Jiunge Kwenye Program Ya CAE

Kwa 95,000/=

Kufanya malipo ni rahisi tu.

hatua ya kwanza: Jaza taarifa zako kwenye fomu hapa chini kikamilifu kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa "Lipia Sasa 95,000" na usubiri ukurasa mpya wa kufanya malipo ufunguke.

Hatua ya pili: Chagua mtandao wa simu ambao utautumia kufanya malipo kati ya hii: Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money au Halopesa

Hatua ya tatu: Weka namba yako ya simu ya mtandao husika ambao umechagua kwenye hatua ya pili.

Hatua ya nne: Bonyeza kulipa na utapokea push meseji kwa juu ya screen ya simu yako, weka namba yako ya siri kuruhusu pesa ikatwe.

Note 01: Hakikisha kwenye simu yako una kiasi cha 95,000 jumlisha pesa ya makato ya mtandao husika na serikali.

Note 02: Kwa sasa kuna shida kwenye mfumo wa malipo kwa kutumia M-Pesa. Kwa hiyo kama hela yako ipo kwenye M-Pesa fanya hivi: Tuma 95,000/= kwenye namba hii 0768354507 jina litatoka ADELARD NTAMABOKO. Baada ya kufanya malipo tuma uthibitisho wa muamala whatsapp kwa namba hiyo hiyo baada ya hapo nitakutumia link ya kuanza mafunzo.

Billing details

Your order

Product Subtotal
Customer Acquisition Engine Bundle  × 1 Sh95,000.00
Subtotal Sh95,000.00
Total Sh95,000.00
  • Fanya malipo kupitia M-Pesa, Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money au Halopesa.

>
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications