Kama unasumbuliwa na uvimbe wa tezi dume na hali ya kukojoa mara kwa mara...

Dawa Hii Mpya Iliyogunduliwa Na Kuthibitishwa Kisayansi Marekani... Itakusaidia Kuyeyusha Uvimbe Wa Tezi Dume Na Kurejesha Uwezo Wa Kibofu Chako Kutunza Mkojo Kwa Muda Mrefu Bila Kuhisi Kutaka Kukojoa Mara Kwa Mara!

Dawa hii inafanya kazi kwa mhanga yeyote ambaye hajawahi kabisa kufanya upasuaji na ambaye ashawahi kufanya upasuaji hata zaidi ya mara moja.

Ndugu msomaji,


Ni ngumu kuamini. Lakini ni kweli...


Shirika linalojihusisha na utengenezaji wa tiba asili duniani hatimaye baada ya tafiti za muda mrefu limegundua kanuni ya kutengeneza vidonge ambavyo vinayeyusha uvimbe wa tezi dume bila kufanyiwa upasuaji.


Doctor mmoja wa shirika hili anasema vidonge hivi vina nguvu kubwa sana ya kuyeyusha uvimbe wa tezi dume yako zaidi ya dawa yoyote ile ambayo imewahi kutengenezwa kutibu tatizo hili la tezi dume.


Kwa maneno ya doctor huyu ni kwamba vidonge hivi ukivimeza vinayeyusha uvimbe wa tezi dume yako kama mafuta yaliyoganda yanavyoyeyushwa kwenye kikaangio cha moto.


Fikiria kwa muda...


Ni amani kiasi gani utapata endapo hali ya kukojoa kila mara baada ya muda mfupi itatoweka?


Kwakuwa vidonge hivi vinauyeyusha uvimbe wote, hivyo basi hali ya kuhisi kutaka kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku itaisha kabisa.


Utaweza kukaa sehemu kwa muda mrefu bila kuuliza msalani uko wapi.


Na hali ya kukojoa kwa kujikamua hutoiona tena.


Najua ni ngumu kabisa kuamini kama kweli vidonge hivi vitayeyusha uvimbe wa tezi dume yako bila kufanyiwa upasuaji na kukuondolea karaha ya kuhisi kutaka kukojoa kila mara baada ya muda mfupi.


Sio wewe peke yako ambaye huamini. Hata wengine pia hawakuamini. Lakini walivyoanza kuitumia ndani ya wiki ya kwanza tu walishangazwa sana kwa mabadiliko waliyokuwa wameyapata.


Wasikilize hawa baadhi waliopata kutumia vidonge hivi:

Tatizo hili linakufanya ujihisi upo gizani, mpweke na mtumwa wa kukojoa kila baada ya dakika 2. Kwa muda wa miaka 5 hayo ndo yalikuwa maisha yangu. Hali ilikuwa ni mbaya sana. Nikichelewa kwenda chooni ilikuwa lazima nijikojolee. Nilivyosikia habari kuhusu njia yako nikaona ngoja nijaribu lakini sikutegemea kama njia yako ingefanya kazi haraka hivyo na ndani ya muda mfupi. Kwa jinsi nilivyo sasa na nilivyokuwa nahangaika. Nakushuru sana. Barikiwa sana.

Ramadhani Masoud  | Kutoka Zanzibar:

Niwe mkweli mwanzoni nilikuwa sina imani kabisa na dawa yako. Lakini unajua ukiwa mgonjwa halafu umepoteza matumaini ya kupona unakuwa tayari kujaribu kila kitu. Namshukuru Mungu nilijaribu restorlyf. Kwa sasa sibanwi na mkojo mara kwa mara. Sipati maumivu nikiwa nakojoa. Nalala kwa amani kama mtoto mdogo. Cha kufurahisha ni kwamba Daktari wangu bado haamini kama dawa yako imeweza kunisaidia au kuna kingine cha ziada.

John Gunda  | Kutoka Dar

Kabla sijatumia restorlyf nilikuwa nimeshasahau ni lini nimewahi kuhisi kibofu changu kutokujaa mkojo. Kila muda nilikuwa nahisi kibofu kimejaa mkojo lakini baada ya kutumia njia yako sasa nakojoa kama bomba la maji ya zima moto. Najihisi mwenye nguvu. Najihisi huru. Asante. Natumai watu wengi watapata taarifa kuhusu njia hii.

Robert Massawe  | Kutoka Moshi

Kabla hujabonyeza batani ya kuondoka kutoka kwenye ukurasa huu ninachokuomba kwa sasa ni hiki:

Soma ujumbe huu mwanzo mpaka mwisho halafu ufanye uamuzi ambao unaona ni sahihi kabisa kwa upande wako.  Sawa?

Tafiti Za Kisayansi Zinaonesha Kwamba Wanaume Wote Wenye Umri Kuanzia Miaka 50 Kupanda Juu Wana Uvimbe Wa TEZI DUME!

Na kati ya wote wenye uvimbe wa tezi dume, nusu (50%) yao uvimbe huo haujaanza kuwaletea shida na wakati nusu iliyobaki ni ambao uvimbe huu wa tezi dume ushaanza kuwaletea shida.


Kwahiyo kama hujaanza kupata shida yoyote kwenye suala la ukojoaji tambua kwamba uvimbe unao lakini upo kwenye kundi la watu wenye uvimbe wa tezi dume ambao haujaanza kuleta madhara.


Lini utaanza kukuletea madhara? Hakuna anayejua. Muda wowote -Unaweza ukaanza kukuletea madhara mwilini.


Kwa ambae uvimbe huu ushaanza kuleta madhara mwilini athari zake zipo kwenye ukojoaji. Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku, ukikojoa mkojo hautoki wote, Kukojoa kwa kujikamua, kukojoa mkojo unaorudi kwa nyuma na dalili nyingine nyingi.


Kuna baadhi dalili za uvimbe huu ni kali sana wakati wengine ni za kawaida.


Tafiti zinaonesha kwamba dalili kuwa kali haitokani na uvimbe kuwa mkubwa. Kuna watu wana uvimbe mdogo na dalili zake ni kali sana, wakati wengine wana uvimbe mkubwa na dalili zake ni za kawaida. Miili inatofautiana, hivyo ukubwa wa uvimbe sio kigezo cha kupata maumivu makali.


Taarifa mbaya ni kwamba...


Tafiti nyingi zimefanyika juu ya kisababishi cha uvimbe huu wa tezi dume kutokea lakini mpaka leo hii bado haijajulikana uvimbe wa tezi dume unasababishwa na nini.


Kwakuwa tatizo hili linawakumba wanaume ambao umri umeenda kuanzia miaka 50 na kupanda, makisio yanayotolewa ni kwamba huenda kisababishi kikawa ni magonjwa ya uzeeni au mabadiliko ya vichochezi vya mwili (Homoni)

Lakini hayo ni makisio tu. Hakuna ambaye mpaka sasa anajua kwa uhakika tatizo hili linasababishwa na nini.


Kwasababu kisababishi cha tatizo kimekuwa kigumu kubainika, hivyo imekuwa ngumu kutengeneza dawa sahihi ya kuondoa uvimbe huu pasipo kujua kinachopelekea uvimbe huu kutokea.

Ili dawa sahihi itengenezwe lazima kwanza kinachosababisha uvimbe kutokea kijulikane.

Ndio maana kwa miaka mingi sasa suluhisho pekee la kuondoa uvimbe huu limekuwa ni kufanyiwa upasuaji.


Ukifanyiwa upasuaji uvimbe unatoka lakini baada ya muda uvimbe unarudi tena (Nitakuelezea hapo mbele kwanini uvimbe unarudi tena baada ya kufanyiwa upasuaji)

Si hivyo tu...

Baada ya kufanyiwa upasuaji, upasuaji huu unapelekea upate tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Kwahiyo, kufanyiwa upasuaji sio njia salama ya kuondoa uvimve na kuutokomeza usijirudie tena.

Hiki Hapa Kilichopelekea Mpaka Tiba Hii Ikagunduliwa!

Kama nilivyokwambia huwezi ukatengeneza tiba ya tatizo fulani la kiafya wakati hujui kisababishi cha tatizo hilo ni kipi.


Lakini NATURE'S WAY katika tafiti zao za muda mrefu wameweza kugundua moja ya visababishi vya tatizo hili.


Na ugunduzi huu wa mojawapo ya visababishi vya uvimbe kutokea ndio umepelekea shirika hili la kimarekani kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge asilia kabisa ambavyo vinayeyusha uvimbe wa tezi dume yako haijawahi kutokea.


Kisababishi cha UVIMBE WA TEZI DUME walichokigundua ni Dihydrotestosterone (DHT). Naomba nikuelezee:


Kwa kawaida kila mwanaume anazaliwa akiwa na Tezi dume. Kadri unavyozidi kukua ndivyo hata tezi hii inazidi kukua pia. Lakini unavyofika umri wa kubarehe tezi hii inakua mara mbili zaidi ya kipindi cha nyuma kabla ya kubarehe.


Baada ya hapo makuzi ya tezi hii yanaendelea taratibu kama kawaida mpaka siku ya mwisho wa uhai wako.


Makuzi ya tezi hii hayana madhara yoyote lakini madhara yatatokea endapo tezi hii itakua sana na kutanuka zaidi ya kawaida na kupelekea ianze kuvimba.


Tezi hii kwakuwa ipo katikati ya kibofu cha mkojo na uume. Na mrijia wa kutoa mkojo nje ya mwili unapita katikati ya tezi hii. Kwahiyo, tezi hii ikivimba kibofu cha mkojo na mrija wa kutoa mkojo vinaanza kugandamizwa.


Hali hii ya kugandamizwa kwa kibofu na mrija wa kutoa mkojo inaleta athari kwenye kukojoa. Lazima uanze kukojoa kwa shida. Na uwezo wa kibofu kutoa mkojo wote unapungua.


Kwahiyo, utajikuta kila ukikojoa mkojo uliopo kwenye kibofu hautoki wote. Matokeo yake kila baada ya muda mfupi utakuwa unahisi kutaka kukojoa kwasababu ukikojoa sio mkojo wote unaotoka kutokana na hali ya kugandamizwa kwa kibofu na mrija wa kutoa mkojo.


Uvimbe unavyozidi kuongezeka inafika mahali mrija wa kutoa mkojo unaziba kabisa na kibofu kinakuwa hakina uwezo tena wa kutunza mkojo.


Kwahiyo, ikifikia hali hiyo unakuwa huna uwezo wa kukojoa tena. Kinachofuata ni kutobolewa na kuwekewa mrija ili figo lako nalo lisije kupata shida kwasababu lenyewe litaendelea kuzalisha mkojo (taka mwili) kama kawaida. Kama mkojo utaendelea kuzalishwa halafu usitolewe lazima figo nalo litapata shida na kufeli (Kidney failure)


Kwahiyo, ni vyema sana kuuwahi uvimbe wa tezi dume kabla haujaanza kuleta madhara makubwa mwilini.


Ni Kwa Namna Gani Dihydrotestosterone (DHT) Inachangia Katika Kusababisha Uvimbe Wa Tezi Dume Kutokea?

Kama ulivyoweza kuona kadri unavyozidi kukua ndivyo ambavyo hata tezi dume yako inazidi kukua na kutanuka pia. Inavyokua na kutanuka zaidi inafika mahali inaanza kuvimba na kuleta madhara.


Kinachosababisha uvimbe huo utokee ni DHT.

Kivipi? Kwa namna ifuatayo:


Makuzi ya tezi dume yanategemea DHT. Yaani Kuanzia siku unazaliwa na kadri ya umri unavyozidi kwenda DHT ndio inachochea Tezi dume yako iweze kukua na kutanuka. Bila DHT tezi dume yako haiwezi ikakua.


Kwahiyo, kwa namna moja au nyingine kwakuwa DHT inachochea kukua na kutanuka kwa tezi dume basi na yenyewe ni moja ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume yako kutokea.


Kwanini? Kwasababu nimekwambia makuzi ya tezi dume yako yanaendelea mpaka siku utakayokufa. Na kwakuwa DHT Ndio inachochea kukua na kutanuka kwa tezi dume yako basi ndio maana nature’s way wamegundua kwamba na yenyewe ni mojawapo ya visababishi vya tezi dume yako kuvimba.


Unajua kwanini ukifanyiwa upasuaji baada ya muda UVIMBE unajirudia tena?


Kinachosababisha uvimbe urudi ni DHT kwasababu baada ya kufanya upasuaji makuzi ya tezi dume yanaendelea chini ya uchochezi wa DHT. Kwahiyo makuzi yakiendelea itafika muda uvimbe utajirudia tena.

Kila Kitu Kinachozalishwa Mwilini Lazima Kina Chanzo Chake. Kwahiyo Ngoja Nikuoneshe Chanzo Cha DHT Katika Mwili Wako Ni Kipi!

Kwakuwa DHT ni moja ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume. Kwahiyo kuzuia uvimbe huo usitokee tena ni kujua chanzo chake ni kipi mwilini ili kuweza kudhibiti uzalishaji wake usiwe wa kiasi cha kusababisha madhara.


Ukiweza kudhibiti uzalishaji wa DHT unaoleta madhara mwilini mwako utakuwa umefanikiwa kuzuia makuzi ya haraka ya tezi dume yako. Kwahiyo, kama unauvimbe baada ya kudhibiti uzalishaji wa DHT kinachobaki ni kuyeyusha uvimbe. Kwa kufanya hivyo, uvimbe unaisha na unakuwa na uhakika wa kutopata tena uvimbe kwasababu uzalishaji wa DHT unakuwa katika kiwango cha kawaida kisicholeta madhara ya uvimbe kutokea tena.

Swali la kujiuliza ni kwamba...


DHT inatoka wapi au inazalishwa na nini mwilini?

DHT Ni Kama Unga Ambao Ni Matokeo Ya Kusagwa Kwa Mahindi Mashineni.

Ili upate unga lazima mashine iyasage na kuyaponda ponda mahindi kuyageuza unga.

Mashine ikisaga mahindi mengi utapatikana unga mwingi. Na mashine ikisimama kusaga mahindi au ikipunguza kasi ya kusaga mahindi maana yake utapatikana unga kidogo.


Kwa mfano huo ndivyo ilivyo kwenye utengenezwaji wa DHT mwilini. Ili DHT ipatikane lazima mashine ya mwili (Enzyme) iitwayo 5-alpha Reductase ifanye kazi ya kuigeuza homoni ya kiume iitwayo Testosterone kuwa Dihydrotestosterone (DHT).

Baada ya Testosterone kugeuzwa kuwa DHT, DHT ndio inafanya kazi yake ya kuchochea ukuaji wa tezi dume yako.


Kwahiyo,Kwakuwa DHT ndio mojawapo ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume kutokea, njia rahisi ya kudhibiti uzalishaji wa DHT ili isiendelee kuleta madhara ni kudhibiti mashine inayopelekea DHT ipatikane. Mashine hiyo ni 5-alpha Reductase


Ukiweza kudhibiti mashine hii maana yake ni kwamba kiasi kidogo cha DHT kitazalishwa na hivyo kiasi hiki hakitakuwa na madhara yoyote kwenye makuzi ya tezi dume yako.

Kwa maelezo rahisi ni kwamba...

Kama Una Uvimbe Wa Tezi Dume 5-alpha Reductase Sio Rafiki Yako Mzuri.

Tazama, kisababishi mojawapo cha uvimbe wa tezi dume yako ni DHT. Na 5-alpha Reductase ndio mashine pekee mwilini ya kuzalisha hiyo DHT. Kwahiyo, unaweza ukaona kwamba 5-alpha Reductase sio rafiki yako mzuri kwasababu asipodhibitiwa ataendelea kuzalisha DHT nyingi ambayo itapelekea uvimbe uelendee kukua mpaka hatua ya kusababisha usipate mkojo kabisa.


Nature’s way kwa kuligundua hilo wamefanikiwa kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge ambavyo kwanza, vinaenda kudhibiti mashine hii inayozalisha DHT iweze kuzalisha kiwango ambacho hakitakuwa na madhara yoyote kwenye makuzi ya tezi dume yako na pasipo dawa hii kuwa na side effect yoyote ile mwilini mwako.

Pili, vidonge hivyo vinaenda kuyeyusha uvimbe wote na kuiacha tezi dume yako ikiwa katika hali yake ya awali.


Si hivyo tu...


Kwakuwa inakisika kwamba visababishi vingine vya uvimbe huu wa tezi dume kutokea ni magonjwa ya uzeeni kama kisukari, presha, mwili kufa ganzi, viungo kuuma n.k ...vidonge hivi vimetengenezwa katika namna ambayo itasaidia kupunguza makali ya magonjwa hayo yote ya uzeeni.


Kwahiyo, ukitumia vidonge hivi vitakusaidia kuondoa uvimbe wa tezi dume na kuzuia usijirudie tena na vidonge hizi vitakusaidia kupunguza makili ya magonjwa ya uzeeni.

