati kichochezi kingine ni kukwambia umeshiba ili usiendelee kula chakula.
Sasa iko hivi...
Mwili unapohitaji nguvu ili uweze kufanya kazi kichochezi kinachoitwa ‘ghrelin’ kinazalishwa tumboni ili kichochee uweze kuhisi njaa ili ule chakula nguvu ipatikane mwilini.
Baada ya kula chakula kitafanyiwa umeng’enywaji (Kitavunjwavunjwa) ili kiweze kufyonzwa kwenye damu. Baada ya nguvu kupatikana mwilini inatakiwa usitishe kula usiendelee kwa maana utazalisha nguvu nyingi ambayo nyingine haitatumika na kuhifadhiwa kama mafuta.
Hivyo basi, kichochezi kingine ambacho kinazalishwa na seli zinazohifadhi mafuta kinazalishwa ili kitoe taarifa kwamba umeshiba sasa usiendelee kula maana utasababisha mafuta kuongezeka ndani ya mwili.
Kichochezi hicho cha kutoa taarifa ya shibe kinaitwa ‘leptin’.
Kwa maelezo rahisi ni kwamba kichochezi hiki cha leptin kazi yake ni kukufanya uhisi shibe ili mwili uweze kutumia kiwango cha nguvu kilichopo mwilini na kuzuia mwili usihifadhi mafuta mengi.
Kwahiyo kichochezi hiki kikipata hitilafu kidogo tu maana yake utakuwa unakula sana bila kikomo na mwili utahifadhi mafuta mengi na kukufanya uongezeke uzito, unene au kitambi.
Hivyo basi,endapo wewe ni mnene au una uzito mkubwa au kitambi na unahitaji kupungua halafu kichochezi cha ‘leptin’ ndani ya mwili wako hakipo sawa hata ukizingatia ulaji mzuri wa chakula au kufanya mazoezi bado mwili utahifadhi mafuta kwasababu kichochezi cha kuzuia mafuta yasihifadhiwe hakipo sawa.
Sasa turudi kwenye swali letu, ukila chakula cha wanga nini kinatokea:
Ukila wanga (Ugali, wali, chakula chochote chenye asili ya sukari) umeng’enywaji wake unafanyika haraka sana. Baada ya kufanyiwa umeng’enywaji chakula hicho kinageuka kuwa sukari kwenye damu (Blood glucose).
Baada ya sukari kwenye damu kupanda kama matokeo ya kula wanga au chakula au kinywaji chochote chenye sukari nyingi kongosho lako linazalisha kichochezi cha ‘insulin’ ambacho kazi yake ni kwenda kuchochea seli za mwili zifyonze sukari hiyo na kuitumia kuzalisha nguvu.
Kwahiyo kichochezi cha ‘insulin’ ni kama hewa ya “oxygen” ambayo ikikosekana kwenye gari, injini ya gari itashindwa kuunguza mafuta na hivyo gari halitawaka. Hivyo basi, hata seli za mwili wako zitashindwa kuzalisha nguvu endapo kichochezi cha ‘insulin’ hakipo sawa.Tank la mafuta ya gari likijaa mafuta, mafuta yanaanza kumwagika endapo utazidi kuweka mafuta mengine. Je, mwilini mwako baada ya seli kutosheka na nguvu, nguvu zingine zinazobaki zinaenda wapi?
Ni rahisi kuelewa. Ikitokea baada ya seli za mwili kufyonza sukari kwenye damu kuzalisha nguvu lakini ikaonekana bado kuna sukari kwenye damu imebakia, kichochezi hicho cha ‘insulin’ kinachochea sukari hiyo iende kwenye ini na misuli kuhifadhiwa kama “Glycogen”.
Ini na misuli ni hifadhi la nguvu kwa muda mfupi ndani ya mwili ili pindi mwili unapohitaji nguvu basi nguvu hii iliyohifadhiwa kama ‘glycogen’ inatumika kuzalisha nguvu wakati huo mwili unapokuwa na uhitaji wa haraka wa nguvu.
Kwakuwa ini na misuli ni hifadhi la muda tu hivyo ikitokea kwenye damu kuna kiwango kikubwa cha sukari sio chote kitakachohifadhiwa kama ‘glycogen’ kwenye ini na misuli. Baada ya hifadhi kwenye ini na misuli kujaa kiwango cha sukari kinachobaki kwenye damu kinaenda wapi?
Kuzalishwa kwa Mafuta Mwilini!
Baada ya hifadhi kwenye ini na misuli kujaa, ‘insulin’ inachochea mashine (Enzyme) inayoitwa ‘citrate lyse’ igeuze kiwango cha sukari kilichobakia kwenye damu kuwa mafuta (triglycerides) na kuhifadhiwa kwenye seli za kutunza mafuta mwilini ambazo zimetapakaa mwili mzima chini ya ngozi yako.
Ikitokea mwili unahitaji nguvu unaanza kwanza kutumia sukari iliyopo kwenye ini na misuli kuzalisha nguvu na endapo itatokea mwili bado unahitaji nguvu ndio mafuta yaliyohifadhiwa kwenye seli za kutunza mafuta yanaunguzwa kuzalisha nguvu.
Lakini ikitokea mwili ukatosheka na nguvu zilizozalishwa kutoka kwenye hifadhi la ini na misuli basi mafuta hayataguswa kama chanzo cha nguvu.
Kwahiyo kwa maelezo rahisi ni kwamba ukila chakula kingi cha wanga...
Kuna kiasi cha nguvu kitatumika kuendesha shughuli mbalimbali mwilini, kingine kitahifadhiwa kwenye ini na misuli kama ‘glycogen’ na kingine kitageuzwa kuwa mafuta na kuhifadhiwa kwenye seli za kutunza mafuta.
Hivyo basi, Kadri unavyozidi kula wanga kila siku ndivyo ambavyo kiwango cha mafuta kinazidi kuongezeka mwilini na hivyo kujikuta mwisho wa siku kitambi au uzito au unene umeongezeka.
Kwanini ukipangilia chakula vizuri na kufanya mazoezi hupungui?
Kwanza kabisa inatakiwa ufahamu kwamba kupangilia chakula vizuri na kufanya mazoezi kuna faida kubwa moja: Kutakufanya usiongezeke zaidi.
Unaona utakachofaidika kwenye kupangilia chakula vizuri na kufanya mazoezi ni kwamba hautaongezeka zaidi. Lakini lengo lako kubwa ni kupungua na sio kubakia hivyo ulivyo.
Unakumbuka mwanzoni kabisa nilikwambia kupangilia chakula vizuri na kufanya mazoezi havitoshi kukufanya upungue kwasababu haviondoi kiini cha tatizo? Ukawa umeniuliza kiini cha tatizo ni kipi nikakwambia ngoja nikupatie maelezo kwanza? Nadhani unakumbuka.
Sasa ni wakati wa kujua kiini cha changamoto yako. Upo tayari nikwambie? Hata mimi nilijua upo tayari.
Kiini cha tatizo la kuongezeka unene/ uzito/ au kitambi ni Insulin Resistence na Leptin Resistence.
Ni kwa namna ipi insulin resistence na leptin resistence vinazuia wewe usipungue licha ya kufanya mazoezi na kupangilia chakula vizuri? Ngoja nikuelezee:
Mwanzoni nilikuelezea kwamba kwa akili ya kawaida gari ukiliwekea mafuta linatembea. Lakini nikakuuliza ni kweli mafuta, tank la mafuta na injini ya gari ndio vitu pekee vya kuifanya gari litembee? Jibu likawa hapana. Vitu vingi vinahitajika ili gari liwake na kutembea lakini kitu cha muhimu zaidi ni hewa safi ya ‘oxygen’ ambayo itaisaidia injini iyaunguze mafuta ndio gari ipate kuwaka na kutembea.
Je seli za mwili zinasaidiwa na nini ili ziweze kuzalisha nguvu kama ‘oxygen’ kwenye injini ya gari?
Seli za mwili zinasaidiwa na kichochezi cha insulin kuzalisha nguvu ili shughuli mbalimbali zifanyike mwilini.
Labda nikukumbushe kidogo: Nimekwambia kwa asilimia kubwa watu tunakula sana wanga. Na wanga ni kundi la vyakula ambavyo kazi yake mwilini ni kuupa mwili nguvu. Nikaendelea kusema unapokula wanga umeng’enywaji wake unafanyika haraka na kuzalisha sukari kwenye damu (Blood glucose).
Baada ya sukari kwenye damu kupanda kongosho lako linazalisha kichochezi kinachoitwa ‘insulin’ ambacho kazi yake ya kwanza ni:Kuchochea seli zako ziweze kufyonza sukari hiyo kwenye damu kuitumia kuzalisha nguvu.
Wakati kazi ya pili ni kuchochea sukari iliyobaki kwenye damu baada ya seli kutosheka, kuhifadhiwa kwenye ini na misuli kama ‘glycogen’ na endapo hifadhi kwenye ini na misuli litajaa basi kazi yake ya tatu ni kuchochea mashine ya ‘citrate lyse’ kugeuza sukari iliyobakia kwenye damu kuwa mafuta (Triglycerides).
Kwahiyo kwa maelezo rahisi ni kwamba ukila wanga lazima kichochezi cha ‘insulin’ kifanye kazi hizo 3.
Taarifa mbaya ni kwamba...
Tafiti zinaonesha kadri mafuta (Trigylcerides) yanavyozidi kuongezeka mwilini pamoja na ukosefu wa mazoezi inapelekea ‘insulini resistence’ kutokea.
Insulin resistence ni hali ambapo seli za mwili wako hazina ushirikiano mzuri na kichochezi cha ‘insulin’.
Seli za mwili wako kukosa ushirikiano mzuri na kichochezi cha insulin maana yake ni kwamba ‘insulini’ inapozalishwa ili kuchochea seli za mwili wako zifyonze sukari kuzalisha nguvu, seli za mwili wako zinakuwa zinajishauwa kufanya hivyo.
Matokeo yake sasa, insulin inazalishwa nyingi kulazimisha angalau seli za mwili wako zifyonze hata sukari kidogo kuzalisha nguvu na wakati kiwango kikubwa cha sukari hiyo kwenye damu kitageuzwa kuwa mafuta na kufanya uzidi kuongezeka siku hadi siku.
Si hivyo tu...
Ukiwa na insulin resistence baada ya muda hata leptin resistence nayo pia inatokea.
Unakumbua nimekwambia leptin ni kichochezi ambacho kazi yake mwilini ni kukufanya uhisi shibe baada ya kula chakula na kuzuia mwili usihifadhi mafuta? Nadhan unakumbuka vizuri.
Sasa unapokuwa na leptin resistence inakuwa ni kinyume na kazi ya kichochezi cha leptin yaani leptin haifanyi kazi yake vizuri ya kukufanya uhisi shibe au kuzuia mwili usihifadhi mafuta matokeo yake unakuwa mtu wa kuhisi njaa ovyo na kula kula hovyo na mwili wako utazidi kuhifadhi mafuta mengi.
Ndio maana ukichunguza vizuri watu wanene wanakula kula ovyo na sababu ni kwamba kichochezi kinachochochea uhisi shibe kina tatizo mwilini mwako.
Kwahiyo ili uweze kupungua inatakiwa kwanza insulin resistence na leptin resistence viondolewe ndani ya mwili wako ili kuleta uwezekano wa kuzuia mafuta yasihifadhiwe zaidi na yaliyopo yaanze kuunguzwa.
Na zaidi ya yote kuzuia mashine (citrate lyse) ambayo kazi yake ni kugeuza nguvu kuwa mafuta.
Tazama... kama mashine hii ya citrate lyse kazi yake ni kugeuza nguvu za ziada mwilini kuwa mafuta... kwahiyo ukifanikiwa kuzuia mashine hiyo isifanye kazi hiyo maana yake mafuta hayataongezeka zaidi.
Ukifanikiwa kuondoa insulin resistence na leptin resistence na kuzuia mashine ya kuzalisha mafuta utashangazwa kwa matokeo utakayoyapata. Utaanza kupungua siku hadi siku mpaka kwenye umbo au shepu ambalo sike zote umekuwa ukilitamani.
Taarifa njema ni kwamba baada ya tafiti za muda mrefu WEIDER – shirika linalojihusisha na utengenezaji wa virutubisho lishe asilia vya kumsaidia mtu kupungua limegundua fomula ya kutengeneza vidonge ambavyo ndio mwanzo na mwisho wa tatizo linaloitwa unene/ uzito mkubwa au kitambi.
Vidonge hivi vinaitwa Burn Slim.
Hivi ndivyo Burn Slim Inafanya Kazi Mwilini Mwako!
Kwanza kabisa unapomeza kidonge hiki cha burn slim kinaenda kuondoa hali ya insulin resistence na leptin resistence ili kuruhusu uwezekano wa wewe kuanza kupungua.
Kazi ya pili: Ndani ya kidonge hiki kuna kirutubisho kinachoitwa ‘hydroxycitric acid’ (HCA). Kazi ya kirutibisho lishe hiki ni kwenda kuzuia ‘citrate lyse’ mashine ya kuzalisha mafuta isizalishe mafuta mwilini mwako.
Kazi ya tatu: Kidonge hiki ukikimeza kinachochea kupanda kwa kemikali inayoitwa ‘serotonin’ ubongoni mwako. Serotonin ni kemikali ambayo pamoja na kichochezi cha leptin vinachochea shibe. Kwahiyo utahisi shibe kwa muda mrefu hivyo kulazimisha seli za mwili wako zianze kuunguza mafuta mabaya kuzalisha nguvu.
Kazi ya nne: Inaunguza mafuta mabaya mwilini na kugeuza 84% ya mafuta hayo kuwa hewa chafu ambayo unaipumua na wakati 14% za mafuta mabaya zinageuzwa kuwa maji ambayo utayakojoa au kutoa kama jasho.
Kwahiyo kwa kutumia burn slim uzito au unene au kitambi kitayeyuka kama mafuta yaliyoganda kwenye kikaangio cha moto na kuwa hewa chafu na maji.
Utakavyozidi kutumia burn slim siku... hadi siku... ndivyo ambavyo mafuta yaliyojazana kwenye tumbo lako kama kitambi yatazidi kuyeyuka na kubaki na tumbo lililonyoka juu mpaka chini.
Sio hivyo tu...
Utashangaa sana utakavyokuwa ukijipima kwenye mzani utajionea mwenyewe jinsi ambavyo uzito wako unapungua kwa kasi ya ajabu.
Siku hadi siku unene wote utapotea na utaanza kuvaa nguo zako zile ambazo siku zote umekuwa ukizitamani. Sipati picha ya tabasamu lako utakavyokuwa ukijitazama kwenye kioo jinsi ulivyopendeza kwenye mwonekano wako mpya.
Kwa mwanaume utakuwa na mwili ambao hata mwanamke ambaye alikuwa hakutaki ataanza kuvutiwa na wewe.
Kwa mwanamke utakuwa na shepu la kumchanganya mwanaume umpendae ambae alikuwa kaanza kukuona wa kawaida.
Kama unene au kitambi au uzito ulikuwa chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano yako basi baada ya kutumia burn slim nakuhakikishia mahusiano yako yatarudi kama awali.
Hawa hapa ni baadhi ya wahanga wa unene/ uzito mkubwa na kitambi ambao hawakuamini kama Burn Slim ingewafanyia maajabu ambayo wameyapata. Walikuwa sahihi kuwa na wasiwasi na hiki hapa ndicho walichokipata.
Nilitamani sana kupungua. Ushauri nilioupata ni kufanya mazoezi na kula chakula cha protini kwa wingi. Nilifanya hivyo lakini chakushangaza ni kwamba nilikuwa sipungui. Lakini baada ya kutumia Burn Slim nikaanza kupungua kwa kasi ya ajabu.
Kila nilipojitazama kwenye kioo sikupendezwa na nilichokiona. Haikuwa rahisi kupungua lakini nilivyoanza kutumia burn Slim nilianza kupungua siku hadi siku.
Burn Slim ni kiboko na komesha unene. Siamini kama ningepengua maana nilijaribu kila njia bila kufanikiwa lakini baada ya kuanza kutumia Burn slim nilianza kuona napungua kwa haraka
Nilitamani sana kuwa na mwonekano wa kuvutia maana kwa mwonekano niliokuwa nao nilionekana kama mzee. Nashukuru sana baada ya kutumia Burn Slim sasa uzee umenitoka na naonekana vizuri tu.
Unene unazeesha. Nilitamani sana kupungua ili siku moja niwe na umbo dogodogo sasa ndoto yangu imetimia baada ya kutumia Burn slim
Sikuwa mnene sana lakini kitambi ndio ilikua kilio changu. Nilipiga mazoezi mengi ya kukata tumbo lakini kitambi kiliendelea kuongezeka badala ya kupungua. Siku moja katika pitapita zangu nikapata taarifa kuhusu Burn slim. Nikaanza kuitumia. matokeo niliyoyapata huwezi amini, kitambi kilianza kupungua siku hadi siku mpaka kikaisha kabisa.
Kama unavyoona hicho ndicho walichokipata baada ya kutumia Burn Slim.
Hakika burn slim ni dawa mpya na ya kipekee ambayo hujawahi kuiona au kuisikia sehemu.
Simaanishi utapungua kwa kumeza vidonge 2 tu vya burn slim. Ninachokimaanisha ni kwamba burn slim ni dawa ya uhakika iliyothibitishwa kisayansi kuyeyusha mafuta mabaya mwilini na kurejesha tabasamu lililopotea.
Kwahiyo ukitumia dozi kubwa ya burn slim maana yake lazima utapungua na kufikia lengo lako.
Sihitaji uyaamini maneno yangu. Unachotakiwa kufanya ijaribu dawa hii. Endapo utaitumia dawa hii kwa muda wa siku 90 na ikatokea hujapungua na kufikia lengo lako nakuahidi nitakurudishia pesa yako yote.
Kwa kufanya hivyo nakuondolea hofu ya kwamba hutopungua na kukupatia uhakika wa kupungua kweli vinginevyo huna chakupoteza lazima nikurudishie pesa yako endapo dawa haitafanya kazi.
Hata hivyo, sidhani kama utakumbuka kudai pesa yako maana utakavyoanza kutumia burn slim siku... hadi siku... mwenyewe utaanza kushangaa jinsi ambavyo utakuwa unapungua kwa kasi ya ajabu.
Dawa hii inafanya kazi.
Ofisi yetu ipo Makumbusho stand ya daladala, Sakafu (Floor) ya pili kwenye ghorofa lenye ATM ya NMB na CRDB kwa chini.
Mlango wa Kwanza upande wa kulia "Mamwira Natural Care" ndo ofisi yetu.
Tunafungua kuanzia saa 9:00 Asubuhi mpaka 6:30 Jioni. Jumatatu mpaka Jumamosi.

Unachotakiwa kufanya kwa sasa angalia mpangilio wa dozi hapa chini kisha jaza fomu ili kutuma oda ya dozi utakayoanza nayo.
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M-pesa au NMB Bank.
Namba ya M-pesa ni 0768354507 jina ni ADELARD NTAMABOKO
Namba ya Account ya NMB ni 20110062131 jina ni ADELARD ALOYCE NTAMABOKO.

Kwa mtu wa Dar es Salaam hutakiwi kutuma hela kwasababu utaletewa mpaka popote utakapokuwa kwa gharama zangu mwenyewe halafu baada ya kupokea mzigo wako ndipo utakapofanya malipo.
Kwa wa mkoani unalipia pesa yote ya package utakayokuwa umechagua kupitia moja ya account za malipo hizo hapo juu halafu ndio taratibu za kukutumia mzigo wako zinafanyika.
Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda ya package uliyoichagua halafu baada ya hapo kama upo Dar unasubiri kuletewa na...
Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya package halafu baada ya hapo mzigo wako unatumwa mkoani ulipo kwa njia ya bus au boat (wale wa zanzibar)
Kujaza fomu ni rahisi.
Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “NAHITAJI KUWEKA ODA”. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako na kutuma oda yako.
Bonyeza sehemu hii sasa hivi.
Ahsante kwa muda wako.
Ni mimi,
Mr Bokko.
P.S: Bado unasita kuweka ODA yako?
Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa dawa hii haitakusaidia kupungua uzito, unene, tumbo au kitambi.
Huna cha kupoteza. Una kila sababu ya kuweka ODA yako sasa hivi ili uanze safari ya kupata mwili ambao umekuwa ukitamani siku zote.
Copyright - Online Marketing System Pro
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.