Nipe Dakika 10 Tu Nitakuonyesha Kinywaji Cha Afya Ambacho Mwanamke au Mwanaume Wa Rika Lolote Anaweza kutumia muda wowote Na Sehemu Yoyote kuondoa uchovu Mwilini, Hali Ya Usingizi, Kuupa mwili Nguvu Za Kufanya Kazi Na Kuichangamsha Akili!

Kila mtu ana majukumu yake binafsi pindi jua linapochomoza. Tatizo ni kwamba kila asubuhi unapoamka mwili unakuwa bado haujawa na utayari wa kuanza kufanya kazi. Akili inakuwa haijachangamka bado. Lakini licha ya mwili na akili kutokuwa na utayari wa wewe kukabiliana na majukumu yako ya kila siku...

Kwa namna yoyote ile majukumu lazima yaendelee kama kawaida hata kwa kujilazimisha.

Sio hivyo tu...

Baada ya mwili na akili kukabiliana na majukumu au kufanya kazi kwa muda mrefu, uchovu unaingilia kati. Utendaji kazi unapungua. Unaanza kuhisi usingizi. Kazi zako au za watu zinadolola. Unajinyoshanyosha kidogo kusudi uendelee kukabiliana na majukumu yako lakini bado unahisi uchovu na kutokuwa na nguvu za kuendelea kupambana.

Ukiwa kwenye hali hii umeshawahi kujiuliza ni njia gani inaweza kukusaidia kuifanya akili ichangamke na mwili uwe tayari kufanya kazi pindi unapoamka asubuhi au pindi mwili na akili vinapokuwa vimechoka baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu? Kama hujawahi kujiuliza swali hilo, leo kama (Utaniruhusu) nataka nikupatie njia ya kukusaidia kuondokana na hali hiyo kila asubuhi unapoamka au pindi mwili unapochoka baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu. Ngoja nikuelezee njia hiyo:

Kahawa!

Kahawa ni kinywaji cha pili kwa umaarufu duniani ikitanguliwa na maji kama namba moja. Kahawa ni kinywaji cha afya kinachoaminika kwa kuwa na uwezo wa kuondoa uchovu. Kuichangamsha akili na kukupa nguvu za kufanya kazi zako kwa umakini zaidi.

Watu wanatumia kahawa kwa malengo tofauti tofauti. Lakini lengo kubwa kwa kila mtu ni hilo la kuchangamsha akili, kuondoa uchovu na kupata nguvu za kukabiliana na majukumu yako ya kila siku.

Zipo aina nyingi za kahawa. Lakini kahawa ambayo watu wengi wanapenda kuitumia ni ambayo ina kitu kinachoitwa “Caffeine”.

Kwanini watu wengi wanapenda kahawa yenye kitu hiki (Caffeine)? Kwasababu watu wengi wanaamini kwamba kiungo hiki ndicho kinachoifanya kahawa iwe na uwezo wa kuondoa uchovu, kuleta uchangamfu, kuongeza umakini kwenye kazi na kuongeza nguvu mwilini.

Je ni kweli “Caffeine” ndio kiungo pekee kwenye kahawa chenye kuifanya kahawa iwe na uwezo wa kuondoa uchovu, kuleta uchangamfu, kuongeza umakini kwenye kazi na kuongeza nguvu mwilini? Kabla sijakupatia jibu sahihi naomba nikuelezee jinsi ambavyo “caffeine” inafanya kazi mwilini:

Safari Ya Caffeine Ndani Ya Mwili!

Unapokunywa kahawa yenye “Caffeine”, Caffeine huwa inafyonzwa moja kwa moja kuingia kwenye damu na kusafirishwa mpaka kwenye ini.

Kwenye ini kuna mashine (Enzyme) inayoitwa “Cytochrome P450. Kazi ya mashine hii ni kuivunja vunja na kuibadili caffeine kuwa “paraxanthine” na “theophylline”.

Baada ya hapo “paraxanthine” na “theophylline” zinasafirishwa kutoka kwenye ini kwenda kwenye ubongo kujishikiza sehemu moja inayoitwa “Adenosine Receptors”.