Kwakuwa kazi ya vidonge hivi ni kurejesha tezi dume yako katika hali yake ya awali, Nature’s way wamevipatia vidonge hivi jina la RestorLyf (Yaani vinarudisha hali mbaya katika hali yake ya awali).

RestorLyf

Restorlyf ni vidonge ambavyo vimetengenezwa kwa kirutubisho lishe kinachoitwa Resveratrol kutoka kwenye mmea asilia wa kijapani unaoitwa Polygonum Cuspidatum (Japanese knotweed).


Kirutubisho hiki ndio kinavipa vidonge hivi upekee wa kuweza kuyeyusha uvimbe wa tezi dume yako ni haijawahi kutokea.


Vidonge hivi vimetengenezwa kiasilia kabisa katika namna ambayo haitaleta madhara ya aina yoyote ile mwilini mwako.

Si hivyo tu...

Vidonge hivi vimethibitishwa na mamlaka za chakula na dawa (FDA) duniani na TMDA kwa hapa Tanzania.


Kwahiyo, wasiwasi wako wa kupata madhara yoyote baaba ya kutumia vidonge hivi uweke pembeni kabisa. Vidonge hivi ni salama kwa afya ya mwili wako.


Utakapoanza kutumia vidonge hivi siku hadi siku.... wiki hadi wiki... Utashangazwa sana kwa mabadiliko utakayoanza kuyaona.


Uvimbe utaanza kuyeyushwa kama yanavyoyeyuka mafuta yaliyoganda kwenye kikaangio cha moto.


Utaanza kupata mkojo bila shida yoyote. Hali ya kukojoa kila baada ya muda mfupi itaondoka kabisa. Usiku utaweza kulala kwa amani bila usumbufu wa kuamka ovyo kwenda kukojoa.


Kiufupi baada ya kumeza vidonge hivi changamoto na karaha zote zitokanazo na uvimbe wa tezi dume yako zitaisha kabisa.


Mfumo wako wa mkojo utarudi kuwa kama wa kijana wa miaka 25.

Hakika Vidonge Hivi Ni Tiba Mpya Na Ya Kipekee Ambayo Haijawahi Kugunduliwa!

Usiyaamini maneno yangu. Baadhi ya watu waliotumia vidonge hivi wana yafuatayo ya kusema:

Nilikuwa nimechoshwa na hali ya kuulizia choo kiko wapi kila mahali nilipojua nitakaa zaidi ya dakika 10. Lakini baada ya kutumia RestorLyf nimeshangazwa sana maana sio kawaida yangu kukaa sehemu zaidi ya saa moja bila kuhisi kutaka kwenda kukojoa.

Damian Samwel ... kutoka Arusha:

Nina miaka 73 nilidhani RestorLyf haitanisaidia. Nimepona uvimbe wa tezi dume. Mgongo hauniumi tena. Maumivu ya maungio yametoweka kabisa. Hii dawa ni kiboko ya magonjwa ya uzeeni.

Felix Eliud ... kutoka Mbeya

RestorLyf ni kiboko. Nilikuwa nimechoshwa na hali ya kuamka zaidi ya mara 7 usiku mzima kwenda kukojoa. Na nikikojoa unatoka mkojo kidogo tu. Kwa sasa mambo ni safi kabisa. Usiku siamki hata mara moja kukojoa. Nalala kwa amani kabisa.

Daud John ... kutoka Dodoma

Wiki ya pili baada ya kutumia RestorLyf niliamua kurudi hospitalini kupima kuona uvimbe umefikia wapi. Majibu yalitushangaza sana mimi na doctor. Vipimo vilionyesha sina uvimbe tena. “Umetumia nini mpaka uvimbe huo kuondoka bila kufanyiwa upasuaji?” Aliuza Doctor. Bila kusita nikamwambia ni RestorLyf.

Ramadhan Kassim ... kutoka Tanga:

Sio kwamba RestorLyf imenisaidia kuyeyusha uvimbe peke yake. Kilichonishangaza ni kwamba hata presha yangu imeshuka kabisa wakati imekuwa ikinisumbua kwa muda mrefu. Hakika sitoacha kuendelea kuitumia RestorLyf katika maisha yangu.

Omari Hussein ... kutoka Dar

Kama unavyoona hicho ndicho walichokipata baadhi ya wahanga wa tatizo baada ya kutumia Vidonge hivi vya (RestorLyf)


Mpaka sasa nadhani utakuwa upo tayari kuijaribu dawa hii ili wewe mwenyewe ujionee maajabu yake.


Kwasababu Restorlyf ni dawa pekee ambayo imefanyiwa tafiti za kisayansi na ni dawa ambayo ina rekodi ya kuyeyusha uvimbe wa tezi dume ndani ya muda mfupi.

Unamezaje Restorlyf?

Dozi kamili ya kuyeyusha uvimbe mpaka ukaisha kabisa na usijirudie tena ni siku 90. Kama uvimbe wako sio mkubwa sana kuna uwezekano wa kuwahi kupona kabisa kabla ya siku 90. Lakini hata kama utawahi kupona kabla ya siku 90 nakushauri umalize dozi kamili ili kuzuia uvimbe usiweze kujirudia tena.


Matumizi ya Restorlyf ni kama ifuatavyo. Unameza kutwa mara moja (1x1). Muda mzuri wa kumeza ni wakati wa usiku.


Wakati huo wa usiku unaweza kuamua kumeza kabla hujala au baada ya kula chakula cha usiku.


Ukiamua kumeza kabla ya chakula cha usiku hakikisha unafanya hivyo mpaka mwisho wa dozi na ukiamua kumeza baada ya chakula cha usiku hakikisha unafanya hivyo mpaka mwisho wa dozi.


Kama ukimeza kabla ya chakula cha usiku inatakiwa baada ya kumeza ukae lisaa limoja pasipo kula kitu chochote ili kuiacha dawa ifanye kazi kwanza halafu baada ya lisaa limoja unaweza kula kitu chochote kulingana na mapenzi yako. 

Na kama utaamua kumeza baada ya kula chakula cha usiku inatakiwa baada ya kula ukae masaa 2 kwanza halafu ndio umeze kidonge chako 1.

Na endapo kuna dawa zingine unatumia usiziache ghafla kwasababu zitaupwa mwili mshituko. Unachotakiwa kufanya endelea kuzimeza kwa muda hata wa wiki 2 halafu ndio uziache. Lakini hakikisha unazimeza muda tofauti na Restorlyf. Tenganisha muda wa kumeza angalau wa masaa 2.


Kwa kufanya hivyo baada ya siku kadhaa utaanza kuona mabadiliko kwenye suala la ukojoaji. na baada ya mwezi mmoja au na zaidi utakuwa umeona madailiko makubwa sana na UVIMBE utakuwa umeisha.

Inagharimu Kiasi Gani Kupata Dawa Hii Ya Restorlyf?

Ukilinganisha bei ya Restorlyf na dawa zingine za tezi dume ambazo kimsingi hata hazimalizi tatizo likaisha kabisa binafsi utapendekeza bei ya Restorlyf iwe juu.


Na ukizingatia wateja wetu wengi waliotumia restorlyf wameweza kupona uvimbe wa tezi dume ndani ya muda mfupi na pasipo kuendelea kupoteza pesa kwenye njia kama upasuaji na madawa mengine ya gharama ambayo hayafanyi kazi wengi wao wanasema hata gharama ya restorlyf ingekuwa 2,000,000 wangenunua.


Fikiria kwa muda ni kiasi gani ungekuwa tayari kulipa ili kukusaidia wewe kuweza kukojoa bila shida mara kadhaa tu kwa siku (Kiafya), kuwa na stamina nzuri wakati wa tendo na kulala vizuri bila karaha za kuamka kwenda kukojoa matone au...


Ni kiasi gani ungekuwa tayari kutoa kupata tiba ambayo kwa asilimia 100% unajua lazima ifanye kazi?


700,000?  1,000,000? Au 2,000,000?


Lakini unajua nini? Hutalipia pesa hiyo.


Nature's Way (Shirika linalotengeneza Dawa Hii huko Marekani) Limeamua kuweka bei ambayo kila mtu anaweza akaimudu na kwa wakati huo huo pesa hiyo iweze kusaidia kuendesha uzalishaji wa dawa zingine kulingana na uhitaji wa dawa hii kuwa mkuwa.


Kwahiyo leo kwenye ukurasa huu na hakuna sehemu nyingine unaweza kuipata dawa hii kwasababu haipo hospitalini na wala kwenye maduka ya dawa. Kwenye ukurasa huu ndio sehemu pekee ya kuipata Restorlyf dozi kamili ya siku 90 kwa bei ya...

300,000/= 

Kuna sababu kwanini bidhaa hii inauzwa kwa bei ndogo sana hivyo.


Ni rahisi kuelewa sababu hiyo.


Lengo la Nature's Way ni kuwasaidia wahanga wa uvimbe wa tezi dume duniani kuacha kuendelea kupoteza pesa kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.


Endapo gharama ya Restorlyf ingekuwa juu maana yake wahanga wengi wangeshindwa kumudu bei.


Hivyo basi ndio maana wakaamua kutoa punguzo la bei kubwa ili wahanga wengi wapate suluhisho sahihi la kumaliza kiini cha tatizo na kufurahia uzee wao.


Na kulingana na mrejesho kutoka kwa wateja wetu...


Wengi waliotumia dozi kamili ya siku 90 ndo wameweza kupona kabisa uvimbe ukaisha.


Kwahiyo ukichukua dozi ya siku 90 utakuwa na uhakika kabisa wa tatizo lako kuisha.


Hata hivyo, kama utashindwa kumudu 300,000/= kupata dozi kamili nimekuwekea utaratibu wa kuchukua kwa awamu.


Hii inamaanisha ukishindwa kuchukua dozi ya 300,000/= unaweza chukuwa dozi ya mwezi mmoja au miezi miwili ambazo gharama yake itakuwa ni chini ya hiyo laki tatu (Bei ya dozi kamili)


Bidhaa zilizopo ni chache na uhitaji ni mkubwa sana kwahiyo kama una uwezo wa kumudu 300,000/= nakushauri uchukue dozi kamili kwasababu watu wengi wanachukuwa dozi kamili kwahiyo muda wowote kuna uwezekano mkubwa dozi tulizobaki nazo hapa kwenye stoo yetu zikawa zimeisha.


Zikiisha huwa inachukuwa miezi 4 mpaka 6 dawa zingine kutoka marekani kuja Tanzania. Na hapo ni endapo bidhaa zinakuwa zipo kwenye stoo za Marekani. Kama bidhaa kwenye stoo za marekani zinakuwa zimeisha huwa inachukuwa miezi 9 kuzalisha zingine.


Kwahiyo unaweza ukaona ni mchakato ambao unachukuwa siku nyingi kiasi kwamba miezi hiyo ikipita hujatumia dawa tatizo litakuwa lishakuwa kubwa na kukusababishia matatizo makubwa.


Hivyo ni vyema ukachukua dozi kamili ili uwe na uhakika wa kuwepo kwa vidonge vya kumeza kila siku kwa muda wa siku 90 wa tatizo lako kuisha.


Ukichukuwa dozi ya mwezi mmoja kwasababu ya uhitaji mkubwa na watu wengi wanachukuwa dozi kamili unaweza kujikuta pindi unahitaji dozi ya kuendelea dawa zikawa zimeisha hivyo kujikuta unasubiria miezi mingi ili dawa zingine ziletwe na kujikuta unaharibu dozi yako.


Na kama utaondoka kwenye ukurasa huu pasipo kuweka ODA yako kuna uwezekano mkubwa pindi utakaporudi ukakuta bidhaa zimeisha.


Kwahiyo usitoke kwenye ukurasa huu bila kuweka ODA yako uhitaji wa dawa hii ni mkubwa sana kwahiyo bidhaa tulizonazo stoo zitaisha muda wowote.


Na ukumbuke ukurasa huu ndio sehemu pekee ya kuipata dawa hii. Dawa hii haiuzwi sehemu nyingine yoyote tofauti na hapa kwenye ukurasa huu.


Kama una hofu ya dawa hii kutofanya kazi naelewa kabisa hata mimi ningekuwa kwenye nafasi uliyopo kwa sasa lazima ningekuwa na wasiwasi wa kupoteza pesa lakini ili kukuondolea wasiwasi huo bidhaa hii utaipata kwa dhamana (Guarantee)

Guarantee image

Dhama hii iko hivi:


Tumia Restorlyf kwa muda wa siku 90. Kama baada ya siku 90 utakuwa bado unakojoa mara kwa mara au uvimbe utakuwa haujaisha au kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaipenda Restorlyf piga simu kwenda namba 0742574909 toa taarifa utarudishiwa pesa zako zote bila kinyongo chochote.


Hata hivyo nina imani utaipenda Restorlyf na utalidhika kwa maajabu ambayo itakufanyia.


Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa na uwezo wa dawa hii wa kuyeyusha uvimbe wa tezi dume haraka na kukupatia matokeo ya ndani ya muda mfupi.


Ukweli ni kwamba kwa kuitumia restorly pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Hapa chini kuna mpangilio wa dozi. Chagua ni dozi ipi utaanza nayo kisha kwa chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kujaza fomu kutuma oda yako. ODA zinazopokelewa ni za watu ambao wana uhitaji wa kupokea bidhaa zao haraka kabla dawa haijaisha. Kwahiyo usiweke ODA kama unajua hutachukua haraka iwezekanavyo.

  • Dozi ya mwezi mmoja ­150,000 100,000/=
  • Dozi ya miezi miwili 400,000  200,000/=
  • Dozi ya miezi mitatu 650,000  300,000/=

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M-pesa au NMB Bank.


Namba ya M-pesa ni 0742574909 jina ni ADELARD ALOYCE NTAMABOKO


Namba ya Account ya NMB ni 20110062131 jina ni ADELARD ALOYCE NTAMABOKO.


Utafanyiwa Free delivery popote utakapokuwa Ndani ya Tanzania. Hii inamaanisha gharama za kusafirisha mzigo mpaka kukufikia ulipo ni juu yangu. 

Bokko's Free Delivery service

Kwa mtu wa Dar es Salaam hutakiwi kutuma hela kwasababu utaletewa mpaka popote utakapokuwa kwa gharama zangu mwenyewe halafu baada ya kupokea mzigo wako ndipo utakapofanya malipo.


Na kwa mtu wa mkoani unalipia pesa yote ya dozi utakayokuwa umechagua kupitia moja ya account za malipo hizo hapo juu halafu baada ya kulipia gharama ya kusafirisha mzigo mpaka ukufikie popote ulipo ndani ya Tanzania ni juu yangu.


Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda ya dozi uliyoichagua halafu baada ya hapo kama upo Dar unasubiri kuletewa siku uliyochagua na...


Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya dozi halafu gharama za usafiri juu yangu nakuagizia mzigo wako mkoani ulipo kwa njia ya bus au boat (wale wa zanzibar)


Kujaza fomu ya kuweka ODA ni rahisi.


Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa POKEA ODA YANGU. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako msaidizi wangu au mimi mwenyewe nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.


Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Nakushukuru kwa muda wako uliotenga kuweza kusoma ujumbe huu

Ni mimi,

Mr Bokko!

>>> 0742574909 <<<

P.S: Nakumbushia tena kwamba bidhaa ni chache na uhitaji ni mkubwa sana.


Watu wengi wanaweka ODA ya dozi kamili kwahiyo muda wowote bidhaa tulizonazo kwenye stoo yetu zitakuwa zimeisha.


Kwahiyo hakikisha hutoki kwenye ukurasa huu bila kuweka ODA yako kwasababu ukirudi badae au baada ya siku kadhaa unaweza ukakuta bidhaa zote zimechukuliwa na hivyo kujikuta unakosa suluhisho la kweli na la uhakika wa kumaliza tatizo lako.


Na kumbuka bidhaa hii lazima ikusaidie kumaliza tatizo liishe kabisa.


Tatizo lisipoisha una haki ya kudai kurudishiwa pesa zako zote.


Hata hivyo utakavyoanza kutumia Restorlyf utastaajabishwa kwa matokeo ya haraka utakayoanza kuyaona na kwakua utakuwa na furaha kubwa hutakumbuka kuomba hela yako badala yake utakuwa ukiwahamasisha ndugu na jamaa zako wenye tatizo kama lako watumie Restorlyf.


Na ukumbuke kadri unavyozidi kusubiri ndivyo ambavyo tatizo linazidi kuwa kubwa siku hadi siku na kufanya uwe hatarini kuanza kushindwa kukojoa kabisa.


Ukifikia hali hiyo suluhisho pekee ni kuwekewa mpira. Usiombe hali hiyo ikutokee maana muda wote utakuwa unanuka mkojo.


Kwahiyo kabla hali haijawa mbaya zaidi pata suluhisho la uhakika kwa kuweka oda yako hapa chini.


Kuweka ODA ni rahisi.


Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa POKEA ODA YANGU. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.

Copyright - Online Marketing System Pro

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications