CAE 55K Checkout - Online Marketing System Pro

Ofa Ya Punguzo La Bei Inatoweka

Baada Ya Saa Kusoma Sifuri

Malipo yote yanafanyika kupitia Selcom, kampuni iliyosajiliwa kiserikali inayotumiwa na maelfu ya wafanyabiashara Tanzania kukusanya malipo kwa usalama.

Baada ya kufanya malipo, utapata access ya course yako mara moja kupitia mfumo wetu wa kujifunzia mtandaoni. Na kama utalipia huduma ya kutengenezewa mfumo basi mara moja nitaanza kukutengenezea mfumo wako ili ndani ya siku 7 niwe nimemaliza kila kitu uanze kupokea wateja.

Biashara yangu ya "Sell Digital" imesajiliwa rasmi na inalipa kodi, na hapa chini nimeambatanisha cheti cha usajili na leseni ya biashara kwa uthibitisho wako.


Endapo utapata changamoto yoyote baada ya kufanya malipo, utawasiliana nami moja kwa moja kwa msaada zaidi.

Kwahiyo una machaguo mawili...

Chaguo la #1. Ulipie 350,000   25,000/= upate:

  • Program ya Customer Acquisition Engine (CAE): Mafunzo ya wiki 4 ya kutengeneza mfumo wa kuuza virutubisho lishe
  • Kitabu cha Dakika 60: Kinachofichua mbinu za kunasa downlines kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku
  • Kozi ya Facebook & Instagram Mapene: Inayofichua mbinu ya "Targeting Hack" ya kurusha matangazo ya kulipia yenye kulenga wateja sahihi kwa bajeti ndogo.
  • Kozi ya Meta Ads Profit ToolBox: Inayofichua sababu 8 zinazopelekea matangazo mazuri yaanze kufanya vibaya na mbinu za kuyarudisha matangazo mazuri kwenye ubora wake. 

au

Chaguo la #2. Ulipie 1,500,000   250,000/= upate yote haya:

  • Kwa kutumia ujuzi wa copywritig, nitakuandikia maelezo yenye ushawishi wa kuuza bidhaa yako kwa wateja pasipo kuchat nao.
  • Nakuandalia landing page (sales page) yenye kufanya kazi ya kushawishi wateja wanunue bidhaa zako masaa 24.
  • Naunganisha fomu ya ODA kwenye landing page yako ili mteja akiweka ODA upate ujumbe kwa njia ya email yako wenye ODA na taarifa za mteja.
  • Nakuandalia tangazo lenye uwezo wa kuvuta wateja wengi kutoka Facebook na Instagram kuja kwenye landing page yako.
  • Naseti na kulirusha tangazo hilo kwenye akaunti zako za matangazo (kama huna nakutengenezea akaunti mpya)
  • Ndani ya siku 7 tu mfumo utakuwa tayari na kazi yako itakuwa ni kupokea tu ODA kutoka kwa wateja.
  • Jumlisha kozi zote kwenye chaguo la kwanza unazipata pia.

Kufanya malipo ni rahisi tu.

Bonyeza hapo chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA 25,000 AU LIPIA 250,000"

Baada ya kubonyeza sehemu hiyo, utafunguka ukurasa mpya ambao utaonekana kama kwenye picha hizi hapa chini.

Kama unavyoona kwenye picha unaweza kulipa kwa mitandao yote ya simu: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, Halopesa.

Tafadhali hakikisha una salio la kutosha kwenye simu yako kabla ya kulipia.

Kwa mafunzo, hakikisha salio lako ni zaidi ya 25,000/= na kwa huduma ya kutengenezewa kila kitu, salio liwe zaidi ya 250,000/=

Hii ni kwa ajili ya makato ya kawaida ya serikali na mtandao wa malipo.

Jaza majina yako kamili, barua yako pepe (email), na namba yako ya simu, kisha bonyeza Pay Now.

Baada ya hapo, ujumbe wa malipo (popup) utaonekana juu ya screen ya simu yako ukikuomba uweke namba yako ya siri (PIN) ili kuthibitisha malipo kutoka kwenye akaunti yako kwenda Selcom.

⚠️ PIN yako hutumika moja kwa moja kuthibitisha malipo na haitunzwi wala kuonekana na mtu yeyote.

Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo.

Kwa malipo ya mafunzo bonyeza hapa chini

Kwa malipo ya kutengenezewa mfumo mzima bonyeza hapa chini.

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications