Hatua ya #1: Angalia Video Hii Mpya Inayofichua Hatua 6 Za Kutengeneza Mfumo Wa Kuuza Virutubisho Lishe Masaa 24 Hata Ukiwa Umelala Au Ukiwa Kazini!

Hawa hapa ni baadhi ya wanafunzi wangu ambao mifumo yao tayari imeshakamilika. Huyu wa kwanza anaitwa Benjamin.

L-1
L-2
L-3

Mfumo wake tayari unafanya kazi masaa 24 anapiga hela mpaka mimi mwenyewe mwalimu naanza kumuogopa mwanafunzi wangu kwa maokoto anayopata

Ben Lak 7 Testimonial

Mwingine huyu hapa ambae kamaliza program hivi karibuni na MFUMO wake tulikua tunaufanyia majaribio.

Mgina testimonial

Mwingine tena huyu hapa kamaliza mafunzo ya wiki nne na sasa tupo kwenye majaribio ya mfumo wake

Shafii testimonial-1
Shafii testimonial-1
Shafii testimonial-1
Shafii testimonial-2

Mwingine baada ya kuhitimisha kutengeneza mfumo wake na kuanza kuona matunda ana yafuatayo ya kusema...

Mohamed testimonial-3

Bado anaendelea kutoa ushuhuda wa kila mwezi. Hii inaonesha MFUMO unamuingizia kipato endelevu

Mwingine baada ya kuhitimisha kutengeneza mfumo wake na kuanza kuona matunda ana yafuatayo ya kusema...

Hatua ya #2: Chagua Moja Kati Ya Mambo Haya Mawili!

  • Jambo la kwanza: Jiunge kwenye program yangu ya wiki 4 ambapo ninafundisha kwa njia ya video kila kitu kuhusu kutengeneza mfumo wa kuuza virutubisho lishe masaa 24. Hii inamaanisha wewe ndo utawajibika katika uandaaji wa mfumo wako. Utafuata jinsi mafunzo yanavyoelekeza kuweza kujitengenezea mfumo wako mwenyewe.


  • Jambo la pili: Nikuandalie mfumo wote ndani ya siku 7 tu pasipo wewe kufanya lolote. Hii inamaanisha mimi ndo nakufanyia kazi. Kazi ambayo ungeifanya wewe mimi ndo naifanya mpaka hatua ya wewe kuanza kupokea wateja. 


Utofauti wa kwanza kati ya jambo la kwanza na la pili ni kwamba; Ukichagua jambo la kwanza maana yake mfumo wako utaanza kufanya kazi mpaka ukifuzu mafunzo yote ya wiki 4 na wakati ukichagua jambo la pili kazi yako ni kusubiri siku 7 tu mimi nikufanyie kila kitu halafu baada ya hapo ndo nikusetia matangazo ya kuanza kukuletea wateja.

Utofauti wa pili kati ya jambo la kwanza na la pili ni kwamba; Gharama ya kufanyiwa kila kitu pasipo wewe kufanya lolote ipo juu ukilinganisha na gharama ya kujiunga kwenye mafunzo ili ujifunze kujitengenezea mfumo wako mwenyewe.

Kwahiyo uamuzi ni juu yako. Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "Naomba Nichague" ili uchague kimojawapo kati ya mambo hayo mawili halafu ndo nikupe utaratibu kamili wa jambo ambalo utakuwa umechagua.

Copyright - Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications