Katika kozi hii utajifunza mfumo wa hatua 6 alioutumia Tim Erway kupata downlines 1732 ndani ya siku 30 na jinsi ya kubonyeza link moja na mfumo mzima ukajitengeneza kwenye akaunti yako ukiwa tayari kutumika
Meta Ads Mastery
Katika kozi hii ya Meta Ads Mastery, utajifunza jinsi ya kurusha matangazo ya kulipia Facebook & Instagram kwa mfumo mpya wa Andromeda
The 1732 Downline Case Study
Katika kozi hii utajifunza mfumo alioutumia Tim Erway kupata downlines 1732 ndani ya siku 30.
Meta Ads Profit ToolBox
Katika kozi hii utajifunza sababu 8 zinasababisha matangazo yanayofanya vizuri kuanza kufanya vibaya pamoja na mbinu za kutatua kila sababu.
Dakika 60
Katika kitabu hiki, utajifunza hatua 9 za kutengeneza mashine ya kukusaidia kunasa downlines wapya kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku