Umechoka Kuendelea Kukataliwa Na Kuhangaika Kupata  DOWNLINES Wapya Wenye Kuchapa Kazi? Basi mwisho wake umefika...

"Unaelekea Kugundua Jinsi Ya Kutengeneza Na Kutumia Mfumo Ambao Utakusaidia Kunasa DOWNLINES Wapya 4-8 Kila Wiki Hata kama Hujawahi kuingiza Mtu Yeyote Kwenye Fursa ....Bila Hata Kuhangaika Kuwashirikisha Ndugu au Rafiki Zako Wa Karibu Kuhusu Unachokifanya, Bila Hata Kupoteza Muda kwenye inbox za watu kuwatumia “Scripts” za kuwaomba namba zao Au Kupoteza muda Kuhangaika kupiga simu kwa “prospects” ambao hata ufanye nini hawawezi kuja kuona Fursa Yako!"

Bokko's video image

Darasa hili ni dawa ya kutibu na kukomesha maumivu ya kukataliwa, kukosa prospects wa kutosha na Downlines wapya.

Darasa hili utatumiwa kwenye Email yako. Kwahiyo ili nikutumie darasa hili jaza hapa chini jina lako na barua pepe (Email) unayoitumia kwenye simu yako halafu bofya “Ndio, nataka kupata Downlines wapya 4-8 kila wiki”

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications