Ombi La Kujiunga Kwenye FOCUS TEAM
Kwa kujaza fomu hii unatambua na unakubali kuanza biashara hii chini ya usimamizi wa kiongozi Amida kwa MTAJI wa Tsh 390,000/=
Kama baada ya kuangalia mafunzo yote ya siku tano, unaona hii ni fursa ya biashara ambayo inakufaa, unaweza kuifanya na upo tayari kuanza, bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "NIPO TAYARI KUANZA BIASHARA"