Ofa Ya Punguzo La Bei Inatoweka
Baada Ya Saa Kusoma Sifuri
Kufanya malipo ni rahisi tu.
hatua ya kwanza: Lipia 150,000/= kupata mafunzo ya wiki 4 yanayofundisha hatua kwa hatua jinsi ya kujitengenezea mfumo wako mwenyewe au 300,000/= kupata huduma ya mimi kukutengenezea mfumo ndani ya siku 7 tu pasipo wewe kufanya lolote. Kufanya malipo bonyeza hapo chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA" kisha jaza taarifa zako kikamilifu halafu bonyeza sehemu iliyoandikwa "Pay" na usubiri ukurasa mpya wa kufanya malipo ufunguke.
Hatua ya pili: Chagua mtandao wa simu ambao utautumia kufanya malipo kati ya hii: Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money au Halopesa

Hatua ya tatu: Andika namba yako ya simu ya mtandao husika ambao umechagua kwenye hatua ya pili.

Hatua ya nne: Bonyeza kulipa na utapokea push meseji kwa juu ya screen ya simu yako, weka namba yako ya siri kuruhusu pesa ikatwe.
Note 01: Hakikisha kwenye simu yako una kiasi cha 150,000/= kwa ajili ya mafunzo ya kujitengenezea mfumo au 300,000/= kwa huduma ya mimi kukutengenezea mfumo jumlisha pesa ya makato ya mtandao husika na serikali.
Note 02: Kwa sasa mfumo unapokea malipo kutoka mitandao mitatu tu ya simu yaani Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money na Halopesa . Kwa hiyo kama hela yako ipo kwenye M-Pesa au Bank fanya hivi: Tuma 150,000/= au 300,000/= kwenye namba hii 0768354507 jina litatoka ADELARD NTAMABOKO. Baada ya kufanya malipo tuma uthibitisho wa muamala whatsapp kwa namba hiyo hiyo.
Kwa malipo ya mafunzo ya kujitengenezea mfumo
Kwa malipo ya huduma ya kutengenezewa mfumo