Acha Kuruhusu Ukomo Wa Hedhi Uharibu Ngozi Yako.
Suluhisho Hili La Asili Limeandaliwa kitaalamu Kumsaidia Mwanamke Yeyote Aliyefikia Ukomo Wa Hedhi Kurejesha, kung'arisha na Kuimarisha Ngozi Baada Ya Kufika Ukomo Wa Hedhi.
Husaidia kuondoa muonekano wa uzee kabla ya wakati, ukavu wa ngozi, mikunjo, ulegevu na ukomavu.
Picha unayoiona hapo juu inaonyesha Novege+ Restore Renewing Routine, virutubisho vilivyo tengenezwa kitaalamu kuondoa ukavu wa ngozi, mikunjo, ukomavu, ulegevu, na muonekano wa uzee kabla ya wakati kwa mwanamke aliyefika ukomo wa hedhi.
Ukifika ukomo wa hedhi, homoni ya kike iitwayo “estrogen” inapungua sana mwilini na kupungua kwake kunaleta madhara ya haraka kwenye ngozi maana ngozi ndiyo sehemu ya kwanza kabisa kuathirika baada ya homoni hii kushuka.
Kabla ya ukomo wa hedhi, kiwango cha homoni ya “estrogen” kinakuwa sawa na kinaratibu kazi zifuatazo:
- Husaidia ngozi kuwa na uwezo wa kushika maji (hydration)
- Husaidia ngozi kuwa laini na kuvutika
- Husaidia ngozi kujijenga upya haraka inapopata majelaha na vidonda
- Husaidia ngozi kung’aa na kuwa na muonekano wa kuvutia
- Huzuia mikunjo kujitokeza mapema.
Baada ya ukomo wa hedhi, homoni hii inakuwa haina tena uwezo wa kuratibu mambo hayo kwenye ngozi na badala yake mambo haya yanaanza kutokea:
- Ngozi inapoteza uwezo wa kushikilia maji: Inakuwa kavu, inakaza, inapasuka, inawasha.
- Collagen hushuka hadi 30% ndani ya miaka 5 ya kwanza ya ukomo wa hedhi: Ngozi inakuwa legevu, inalendemka, inapata mikunjo mapema, macho yanazama kwa ndani.
- Uzalishaji wa mafuta asilia ya ngozi hushuka: Ngozi inapoteza mung’ao asili, inaonekana imechoka, haina uhai, inachakaa haraka.
- Mzunguko wa kujijenga upya wa ngozi hupungua: Makovu na madoa hupona polepole. Rangi ya ngozi inakuwa isiyo sawa, yenye madoa, na giza.
- Kinga asili ya ngozi inashuka: Unaanza kupata muwasho wa mara kwa mara, vipele vidogo vidogo, ngozi inaanza kuwa na mzio (allergy) hata ya sabuni ambayo umekuwa ukitumia kila siku kwa miaka mingi.
Wataalamu walio tengeneza Novege+ Restore Renewing Routine kwa kutambua madhara hayo yanayotokea kwenye ngozi wakaamua waje na virutubisho vya aina tano ambapo kila kimoja kina umuhimu wake kwenye ngozi.
1. NovAge+ Refresh Gel Cleanser: Kazi yake ni kusafisha ngozi kwa kina na kuiandaa kuwa na mapokezi mazuri kwa virutubisho vingine.
- Huondoa uchafu, mafuta na sumu bila kukausha ngozi
- Hufungua vinyweleo ili virutubisho vya bidhaa zingine viingie kwa ndani
- Huacha ngozi ikiwa safi, laini na tayari kwa mapokezi ya virutubisho vya bidhaa zingine.
Bila cleanser hii, krimu na serum zako hazifanyi kazi kwa nguvu kamili.
2. Renewing Eye & Lip Contour Cream: Kazi yake ni kuondoa mikunjo na uchovu kwenye macho na midomo.
- Hupunguza mikunjo, mabaka meusi na kuvimba chini ya macho
- Hurejesha uimara wa ngozi ya macho na midomo
- Hufanya uso uonekane mchanga, mchangamfu na hai tena
Hii ni sehemu ya kwanza watu huona umezeeka — na hapa ndipo seti huanza kufanya maajabu.
3. Restore Renewing Face Serum: Kazi yake ni kufanya mabadiliko ya ndani ya ngozi (Cell Renewal)
- Huchochea uzalishaji wa collagen na elastin ili kuifanya ngozi ivutike na sio kulendemka
- Hupunguza mikunjo na ngozi kulegea
- Hufanya ngozi iwe nene, laini na yenye mvuto wa ujana
Hii ndiyo “kiini cha matokeo” ya NovAge+.
4. Multi-Correcting Day Cream SPF 30: Kazi yake ni kulinda ngozi mchana na kuzuia kuzeeka mapema.
- Hulinda ngozi dhidi ya jua, uchafu na hewa chafu
- Huzuia kuongezeka kwa mikunjo na mabaka meusi
- Huongeza kung’aa kwa ngozi, unyevunyevu na uimara wa ngozi mchana kutwa.
Bila SPF — hata bidhaa bora haziwezi kukupa matokeo ya kudumu.
5. Multi-Recover Night Cream: Kazi yake ni kurekebisha ngozi usiku wakati Umelala.
- Hufanya ngozi ijijenge upya wakati wa usingizi
- Huongeza asidi ya hyaluronic na unyevunyevu wa ndani ya ngozi
- Huacha ngozi ikiwa laini, imejaa, na changa kila asubuhi
Usiku ndipo ngozi “inapona” — na hii ndiyo injini ya uponaji huo.
Kwa Nini Utumie Zote Kwa Pamoja (Sio Moja Moja)?
Kwa sababu:
- Cleanser huandaa
- Eye cream hutengeneza maeneo laini
- Serum hubadilisha
- Day cream hulinda
- Night cream hurekebisha
Zote kwa pamoja, zinakupa matokeo bora ambayo ngozi inahitaji kuwa katika ubora wake.
Hii siyo seti ya kupaka tu —Ni mfumo kamili wa kurudisha ngozi ya mwanamke baada ya ykomo wa hedhi.
Na ndiyo maana wanawake wanaotumia seti nzima hupata matokeo ya haraka na ya kudumu kuliko wanaotumia bidhaa moja moja.
Hizi Hapa sababu Kwanini Novege+ Restore Renewing Routine Ni Suluhisho La Kipekee Tofauti Na Njia Zingine Zote!
Furahia uso usio na mikunjo inayoonekana kila unapotabasamu: Kwa kutumia NovAge+ Restore Renewing Routine, ngozi yako huanza kujijenga upya ndani, mikunjo ya uso, shingo na paji la uso hupungua, na uso wako unaanza kuonekana laini, umejaa na mchanga tena.
Amka kila asubuhi na ngozi iliyojaa, laini na yenye mwanga wa afya: NovAge+ Restore Renewing Routine hufanya kazi usiku kurekebisha seli za ngozi, kuongeza unyevunyevu wa ndani na kuacha ngozi yako ikiwa na mvuto wa asili kila asubuhi unapoinuka kitandani.
Ondoa ukavu unaokufanya ngozi ikaze, iwashwe au ipasuke: Kwa kutumia NovAge+ Restore Renewing Routine, ngozi yako inakuwa na uwezo wa kutunza maji maji, huacha kuhisi kukaza na kuwasha, na inarudi kuwa laini na yenye muonekano wa kuvutia.
Acha kuona uso wako “unaanguka” kila wiki: NovAge+ Restore Renewing Routine huchochea collagen na elastin, kuimarisha misuli ya ngozi na kurejesha mvuto wa uso uliopotea kutokana na umri.
Furahia ngozi inayong’aa bila kupaka make-up nyingi: NovAge+ Restore Renewing Routine huongeza mung’ao wa ngozi, hufanya rangi ya ngozi iwe sawa na kuifanya ngozi ionekane yenye mung’ao wa asili.
Linda ngozi yako dhidi ya mabaka meusi na kuzeeka mapema: Day Cream SPF 30 hulinda ngozi dhidi ya jua na uchafu wa mazingira unaosababisha mabaka na mikunjo mapema.
Rudisha kujiamini kwako unapojitazama kwenye kioo: Kadri ngozi yako inavyobadilika kwa kutumia NovAge+ Restore Renewing Routine, utaacha kujificha, utaanza kupata pongezi na kujisikia “mimi bado nina ngozi kama ya binti wa miaka 18.”
Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?
- Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya masaa 24 ya kuanza kutumia Novege+ Restore Renewing Routine.
- Wapo wengine wanao anza kuona mabadiliko ndani ya siku mbili za kuanza kutumia Novege+ Restore Renewing Routine.
- Hata hivyo, mamia ya wahanga waliotumia Novege+ Restore Renewing Routine, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku tano tu za kuanza kutumia Novege+ Restore Renewing Routine.
- Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku tano na kuendelea.
Baada ya kuingia kwenye hatua ya menopause, ngozi yangu ilibadilika sana—ikawa kavu kupita kiasi, ikapoteza mwanga na mistari ikazeeka haraka. Nilipoanza kutumia NovAge Restore, niliona tofauti ndani ya muda mfupi. Ngozi imeanza kurudisha unyevunyevu wake, imekuwa laini, calm na inaonekana yenye uhai tena. Mistari midogo imepungua na uso hauonekani tena mchovu. NovAge Restore imenisaidia sana kukabiliana na mabadiliko ya ngozi yanayotokana na hormonal changes. Ni bidhaa bora kwa mwanamke wa 40+.
Mariam amarachi |
Hii set imekuwa upendo wa maisha yangu. Imenisaidia kabisa kuondokana na ukavu na hali ya ngozi kuwa tight. Awali nilikuwa napata maeneo makavu yenye wekundu usoni mara kwa mara, lakini sasa hayo yote yamepotea. Hata eye cream imefanya kazi vizuri sana—imepunguza mikunjo na dark circles. NovAge set imenisaidia kiasi kwamba nilikuwa tayari nimesahau hali niliyokuwa nayo kabla. Uso wangu umeonekana kama umepewa uhai mpya kabisa. Asante sana!
Mteja Mwanza |
Nilipopata hii set, nilijua ngozi yangu inahitaji kuwa kwenye hali bora zaidi kiafya. Nilipoanza kuitumia, ilifanya kazi kama magic. Ngozi yangu imekuwa na mwanga mzuri, inaonekana healthy na mistari ya mikunjo imepungua sana. Kwa sasa nina glow ya asili na ngozi inaonekana wrinkle-free. Ni set niliyopenda sana na siwezi kuacha kuitumia.
Mteja kigamboni twangoma |
Novege+ Restore Renewing Routine Inagharimu Kiasi Gani?
Kabla sijakwambia bei ya kutumia NovAge+ Restore Renewing Routine kurejesha ujana wa ngozi yako, nataka kwanza wewe mwenyewe ujipangie thamani yake.
Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho linaloanza kufuta mikunjo, kukaza ngozi iliyolegea, kurejesha mng’ao wa uso wako na kukufanya uonekane mdogo kuliko umri wako halisi?
Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba itakayokurudishia uso laini, wenye maji ya ndani, unaong’aa na kukufanya ujiangalie kwenye kioo kwa tabasamu badala ya kujilaumu kimya kimya?
Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho litakalokuokoa na gharama za kliniki za ngozi, peeling, sindano za “anti-aging”, vipimo na bidhaa za majaribio zisizo na matokeo?
Unajipangia bei kiasi gani kwa mfumo kamili wa kurekebisha ngozi uliotengenezwa kwa teknolojia ya juu ya urejeshaji wa seli, collagen renewal, antioxidants na ulinzi wa SPF — utafiti uliogharimu mamilioni kuhakikisha ngozi inarejeshwa bila kuharibiwa?
Nadhani ukiweka thamani ya 2,000,000/= bado hujafikia thamani halisi ya uso wako, kujiamini kwako, hadhi yako na namna unavyoonekana mbele ya watu.
Lakini unajua cha kushangaza ni nini?
Hutalipa hiyo 2,000,000/=
Hutalipa hata nusu yake.
Kwa sababu NovAge+ Restore Renewing Routine haijatengenezwa kwa ajili ya matajiri pekee —bali kwa mwanamke wa kawaida wa Tanzania anayetaka kurudisha ubora wa ngozi yake wakati wa ukomo wa hedhi.
Utapata seti nzima ya kurejesha ngozi yako kwa gharama ya:
650,000/=
Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.
Kama utaweka ODA yako kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa 500,000/=
Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 650,000/=
Usikubali kupitwa na fursa hii. Jinyakulie OFA yako leo na uanze safari ya kurejesha ngozi yako katika ubora wake.
Unasubiri nini kuweka ODA yako? Huu ni mfumo mpya wa kisasa wa kurejesha ngozi, wa gharama nafuu, unaoanza kufanya kazi haraka na kutoa matokeo yanayoonekana na kudumu.
Hii ndiyo tiketi yako ya kuondokana na:
- Ngozi kavu na iliyokosa mng’ao
- Mikunjo na kulegea kwa uso
- Kuonekana mchovu na mzee kuliko umri wako
- Aibu ya kujitazama kwenye kioo
- Kupotea kwa kujiamini kama mwanamke
Chukua hatua leo, kabla muda haujaacha alama zisizorekebishika kwenye uso wako.
Anza kurejesha uso wako, heshima yako na kujiamini kwako — kuanzia leo.
UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:
Kwa chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kuweka ODA. Kuweka ODA ni rahisi. Utabonyeza sehemu iliyoandikwa "NAHITAJI KUWEKA ODA"
Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.