Usipoteze muda wako kusoma ujumbe huu endapo unajua tayari Njia rahisi na ya ukakika wa kupata downlines wapya wa kujiunga kwenye timu yako pasipo kufanya kazi sana kama punda. Hata hivyo, kama utapenda kujifunza mbinu zaidi...
Hizi Hapa Hatua 9 Mimi Na Timu Yangu Tunazofuata Kutengeneza Mashine Ya Kutusaidia Kunasa Downlines Wapya Kwa Kufanya Kazi Dakika 60 Tu Kila Siku!
Networker Mwenzangu,
Umeshajenga timu kubwa tayari? Timu yenye kukupatia uhuru wa kipato? Kama bado, ndani ya siku 90 zijazo unatakiwa uwe na uhakika 100% wa kutengeneza mfumo au mashine yako mwenyewe ambayo itakusaidia kunasa watu ambao wapo tayari na hela mkononi kutaka kujiunga kwenye fursa yako.
Na hii hapa ndio sababu:
Ukiwa kama networker huna utofauti wowote na dalali.
Ili dalali aweze kulipwa lazima mteja afanye manunuzi ya bidhaa au huduma anayo dalalia.
Dalali halipwi kwa kusifia ubora wa bidhaa au huduma. Analipwa tu pale manunuzi yanapofanyika.
Kama ilivyo kwa dalali ....ndivyo ilivyo kwenye network marketing. Ili ulipwe hela lazima uuze bidhaa au uingize watu kwenye fursa.
Usipoingiza mtu kwenye fursa au kuuza bidhaa hutengenezi hata mia mbovu.
Kwakuwa ili utengeneza hela lazima uuze au uingize watu kwenye fursa, maana yake ni kwamba mtu mwenye ujuzi mkubwa wa kuingiza watu na kuuza atatengeneza hela nyingi siku zote kuliko wengine wote ...Na mtu ambaye hajui chochote ataendelea kuhangaika siku zote.
Ona –kinachotokea kwenye biashara ya network marketing ni hiki:
Watu wengi wanaojiunga kwenye biashara hii hawajui chochote kuhusu “marketing”. Matokeo yake njia wanazozitumia kupata watu wakujiunga kwenye fursa na wateja haziwasaidii kufikia malengo yao.
Wengi wao utakuta njia pekee wanayoitumia ni ya kuomba omba namba za mtu yeyote unayekutana nae sehemu yoyote ile kwa kusudi tu la kumualika aje kuona fursa ya biashara.
Wengine wanachokifanya ni kupost matangazo yao kwenye “comments” za posts za watu maarufu kama
Millard Ayo” wakiwa na matumaini ya kupata wateja wengi.
Wengine wanaingia kwenye akaunti zao za Facebook na kupost kwamba wanatafuta watu 20 ambao wapo “serious” kuoneshwa njia ya kubadili maisha yao”.
Wengine wanakufuata kwenye inbox yako na kuanza kukutumia “scripts” kama maroboti yaliyoswichiwa.
Kiufupi njia ambazo karibia networkers wote wanazitumia... zinaishia kuwafanya waione biashara ya network marketing kuwa ngumu sana. Lakini kimsingi...
Wao wenyewe ndio wenye matatizo –kwasababu hawana utofauti kabisa na mtu anayepigilia misumari kwenye bati kwa kutumia nyundo.
Mtu huyu anavyoshindwa kupigilia misumari vizuri ataanza kuwa na sababu kama ....nyundo ni mbovu au misumari sio imara wakati yeye mwenyewe ndio hana ujuzi wa kushikilia nyundo vizuri na kupigilia misumari kama inavyotakiwa.
Utakuta mtu huyu anakimbilia kubadili misumari na nyundo akidhani pengine ndio sababu kubwa ya yeye kushindwa kupigilia misumari vizuri –wakati tatizo kubwa lipo kwake kwenye kutojua namna sahihi ya kushikilia nyundo kupigilia misumari.
Tazama –networkers wengi wanaposhindwa kufikia malengo yao kwenye kampuni moja wanachokifanya ni kuhamia kwenye kampuni nyingine wakidhani mambo yatakuwa marahisi.
Wanachokifanya hakina utofauti na mpiga misumari kwa nyundo na asijue namna sahihi ya kushikilia nyundo.
Kibaya zaidi ni kwamba kuna viongozi wakubwa ambao wanatengeneza hela lakini njia wanazotumia kupata watu wakujiunga kwenye fursa haziwezi kuwasaidia downlines wao. Matokeo yake wao wanaendelea kusonga mbele wakati downlines wao wanasota na kuishia kuacha biashara.
Lakini usijali, mwisho wa mahangaiko yako umefika. nitakufundisha (Kama utaniruhusu) njia pekee ambayo wewe na downlines wako mtaitumia kuwafanya “prospects” ambao wapo tayari kuanza biashara wakutafuteni wao wenyewe wakiwa na hela mkononi tayari kuanza biashara.
Niahidi kwamba utafanya utekelezaji wa kile ninachoenda kukufundisha?
Kabla sijaanza kukufundisha njia pekee ya kunasa watu ambao wapo tayari kujiunga kwenye fursa yako naomba nikusimulie stori moja:
Miaka mingi iliopita. Wakati nipo mdogo kama miaka 7 hivi. Kaka yangu alikuwa na rafiki yake mmoja. Rafiki yake alikuwa ni mwalimu wa “Ngumi”.
Mwalimu huyu wa ngumi alikuwa akimaliza kukufundisha mbinu za kupigana anakusisitiza usije ukajihusisha kwenye ugomvi wa aina yoyote ile kwasababu anajua kichapo utakachokitoa sio cha nchi hii.
Sasa, ili mwalimu huyu kuhakikisha anaendelea kupata wanafunzi wengi alichokuwa anakifanya ni hiki:
Kila baada ya muda fulani alikuwa anaenda kwenye vijiwe vya kucheza kamali. Hakuwa mtaalamu wa kucheza kamali. Lakini alikuwa anaenda kucheza ili aliwe halafu asitoe hela kwa lengo tu la kutaka ugomvi utokee.
Basi ugomvi ulikuwa ukitokea...
Anagawa dozi ya kichapo kwa kila mtu aliyejipendekeza kuingilia ugomvi huo. Na hakuwahi kupigwa hata siku moja.
Amekuwa akifanya hivi kwa miaka mingi. Sasa, ngoja nikuulize swali: Kama ungekuwa ni wakujifunza kupigana (labda unajua utalazimika kumtetea au kumlinda mkeo, mumeo, mpenzi wako, watoto wako au mmoja wa marafiki zako wa karibu) ungependa nani akufundishe jinsi ya kupigana? Mtu anaecheza Boxing? Baadhi ya mastaa wa bongo movie kama J-Plus au Seba kwenye movie ya misukosuko? (Ambao kimsingi katika maisha halisi hawajawahi kupigana ngumi za kweli)
Sidhani kama ungemchagua hata mmoja wao akufundishe. Kama kweli maisha yako yangetegemea mafunzo ya ngumi utakayopewa.
Nadhani ungependa kufundishwa na mtu kama rafiki wa kaka yangu ambaye katika maisha halisi amekuwa mstari wa mbele kuonesha anachokifundisha kinaweza kweli kukusaidia kujilinda au kumtetea mtu yeyote kwenye ugomvi wa aina yoyote ile. Na rafiki huyu wa kaka yangu yupo tayari siku zote kuonesha anajua kweli kupigana.
Muda wowote. Mahali popote. Sehemu yoyote.
Chaguo sahihi linajuliakana ni lipi. Labda kama wewe ni mpumbavu kabisa. Lazima siku zote utapenda ufundishwe na mtu ambaye anayaishi yale anayokufundisha na sio wapuuzi wanaoishia kukufundisha tu halafu kwenye maisha halisi wao hawayafanyi yale wanayokufundisha.
Sasa, linapokuja suala la kujua kupata watu wakujiunga kwenye fursa yako pasipo kutumia nguvu nyingi au kuhangaika, mimi hapa ndiye ninayeishi mambo yote ninayoyafundisha. Na...
Ninayaishi vizuri sana. Mimi ni mwalimu pekee kwa Africa Mashariki ambaye ninaweza nikakufundisha kutengeneza mashine ambayo itakusaidia kunasa downlines wapya hata ukiwa umelala au kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku. Na nipo tayari siku zote kukuhakikishia kwamba mimi ni mwalimu bora kweli kwenye suala hilo.
Muda wowote. Mahali popote. Sehemu yoyote.
Tazama... miezi kadhaa iliopita kuna jamaa mmoja alijaza fomu ya kujiunga kwenye timu yangu.
“Hivi Mr Bokko una uhakika kabisa kupitia mifumo yako nitapata watu wakujiunga kwenye fursa pasipo kutumia nguvu nyingi au kuhangaika?”
Nikatabasamu halafu nikamjibu kwa uhakika kabisa... “Ndio nina uhakika kabisa kwa kutumia mifumo yangu utapata watu wakujiunga kwenye fursa bila kutumia nguvu nyingi au kuhangaika.”
Jamaa bila kuchelewesha akaamua kujiunga kwenye timu yangu.
Sasa, mashine inayotumika kunasa wateja na mashine inayotumika kunasa watu ambao wapo tayari kujiunga kwenye fursa ni mashine mbili tofauti. Kila moja inajitegemea.
Kwahiyo... ukijiunga kwenye timu yangu jambo la kwanza nakuuliza ni mashine ipi kati ya hizi mbili unataka nianze kukusetia?
Baada ya kumuuliza swali hilo huyu jamaa akanijibu anataka nianze kumsetia mashine ambayo itamsaidia kunasa watu ambao wapo tayari kujiunga kwenye fursa.
Bila kuchelewesha nikaanza kumsetia mashine yake. Ilinichukuwa masaa kadhaa kukamilisha zoezi zima.
Masaa kadhaa baada ya kumaliza kuseti vizuri kila kitu, jamaa akaanza kunisumbua na kuniuliza maswali kama... “Mbona sasa watu hawajazi fomu kujiunga kwenye fursa?”
Nilimpatia jibu moja:
Tulia na ikiwezekana endelea kufanya mambo yako mengine. Acha mashine ifanye kazi yake!
Kesho yake asubuhi na mapema napokea simu kutoka kwa jamaa huyu. Kitendo cha kupokea tu simu nikagundua furaha kubwa aliyokuwa nayo. Nilijua mashine lazima tayari imefanya yake.
Na ni kweli mashine ilikuwa imefanya yake tayari. "Kuna mtu mmoja kajaza fomu tayari kujiunga kwenye fursa. Siamini kabisa kama hii inawezekana. Usiku mzima nimelala kumbe mashine inaendelea kufanya kazi. Aisee!" –hayo yalikuwa ni maneno yake mwenyewe.
Nikatabasamu halafu nikamwambia tulia upo na Mr Bokko mwenyewe mambo mazuri mengi yaja.
Kitendo cha watu kujaza fomu ya utayari wa kujiunga kwenye fursa kikamfanya jamaa huyu aanze kujiita dakika 60 kwa siku na kutamba mbele ya marafiki zake.
Basi ...kuanzia hapo watu wengi wakaanza kunifuata na kuniomba niwafundishe namna ya kutengeneza mashine hii ya kukusaidia kunasa watu ambao wapo tayari kujiunga kwenye fursa yako.
Nikawaza na kuona nikisema nimfundishe mtu mmoja mmoja itakuwa kazi ngumu sana kwa upande wangu. Ndipo nilipopata wazo la kuandika kitabu kuelezea hatu 9 ninazozifuata pale ninapotengeneza mashine ya kunasa watu ambao wapo tayari kujiunga kwenye fursa.
Kitabu hiki nimekipatia jina la...

Kwenye kitabu hiki nimeelezea kila kitu unachotakiwa kufanya kutengeneza mashine ya kukusaidia kunasa downlines wapya kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku.
Nikisema kila kitu namaanisha hatua kwa hatua jinsi gani mtu yeyote ambaye hajui chochote anaweza kujitengenezea mashine yake mwenyewe ya kumsaidia kunasa downlines wapya.
Ungependa kujua baadhi ya mambo machache ambayo utajifunza kutoka kwenye kitabu hiki? Ahaa. Haya hapa baadhi ya mambo machache tu ambayo utapata kujifunza kutoka kwenye kitabu hiki...
Hayo ni baadhi ya mambo machache (Machache sana) ambayo utapata kujifunza kutoka kwenye kitabu hiki.
Lakini cha muhimu zaidi ni kwamba utajifunza hatua 9 za kutengeneza mashine yako mwenyewe ambayo itakusaidia wewe pamoja na timu yako kunasa downlines wapya kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku.
Kwahiyo...
