Kama wewe ni mhanga wa upungufu wa nguvu za kiume na unapenda kupata suluhisho la haraka... lisilokuwa na madhara yoyote... na... la... uhakika zaidi kwa kuthibitishwa kisayansi basi ujumbe huu utakuwa wa kusisimua ambao hujapata kuusoma kwenye maisha yako.
Na hii hapa ndio sababu:
Miaka kadhaa iliyopita alikuwepo mchungaji wa mbuzi mmoja nchini China.
Mchungaji huyu alishangazwa sana kila siku kwa alichokuwa anakiona.
Kuna majani fulani ya asili yanayojulikana kwa jina la “Yin Yang huo”.
Kilichomshangaza mchungaji huyu ni mbuzi kupandana sana mara tu baada ya kula majani haya.
Majani haya yaliwapa mbuzi mizuka ya ajabu ya kufanya mapenzi zaidi ya kawaida bila kuchoka mpaka likawa jambo la kumshangaza mchungaji huyu.
Basi kutokana na hali ya mbuzi kuwa na mizuka ya kufanyana na kupandana sana baada ya kula majani haya... majani haya yakapata jina maarufu la “Horny goat weed”.
Ilifika hatua mchungaji huyu akazoea hali hiyo ya mbuzi kufanyana sana zaidi ya kawaida baada ya kula majani hayo.
Taarifa zikavuma kuhusu maajabu ya majani hayo.
Wanasayansi bila kuchelewesha wakawaza kufanya utafiti kugundua ni kitu gani kilichopo kwenye majani hayo kinachosababisha mbuzi wawe na mizuka ya kupandana na kufanyana zaidi ya kawaida.
Wanasanyasi wakaanza tafiti na uchunguzi wa upekee wa majani haya.
Baada ya tafiti za muda mrefu hatimaye wamegundua sababu ya kwanini mbuzi hao walikuwa wakipandana kwa kasi ya ajabu mara tu wanapokula majani haya.
Tafiti zinaonesha kwamba majani haya yanaongeza kiwango cha homoni ya kiume (Testosterone) mwilini.
Homoni hii inapoongezeka mwilini inasababisha kupanda kwa mizuka na mihemuko ya kufanya mapenzi.
Kwahiyo mbuzi hawa walikuwa wanapandana sana baada ya kula majani haya kwasababu mizuka ya kupandana ilipandishwa na kuongezeka kwa homoni ya kiume.
Si hivyo tu...
Nitakwambia kazi ya icariin hapo mbele kidogo kwa sasa ngoja tuongelee kitu kinachosababisha wewe ushindwe kusimamisha uume wako barabara kama msumari kwa muda mrefu.
Mwanaume ambae hana upungufu wa nguvu za kiume anapopata msisimko wa kufanya mapenzi, Nitric oxide (NO) iliyopo kwenye kuta za ndani za mishipa ya damu inatoa taarifa kuanza kuzalishwa kwa kemikali inayoitwa cyclic guanosine monophosphate (cGMP).
Kemikali hii kazi yake ni kwenda kuchochea kutanuka kwa mishipa ya damu iliyopo kwenye corpora canervosa.
Corpora canervosa ni uwazi wenye mishipa ya damu mingi kwenye uume. Kwahiyo baada ya mishipa hii ya damu iliyopo kwenye corpora canervosa kutanuka damu inaanza kuingia kwa kasi kwenye mishipa hii.
Baada ya damu kujaa, mishipa hii inatuna na kusababisha uume usimame barabara kama msumari.
Kama vidole viwili vinaposaidiana kuvunja chawa ndivyo NO na cGMP zinavyosaidiana kusababisha uume usimame barabara kama msumari kwa muda mrefu.
Sasa kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume... uume hauwezi kusimama barabara kwa muda mrefu kama msumari kwasababu ya “Protein phospodiesterase type 5” (PDE5).
PDE5 kazi yake mwilini ni kuthibiti mzunguko wa damu.
Lakini kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume PDE5 ni adui yako mkubwa.
Huyu jamaa ndio chanzo cha wewe kushindwa kusimamisha uume wako barabara kwa muda mrefu.
Kwasababu PDE5 anazuia cGMP na NO wisishirikiane (kidole kimoja hakivunji chawa) kufanya mishipa ya damu ya uume wako kujaa damu ndipo uume usimamae barabara kama msumari kwa muda mrefu.
Tazama - Kwa kawaida uume huwa umesinyaa muda wote pindi mwanaume unapokuwa huna msisimko wa kufanya mapenzi.
Msisimko wa kufanya mapenzi ukitokea ndio unapelekea “NO” itowe taarifa ya kuzalishwa kwa “cGMP” ambayo inaenda kusababisha mishipa ya damu kwenye uume wako itanuke na kuruhusu damu iingie kwa kasi ndipo uume usimame barabara kama msumari.
Sasa kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume, uume hauwezi ukasimama barabara kwa muda mrefu kwasababu “PDE5” inazuia kuzalishwa kwa “cGMP”
Kwakua “PDE5” inazuia kuzalishwa kwa “cGMP” matokeo yake mishipa ya damu kwenye uume wako haitanuki vizuri ili damu iweze kuingia kwa kasi na kusababisha uume usimame barabara kwa muda mrefu.
Kwahiyo kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume PDE5 ni “switch” ya kuzuia damu nyingi isifike kwenye mishipa ya damu ya uume wako.
Kwakuwa damu nyingi haifiki kwenye mishipa ya damu ya uume wako, uume wako utasimama legelege hali ambayo itafanya iwe ngumu kwako kumfikisha mkeo kileleni.
Si hivyo tu...
Hata kurudia kwako tendo kwa raundi nyingine itashindikana kabisa kwasababu ya “PDE5” ambayo ni “Switch” ya kuzuia damu nyingi isifike kwenye mishipa ya damu ya uume wako hivyo kufanya uume ushindwe kusimama tena.
Kwahiyo ikitokea ukapata kitu ambacho kazi yake ni kwenda kuzuia hii PDE5 isizuie damu nyingi kwenda kwenye mishipa ya damu ya uume wako tatizo lako linakuwa limeisha.
Kwakuwa damu itaanza kuingia kwenye mishipa ya damu ya uume wako...
Utaanza kusimamisha uume wako barabara kama msumari kwa muda mrefu.
Utamfikisha mkeo kileleni... na .... zaidi ya yote...
Utakuwa na uwezo wa kurudia raundi za kutosha kwa kadri upendavyo.
Turudi kwenye tafiti za majani ya mbuzi.
Kama nilivyokwambia baada ya uchunguzi wa kina wanasayansi waliweza kugundua kuwepo kwa “Icariin” ndani ya majani hayo.
“Icariin” ni kirutubisho lishe ambacho kazi yake ni kuzuia “PDE5” (PDE5 inhibitor) ili isilete madhara yoyote kwenye mzunguko wa damu.
Kwakua adui yako wewe ni PDE5 na uchunguzi umeonesha icariin inazuia PDE5 isilete madhara kwenye mzunguko wa damu basi icariin ni rafiki au mlinzi au mkombozi wa tatizo lako.
Baada ya tafiti hizo shirika la Marekani (Nature’s way) ambalo linajishughulisha na utengenezaji wa tiba asilia kwa kutumia virutibisho lishe na mimea asili likaamua kutumia icariin iliyopo kwenye majani haya na virutubisho lishe vingine kutengeneza tiba ya upungufu wa nguvu za kiume iitwayo C24/7.