Adenosine ni kemikali ambayo moja ya kazi zake ni kubeba taarifa za usingizi. Adenosine inapojishikiza kwenye “receptors” zake michakato (processes) ndani ya mwili inapunguza mwendo (slows down) na hivyo kujikuta unaanza kuhisi usingizi na uchovu.

Kwahiyo ili mwili usihisi uchovu au usingizi inatakiwa sehemu hii (Receptors) ambapo adenosine msababisha usingizi na uchovu anapojishikiza, kitokee kitu kingine cha kwenda kujishikiza ili kumzuia huyu jamaa (Adenosine) asijishikize.

Kama nilivyokwambia baada ya caffeine kugeuzwa kuwa “paraxanthine” na “theophylline” kwenye ini. “paraxanthine” na “theophylline” zinasafirishwa kwenda kwenye adenosine receptor kujishikiza ili kuziba nafasi ya adenosine ambae akijishikiza ataufanya ubongo utoe amri ya kuufanya mwili ulale na michakato ya mwili ipunguze mwendo.

Baada ya “paraxanthine” na “theophylline” kujishikiza kwenye adenosine receptors, ubongo unatoa amri ya kuzalishwa kwa kichochezi kinachoitwa “Adrenaline”. Baada ya kichochezi hiki kuzalishwa mwili unapata nguvu za kutosha kukabiliana na majukumu, uchovu unaondoka, akili inakuwa tayari kufanya kazi na huwezi kuhisi usingizi tena kwa wakati huo.

Lakini tafiti zinaonesha safari hii ya Caffeine ndani ya mwili mpaka kukamilika na kuanza kufanya kazi ndani ya mwili ni baada ya masaa 2.

Kwahiyo kama caffeine inaanza kufanya kazi masaa 2 mbele baada ya mtu kunywa kahawa maana yake nguvu kuongezeka, uchovu kuondoka, mwili kuchangamka ambavyo mtu anavipata papo hapo baada ya kunywa kahawa chanzo chake sio Caffeine kwenye kahawa.

Hivyo basi, kuanzia leo inatakiwa ujue na uelewe kwamba caffeine sio kiungo pekee kwenye kahawa na hata ikitokea caiffeine ikaondolewa kwenye kahawa, hakiharibiki kitu kwasababu bado kahawa itabaki na uwezo wake wa kukuondolea uchovu, kukuongezea nguvu za kufanya kazi na kuuchangamsha mwili kwasababu athari za caffeine huwa zinatokea ndani ya mwili masaa 2 baada ya kunywa kahawa. Athari za papo hapo za kahawa zinatokana na kitu kingine tofauti na caffeine.

Kitu hicho ni kipi? Kitu hicho ni “Chlorogenic acids”.

“Chlorogenic acids” ni kiungo muhimu sana kilichopo kwenye kahawa ambacho ndicho kiungo cha pekee kinachoifanya kahawa iwe na uwezo wa kukupatia nguvu, kukuondolea uchovu na kuuchangamsha mwili papo hapo baada ya kunywa kahawa.

Hasara Za Caffeine Ndani Ya Mwili!

Licha ya caffeine kuwa na athari nzuri ndani ya mwili ina hasara zake pia. Hasara hizi zinafanya baadhi ya makundi ya watu wasiruhusiwe kutumia kahawa yenye caiffeine.

Hazara zenyewe ni kama kuongeza mapigo ya moyo, kutopata usingizi, kichwa kugonga, kukojoa mara kwa mara (Au kutokuwa na uwezo wa kutunza mkojo kwa muda mrefu).

Kwa hasara hizo mtu mwenye tatizo la presha, uvimbe wa tezi dume, mtoto mdogo, mama mjamzito hawaruhusiwi kutumia kahawa yenye caffeine. Hata kwa mtu ambae hana tatizo lolote hali ya kukosa usingizi au kichwa kuuma sio rafiki kwa mwili wako.

Kwahiyo kahawa yenye caffeine sio kinywaji cha afya kama unaitumia kila siku.

Lakini ikumbukwe asubuhi kunapopambazuka kila mtu ana majukumu ya kukabiliana nayo. Tatizo ni kwamba asubuhi hiyo mwili unakuwa bado hauko tayari kuanza kufanya kazi, akili inakuwa bado haijachangamka. Sasa, Kama kahawa yenye caffeine sio nzuri kiafya utumie nini kuweza kuondokana na hali hiyo?

Jibu: Tumia kahawa ambayo haina caffeine kuweza kuondoa uchovu, kuupa mwili nguvu na kuchangamsha akili. Na kama nilivyokwambia kuondoa caffeine kwenye kahawa hakuifanyi kahawa isiwe na uwezo wa kukupatia nguvu, uchangamfu na umakini katika kazi.

Na uzuri wa kahawa isiyokuwa na caffeine ni kwamba haina madhara ndani ya mwili hata kama unaitumia kila siku. Na cha zaidi ni kwamba mtu yeyote (Mwanaume au mwanamke wa rika lolote) anaruhusiwa kuitumia.

Lakini kuondoa caffeine ndani ya kahawa kuna hasara zake.

Hasara Za Kuondoa Caffeine Kwenye Kahawa!

Ni kweli caffeine inatakiwa iondolewe kwenye kahawa ili kahawa iwe salama kabisa kiafya kwa watu wote. Lakini tatizo ni kwamba mchakato wa kuondoa caffeine kwenye kahawa huwa unasababisha upotevu wa virutubisho vingi muhimu kwenye kahawa.

Kwahiyo licha ya kuondolewa kwa caffeine kwenye kahawa kuwa na faida, hasara yake ndio hiyo ya upotevu wa baadhi ya virutubisho muhimu kwenye kahawa.

Lakini hali hiyo ya upotevu wa baadhi ya virutubisho muhimu kwenye kahawa wakati wa mchakato wa kuondoa caffeine imewapatia Silver Star Resources Co.Inc Fursa ya kutengeneza kahawa lishe iliyosheheni virutubisho vingi licha ya baadhi kupotea wakati wa kuondolewa kwa caffeine.

Silver Star Resources Co.Inc ni kampuni ya kifilipino ambayo ilianza mwaka 1990. Kampuni hii inajihusisha na usindikaji na usambazaji wa bidhaa tofauti tofauti za matumizi ya nyumbani ikiwemo na kahawa lishe.

Kwakua uondoaji wa caffeine kwenye kahawa unasababisha upotevu wa baadhi ya virutubisho vingi muhimu kwenye kahawa, Silver Star Resources Co.Inc wanachokifanya baada ya kuondoa caffeine wanaongeza virutubisho vingine vingi zaidi ya vilivyopotea kwenye mchakato wa kuondoa caffeine na hivyo kuifanya kahawa yao...

  • Kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini
  • Kuupa mwili uchangamfu wa papo hapo baada ya kutumia kahawa hii.
  • Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
  • Kuondoa uchovu papo hapo
  • Kuupa mwili nguvu na umakini wa kufanya kazi mara baada ya kunywa kahawa hii.

Kwahiyo unapoitumia kahawa lishe hii haijalishi ni asubuhi unapoamka au baada ya kuanza kuhisi uchovu wa kufanya kazi kwa muda mrefu, mwili wako utaondokewa na uchovu papo hapo, utapata nguvu za kuendelea kukabiliana na majukumu yako, mwili utachangamka na zaidi ya yote akili itapata umakini wa kukabialiana na majukumu yako.

Si hivyo tu...

Kwasababu kahawa lishe hii imeongezewa virutubisho muhimu vya ziada. Kuna faida nyingine nyingi ambazo utazipata kama ilivyoorodheshwa hapo juu.
coffee image

Kahawa hii ipo katika ladha 4 tofauti. Kuna Cappuccino, Latte, Original na Sugar Free.

Sugar Free ni maalumu sana kwa watu wenye kisukari maana kahawa hii haina sukari ya kiwandani. Ina sukari asilia kutoka kwenye mmea wa “stevia” wenye sukari asilia isiyokuwa na madhara kwa mgonjwa mwenye kisukari.

Hizi zingine 3 zina sukari ya kiwandani ambayo haina madhara kwa mtu wa kawaida asiyekuwa na tatizo la kisukari.

Kwa sasa kahawa tulizonazo ni Cappuccino na Suger free. Latte na Original tumeishiwa lakini muda wowote mzigo mpya utaingia.

Jinsi Ya Kutumia Kahawa Lishe Hii!

Uzuri wa kahawa hii unaweza kutembea nayo sehemu yoyote na ukaitumia muda wowote kulingana na mahitaji yako.

Box moja la kahawa lishe hii lina saketi 20.

Matumizi yake ni kama ifuatavyo:

Chukuwa kikombe cha chai kisha fungua saketi moja ya kahawa na umwage ndani ya kikombe chako. Baada ya hapo mimina 250ml za maji ya moto kwenye kikombe chako na uanze kukoroga.

Baada ya kukoroga furahia kinywaji chako cha afya huku ukisubiria uchangamfu wa mwili, nguvu na umakini kwenye kazi kuongezeka papo kwa hapo.

Huhitaji kuongeza sukari yoyote maana sukari iliyomo kwenye kahawa imewekwa kwa vipimo ili isikuletee madhara yoyote.

Usindikaji wa kahawa hii kiwandani unatumia teknolojia ya kisasa lakini licha ya gharama ya uendeshaji wa mitambo kuwa kubwa kahawa hii inauzwa kwa bei ambayo kila mtu anaweza akaimudu.

Box moja la kahawa lishe hii linauzwa kwa 65000/=

Kwahiyo kwa 65000/= tu unapata kinywaji chako safi na kuanza kuburudika mahali popote. Muda wowote.

Kwa Mkazi wa Dar una machaguo 2. Moja: unaweza ukafika ofisini kwetu ukapata box lako la kahawa lishe hii. Au Mbili: Unaweza ukaletewa popote utakapokuwa halafu baada ya kupokea ndio ukafanya malipo... lakini ...gharama za bodaboda atakayekuletea ni JUU YAKO!

Kwa Mkazi wa mkoani (Nje Ya Dar): ukiwa na uhitaji wa kahawa hii unatumiwa kwa njia ya bus mpaka mkoani ulipo au Kwa Boat Kwa wale wa Zanzibar. Utaratibu ni kwamba unafanya malipo kwanza ya 65,000/= jumlisha 10,000/= (gharama ya kusafirishia mzigo wako). Malipo hayo yanafanyika aidha M-PESA au NMB Bank halafu baada ya hapo mimi nakutumia kahawa hii kwa bus linalokuja mkoani kwako.

Lakini mwezi huu kampuni imeamua kutoa OFA. OFA hii ipo kama ifuatavyo:

Nunua box 2 za kahawa lishe hii kabla ya mwezi huu kuisha upewe Box moja Bure jumlisha kuletewa popote utakapokuwa hapa Tanzania kwa Gharama zetu wenyewe.

Kwahiyo kabla ya mwezi huu kuisha endapo utanunua box 2 (Kwa gharama ya 130,000/=) utazawadiwa box moja jingine lenye thamani ya 65000/= Bure kabisa na zaidi ya yote utaletewa popote utakapokuwa iwe ndani ya Dar au nje ya Dar kwa gharama zetu wenyewe.

Malipo yote yanafanyika aida Kwa M-PESA NO: 0768354507 Jina ADELARD ALOYCE NTAMABOKO Au NMB Bank ACC: 20110062131 jina la account ni ADELARD ALOYCE NTAMABOKO.

Unasubiri nini? Tuma ODA yako sasa kwa kujaza fomu hapa chini.

Kujaza fomu ni rahisi.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “ODA YANGU”. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako na kutuma ODA yako.

Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Ahsante kwa muda wako.

Ni mimi,

Mr Bokko.

>>>0768354507<<<

P.S: Saa hii hapa chini itakaposoma sifuri maana yake OFA hii ya kupewa box moja BURE itakuwa haipatikani tena. Kwahiyo ni vyema ukaweka ODA yako mapema!

01
Days
:
 
12
Hours
:
 
35
Minutes
:
 
16
Seconds

You missed out!

Copyright - Online Marketing System Pro

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications