Bawasure SP - Online Marketing System Pro
Kwa mhanga wa bawasiri ambaye katumia tiba kibao bila mafanikio

Njia Hii Ya Pande Mbili Inatibu Bawasiri, Inaondoa Maumivu, Muwasho na Kurejesha Uhuru wa Maisha Yako Tena!

Zamani ulikuwa unakula chochote unachotaka.

Wali. Nyama. Chapati. Kitu chochote kilichokuwa ndani ya uwezo wako.

Lakini sasa mambo yamebadilika.

Uhuru wa kula chakula chochote unachotaka umeibiwa na hali ya kupata choo kigumu chenye kuambatana na maumivu makali sana.

Kila unapotaka kula lazima ufanye tasimini ya hiko chakula.

"Je, hiki kitanifanya nipate choo kigumu kesho asubuhi?
Je, kesho itakuwa siku yenye maumivu makali nikila hiki chakula?"

Unaanza kuchagua chakula kwa makini.

Baadhi ya vyakula unapunguza.

Wakati mwingine unaacha kabisa kuvila.

Si hivyo tu…

Zamani ulikuwa unakaa kawaida tu.

Ofisini kwenye kiti chako. Gari. Kwenye vikao vya familia. Hata kanisani.

Lakini sasa si hivyo tena.

Umebuni pozi jipya la ukaaji. Unakalia kalio moja huku lingine umelibinua kwa juu kidogo ili kukusaidia kuvumilia maumivu.

Kwa sasa mpaka akili yako imeshazoea mkao huo mpya, unajikuta unakaa hivyo moja kwa moja bila hata kufikiria.

Imekuwa kama kawaida yako mpya.

Na watu waliokuzunguka hawajui kabisa kwa nini unakaa hivyo.

Na chooni — mahali ambako zamani haikuwa kitu cha kufikiria, ilikuwa tu kawaida yako ya kila siku, dakika kadhaa tu shughuli imekwisha.

Sasa unasimama kwanza nje ya mlango na kujiandaa kiakili.

Unajua kitakachofuata.

Kusukuma.

Maumivu makali.

Kuungua.

Wakati mwingine hata unakaa chooni kwa dakika chache kupumzika kwanza, kabla hujatoka.

Bila hata kujua, tatizo hili limekufanya uwe na maisha mapya ya siri.

Na kibaya zaidi?

Pengine hujamwambia mtu hata mmoja.

Si rafiki yako wa karibu.

Si mwenzi wako wa ndoa.

Kwa sababu kulingana na tatizo lilipo na maumivu yanavyotokea huwafanya watu wengi wakae kimya kabisa.

Wanalibeba tatizo peke yao.

Wanalidhibiti kimya kimya.

Na kila siku wanatumaini kwamba…

Ipo siku litaisha.

Lakini ukweli ni huu:

Tatizo hili ni gumu kuisha.

Wewe mwenyewe ni shahidi.

Umetumia tiba kibao mpaka sasa lakini ndo kwanza tatizo linazidi kuchachamaa.

Kuna sababu kwa nini tatizo hili ni gumu kuisha.

Ndani ya sekunde 60 zijazo nitakwambia sababu hiyo lakini tambua kwamba…

Nafahamu jinsi unavyohangaika kwa sababu nilishuhudia jinsi ndugu yangu alivyoteseka na kupoteza nuru ya maisha kwa sababu ya bawasiri.

Ilianza kabisa kama ilivyoanza kwako.

Choo kigumu.

Muwasho sehemu za siri.

Maumivu kidogo.

Alidhani ni kitu kitakachopita tu.

Halafu damu ikaanza kuonekana.

Baadaye kukaa kawaida kukawa haiwezekani tena — alianza kukaa upande mmoja, akiinua kidogo upande mwingine, akijaribu kutafuta pozi ambalo maumivu yake yangekuwa kidogo.

Baadaye hata hiyo haikusaidia tena.

Siku ambazo maumivu yalikuwa makali zaidi, alijikuta anapiga magoti na kuweka mikono chini — kama mtoto anayejifunza kutambaa.

Pozi hilo la mtoto kutambaa angalau lilifanya maumivu yapungue kwa muda.

Hata lala yake ilikuwa ya shida sana.

Alianza kuwa makini sana na kila kitu alichokula.

Si kwa sababu alipenda.

Kwa sababu hakuwa na chaguo.

Chakula chake chote sasa kilikuwa kinaamuliwa na hali yake.

Alifanyiwa upasuaji.

Tatizo likarudi tena.

Akajaribu dawa za kumeza.

Spray.

Dawa za kulainisha choo.

Alijaribu kila kitu.

Hakuna kilichofanya kazi.

Na ukweli mchungu ni huu…

Mwisho wa siku alipoteza maisha.

Sijakusimulia stori hii ya ndugu yangu kukutisha.

Nimekusimulia kwa sababu wewe pia sasa upo kwenye njia ile ile aliyopitia ndugu yangu.

Labda bado uko kwenye hatua za awali.

Maumivu kidogo tu, damu kidogo… na unajiambia kuwa itaisha yenyewe.

Labda tayari uko katikati ya safari — tayari unakaa upande mmoja, tayari unachagua chakula kwa makini, tayari umeanza kujenga maisha ya siri ya kudhibiti tatizo hili.

Haijalishi tatizo lako limefikia hatua ipi — Unahitaji matibabu ya pande mbili kuweza kulimaliza kabisa tatizo hili likaisha kabisa.

Kuna kitu ambacho hakuna anayekuambia unapokwenda kununua cream ya bawasiri pharmacy.

Maumivu unayohisi nje ya mwili — siyo tatizo lenyewe lilipo.

Tatizo halisi lipo ndani ya mwili wako.

Ndani kuna mishipa iliyovimba na kujaa damu iliyoganda, ambayo inapata shinikizo kutoka ndani — kutokana na choo kigumu, kusukuma choo kubwa kwa nguvu, na jinsi mwili unavyofanya kazi kila siku wakati mfumo wake hauko sawa tena.

Cream ya kupaka nje haiwezi kufika huko ndani.

Inaweza tu kutuliza maumivu kwa juu.

Inapunguza ule moto na kuwasha kwa masaa machache.

Inakupa nafuu ya muda ili uweze kuendelea na siku yako.

Halafu baada ya muda inaisha nguvu.

Maumivu yanarudi tena.

Kwa nini?

Kwa sababu chanzo cha tatizo hakijaguswa kabisa.

Ndiyo maana unaweza kuwa umetibu hali hii kwa miezi… au hata miaka… lakini bado hujawahi kupata nafuu ya kweli.

Ulikuwa unatibu dalili tu.

Wakati tatizo linazidi kupamba moto kwa ndani.

Na hii hapa ni sehemu inayopaswa kukufanya ufikirie zaidi:

Kila unapopata nafuu ya muda kisha tatizo linapokuja tena — linarudi kwa kasi na likiwa kali zaidi kuliko mara ya mwisho.

Mishipa ile iliyovimba inaenda ndani zaidi kidogo. Uvimbe unaongezeka kidogo zaidi. Damu iliyoganda kwenye mishipa inaongezeka.

Na uharibifu unaendelea kufanyika kimya kimya — bila wewe kuona — wakati unajiambia kuwa unadhibiti tatizo.

Lakini ukweli ni huu:

Wewe hulidhibiti tatizo.

Tatizo ndilo linalokudhibiti wewe.

Limeanza kudhibiti unachokula.

Limeanza kudhibiti jinsi unavyokaa.

Limeanza kudhibiti wapi unaweza kwenda na muda gani unaweza kukaa.

Limeanza kudhibiti asubuhi yako.

Choo chako.

Chakula chako.

Na hata heshima yako binafsi.

Na kama hali hii itaendelea bila kudhibitiwa mapema…

Utapoteza uhuru wako wa maisha.

Bawasure — Hemocare Liquid na Hemocare Cream

Bawasure si cream.

Si tembe.

Wala si bidhaa moja tu inayoshambulia upande mmoja huku upande mwingine ukiendelea kubaki bila kushughulikiwa.

Bawasure ni mfumo kamili wa matibabu — uliotengenezwa kwa kuzingatia ukweli mmoja muhimu unaobadilisha kila kitu:

Bawasiri ipo ndani ya mwili wako na nje ya mwili wako kwa wakati mmoja.

Na suluhisho linalofanya kazi kikamilifu lazima lishughulikie pande zote mbili — kwa wakati mmoja.

Ndio maana Bawasure ni dawa mbili kwa wakati mmoja:

HEMOCARE LIQUID — Shambulio la Ndani

Hii ni ya kunywa. Inaingia ndani ya mwili wako na kufika moja kwa moja mahali ambapo tatizo halisi linaanzia.

  • Inafanya kazi kwenye mishipa ya ndani iliyovimba — kusaidia kupunguza uvimbe kwenye chanzo cha tatizo.
  • Inasaidia pia kupunguza na kusimamisha damu kutoka ndani.
  • Na inasaidia kulainisha choo, ili kila asubuhi unaposimama nje ya mlango wa choo usiwe tena na hofu ya kile kinachoenda kutokea.

Kutibu upande wa ndani wa tatizo kunavunja ule mzunguko wa mateso.

Sio tu kutuliza juu juu — bali kushughulikia kile kinachotokea ndani kabisa, mahali ambapo cream haiwezi kufika.

HEMOCARE CREAM — Nafuu ya Nje

Hii ni ya kupaka… na ndani ya dakika chache unaanza kuhisi ikifanya kazi.

Ule moto na kuungua vinatulia.

Uvimbe wa nje unaanza kupungua.

Maumivu na ule muwasho unaokusumbua siku nzima — vinavyokufanya ubadilishe mapozi ya kukaa kila baada ya dakika chache — vitaisha.

Inaupa mwili wako nafuu ya haraka unayohitaji ili uendelee na siku yako… wakati HemoCare Liquid inaendelea kufanya kazi yake ndani ya mwili.

Zikiwa Pamoja — Bawasiri Haina Mahali pa Kujificha

Moja inashambulia ndani.

Moja inashambulia nje.

Kwa wakati mmoja, unapata matibabu ya pande zote mbili.

Na hapo ndipo nguvu yake ilipo.

Mohamedy Hassan
Salima Khalfani
Masoud Ally — Dar es Salaam
"Nilikuwa nasumbuliwa na bawasiri kwa zaidi ya miaka 3. Maumivu yalikuwa makali sana mpaka nilikuwa naogopa kwenda chooni. Nilipoanza kutumia Hemocare Liquid na Hemocare Cream, ndani ya siku chache maumivu yalipungua sana na baada ya muda mfupi uvimbe ulianza kupotea kabisa. Leo nipo vizuri kabisa. Nawashauri wanaosumbuliwa na tatizo hili wasichelewe kutafuta hii dawa."
Simoni Sizya — Pwani
"Nilikuwa na damu kila nikienda chooni na nilifikiri labda nitaishi na tatizo hili milele. Rafiki yangu alinipendekezea Hemocare Liquid pamoja na Hemocare Cream. Baada ya kuanza kutumia niliona mabadiliko haraka sana. Sasa naenda chooni bila maumivu wala damu. Nimeshukuru sana kupata tiba hii."
Ngwane Kaniki — Geita Mjini
"Nilikuwa na uvimbe mkubwa wa bawasiri uliokuwa unanifanya nishindwe kukaa muda mrefu. Nilipoanza kutumia Hemocare Cream kupaka pamoja na Hemocare Liquid kunywa, uvimbe ulianza kupungua polepole mpaka ukaisha kabisa. Kwa kweli hii dawa imenisaidia sana."
Joyce Amosi — Singida
"Kabla sijatumia Hemocare, nilikuwa nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio. Lakini baada ya kutumia Hemocare Liquid na Hemocare Cream, hali yangu ilibadilika kabisa. Maumivu yalipungua na tatizo la bawasiri likaisha. Nimepata faraja kubwa sana."
Dickson Daudi — Mbeya
"Nilikuwa naona aibu sana kuzungumzia tatizo la bawasiri lakini mateso yake yalikuwa makubwa. Nilipopewa Hemocare Liquid na Hemocare Cream, nilianza kuona nafuu haraka. Sasa naishi maisha ya kawaida kabisa bila usumbufu wa bawasiri."
Amina Salumu — Kigoma
"Bawasiri ilikuwa inanipa shida sana hasa wakati wa kwenda chooni. Nilikuwa na maumivu makali na wakati mwingine damu. Baada ya kutumia Hemocare Liquid na Hemocare Cream, maumivu yalipungua na baada ya muda nikapona kabisa. Naishukuru sana hii dawa."
Shabani Abdallah — Songea
"Nilikuwa nimekata tamaa kwa sababu bawasiri ilikuwa inanisumbua kwa muda mrefu. Lakini baada ya kutumia Hemocare Liquid na Hemocare Cream, hali yangu ilibadilika kabisa. Leo sina maumivu wala uvimbe. Nawashauri wote wenye tatizo hili watafute tiba mapema."

Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?

Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya masaa 24 ya kuanza kutumia Bawasure.

Wapo wengine wanaanza kuona mabadiliko ndani ya siku mbili za kuanza kutumia Bawasure.

Hata hivyo, mamia ya wahanga waliotumia Bawasure, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku tatu tu za kuanza dozi ya Bawasure.

Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku tatu na kuendelea.

Inagharimu Kiasi Gani Kupata Tiba Hii Ya Bawasure?

Unapochagua Bawasure leo, hupati bidhaa moja tu.

Unapata mfumo kamili wa kushughulikia bawasiri kutoka ndani na nje kwa wakati mmoja.

Hebu tuangalie kila kitu unachopata:

HEMOCARE LIQUID (Shambulio la Ndani)

Dawa ya kunywa inayofanya kazi ndani ya mwili wako kushughulikia chanzo cha tatizo.

Inasaidia:

  • Kupunguza uvimbe wa mishipa ya ndani
  • Kupunguza na kusimamisha damu kutoka ndani
  • Kurahisisha choo kupita bila maumivu makali
  • Kuvunja ule mzunguko wa choo kigumu → maumivu → damu
Bidhaa kama hii peke yake mara nyingi huuzwa kwa zaidi ya Tsh 120,000

HEMOCARE CREAM (Nafuu ya Haraka Kwa Nje)

Dawa ya kupaka inayotoa nafuu ya haraka unapohisi maumivu, kuwashwa au kuungua.

Inasaidia:

  • Kutuliza maumivu na kuungua
  • Kupunguza uvimbe wa nje
  • Kupunguza muwasho unaokusumbua siku nzima
  • Kukupa nafuu wakati sehemu ya ndani inaendelea kutibiwa
Dawa kama hii peke yake mara nyingi huuzwa kwa takribani Tsh 80,000

Mfumo wa Matibabu wa Ndani + Nje

Hiki ndicho kinachofanya Bawasure kuwa tofauti.

Badala ya kushughulikia upande mmoja tu wa tatizo… unashambulia bawasiri kutoka pande zote mbili kwa wakati mmoja.

Hii ndiyo sababu watu wengi wanaanza kuona mabadiliko makubwa wanapotumia tiba hii.

Thamani Kamili ya Tiba Hii

Kama ukinunua dawa za aina hii sehemu tofauti, ungeweza kulipa:

HEMOCARE LIQUIDTsh 120,000
HEMOCARE CREAMTsh 80,000
Thamani kamili:Tsh 200,000

Lakini Leo Huhitaji Kulipa Hiyo

Kwa sababu ya ofa maalum ya wateja wapya…

Unaweza kupata Bawasure kwa:

Bei ya Leo
Tsh 165,000 Tu

Hii inamaanisha… Unapata tiba kamili ya kushughulikia bawasiri kwa bei ambayo ni chini ya gharama ya kutibu dalili zake kwa miezi mingi.

Na muhimu zaidi… Ni bei ndogo ukilinganisha na gharama ya:

  • maumivu ya kila siku
  • hofu ya kwenda chooni
  • na maisha yanayozidi kubanwa na tatizo hili

AHADI YETU KWAKO

Tunajua umechoka kujaribu dawa mbalimbali ambazo hazikupi matokeo ya kweli.

Ndiyo maana tunakupa ahadi hii ya moja kwa moja:

Tumia Bawasure kwa wiki 4.

Kama baada ya hapo:

  • Bado utakuwa unasikia maumivu makali unapokwenda chooni au unapokaa
  • Bado utakuwa unapata choo kigumu chenye damu
  • Bado utakuwa unawashwa sehemu za siri
  • Au hujaona mabadiliko yoyote ya maana

Tutakurudishia 100% ya pesa zako.

Hakuna maswali mengi.

Hakuna usumbufu wowote.

Hasara yote tunachukua sisi — sio wewe.

Zimebaki Chupa 57 Tu.

Uhitaji wa Bawasure ni mkubwa sana kwa sasa.

Kwa sasa chupa 57 tu ndizo zimebaki, na kwa kawaida huisha ndani ya siku chache tu.

Ndiyo maana nakushauri usitoke kwenye ukurasa huu bila kuweka oda yako.

Kwa sababu ukitoka na kurudi baadaye, kuna uwezekano mkubwa utakuta zimeisha.

Na zikishaisha, itabidi usubiri takribani miezi 2 hadi batch nyingine ya dawa itengenezwe tena.

NJIA YA MALIPO

Malipo yote yanafanyika kwa Lipa namba ya Voda.

Lipa namba ya Voda:

56776685

Jina: Mohamedy Juma

Utaratibu wa Malipo Upo Kama Ifuatavyo:

Tunatambua kwamba mtandaoni kuna utapeli mwingi na watu wa mikoani (Nje ya Tabora) wanaibiwa pesa zao kila siku.

Kwa sababu hiyo tulijaribu kufanya utaratibu wa wateja wetu wa mikoani kulipia gharama zote baada ya kuwa wamepokea mizigo yao lakini tunasikitika kwamba asilimia kubwa ya wateja wa mikoani hawakuonesha ushirikiano mzuri.

Wengi wao baada tu ya kujulishwa kwamba mizigo yao imefika waifuate ndo wafanye malipo hawakupokea simu zetu tena na wengine wakasema wameghairi kuchukua dawa, hivyo ilitulazimu kuisafirisha mizigo kuirudisha Tabora kitu ambacho kilileta hasara kwa upande wetu.

Kwa sababu hiyo utaratibu wetu mpya wa malipo uko kama ifuatavyo:

  • Kama upo mkoani (nje ya Tabora) ili uweze kutumiwa mzigo mkoani itakubidi ulipe kwanza advance ya 10,000 halafu utaratibu wa kutumiwa mzigo wako kuja mkoani ndipo utakapofanyika. Baada ya kupokea mzigo wako ndipo unamalizia 155,000/= iliyobaki.
  • Kama upo Tabora, unasubiri kuletewa dozi yako na kisha unafanya malipo yote.

Kujaza fomu ya kuweka ODA ni rahisi.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa NAHITAJI KUWEKA ODA. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu au kukutumia SMS kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. M/Mungu akubariki.

Ni mimi mwenye kujali afya yako,
Mr Mohamedy.

P.S: Bado unasita kuweka ODA yako?

Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa Bawasure haitakusaidia kupona kabisa bawasiri ndani ya siku 30 tu.

Huna cha kupoteza. Una kila sababu ya kuweka ODA yako sasa hivi ili uanze kuishi maisha yenye furaha na amani bila maumivu wakati wa kukaa au haja kubwa.

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications