Kama Unasumbuliwa na uvimbe wa Tezi Dume Na Kukojoa mara kwa mara...
Hii Hapa Dawa Mpya Asilia Ya Kuyeyusha Uvimbe Wa Tezi Dume Bila Kufanyiwa Upasuaji Iliyogunduliwa Nchini Marekani Na Kuthibitishwa Kisayansi Na Mamlaka Za Kiafya!
Ni ngumu kuamini. Lakini ni kweli...
Shirika linalojihusisha na utengenezaji wa tiba asili duniani hatimaye baada ya tafiti za muda mrefu limegundua kanuni ya kutengeneza vidonge ambavyo vinayeyusha uvimbe wa tezi dume bila kufanyiwa upasuaji.
Doctor mmoja wa shirika hili anasema vidonge hivi vina nguvu kubwa sana ya kuyeyusha uvimbe wa tezi dume yako zaidi ya dawa yoyote ile ambayo imewahi kutengenezwa kutibu tatizo hili la tezi dume.
Kwa maneno ya doctor huyu ni kwamba vidonge hivi ukivimeza vinayeyusha uvimbe wa tezi dume yako kama mafuta yaliyoganda yanavyoyeyushwa kwenye kikaangio cha moto.
Fikiria kwa muda...
Ni amani kiasi gani utapata endapo hali ya kukojoa kila mara baada ya muda mfupi itatoweka?
Kwakuwa vidonge hivi vinauyeyusha uvimbe wote, hivyo basi hali ya kuhisi kutaka kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku itaisha kabisa.
Utaweza kukaa sehemu kwa muda mrefu bila kuuliza msalani uko wapi.
Na hali ya kukojoa kwa kujikamua hutoiona tena.
Najua ni ngumu kabisa kuamini kama kweli vidonge hivi vitayeyusha uvimbe wa tezi dume yako bila kufanyiwa upasuaji na kukuondolea karaha ya kuhisi kutaka kukojoa kila mara baada ya muda mfupi.
Sio wewe peke yako ambaye huamini. Hata wengine pia hawakuamini. Lakini walivyoanza kuvitumia ndani ya wiki ya kwanza tu walishangazwa sana kwa mabadiliko waliyokuwa wameyapata.
Kwahiyo, ninachokuomba kwa sasa ni hiki:
Soma ujumbe huu mwanzo mpaka mwisho halafu ufanye uamuzi ambao unaona ni sahihi kabisa kwa upande wako. Sawa?
Mpaka sasa haijajulikana kinachosababisha uvimbe huu kutokea ni nini.
Tafiti nyingi zimefanyika juu ya kisababishi cha uvimbe huu wa tezi dume kutokea lakini mpaka leo hii bado haijajulikana.
Kwakuwa tatizo hili linawakumba wanaume ambao umri umeenda kuanzia miaka 45 na kupanda, makisio yanayotolewa ni kwamba huenda kisababishi kikawa ni magonjwa ya uzeeni au mabadiliko ya vichochezi vya mwili.
Lakini hayo ni makisio tu. Hakuna ambaye mpaka sasa anajua kwa uhakika tatizo hili linasababishwa na nini.
Kwasababu kisababishi cha tatizo kimekuwa kigumu kubainika, hivyo imekuwa ngumu kutengeneza dawa sahihi ya kuondoa uvimbe huu pasipo kujua kinachopelekea uvimbe huu kutokea.
Ili dawa sahihi itengenezwe lazima kwanza kinachosababisha uvimbe kutokea kijulikane.
Ndio maana kwa miaka mingi sasa suluhisho pekee la kuondoa uvimbe huu limekuwa ni kufanyiwa upasuaji.
Ukifanyiwa upasuaji uvimbe unatoka lakini baada ya muda uvimbe unarudi tena.
Si hivyo tu...
Baada ya kufanyiwa upasuaji, upasuaji huu unapelekea upate tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Kwahiyo, kufanyiwa upasuaji sio njia salama hata kidogo.
Nature’s way. Shirika la kimarekani linalojihusisha na utengenezaji wa tiba asili halikukata tamaa kuzidi kufanya utafiti kupata hata baadhi ya vitu vinavyoweza kupelekea uvimbe huo kutokea.
Kama nilivyokwambia huwezi ukatengeneza tiba ya tatizo fulani la kiafya wakati hujui kisababishi cha tatizo hilo ni kipi.
Lakini Nature’s way katika tafiti zao za muda mrefu wameweza kugundua moja ya visababishi vya tatizo hili.
Na ugunduzi huu wa mojawapo ya visababishi vya uvimbe kutokea ndio umepelekea shirika hili kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge asilia kabisa ambavyo vinayeyusha uvimbe wa tezi dume yako haijawahi kutokea.
Unataka kujua mojawapo ya kisababishi hicho walichokigundua? Aha! Hata mimi nilijua unatamani kukijua.
Kisababishi hicho ni Dihydrotestosterone (DHT). Naomba nikuelezee:
Kwa kawaida kila mwanaume anazaliwa akiwa na Tezi dume. Kadri unavyozidi kukua ndivyo hata tezi hii inazidi kukua pia. Lakini unavyofika umri wa kubarehe tezi hii inakua mara mbili zaidi ya kipindi cha nyuma kabla ya kubarehe.
Baada ya hapo makuzi ya tezi hii yanaendelea taratibu kama kawaida mpaka siku ya mwisho wa uhai wako.
Makuzi ya tezi hii hayana madhara yoyote lakini madhara yatatokea endapo tezi hii itakua sana na kutanuka zaidi ya kawaida na kupelekea ianze kuvimba.
Tezi hii kwakuwa ipo katikati ya kibofu cha mkojo na uume. Na mrijia wa kutoa mkojo nje ya mwili unapita katikati ya tezi hii. Kwahiyo, tezi hii ikivimba kibofu cha mkojo na mrija wa kutoa mkojo vinaanza kugandamizwa.
Hali hii ya kugandamizwa kwa kibofu na mrija wa kutoa mkojo inaleta athari kwenye kukojoa. Lazima uanze kukojoa kwa shida. Na uwezo wa kibofu kutoa mkojo wote unapungua.
Kwahiyo, utajikuta kila ukikojoa mkojo uliopo kwenye kibofu hautoki wote. Matokeo yake kila baada ya muda mfupi utakuwa unahisi kutaka kukojoa kwasababu ukikojoa sio mkojo wote unaotoka kutokana na hali ya kugandamizwa kwa kibofu na mrija wa kutoa mkojo.
Uvimbe unavyozidi kuongezeka inafika mahali mrija wa kutoa mkojo unaziba kabisa na kibofu kinakuwa hakina uwezo tena wa kutunza mkojo.
Kwahiyo, ikifikia hali hiyo unakuwa huna uwezo wa kukojoa tena. Kinachofuata ni kutobolewa na kuwekewa mrija ili figo lako nalo lisije kupata shida kwasababu lenyewe litaendelea kuzalisha mkojo (taka mwili) kama kawaida. Kama mkojo utaendelea kuzalishwa halafu usitolewe lazima figo nalo litapata shida.
Kwahiyo, ni vyema sana kuuwahi uvimbe wa tezi dume kabla haujaanza kuleta madhara makubwa mwilini.
Ni kwa namna gani Dihydrotestosterone (DHT) inachangia katika kusababisha uvimbe wa tezi dume kutokea?
Kama ulivyoweza kuona kadri unavyozidi kukua ndivyo ambavyo tezi dume yako inazidi kukua na kutanuka. Inavyokua na kutanuka zaidi inafika mahali inaanza kuvimba na kuleta madhara.
Tafiti za kisayansi bado hazijafanikiwa kugundua kinachosababisha uvimbe huo kutokea. Lakini Nature’s way wao wameweza kugundua kwamba kwa asilimia kadhaa DHT ndio inasababisha uvimbe huo utokee.
Kivipi? Kwa namna ifuatayo:
Makuzi ya tezi dume yanategemea DHT. Yaani Kuanzia siku unazaliwa na kadri ya umri unavyozidi kwenda DHT ndio inachochea Tezi dume yako iweze kukua na kutanuka. Bila DHT tezi dume yako haiwezi ikakua.
Kwahiyo, kwa namna moja au nyingine kwakuwa DHT inachochea kukua na kutanuka kwa tezi dume basi na yenyewe ni moja ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume yako kutokea.
Kwanini? Kwasababu nimekwambia makuzi ya tezi dume yako yanaendelea mpaka siku utakayokufa. Na kwakuwa DHT Ndio inachochea kukua na kutanuka kwa tezi dume yako basi ndio maana nature’s way wamegundua kwamba na yenyewe ni mojawapo ya visababishi vya tezi dume yako kuvimba.
Unakumbuka nimekwambia kama ukifanyiwa upasuaji baada ya muda uvimbe unarudi tena? Nina uhakika unakumbuka.
Kinachosababisha uvimbe urudi ni DHT kwasababu baada ya kufanya upasuaji makuzi ya tezi dume yanaendelea chini ya uchochezi wa DHT. Kwahiyo makuzi yakiendelea itafika muda uvimbe utajirudia tena.
Kila kitu kinachozalishwa mwilini lazima kina chanzo chake.
Kwakuwa DHT ni moja ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume. Kwahiyo kuzuia uvimbe huo usitokee tena ni kujua chanzo chake ni kipi mwilini ili kuweza kudhibiti uzalishaji wake usiwe wa kiasi cha kusababisha madhara.
Ukiweza kudhibiti uzalishaji wa DHT utakuwa umefanikiwa kuzuia makuzi ya haraka ya tezi dume yako. Kwahiyo, kama unauvimbe baada ya kudhibiti uzalishaji wa DHT kinachobaki ni kuyeyusha uvimbe. Kwa kufanya hivyo, uvimbe unaisha na unakuwa na uhakika wa kutopata tena uvimbe kwasababu uzalishaji wa DHT unakuwa katika kiwango cha kawaida kisicholeta madhara ya uvimbe kutokea tena.
Swali la kujiuliza ni kwamba...
DHT inatoka wapi au inazalishwa na nini mwilini?
DHT ni kama unga ambao ni matokeo ya kusagwa kwa mahindi mashineni.
Ili upate unga lazima mashine iyasage na kuyaponda ponda mahindi kuyageuza unga.
Mashine ikisaga mahindi mengi utapatikana unga mwingi. Na mashine ikisimama kusaga mahindi au ikipunguza kasi ya kusaga mahindi maana yake utapatikana unga kidogo.
Kwa mfano huo ndivyo ilivyo kwenye utengenezaji wa DHT mwilini. Ili DHT ipatikane lazima mashine ya mwili (Enzyme) iitwayo 5-alpha Reductase ifanye kazi ya kuigeuza homoni ya kiume iitwayo Testosterone kuwa Dihydrotestosterone (DHT).
Baada ya Testosterone kugeuzwa kuwa DHT, DHT ndio inafanya kazi yake ya kuchochea ukuaji wa tezi dume yako.
Kwahiyo,Kwakuwa DHT ndio mojawapo ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume kutokea, njia rahisi ya kudhibiti uzalishaji wa DHT ili isiendelee kuleta madhara ni kudhibiti mashine inayopelekea DHT ipatikane. Mashine hiyo ni 5-alpha Reductase
Ukiweza kudhibiti mashine hii maana yake ni kwamba kiasi kidogo cha DHT kitazalishwa na hivyo kiasi hiki hakitakuwa na madhara yoyote kwenye makuzi ya tezi dume yako.
Kwa maelezo rahisi ni kwamba...
Kama una uvimbe wa tezi dume 5-alpha Reductase sio rafiki yako mzuri.
Tazama, kisababishi mojawapo cha uvimbe wa tezi dume yako ni DHT. Na 5-alpha Reductase ndio mashine pekee mwilini ya kuzalisha hiyo DHT. Kwahiyo, unaweza ukaona kwamba 5-alpha Reductase sio rafiki yako mzuri kwasababu asipodhibitiwa ataendelea kuzalisha DHT nyingi ambayo itapelekea uvimbe uelendee kukua mpaka hatua ya kusababisha usipate mkojo kabisa.
Nature’s way kwa kuligundua hilo wamefanikiwa kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge ambavyo kwanza vinaenda kudhibiti mashine hii inayozalisha DHT iweze kuzalisha kiwango ambacho hakitakuwa na madhara yoyote kwenye makuzi ya tezi dume yako.
Pili vidonge hivyo vinaenda kuyeyusha uvimbe wote na kuiacha tezi dume yako ikiwa katika hali yake ya awali.
Si hivyo tu...
Kwakuwa inakisika kwamba visababishi vingine vya uvimbe huu wa tezi dume kutokea ni magonjwa ya uzeeni kama kisukari, presha, mwili kufa ganzi, viungo kuuma n.k ...vidonge hivi vimetengenezwa katika namna ambayo itasaidia kupunguza makali ya magonjwa hayo yote ya uzeeni.
Kwahiyo, ukitumia vidonge hivi vitakusaidia kuondoa uvimbe wa tezi dume lakini kama una kisukari au presha au gonjwa lolote lile la uzeeni itakusaidia pia kupunguza makili au kuponya kabisa.
Kwakuwa kazi ya vidonge hivi ni kurejesha tezi dume yako katika hali yake ya awali, Nature’s way wamevipatia vidonge hivi jina la RestorLyf (Yaani vinarudisha hali mbaya katika hali yake ya awali).

Kirutubisho kilichotumika kutengeneza vidonge hivi kinaitwa Resveratrol kutoka kwenye mmea wa kijapani unaoitwa Polygonum Cuspidatum (Japanese knotweed).
Kirutubisho hiki ndio kinavipa vidonge hivi upekee wa kuweza kuyeyusha uvimbe wa tezi dume ni haijawahi kutokea.
Vidonge hivi vimetengenezwa kiasilia kabisa katika namna ambayo haitaleta madhara ya aina yoyote ile mwilini mwako.
Si hivyo tu...
Vidonge hivi vimethibitishwa na mamlaka za chakula na dawa (FDA) duniani na TMDA kwa hapa Tanzania.
Kwahiyo, wasiwasi wako wa kupata madhara yoyote baaba ya kutumia vidonge hivi uweke pembeni kabisa. Vidonge hivi ni salama kwa afya ya mwili wako.
Utakapoanza kutumia vidonge hivi siku hadi siku.... wiki hadi wiki... Utashangazwa sana kwa mabadiliko utakayoanza kuyaona.
Uvimbe utaanza kuyeyushwa kama yanavyoyeyuka mafuta yaliyoganda kwenye kikaangio cha moto.
Utaanza kupata mkojo bila shida yoyote. Hali ya kukojoa kila baada ya muda mfupi itaondoka kabisa. Usiku utaweza kulala kwa amani bila usumbufu wa kuamka ovyo kwenda kukojoa.
Kiufupi baada ya kumeza vidonge hivi changamoto na karaha zote zitokanazo na uvimbe wa tezi dume yako zitaisha kabisa.
Mfumo wako wa mkojo utarudi kuwa kama wa kijana wa miaka 25.
Hakika vidonge hivi ni tiba mpya na ya kipekee ambayo haijawahi kugunduliwa.
Baadhi ya watu waliotumia vidonge hivi wana yafuatayo ya kusema:
RestorLyf ni kiboko. Nilikuwa nimechoshwa na hali ya kuamka zaidi ya mara 7 usiku mzima kwenda kukojoa. Na nikikojoa unatoka mkojo kidogo tu. Kwa sasa mambo ni safi kabisa. Usiku siamki hata mara moja kukojoa. Nalala kwa amani kabisa.
Sio kwamba RestorLyf imenisaidia kuyeyusha uvimbe peke yake. Kilichonishangaza ni kwamba hata presha yangu imeshuka kabisa wakati imekuwa ikinisumbua kwa muda mrefu. Hakika sitoacha kuendelea kuitumia RestorLyf katika maisha yangu.
Nina miaka 73 nilidhani RestorLyf haitanisaidia. Nimepona uvimbe wa tezi dume. Mgongo hauniumi tena. Maumivu ya maungio yametoweka kabisa. Hii dawa ni kiboko ya magonjwa ya uzeeni.
Wiki ya pili baada ya kutumia RestorLyf niliamua kurudi hospitalini kupima kuona uvimbe umefikia wapi. Majibu yalitushangaza sana mimi na doctor. Vipimo vilionyesha sina uvimbe tena. “Umetumia nini mpaka uvimbe huo kuondoka bila kufanyiwa upasuaji?” Aliuza Doctor. Bila kusita nikamwambia ni RestorLyf.
Nilikuwa nimechoshwa na hali ya kuulizia choo kiko wapi kila mahali nilipojua nitakaa zaidi ya dakika 10. Lakini baada ya kutumia RestorLyf nimeshangazwa sana maana sio kawaida yangu kukaa sehemu zaidi ya saa moja bila kuhisi kutaka kwenda kukojoa.
Kama unavyoona hicho ndicho walichokipata baadhi ya wahanga wa tatizo baada ya kutumia Vidonge hivi (RestorLyf)
Dozi kamili ya kuyeyusha uvimbe ni siku 90. Kama uvimbe wako sio mkubwa sana kuna uwezekano wa kuwahi kupona kabisa kabla ya siku 90.
Lakini tumeamua kuvunja vunja dozi ili hata mtu mwenye kipato cha kawaida aweze kuanza kidogo kidogo mpaka kumaliza dozi kamili.
Nitakwambia sababu nyingine ya kwanini tumeamua kuvunja vunja dozi.
Dozi imevunjwa vunjwa kwa namna ifuatayo...
Kuna dozi ya mwezi mmoja, miezi 2 na miezi 3 ambayo ndio dozi kamili (siku 90).
Utaanza kwa kiwango ambacho unaweza ukakimudu kulingana na ukubwa wa mfuko wako.
Ukitumia dozi kamili ya siku 90 ni rahisi sana kutokomeza visababishi vingine ambavyo havijulikani bado kama magonjwa yajitokezayo uzeeni.
Kwahiyo, hata kama utaanza na dozi ya mwezi mmoja jitahidi uendelee ili kuweza kukomesha visababishi vingine ambavyo vinaweza vikapelekea uvimbe kujirudia.
Licha ya Nature’s way kutumia mabilioni ya pesa kugundua kanuni ya kutengeneza RestorLyf tumeamua tukupatie OFA ya punguzo la bei.
OFA hii ipo hivi...
Kwasasa mzigo ambao tumebakinao kwa hapa Tanzania ni Dozi ya watu 250. Kwahiyo, kwa watu 250 watakaokuwa wa kwanza kununua RestorLyf watapata OFA ya punguzo la bei kwa kiwango chochote watakachokuwa wameanza nacho na watasajiliwa kwenye “Club” inayoitwa “Rudisha Uhalisia wake ” . Ukisajiliwa kwenye club hii faida yake ni kwamba utaendelea kupata punguzo la bei kwa oda zingine utakazoagiza zaidi na zaidi hata kama bidhaa zingine zitaletwa kutoka Marekani.
250 wanaonekana watu wengi lakini kumbuka Tangazo hili linaonekana kwa Watanzania wote wenye simu kubwa za kuweza kuingia mtandaoni. Kwahiyo, nina uhakika ndani ya siku kadhaa au wiki kadhaa watu hao 250 watakuwa tayari wamechukuwa ODA zao.
Baada ya Oda hizo 250 kuchukuliwa Hutopata tena punguzo la bei ambalo tunalitoa kwa watu hawa 250 na sio hivyo tu...
Kama utapitwa na OFA hii itakubidi usubiri siku 120 (miezi 4) kuja kwa mzigo mwingine wa RestorLyf kutoka marekani. Na ukifika Bandarini lazima uthibitishwe kwanza na TMDA ndio mzigo uje kufika ofisini.
Miezi yote hiyo ya kusubiri unaweza ukajikuta uvimbe umeongezeka sana kiasi cha kwamba madhara yake yatakuwa ni makubwa sana.
Kwahiyo, ni vyema ukachukuwa Oda yako mapema kwasababu zipo Oda za watu 250 tu kwa sasa.
Ili kukuondolea wasiwasi na kukuhakikishia kuwa huna cha kupoteza ninakupatia dhamana (Guarantee).
Dhamana hii iko hivii...
Tumia dozi ya RestorLyf kwa muda wa siku 90 nina uhakika utaipenda. Ikitokea kwa sababu yoyote ile hujaipenda RestorLyf au haijakupatia matokeo yote niliyoyasema hapo juu piga simu 0754006191 kutoa taarifa na utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.
Hata hivyo nina uhakika utakavyoanza kuitumia RestorLyf siku hadi siku... wiki hadi wiki utasitaajabishwa kwa matokeo utakayoyapata na wala hutokumbuka tena kuomba kurudishiwa pesa zako hata kama nikikwambia nikurudishie mara mbili ya pesa uliyoitoa.
Unachotakiwa kufanya kwa sasa angalia mpangilio wa dozi hapa chini kisha jaza fomu ili kutuma oda ya dozi utakayoanza nayo.
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M-pesa au NMB Bank.
Namba ya M-pesa ni 0754006191 jina ni NICODEMUS MWANZALIMA
Namba ya Account ya NMB ni 62210005599 jina ni NICODEMUS PASTORY MWANZALIMA.
Kwa mtu wa Dar es Salaam hutakiwi kutuma hela kwasababu utaletewa mpaka popote utakapokuwa kwa gharama zangu mwenyewe halafu baada ya kupokea mzigo wako ndipo utakapofanya malipo.

Kwa wa mkoani unalipia pesa yote ya dozi utakayokuwa umechagua kupitia moja ya account za malipo hizo hapo juu halafu unaongezea na 10000/= kama gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya bus au Boat kuja mkoani ulipo ndipo unatumiwa mzigo wako.
Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda ya dozi uliyoichagua halafu baada ya hapo kama upo Dar unasubiri kuletewa siku uliyochagua na...
Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya dozi na gharama ya kusafirisha halafu baada ya hapo mzigo wako unatumwa mkoani ulipo kwa njia ya bus au boat (wale wa zanzibar)
Kujaza fomu ni rahisi.
Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “ODA YANGU”. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako na kutuma oda yako (Taarifa Zako zitatunzwa hatakuwepo mtu mwingine tofauti na mimi atakayejua kuhusu tatizo lako)
Bonyeza sehemu hii sasa hivi.
Ahsante kwa muda wako.
Ni mimi,
Nicodemus Mwanzalima!
<<< 0754006191 >>>
P.S: Kama nilivyokwambia zipo oda za watu 250 tu kwa sasa.
Saa hiyo hapo juu itakaposoma sifuri maana yake oda zote zimechukuliwa na tangazo hili hautoliona tena mpaka pale tutakapopata mzigo mpya na kuanza kutangaza kwa mara nyingine tena.
Kwahiyo, usiendelee kusubiri wakati suluhisho la tatizo lako liko mbele yako. Tuma oda yako mapema kabla hujawahiwa.
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.
Copyright - Online Marketing System Pro