Umejaribu Cream Za Kila Aina Lakini Makunyanzi Yanazidi Kuongezeka?
Mmea Huu Wa Bluu Kutoka Misri Ulitumiwa na Wanawake Wa Kifalme Kuondoa Makunyanzi, Kupunguza Kasi Ya Ngozi Kuzeeka Haraka, na Kufanya Uonekane Kijana Hata Kama Umri Wako Umeenda!
“Vivian, una miezi 4 tu kabla sijakufukuza kazi.”
Alisema boss wangu bila hata kuinua macho kutoka kwenye laptop yake.
Nilicheka kwa aibu.
Nilidhani anatania.
Lakini alipoinua macho akanitazama usoni kwa sekunde chache—kama mtu anayepima kitu kilichoharibika—akaniambia kwa sauti nzito:
“Mwonekano wako umebadilika sana.”
“Uso wako una makunyanzi, unaonekana umechoka… umezeeka kuliko umri wako.”
Kisha akamalizia kwa maneno yaliyoniumiza zaidi na kunichoma moyo:
“Unajua kabisa kazi yako inategemea sura yako. Nitapataje wateja ikiwa biashara yangu inatangazwa na mtu mwenye muonekano wa kizee kuliko umri wake halisi?”
Moyo wangu uliwaka moto.
Sikuiba.
Sikuvunja sheria.
Sikufanya kosa kazini.
Lakini uso wangu ulikuwa umenisaliti.
Nikiwa na miaka 37 tu, nilionekana kama mwanamke wa miaka 57.
Mvuto wangu wa asili ulikuwa umefifia.
Uso wangu ulikuwa umejaa makunyanzi magumu yasiyoisha.
Kila nilipojitazama kwenye kioo, mimi mwenyewe binafsi nilijikataa.
Nilijaribu cream za kila aina.
Za bei ghali.
Maarufu.
Zenye ahadi tamu tamu.
Lakini hakuna hata moja iliyobadilisha chochote.
Nilifika hatua ya kukata tamaa…
Lakini presha ya kufukuzwa kazi ilinilazimisha kuendelea kutafuta suluhisho—sio kwa ajili ya urembo tu…
Bali kwa ajili ya maisha yangu.
Mwezi mmoja baadaye tulisafiri kwenda Sweden kwa mkutano wa kibiashara.
Ndipo nilipokutana na mwanamke mmoja ambaye ngozi yake ilinifanya nisahau nilikuwa kwenye mkutano.
Uso wake ulikuwa laini, umejaa uhai, bila makunyanzi ya kukatisha tamaa.
Nilijua kwa macho yangu—huyu si mtu wa cream za kawaida.
Nilipomwuliza umri wake, alinitabasamu.
“Nina miaka 48.”
Nilishtuka.
Kwa mtazamo wangu, nilidhani ana miaka 35.
Alionekana mdogo kuliko mimi—wakati mimi nilikuwa mdogo kwake kwa miaka 11.
Kwa shauku kubwa nilimuuliza siri yake.
Hakuniuzia cream.
Hakunitajia brand.
Alisema tu kwa utulivu:
“Nilikutana na dermatologist (daktari wa ngozi) mwenye suluhisho kwa makunyazi na changamoto za ngozi zilizoshindikana”
Kisha akaongezea:
“Anaitwa Dr. Joanne… na yeye ndiye aliyefufua fomula ya mmea wa bluu wa kale kutoka Misri—uliotumiwa kulinda ngozi za wanawake wa kifalme dhidi ya kuzeeka.”
Tukapanga siku ya kuonana na Dr. Joanne.
Siku hiyo ilipofika, swali langu la kwanza lilikuwa moja tu:
Kwa nini Licha Ya Kutumia Cream Mbalimbali, Makunyanzi Yanazidi Kuongezeka?
Alinitazama kwa utulivu, kisha akasema:
“Vivian, chanzo kikuu cha makunyanzi si umri mkubwa kama watu wengi wanavyodhani…”
“Bali ni enzyme inayoitwa collagenase—ambayo huanza kufanya kazi kupita kiasi kuanzia miaka ya 30 na kuendelea.”
Akaendelea:
“Bila kudhibiti enzyme hii, hata utumie cream ya bei gani… makunyanzi hayawezi kuisha.”
Alichomaanisha ni hiki:
Ndani ya ngozi kuna enzyme inayoitwa collagenase.
Kazi yake ni kuvunja collagen— nguzo zinazoshikilia ngozi ibaki laini, thabiti na changa.
Kuanzia miaka ya 30 na kuendelea, collagenase huanza kufanya kazi kupita kiasi— ikivunja collagen haraka kuliko ngozi inavyoweza kujijenga upya.
Matokeo yake?
Ngozi inapoteza uwezo wa kujijenga upya.
Ina legea.
Uso unakunjamana.
Na kama cream au suluhisho lolote halilengi kudhibiti enzyme hii…
Ni sawa na kupaka rangi ukuta unaoporomoka— unaonekana mzuri kwa muda, lakini msingi unaendelea kuanguka.
Dr. Joanne aliendelea kwa kuniambia jambo ambalo sikulitarajia kabisa.
Alisema hakuwahi kuamini sana kwenye “siri ya urembo wa kale”… mpaka safari moja ya kitaaluma ilipobadilisha mtazamo wake kabisa.
Miaka 9 kabla ya kukutana, Dr. Joanne alikuwa akishiriki utafiti wa ngozi Afrika Kaskazini—akiangalia jinsi mazingira, mimea, na mtindo wa maisha unavyoathiri kuzeeka kwa ngozi.
Wakati wa safari hiyo, alifika Misri ya juu, karibu na maeneo ya kale yaliyokuwa yakihusishwa na wanawake wa kifalme wa Misri.
Kilichomshangaza si maandiko…wala sanamu…
Bali ngozi ya wanawake wa eneo hilo.
Licha ya jua kali, vumbi, na umri mkubwa, baadhi yao walikuwa na:
- ngozi thabiti
- mistari michache sana ya makunyanzi
- na muundo laini usioendana na umri wao
Alipochunguza zaidi, akagundua jambo moja la ajabu:
Wanawake hao walikuwa wakitumia mchanganyiko wa asili uliorithishwa kizazi hadi kizazi— uliohusisha mmea adimu wa rangi ya bluu uliokuwa ukiota kandokando ya maeneo ya kale ya ziwa Nile.
Mmea huo ulikuwa umetajwa pia kwenye maandiko ya kale kama:
“Mlinzi wa ngozi ya Malkia.”
Hapo ndipo Dr. Joanne alianza kuchunguza kwa kina.
Dr. Joanne alifanya kile ambacho wanasayansi hufanya vizuri zaidi:
Akaacha imani, akaanza kupima.
Alipochambua mmea huo maabara, aligundua kitu cha kushangaza sana.
Mmea wa bluu ulikuwa na phyto-compounds adimu zenye uwezo wa:
- kuzuia (inhibit) collagenase
- kupunguza kasi ya kuvunjwa kwa collagen
- na kulinda muundo wa ngozi dhidi ya kuharibika mapema
Kwa lugha rahisi:
Wakati collagenase inajaribu “kula” collagen… mmea wa bluu unaizuia kabla haijafanya uharibifu.
Hii ndiyo sababu wanawake wa kale wa Misri:
- Hawakulazimika “kuficha” makunyanzi
- Bali waliweza kuyazuia yasitokee mapema
Dr. Joanne alinieleza hivi:
“Hii si cream ya kuongeza unyevunyevu tu, Vivian. Huu mmea unalinda msingi wa ngozi.”
Changamoto kubwa haikuwa kugundua mmea…
Ilikuwa kuufanya upatikane kwa usalama, ubora, na kwa kiwango kikubwa.
Dr. Joanne aliniambia hakutaka:
- Kuharibu mazingira
- Wala kutumia mmea wa porini bila udhibiti
Ndiyo maana alianzisha shamba maalum (controlled plantation) kwa kushirikiana na wakulima wa eneo hilo.
Kila mmea:
- Hulimwa bila kemikali kali
- Huvunwa kwenye hatua sahihi ya ukomavu
- Na kusindikwa kwa njia inayohifadhi ubora wake dhidi ya collagenase
Lakini hakuishia hapo…
Kwa sababu, kama alivyosema:
“Kuzima collagenase pekee haitoshi— ngozi pia inahitaji kujengwa upya.”
Ndipo akaongeza viambato muhimu vya kusaidia ngozi kujijenga upya yenyewe.
Baada ya miaka ya utafiti na majaribio, Dr. Joanne aliunda fomula kamili ya kutengeneza cream ambayo si kama cream ya kawaida…
Bali kama mfumo wa kurejesha ngozi kwenye ubora na ujana wake.
Sasa nilikuwa na furaha kubwa sana maana niliamini nimepata suluhisho sahihi na sikuwa na wasiwasi tena wa kufukuzwa kazi.
Nilivyoanza kutumia cream routine hii, ndani ya siku tatu tu nilianza kuona mabadiliko makubwa.
Mpaka wiki mbili kufika karibu makunyazi yote yalikuwa yameisha na ngozi yangu ilianza kuonekana laini, thabiti na ya kuvutia.
Kama ungependa kujaribu cream hii iliyonisaidia kuondokana na makunyazi yaliyoshindikana fanya hivyo sasa. Cream hii inaitwa…
Hizi Hapa Faida Chache Kati Ya Nyingi Utakazopata Kwa Kutumia Cream Hii:
Ngozi Kukaa Laini na Imara Bila Kukunjamana: Makunyanzi yataanza kupungua hatua kwa hatua, jambo litakalokufanya uonekane mchanga zaidi unapojitazama kwenye kioo. Utaanza kujiamini tena bila kujificha nyuma ya makeup nzito. Watu watakuuliza umefanya nini — sio kukuonea huruma, bali kukuonea wivu.
Ngozi Kujijenga Upya Kama Ya Kijana: Novage inazuia collagenase, hivyo ngozi yako inaanza kujirekebisha yenyewe badala ya kuharibika kila siku. Hii inamaanisha ngozi haitakaa legelege tena — itarudisha ule muonekano wa ujana. Uso wako utarudia kuhisi “uhai”, sio mzito wala mlegevu.
Uso Kuonekana Thabiti na Umenyooka: Mashavu, paji la uso, na maeneo yaliyokuwa yanaanza kudondoka yataanza kukaza taratibu. Hii hukupa muonekano wa mtu anayejitunza, anayejiheshimu, na anayejua thamani yake. Hakuna tena uso unaoonekana kuchoka wala kuzeeka kabla ya wakati.
Muundo Wa Ngozi Kuwa Laini, Ang’avu, na Wenye Kuvutia: Badala ya ngozi yenye makunyanzi, mistari, na ukavu, utaanza kuona uso ulionyooka, laini, na usiodhurika kirahisi na jua. Unapopita mbele ya watu, macho yao yatakaa usoni kwako sekunde chache — si kwa sababu ya makeup, bali kwa sababu ya ngozi yako.
Mwonekano Mdogo Kuliko Umri Wako Halisi: Watu wataanza kukuona una umri mdogo kuliko ulionao. Si kwa bahati — bali kwa sababu chanzo cha kuzeeka (collagenase) kimeanza kudhibitiwa. Utaanza kupiga picha bila filter.
Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?
- Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya masaa 24 ya kuanza kutumia Novege.
- Wapo wengine wanao anza kuona mabadiliko ndani ya siku mbili za kuanza kutumia Novege.
- Hata hivyo, mamia ya wahanga waliotumia Novege, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku tano tu za kuanza kutumia Novege.
- Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku tano na kuendelea.
Novege Inagharimu Kiasi Gani?
Kabla sijakwambia bei ya kutumia NovAge kurejesha ujana wa ngozi yako, nataka kwanza wewe mwenyewe ujipangie thamani yake.
Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho linaloanza kuondoa makunyanzi, kukaza ngozi iliyolegea, kurejesha mng’ao wa uso wako na kukufanya uonekane mdogo kuliko umri wako halisi?
Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba itakayokurudishia uso laini, wenye maji ya ndani, unaong’aa na kukufanya ujiangalie kwenye kioo kwa tabasamu badala ya kujilaumu kimya kimya?
Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho litakalokuokoa na gharama za kliniki za ngozi, peeling, sindano za “anti-aging”, vipimo na bidhaa za majaribio zisizo na matokeo?
Unajipangia bei kiasi gani kwa mfumo kamili wa kurekebisha ngozi uliotengenezwa kwa teknolojia ya juu ya urejeshaji wa seli, collagen renewal, antioxidants na ulinzi wa SPF — utafiti uliogharimu mamilioni kuhakikisha ngozi inarejeshwa bila kuharibiwa?
Nadhani ukiweka thamani ya 2,000,000/= bado hujafikia thamani halisi ya uso wako, kujiamini kwako, hadhi yako na namna unavyoonekana mbele ya watu.
Lakini unajua cha kushangaza ni nini?
Hutalipa hiyo 2,000,000/=
Hutalipa hata nusu yake.
Kwa sababu NovAge haijatengenezwa kwa ajili ya matajiri pekee —bali kwa mwanamke wa kawaida wa Tanzania anayetaka kurudisha ubora wa ngozi yake.
Utapata seti nzima ya kurejesha ngozi yako kwa gharama ya:
650,000/=
Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.
Kama utaweka ODA yako kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa 500,000/=
Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 650,000/=
Usikubali kupitwa na fursa hii. Jinyakulie OFA yako leo na uanze safari ya kurejesha ngozi yako katika ubora wake.
Unasubiri nini kuweka ODA yako? Huu ni mfumo mpya wa kisasa wa kurejesha ngozi, wa gharama nafuu, unaoanza kufanya kazi haraka na kutoa matokeo yanayoonekana na kudumu.
Hii ndiyo tiketi yako ya kuondokana na:
- Ngozi kavu na iliyokosa mng’ao
- Makunyanzi na kulegea kwa uso
- Kuonekana mchovu na mzee kuliko umri wako
- Aibu ya kujitazama kwenye kioo
- Kupotea kwa kujiamini kama mwanamke
Chukua hatua leo, kabla muda haujaacha alama zisizorekebishika kwenye uso wako.
Anza kurejesha uso wako, heshima yako na kujiamini kwako — kuanzia leo.
UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:
Kwa chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kuweka ODA. Kuweka ODA ni rahisi. Utabonyeza sehemu iliyoandikwa "NAHITAJI KUWEKA ODA"
Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.