Kitabu hiki ni kwa ajili yako endapo umejaribu kila njia ikiwemo ya kuomba namba mtu yeyote unayekutana nae sehemu yoyote kwa lengo la kumualika aje kuona fursa lakini njia hizo zote hazijafanya kazi na sasa unahitaji kujifunza njia ya kweli, ya uhakika na ya haraka ya kupata downlines wapya pasipo mahangaiko au msoto wa aina yoyote ile.
Kitabu hiki ni kwa ajili yako kama ndio kwanza umeanza biashara ya network marketing na unataka kujifunza njia pekee ya kukufanya uwe sumaku ya kuwanasa watu ambao wapo tayari kujiunga kwenye fursa na kuwafanya wakuwinde wakiwa na pesa mkononi tayari kujiunga kwenye timu yako.
Kitabu hiki ni kwa ajili yako endapo unahitaji kujifunza njia sahihi ya kutumia mitandao ya kijamii kupata downlines wapya kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku na wakati mwingine hata ukiwa umelala au unafanya shughuli zako zingine.
Kitabu hiki ni kwa ajili yako kama unahitaji kuamka asubuhi na kukuta watu ambao wapo tayari kujiunga kwenye timu yako wamejaza fomu tayari kuanza biashara rasmi.
Na hatimaye Kitabu hiki ni kwa ajili yako endapo wewe ni networker mwenye mafanikio makubwa tayari lakini unahitaji kujifunza kutengeneza mfumo au mashine ambayo itawasaidia downlines wako kupata mafanikio na kufikia malengo yao kwa haraka pasipo kufanya kazi sana kama punda au kutumia nguvu nyingi.
Tazama... huhitaji kuendelea kuteseka au kuhangaika kama mimi nilivyohangaika kujua kutengeneza mashine hii.
Ndani ya siku kadhaa utaweza kujifunza mambo yaliyonichukua miaka 3 kuyajua. Mambo ambayo mimi nimepata kuyajua kwa gharama zaidi ya milioni 4 lakini wewe unaelekea kuyajua kwa bei ya kiatu cha mtumba.
Unahitaji kuagana na habari za kukataliwa na watu ambao hawapo tayari kujiunga kwenye fursa yako? Unahitaji kufanya kazi kidogo kupata downlines wengi? Unahitaji kutengeneza mashine yako mwenyewe ambayo itakusaidia kunasa downlines wapya ukiwa umelala au kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku? Kama jibu ni ndio...
Nunua kitabu hiki.
Kitabu hiki kipo katika mfumo wa eBook (Softcopy) na kinauzwa 30000/= (Tanzanian shillings) Lakini kama utakuwa miongoni mwa watu 50 wa kwanza kununua kitabu hiki nitakuuzia kwa bei ya punguzo la 34%. Yaani badala ya kukinunua kwa bei yake ya kawaida ya 30000/= (Tsh) utakinunua kwa bei ya ofa ambayo ni 20000/= (Tsh)
Kwanini mambo ambayo nimepata kuyajua kwa gharama zaidi ya milion 4 (Tanzanian Shillings) nimeamua niyafundishe kwa gharama ndogo sana hivo sawa na bei ya kiatu cha mtumba? Kuna sababu kubwa kuu 2 ambazo zimenipelekea nifanye hivyo.
Sababau ya kwanza: Hakuna mtu anaweza kufanikiwa kwenye maisha yake pasipo kushikwa mkono na watu baadhi waliomtangulia kupata mafanikio. Hivyo basi, nimeamua kufanya hivyo kama kushusha ngazi chini kutoa msaada kwa watu wengine ambao na wao wanahitaji msaada wa kujua kujitengenezea mashine ya kunasa downlines wapya. Kwahiyo, kwa bei hiyo ndogo nina uhakika hata mtu ambaye hajiwezi anaweza akaimudu.
Sababu ya pili: Kwakuwa kitabu hiki kitakusaidia kweli kutengeneza mashine ambayo itakusaidia kunasa downlines wapya, basi nina uhakika kuanzia hapo utakuwa ni mteja wangu wa kudumu ambaye utanunua hata bidhaa zangu zingine ambazo nitakuwa nauza huko mbeleni.
kukuondolea wasiwasi na kukuhakikishia kwamba kwa kutumia hatua 9 nilizoelezea kwenye kitabu hiki utaweza kujitengenezea mashine yako mwenyewe ya kukusaidia kunasa downlines wapya ninakupatia dhamana (Guarantee) ya siku 90.
Dhamana hii iko hivii...
Nunua kitabu hiki ukitumie kujitengenezea mashine yako mwenyewe ya kukusaidia kunasa downlines wapya. Nina imani utakipenda sana. Lakini, ikitokea kwa sababu yoyote ile ndani ya siku 90 hujakipenda kitabu hiki au hakijakusaidia kutengeneza mashine yako mwenyewe ya kukusaidia kunasa downlines wapya piga simu (+255)-768354507 kutoa taarifa na utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.
Hata hivyo nina uhakika utakavyoanza kujifunza hatua hizi 9 za kutengeneza mashine yako mwenyewe... utasitaajabishwa kwa urahisi uliopo katika kutengeneza mashine hii na wala hutokumbuka tena kuomba kurudishiwa pesa zako hata kama nikikwambia nikurudishie mara mbili ya pesa uliyoitoa.
Hivyo ndivyo ambavyo naweza kukuhakikishia kwamba ninachokuuzia kitakusaidia kweli kutengeneza mashine yako ya kunasa downlines wapya au vinginevyo unarudishiwa hela zako zote.
Huna cha kupoteza una kila sababu ya kununua kitabu hiki.
Baadhi ya watu walionunua kitabu hiki wana yafuatayo ya kusema:
Ni kitabu kizuri sana, kinatoa mwanga moja kwa moja namna ya kuanza hatua kwa hatua na kwa mifano yenye kueleweka kirahisi. Binafsi, kitabu hiki cha Dakika 60 kimenifungua namna ya kufanya biashara pamoja na timu yangu Na kimeanza tayari kutuletea matokeo mazuri, mazuri sana Cheers to Mr. Bokko Eeh kama mfanyabiashara hasa networker anapaswa asihofie kununua kitabu hiki, achukue risk tu anunue na Imani kitamfaa na kumsaidia sana sana tena sana yaani kama Mimi na timu yangu kilivotufaa, kinatufaa na kitaendelea kutufaa na kutusaidia sana. Kwahiyo namshauri networker yeyote mwenye hofu au anaesita kununua kitabu hiki, anunue kitabu hiki bila shaka wala wasiwasi wowote, atajishukuru sana kwa uamzi wa kununua kitabu hiki cha Dakika 60.
Kiukweli kitabu hiki ni kizuri endapo una nia ya kufanya biashara ya mtandaoni,kwasababu kina njia sahihi za kufanya kazi bila usumbufu wowote. Kwa mtu ambaye hajakinunua amechelewa, kama kwel ni mtu ambae una nia ya kufanya biashara ya mtandao wahi na ukinunue mapema, uanze kujifunza.
Kitabu cha dakika 60 kimefanya maisha yawe mepesi sana kwangu. Kwa sasa sina tena stress za kukataliwa. Nimekipenda sana kitabu hiki kwasababu kimetumia lugha rahisi ya kueleweka kwa kila mtu na zaidi ya yote sihitaji mambo mengi zaidi ya kufuata hatua 9 tu kuweza kuandaa mfumo wangu wa kunisaidia mimi na timu yangu kunasa downlines wapya. kama wewe ni networker ambae umechoshwa na njia za kizamani za kupata watu wakujiunga kwenye fursa yako basi kitabu cha dakika 60 ni kwa ajili yako.
Nilikuwa natafuta njia rahisi ya kupata downlines wapya pasipo kuhangaika kuomba omba namba za simu za watu na sasa nimeipata. Kwa kufuata hatua 9 zilizoelezewa ndani ya dakika 60 nina uhakika wa kutengeneza mfumo ambao utaninasia downlines wapya wakati mimi nikiendelea kufanya shughuli zangu zingine kama kawaida. Aisee kinachofundishwa kwenye kitabu hiki sijawahi kuona mtu mwingine anakifundisha kwa hapa Tanzania. Natamani kitabu hiki ningekipata miaka 3 nyuma pindi nilipoanza biashara lakini yote kwa yote "if you are a serious network marketer, this is a must read book"
Kwanza kabisa mimi binansi nimekipenda kitabu cha dakika 60. Kitu kingine ni kwamba kinaushawishi wa kukisoma kwasababu kinatumia lugha rahisi ya kueleweka. Kwa mtu ambae hajakinunua kitabu hiki namshauri awe na imani na anachokitarajia pia anunue kwa malengo makubwa ya kufanikiwa katika biashara yake
Na kama haitoshi nakupatia na BONUS hii:
Kama utanunua kitabu hiki utapata nafasi ya kujiunga kwenye Group langu la siri la Facebook. Group hili sio kama magroup mengine. Hili ni group ambalo ni sawa umekaa karibu yangu. Kila swali utakalokuwa nalo kuhusu kutengeneza mashine ya kukusaidia kunasa downlines wapya nitalijibu.
Hata kama maswali hutayauliza wewe. Wakiuliza wengine nikitoa majibu utapata kujifunza mambo mengi ambayo pengine yangekuchukua miaka kadhaa kuyajua.
Si hivyo tu...
Kila wiki kwenye group hili huwa ninatoa mafunzo zaidi juu ya mbinu za kunasa wateja na watu wakujiunga kwenye fursa yako.
Kwahiyo, kabla hujachelewa OFA ya punguzo la bei kwa watu 50 wa kwanza, chukua simu yako sasa hivi na...
Utume 20000/= (Tanzanian Shillings)
Kwenda M-PESA
Namba..... (+255)-768354507 (Jina ADELARD NTAMABOKO)
Baada ya kufanya malipo tuma UTHIBITISHO wa MUAMALA ukitanguliwa na neno “Dakika 60” kwenda whatsapp namba (+255)-768354507 au kama utafanya malipo kupitia wakala nitumie jina la wakala huyo kama uthibitisho wa muamala.
Baada ya uthibitisho wa muamala wako kupokelewa whatsapp, ndani ya masaa 24 utatumiwa link maalumu ya kuweza kudownload kitabu chako na kujiunga kwenye group langu la Facebook la siri moja kwa moja.
Ni mimi,
Mr Bokko.
Ahsante kwa kuchukua muda wako kusoma ujumbe huu mrefu.
P.S: Kama wewe ni wale watu wanaorukia mwishoni iko hivi...
Nimeandaa hatua 9 ambazo mtu yeyote ambaye hajui chochote anaweza akazitumia kujitengenezea mashine yako mwenyewe ya kukusaidia kunasa downlines wapya kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku. Hatua hizo 9 nimeziweka kwenye kitabu changu kipya kinachoitwa “Dakika 60”
Kitabu hiki kipo kwenye mfumo wa eBook (Softcopy) na kinauzwa 30000/= (Tanzanian Shillings) Lakini kama utakuwa miongoni mwa watu 50 wa kwanza kununua kitabu hiki nitakuuzia kwa bei ya punguzo la 34%. Yaani badala ya kukinunua kwa bei yake ya kawaida ya 30000/= (Tsh) utakinunua kwa bei ya OFA ambayo ni 20000/= (Tsh)
Si hivyo tu...
Kama utanunua kitabu hiki utapata nafasi ya kujiunga kwenye Group langu la siri la Facebook. Group hili sio kama magroup mengine. Hili ni group ambalo ni sawa umekaa karibu yangu. Kila swali utakalokuwa nalo kuhusu kutengeneza mashine ya kukusaidia kunasa downlines wapya nitalijibu.
Hata kama maswali hutayauliza wewe. Wakiuliza wengine nikitoa majibu utapata kujifunza mambo mengi ambayo pengine yangekuchukua miaka kadhaa kuyajua.
Si hivyo tu...
Kila wiki kwenye group hili huwa ninatoa mafunzo zaidi juu ya mbinu za kunasa wateja na watu wakujiunga kwenye fursa yako.
Kwahiyo, kabla hujachelewa OFA ya punguzo la bei kwa watu 50 wa kwanza, chukua simu yako sasa hivi na...
Utume 20000/= (Tanzanian Shillings)
Kwenda M-PESA
Namba..... (+255)-768354507 (Jina ADELARD NTAMABOKO)
Baada ya kufanya malipo tuma UTHIBITISHO wa MUAMALA ukitanguliwa na neno “Dakika 60” kwenda whatsapp namba (+255)-768354507 au kama utafanya malipo kupitia wakala nitumie jina la wakala huyo kama uthibitisho wa muamala.
Baada ya uthibitisho wa muamala wako kupokelewa whatsapp, ndani ya masaa 24 utatumiwa link maalumu ya kuweza kudownload kitabu chako na kujiunga kwenye group langu la Facebook la siri moja kwa moja.
Copyright: Online Marketing System Pro