Jiunge Kwenye Program Ya CAE

Kwa 13,500/=

Kufanya malipo ni rahisi tu.

hatua ya kwanza: Bonyeza hapo chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA" kisha jaza taarifa zako kikamilifu halafu bonyeza sehemu iliyoandikwa "Pay" na usubiri ukurasa mpya wa kufanya malipo ufunguke.

Hatua ya pili: Chagua mtandao wa simu ambao utautumia kufanya malipo kati ya hii: Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money au Halopesa

Hatua ya tatu: Weka namba yako ya simu ya mtandao husika ambao umechagua kwenye hatua ya pili.

Hatua ya nne: Bonyeza kulipa na utapokea push meseji kwa juu ya screen ya simu yako, weka namba yako ya siri kuruhusu pesa ikatwe.

Note 01: Hakikisha kwenye simu yako una kiasi cha 13,500/= jumlisha pesa ya makato ya mtandao husika na serikali.

Note 02: Kwa sasa kuna shida kwenye mfumo wa malipo kwa kutumia M-Pesa. Kwa hiyo kama hela yako ipo kwenye M-Pesa fanya hivi: Tuma 13,500/= kwenye namba hii 0768354507 jina litatoka ADELARD NTAMABOKO. Baada ya kufanya malipo tuma uthibitisho wa muamala whatsapp kwa namba hiyo hiyo baada ya hapo nitakutumia link ya kuanza mafunzo.

Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications