Jipatie Kozi Ya Meta Ads Mastery
Kwa Tsh 45,000 Kabla Saa Haijasoma Sifuri
Hiki hapa ndio kinaenda kutokea mara baada ya wewe kufanya malipo:
- Utakutana na ukurasa wenye link ya WhatsApp Support Group. Hili ni group maalumu kwa ajili ya kuuliza maswali yote kuhusu Meta Ads Mastery. Cha zaidi, kila "update" ya matangazo ya Meta waliomo kwenye group hili watakuwa wa kwanza kuipata.
- Nitakutumia link ya kulogin kwenye mfumo wa mafunzo ili uweze ku-access kozi yako mara moja.
Malipo yote yanafanyika kupitia LOCKWOOD TECKNOLOGY, kampuni iliyosajiliwa kiserikali inayotumiwa na maelfu ya wafanyabiashara Tanzania kukusanya malipo kwa usalama.
Biashara yangu ya "Sell Digital" imesajiliwa rasmi na inalipa kodi, na hapa chini nimeambatanisha cheti cha usajili na leseni ya biashara kwa uthibitisho wako.


Kufanya malipo ni rahisi tu.
Bonyeza hapo chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA 45,000 "
Baada ya kubonyeza sehemu hiyo, utafunguka ukurasa mpya ambao utaonekana kama kwenye picha hii hapa chini.

Kama unavyoona kwenye picha unaweza kulipa kwa mitandao yote ya simu: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, Halopesa.
Tafadhali hakikisha una salio la kutosha kwenye simu yako kabla ya kulipia.
Salio lako liwe ni zaidi ya Tsh 45,000/=
Hii ni kwa ajili ya makato ya kawaida ya serikali na mtandao wa malipo.
Jaza majina yako kamili, barua yako pepe (email), na namba yako ya simu, kisha bonyeza Pay Now.
Baada ya hapo, ujumbe wa malipo (popup) utaonekana juu ya screen ya simu yako ukikuomba uweke namba yako ya siri (PIN) ili kuthibitisha malipo kutoka kwenye akaunti yako kwenda Snippe.
PIN yako hutumika moja kwa moja kuthibitisha malipo na haitunzwi wala kuonekana na mtu yeyote.
Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo.