Nitakwambia kazi ya icariin hapo mbele kidogo kwa sasa ngoja tuongelee kitu kinachosababisha wewe ushindwe kusimamisha uume wako barabara kama msumari kwa muda mrefu kiasi cha kutoweza kumsugua vizuri mkeo na kumfikisha kileleni.
Mwanaume ambae hana upungufu wa nguvu za kiume anapopata msisimko wa kufanya mapenzi, Nitric oxide (NO) iliyopo kwenye kuta za ndani za mishipa ya damu inatoa taarifa kuanza kuzalishwa kwa kemikali inayoitwa cyclic guanosine monophosphate (cGMP).
Kemikali hii kazi yake ni kwenda kuchochea kutanuka kwa mishipa ya damu iliyopo kwenye corpora canervosa.
Corpora canervosa ni uwazi wenye mishipa ya damu mingi kwenye uume. Kwahiyo baada ya mishipa hii ya damu iliyopo kwenye corpora canervosa kutanuka, damu inaanza kuingia kwa kasi kwenye mishipa hii.
Baada ya damu kujaa, mishipa hii inatuna na kusababisha uume usimame barabara kama msumari.
Kama vidole viwili vinaposaidiana kuvunja chawa ndivyo NO na cGMP zinasaidiana kusababisha uume usimame barabara kama msumari kwa muda mrefu.
Sasa kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume... uume hauwezi kusimama barabara kwa muda mrefu kama msumari kwasababu ya “Protein phospodiesterase type 5” (PDE5).
PDE5 kazi yake mwilini ni kuthibiti mzunguko wa damu.
Lakini kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume PDE5 anageuka kuwa adui yako mkubwa.
Huyu jamaa ndio chanzo cha wewe kushindwa kusimamisha uume wako barabara kwa muda mrefu.
Kwasababu PDE5 anazuia cGMP na NO wisishirikiane (kidole kimoja hakivunji chawa) kufanya mishipa ya damu ya uume wako kujaa damu ndipo uume usimamae barabara kama msumari kwa muda mrefu.
Tazama - Kwa kawaida uume huwa umesinyaa muda wote pindi mwanaume unapokuwa huna msisimko wa kufanya mapenzi.
Msisimko wa kufanya mapenzi ukitokea ndio unapelekea “NO” itowe taarifa ya kuzalishwa kwa “cGMP” ambayo inaenda kusababisha mishipa ya damu kwenye uume wako itanuke na kuruhusu damu iingie kwa kasi ndipo uume usimame barabara kama msumari.
Sasa kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume, uume hauwezi ukasimama barabara kwa muda mrefu kwasababu “PDE5” inazuia kuzalishwa kwa “cGMP”
Kwakua “PDE5” inazuia kuzalishwa kwa “cGMP” matokeo yake mishipa ya damu kwenye uume wako haitanuki vizuri ili damu iweze kuingia kwa kasi na kusababisha uume usimame barabara kwa muda mrefu.
Kwahiyo kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume PDE5 ni “switch” ya kuzuia damu nyingi isifike kwenye mishipa ya damu ya uume wako.
Kwakuwa damu nyingi haifiki kwenye mishipa ya damu ya uume wako, uume wako utasimama legelege hali ambayo itafanya iwe ngumu kwako kumfikisha mkeo kileleni.
Si hivyo tu...
Hata kurudia kwako tendo kwa raundi nyingine itashindikana kabisa kwasababu ya “PDE5” ambayo ni “Switch” ya kuzuia damu nyingi isifike kwenye mishipa ya damu ya uume wako hivyo kufanya uume ushindwe kusimama tena.
Kwahiyo ikitokea ukapata kitu ambacho kazi yake ni kwenda kuzuia hii PDE5 isizuie damu nyingi kwenda kwenye mishipa ya damu ya uume wako tatizo lako linakuwa limeisha.
Kwakuwa damu itaanza kuingia kwenye mishipa ya damu ya uume wako...
Utaanza kusimamisha uume wako barabara kama msumari kwa muda mrefu.
Utamfikisha mkeo kileleni... na .... zaidi ya yote...
Utakuwa na uwezo wa kurudia raundi za kutosha kwa kadri upendavyo na kumfanya mwanamke yeyote atamani kulala na wewe tena na tena bila kujali mwonekano wako... umri wako au uzito wako kwasababu ya kumkuna vizuri “kipele” chake.