Kama sponsored ads zinakuvutia lakini hofu ya kupoteza pesa inakuzuia kuanza – umefika mahali sahihi...

HATIMAYE IMEVUJISHWA: Siri Ya Andromeda Ambayo Itakufanya Uanze Kurusha Sponsored Ads Kwa Ujasiri Na Upate MAFULIKO YA WATEJA Hata Kama Huna Uzoefu Wowote.

Kutoka kwa: Mr Bokko

Godfather wa Meta Ads Tanzania.

Dar es Salaam.


Ndugu mfanyabiashara,

Kama unarusha matangazo ya kulipia Facebook & Instagram halafu unaishia kuchoma tu hela bila kupata wateja hii hapa ndio sababu:

Andromeda.

Andromeda ni mfumo mpya wa matangazo ya kulipia Facebook na Instagram.

Kama Andromeda ni mfumo mpya maana yake hapo mwanzo kulikuwepo na mfumo mwingine.

Hivyo basi, Andromeda imeibua matabaka mawili ya wafanyabiashara.

  1. Wafanyabiashara ambao bado wanacheza mchezo wa zamani. Ambao zama zake zimeshapita.

Hawa ni wale ambao bado wanarusha matangazo yao kizamani, zama za mfumo uliopita.

Hawajui kama mfumo umeshabadilika lakini wao bado wanaendelea kurusha matangazo kwa njia ambazo zilifanya kazi kwenye mfumo wa zamani halafu wanashangaa kwanini hawapati matokeo mazuri.

Ukweli mchungu ni kwamba Andromeda inawachukia sana wafanyabiashara ambao bado wanarusha matangazo kizamani…

Kwa sababu wanakinzana nayo. Yenyewe inataka mchezo uchezwe na ngoma za kisasa zaidi lakini wao wanacheza mchezo kwa ngoma ambazo ni zilipendwa.

Kwahiyo sasa, ukirusha matangazo kizamani maana yake unaiambia Andromeda ifanye kazi ambayo ilikuwa inafanywa na mfumo wa zamani. Kitu ambacho hakiwezekani.

Matokeo yake ni kwamba wanaishia kuchoma bajeti kila siku na kuona matangazo ya kulipia hamna kitu.

Lakini kuna kina hawa hapa…

    2. Wafanyabiashara ambao wanacheza mchezo wa matangazo ya kulipia kisasa zaidi.

Hawa wanaelewa kwamba zama zimebadilika. Mfumo wa matangazo ya kulipia wa zamani sio wa sasa.

Wa zamani ulichezwa kivyake. Na huu wa sasa unachezwa kwa style yake mpya.

Na wanaocheza mchezo huu kisasa, Andromeda INAWAZAWADIA MAFULIKO YA WATEJA.

Na wakati wanaocheza kwa njia za kizamani, Andromeda inaumia kuona bajeti zinalika tu bila matokeo mazuri.

Swali kwako: Unacheza mchezo mpya wa Andromeda kama inavyokutaka ucheze au bado unacheza kizamani?

Kama bado unacheza kizamani maana yake upo kwenye kundi la kwanza la wafanyabiashara ambao kamwe hawatakuja kupata matokeo mazuri zaidi ya kuishia kuchoma bajeti zao kila siku.

Na kibaya zaidi ni kwamba...

Wafanyabiashara ambao bado wanarusha matangazo yao kizamani wanadhani kujua kuseti na kurusha matangazo ndio kuna mchango mkubwa wa kufanya tangazo liwe na matokeo mazuri.

Sio kweli.

Kujua kuseti na kurusha matangazo kuna mchango wa asilimia 25% tu kwenye kulifanya tangazo likupatie matokeo.

Asilimia 75% zilizobaki hazipo kwenye kujua kuseti na kurusha matangazo.

Ziko wapi sasa, unauliza?

Asilimia 75% za tangazo lako kufanya vizuri ziko kwenye kuelewa Andromeda inafanyaje kazi na inakutaka wewe mrusha matangazo urusheje hayo matangazo ili ifanye kazi yake ya kukupatia wateja.

Unaweza ukaona sababu ya wewe kuchoma tu hela bila kupata matokeo mazuri ni kukimbilia kurusha tangazo ingali bado hujui Andromeda inafanyaje kazi na inakutaka wewe urusheje hayo matangazo ili kupata wateja.

Kwahiyo mfanyabiashara ambaye matangazo yake yatampatia matokeo mazuri ni yule ambaye:

  1. Anaelewa Andromeda inavyofanya kazi (Anaelewa mchezo unavyochezwa) 
  2. Anaelewa Andromeda inataka yeye arusheje matangazo (Anaelewa achezeje mchezo ili kushinda)
  3. Anarusha matangazo katika namna ambayo inaendana na Andromeda inavyotaka (Anacheza mchezo mpya jinsi unavyotakiwa kuchezwa)

Je, huyo ni wewe?

Nina uhakika sio wewe. Unajua kwanini?

Kwa sababu ungekuwa mfanyabiashara huyo anayeelewa mambo hayo matatu ungekuwa upo bize kupokea mafuliko ya wateja badala ya kusoma ujumbe huu.

Na bado unaendelea kusoma.

Hiyo inaniambia na kunidhihirishia kwamba bado upo kwenye kundi la wafanyabiashara ambao hawapati matokeo mazuri kwa sababu yakutojua mchezo mpya wa Andromeda upoje na ili kupata mafuliko ya wateja unatakiwa uchezweje.

Ufanye nini sasa ili na wewe uwe miongoni mwa wafanyabiashara wenye kupata mafuliko ya wateja?

Ni rahisi tu kama ifuatavyo:

  1. Hakikisha unaelewa jinsi Andromeda inavyofanya kazi.
  2. Hakikisha unajua nini Andromeda inakutaka ufanye ili matangazo yako yaweze kukuletea mafuliko ya wateja.
  3. Hakikisha unajua jinsi ya kuseti na kurusha matangazo kama Andromeda inavyotaka.

Mambo hayo matatu yatakutoa kwenye kundi la kwanza la wafanyabiashara ambao matangazo yao yanaishia tu kuchoma hela na kukupeleka kundi la pili la wafanyabiashara ambao matangazo yao yanaleta mafuliko ya wateja.

Tatizo ni kwamba mambo hayo matatu:

  • Hayapatikani kwenye video za YouTube
  • Hayapatikani kwenye video za Facebook au Instagram
  • Hayapatikani Google.
  • Hayapatikani kwenye kozi ambazo umeshawahi kununua
  • Hayapatikani chatGPT
  • Hayapatikani kwenye AI yoyote ile unayoifahamu.

Yanapatikana sehemu moja tu Tanzania nzima.

Sehemu yenyewe ni kwenye kozi yangu mpya ambayo nimeipa jina la: Meta Ads Mastery.

Meta Ads Mastery ni daraja la kukutoa kwenye kundi la kwanza la wafanyabiashara ambao wanachoma tu bajeti zao bila kupata wateja kwenda kwenye kundi la pili la ambao wanapata mafuliko ya wateja.

Aidha upite darajani uvuke salama au ujaribu kuruka mto mkubwa bila kupita darajani uishie kuelea majini.

Tayari nimeshakutengenezea daraja…

Je, uko tayari kulitumia?

Ukweli ni kwamba “Meta Ads Mastery” ni sawa na dhahabu ambayo iko sehemu ya wazi kabisa mbele yako.

Uamuzi ni wako. Uichukue ukabadilishe maisha ya biashara yako au ufanye kama vile hujaiona umuachie mfanyabiashara mwenye njaa kali ya kukuza biashara yake aanze kupata MAFULIKO YA WATEJA — uanze kumuona ni mchawi.

Hata hivyo, haya hapa ni baadhi ya mambo machache kati ya mengi ambayo utajifunza kutoka kwenye kozi hii mpya ya Meta Ads Mastery.

Part 1: Understanding Andromeda

Kuelewa jinsi Andromeda inavyofanya kazi na inakutaka wewe mrusha matangazo ufanye nini kupata matokeo mazuri.

Katika sehemu hii ya kwanza, utajifunza:

  • Mabadiliko makubwa manne yaliyotokea kwenye kurusha matangazo ya Meta baada ya toleo la mfumo mpya wa Andromeda.
  • Aina mpya ya matangazo yenye kuleta mafuliko ya wateja yanayoitwa "avatar Specific Creatives"

Part 2: Creative Research & Production

Baada ya kuelewa jinsi Andromeda inavyofanya kazi na aina mpya ya matangazo inayoitwa  "avatar Specific Creatives" kwenye sehemu hii ya pili utajifunza:

  • kutumia mfumo wangu wa Avatar Discovery System kutengeneza hizo "avatar Specific Creatives" —Yaani matangazo yenye kuleta mafuliko ya wateja kwenye Andromeda.
  • Part-1 inakuonesha aina hiyo mpya ya matangazo ipoje na wakati part-2 inakuonesha jinsi ya kutumia mfumo wangu wa Avatar Discovery System kutengeneza hayo matangazo ndani ya dakika 2 au chini ya hapo.

Part 3: Campaign Structure & Testing

Baada ya kutengeneza aina hiyo mpya ya matangazo yenye kuleta mafuliko ya wateja kwenye part-2, kwenye part-3 utajifunza:

  • Namna ya kurusha na kupangilia matangazo hayo ya "avatar Specific Creatives" ili yaweze kukuletea MAFULIKO YA WATEJA

Part 4: Scaling Winners

Baada ya kujua jinsi ya kurusha na kupangilia "avatar Specific Creatives" katika namna ambayo itakuletea MAFULIKO YA WATEJA, kwenye part-4 utajifunza:

  • Mbinu 2 za kuyafanya hayo matangazo YASABABISHE MAFULIKO ENDELEVU YA WATEJA.

Part 5: Launching Ads

Tunamalizia part-5 kwa kutekeleza kila kitu ulichojifunza kuanzia Part 1 mpaka Part 4 kwa vitendo ndani ya Ads Manager yako, hatua kwa hatua, mpaka uweze kurusha matangazo yanayoleta mafuliko ya wateja.

Kwa ufupi ni kwamba part-1 mpaka part-4, inahusu kuelewa Andromeda inavyofanya kazi na mkakati (strategy) ya kukufanya urushe matangazo yenye kuleta mafuliko ya wateja. Halafu part 5 ndio kuingia dimbani. Kuanza kuucheza mchezo wenyewe — yaani kurusha hayo matangazo yenyewe sasa ndani ya Ads Managaer hatua kwa hatua kwa vitendo zaidi.

Mpaka sasa najua unajiuliza swali moja tu kichwani mwako…

Meta Ads Mastery Inagharimu Kiasi Gani?

Fikiria hili…

Nimewekeza  dola 2,997 (Tsh 7,000,000+) kupata haya madini yaliyomo kwenye Meta Ads Mastery. 

Lakini wewe utalipia Tsh 150,000 tu kuyapata. 

Niambie kama huo sio wizi ni nini.

Ni sawa na kusema nipe Tsh 150,000 halafu mimi nikupe Tsh 7,000,000 

Hata hivyo, kama utalipia kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utajipatia kozi hii kwa bei sawa na jeans moja pale kariakoo.

Tsh 45,000 Tu

(Una-save  Tsh 105,000 nzima)

Chaguo ni lako, aidha ukanunue jeans moja kariakoo kwa Tsh 45,000 ambalo ndani ya mwezi litakuwa limeshaanza kupauka na unafikiria kununua lingine…

Au ulipie Meta Ads Mastery kwa Tsh 45,000 ikuletee MAFULIKO YA WATEJA kwenye biashara yako na utengeneze faida kubwa ya kuweza kununua jeans hata 100 huku biashara yako ikiendelea kufurahia MAFULIKO HAYO YA WATEJA.

Lakini inabidi ufanye maamuzi haraka kwa sababu saa hiyo hapo juu ikisoma tu sifuri, bei inarudi kwenye Tsh 150,000.

Wafanyabiashara watakao jiunga kwenye kozi hii leo, ndani ya siku 30 zijazo watakuwa kwenye maandalizi ya KUPOKEA MAFULIKO YA WATEJA kwenye biashara zao. 

Swali pekee kwako ni hili: Je, utaungana nao mnufaike pamoja au utawaangalia wanufaike wao peke yao huku biashara yako ikiendelea kugeuka kuwa JANGWA la kukosa wateja?

Kama utajiunga leo kwenye kozi ya Meta Ads Mastery nitakuzawadia na BONUS ifuatayo:

Meta Ads Profit ToolBox

Unatakiwa uelewe kwamba hakuna tangazo ambalo litafanya vizuri siku zote.

Hata tangazo zuri kuna wakati inafika halifanyi vizuri tena.

Changamoto kubwa ni kwamba wafanyabiashara wengi hawajui sababu zinazopelekea tangazo lililokuwa linafanya vizuri kuanza kufanya vibaya. Matokeo yake wengi wao huishia kuchoma pesa kwa kufanya mambo kwa kubahatisha.

Taarifa njema ni kwamba...

Katika kozi hii ya "Meta Ads Profit ToolBox" nakufundisha sababu 8 zinazopelekea matangazo mazuri kuanza kufanya vibaya na mbinu za kufanya ili kuyarudisha matangazo mazuri kwenye ubora wake.

Thamani ya BONUS hii ni Tsh 100,000/=

Kwahiyo kwa ujumla, hii hapa orodha ya vitu Vyote utakavyovipata kama utalipia Tsh 45,000/= leo:

  • Kozi ya “Meta Ads Mastery” — Thamani Yake Tsh 150,000/=
  • Kozi ya “Meta Ads Profit ToolBox” — Thamani Yake Tsh 100,000/=

Jumla ya thamani ya Kila kitu utakachopata ni Tsh 250,000/= lakini wewe kwa leo utalipia…

Tsh 45,000/= Tu

Mafunzo Yanaanza Lini?

Mafunzo ya kozi nzima yameshaandaliwa tayari katika mfumo wa video na kwa lugha ya kiswahili.

Kwahiyo kozi ishaanza tayari ni wewe kujiunga na kuanza mafunzo haraka iwezekanavyo.

Na mafunzo haya yanatolewa kwenye tovuti yangu (Online) na sio kwa kukutana ana kwa ana wala kwenye group la whatsapp.

Utapata kujifunza ukiwa sehemu yoyote ile hapa Tanzania na kwa muda wako.

Mara tu baada ya kukamilisha malipo unapata access ya mafunzo.

Unaweza kuanza kujifunza muda huo huo au siku nyingine ni juu yako.

Kufanya malipo ni rahisi tu.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “LIPIA SASA”

Unalindwa na Guarantee Ya Siku 30 — UJue Namna ya Kurusha Matangazo Kama Ambavyo Andromeda Inataka Ili Kukupa Wateja au Nikurushie na Kusimamia Matangazo Yako Kwa Mwezi Mzima BURE

Kama umesoma kuanzia mwanzo mpaka kufikia hapa na bado hujalipia kujiunga, nahisi umevutiwa na kozi hii… lakini bado unajiuliza kama kweli kozi hii itakupatia matokeo.

Ni sawa kabisa.

Sasa tuondoe kila tone la risk — wewe ujaribu, mimi nichukue risk.

Hivi ndivyo inavyofanya kazi:

Lipia mafunzo ya kozi ya “Meta Ads Mastery”. Fuata kilichofundishwa hatua kwa hatua na urushe matangazo kama inavyoelekezwa...

Halafu — moja kati ya haya mawili yatatokea:

 ✅ Option 1: Matangazo yako yaanze kukuletea wateja bila kuchoma bajeti yako.

 ❌ Option 2: Matangazo yako yasilete matokeo yaishie kuchoma tu bajeti.

Kama matangazo hayatakuletea matokeo, unanitumia ujumbe tu. Naanza kukurushia na kusimamia matangazo yako kwa mwezi mzima kuhakisha unapata mafuliko ya wateja. (Huduma hii huwa naitoa kwa gharaama ya Tsh 350,000 lakini utaipata kwa BURE kama kozi ya Meta Ads Mastey haitakusaidia kupata wateja bila kuchoma bajeti)

Kwa hiyo, kwa namna yoyote ile — unashinda na wala hupotezi pesa zako.

Ama uanze kupata mafuliko ya wateja. Au mimi ndio nikurushie na kusimamia matangazo yako kwa mwezi mzima BURE mpaka uanze kupata mafuliko ya wateja.

P.S: Kwa jinsi ninavyoona, mpaka sasa una chaguo tatu.

Chaguo #1: Unaweza kusahau kila kitu nilichokuambia leo… urudi kufanya yale uliyokuwa ukifanya siku zote… na upate matokeo yale yale uliyokuwa ukipata siku zote.

Lakini kama ungekuwa unafurahishwa na hali ya matangazo yako kuchoma tu bajeti bila kuleta matokeo, usingekuwa bado unasoma hadi sasa.

Na bado unasoma — hiyo inanionesha uko tayari kwa mabadiliko.

Kwa hiyo, kutofanya chochote hakuna maana kabisa. Unahitaji kuchukua hatua leo.

Chaguo #2: Unaweza kunisahau mimi na uanze kutafuta kozi zingine.

Kila la kheri kwa chaguo hilo.

Ila ukweli ni kwamba ninachokifundisha kwenye Meta Ads Mastery ni Mbinu MPYA na za KIPEKEE. Sijaona kozi nyingine kama hii Tanzania nzima.

Chaguo #3Jiunge leo kwenye kozi ya Meta Ads Mastery ugundue mbinu zinazotumiwa na wafanyabiashara wachache wenye kupata mafuliko ya wateja.

Cheers.

Tukutane darasani.

Ni mimi Godfather wa Meta Ads Tanzania,

Mr Bokko.

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications