Njia Hii Ya Hatua Tatu Inatibu Vidonda Vya Tumbo Na Kuweka Ulinzi Mkali Kuzuia Visijirudie Tena

Je, huyu ni wewe?
Umeshatumia pesa nyingi kununua dawa za hospitali, mitishamba, na kila aina ya tiba — lakini bado, vidonda vya tumbo haviponi kabisa.
Kila mara unapopata nafuu kidogo, unahisi huenda safari hii umepata suluhisho…
Lakini ndani ya wiki chache, maumivu yanarudi — mara hii kwa kasi na makali zaidi. Maumivu yanayochoma tumboni, yanayokunyima raha, na kuharibu kila siku yako.
Unaanza upya tena. Dawa mpya. Lishe mpya. Masharti mapya. Lakini bado, matokeo ni yale yale.
Ukweli ni kwamba umechoka — kila siku kuamka na maumivu. Kukosa hamu ya kula. Kila mlo kuwa kama adhabu. Hata usingizi unakukimbia — kwa sababu ya gesi, kiungulia, na maumivu yanayochoma usiku kucha.
Wakati wengine wanaishi maisha yao kwa amani, wewe unaishi kwa hofu: "Je, leo vidonda vitaamka na kuanza kunisumbua tena?"
Umejaribu kila kitu — dawa, mlo, tiba mbadala — lakini bado hakuna mabadiliko ya kudumu. Na sasa unaanza kujiuliza:
“Kama hizi dawa zinafanya kazi, kwa nini bado nateseka hivi?”
Muda wako, pesa zako, hata imani yako imekuwa ikiyeyuka polepole... ...ukitafuta suluhisho la kweli — lisilo la muda mfupi.
Na sasa, hofu inazidi kuongezeka: "Je, hali hii itageuka kuwa kansa? Je, maisha yangu yatabaki hivi milele? Je, naweza kufa kwa sababu ya vidonda vya tumbo — kama wengine?"
Lakini licha ya kupitia yote haya — maumivu ya kila siku, matumaini ya muda mfupi, na pesa nyingi zilizopotea — kuna jambo moja ambalo linapaswa kuwekwa wazi:
Sio kwamba wewe hujajitahidi kulishughulikia tatizo lako. Sio kwamba huna nidhamu. Na sio kwamba vidonda vya tumbo haviwezi kupona kabisa.
Tatizo ni hili: Kuna imani potofu na uongo mwingi umezungukwa nao.
Uongo kutoka kwa marafiki, mitandaoni, na hata mara nyingine kutoka kwa wataalamu wa afya.
Na hadi uachane na baadhi ya imani hizi potofu —huwezi kutoka kwenye mzunguko wa mateso unaokurudia kila mara.
Hebu tuweke wazi baadhi ya uongo mkubwa unaoendelea kuumiza afya yako:Uongo na Imani Potofu Kuhusu Vidonda Vya Tumbo
Imani potofu ya #1: Maziwa fresh yanaponya vidonda vya tumbo
Ni ushauri wa kwanza kabisa wengi hupewa: “Kunywa maziwa, yatatuliza maumivu.”
Lakini ukweli ni huu: maziwa huleta nafuu ya muda mfupi tu — na baadaye, huweza kuzidisha tatizo.
Kwanza, maziwa huchochea uzalishaji wa asidi tumboni baada ya muda mfupi, hali inayochochea zaidi vidonda.
Pili, maziwa huunda utando wa muda mfupi (protein coating) unaofunika vidonda dhidi ya asidi — lakini punde utando huo unapofutika, asidi hurudi kwa nguvu zaidi, na kusababisha vidonda kuumia tena kwa kiwango kikubwa zaidi.
Matokeo? Maumivu makali zaidi, mzunguko wa mateso unaojirudia, na imani potofu inayokuzuia kupata nafuu ya kweli.
Kwahiyo hupaswi kutumia maziwa fresh peke yake kama tiba ya vidonda vya tumbo.
Usinielewe vibaya. Sijamaanisha usitumie kabisa maziwa fresh. Maana yangu ni kwamba mazima fresh peke yake hayawezi kukusaidia kutibu vidonda vya tumbo. Labda kama unachanganya na dawa nyingine hapo sawa.
Imani potofu ya #2: Kushinda njaa kunasababisha vidonda vya tumbo
Wengi huamini kwamba ukikaa muda mrefu bila kula, moja kwa moja utapata vidonda vya tumbo.
Lakini ukweli ni kwamba si njaa inayosababisha vidonda — bali ni uwepo wa bakteria aitwaye H. pylori pamoja na matumizi mabaya ya baadhi ya dawa za kupoza maumivu ya kichwa, tumbo, hedhi n.k
Njaa inaweza kuongeza usumbufu kwa mtu ambaye tayari ana vidonda, lakini haitoshi kusababisha vidonda vyenyewe. Kwahiyo kula kila baada ya muda si suluhisho — kama chanzo halisi hakijashughulikiwa.
Imani potofu ya #3: Msongo wa mawazo unasababisha vidonda vya tumbo
Ni rahisi kuamini kwamba msongo wa mawazo (stress) nao pia husababisha vidonda — kwa sababu mara nyingi unahisi maumivu kuongezeka pindi unapokuwa na wasiwasi au kwenye dimbwi la mawazo.
Lakini ukweli ni huu: Stress haiwezi kusababisha vidonda moja kwa moja. Inaweza kuchangia hali kuwa mbaya zaidi kwa mtu mwenye vidonda tayari, lakini chanzo halisi mara nyingi ni H. pylori au matumizi ya dawa zinazochoma kuta za tumbo (kama dawa za kupoza maumivu ya kichwa, tumbo, hedhi n.k)
Ni kweli kuweka akili yako katika hali ya utulivu na kutokuwa na stress ni muhimu — lakini hiyo pekee haitoshi kuponya vidonda.
Imani potofu ya #4: Kula vyakula vyenye asidi na viungo vingi kunasababisha vidonda vya tumbo.
Wengi huacha kula vyakula vya viungo au vyenye ladha kali kwa hofu kuwa vitazalisha vidonda. Lakini ukweli ni kwamba chakula peke yake hakisababishi vidonda.
Vyakula hivi vinaweza kusababisha usumbufu au kuchochea maumivu kwa wale ambao tayari wana vidonda, lakini havianzi mchakato wa uharibifu wa ukuta wa tumbo na kusababisha vidonda.
Kwahiyo kupangilia au kuchagua aina ya vyakula hakutoshi kukufanya upone vidonda kwasababu vyakula sio chanzo na wala havipelekei mtu kupata au kupona vidonda.
Hivyo basi, kuamini kuwa kubadilisha tu chakula kutatosha kusaidia kutibu vidonda vya tumbo ni kujichelewesha kupona na kuondokana na maumivu ya kila siku yanayokukabili.
Imani potofu ya #5: Vidonda vya tumbo vinaambukizwa
Hii ni dhana ya kutisha — na ya uongo.
Vidonda vya tumbo havipatikani kwa kuambukizwa moja kwa moja kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Kinachoambukiza ni bakteria wa H. pylori — na hata hivyo, si kila mtu aliye na bakteria huyu hupata vidonda. Mchanganyiko wa bakteria, kinga ya mwili, na hali ya mazingira ya tumbo ndiyo huamua.
Kwa hiyo, vidonda si maradhi ya kuambukiza kama mafua.
Imani potofu ya #6: Huwezi kuwa na vidonda vya tumbo pasipo dalili zozote.
Hii ni hatari kwa sababu watu wengi wanakuwa navyo kwa miezi — au hata miaka — bila kujua.
Dalili huweza kujificha au kuchukuliwa poa kama tumbo kujaa gesi, kuvimbiwa, kichefuchefu, au kuchoka tu.
Na kabla hujajua, vidonda hivyo vinakuwa vimesababisha matatizo makubwa kama: kutokwa damu ndani kwa ndani, au hata tundu kwenye tumbo (perforation).
Kutokuwa na dalili hakumaanishi uko salama. Hapa ndipo watu wengi huteleza.
Pengine unajiuliza: ‘Sasa tiba sahihi ya vidonda vya tumbo ni ipi?’
Usijali ndani ya dakika chache zijazo nitakuonyesha suluhisho hilo — tiba ambayo si tu inatoa nafuu ya muda mfupi, bali inakwenda moja kwa moja kwenye chanzo cha tatizo na kuhakikisha vidonda vinaisha moja kwa moja pasipo kujirudia tena.
Lakini kabla ya kufika huko, kuna jambo muhimu unalopaswa kuelewa:
Vidonda vya tumbo havitokei tu kwa bahati mbaya — vina chanzo maalum, kinachozalisha mzunguko wa mateso usioisha.
Na ukikielewa chanzo hicho vizuri, utaweza kuelewa kwa nini tiba sahihi hufanya kazi… na kwa nini zingine zote hazikupatii matokeo mazuri.
Hii Hapa ndiyo sababu kuu vidonda vyaa tumbo hutokea… na kwa nini havitaki kupona kabisa.
Hatua ya kwanza: Maambukizi Huanzishwa na H. pylori
Mpaka sasa zimefanyika tafiti nyingi sana lakini haijajulikana bado ni kwa njia ipi bacteria hawa wa H. pylori wanavyofika tumboni lakini wakishafika tumboni ndo wanaanza kusababisha vidonda kutokea.
Licha ya ndani ya tumbo lako kuwa na mazingira ya tindikali kali sana — lakini H. pylori ni bakteria wa ajabu sana wanaweza kumudu kuishi hivyo hivyo kama ifuatayo:
Backeria huyu huweza kuishi tumboni kwa ujanja wake wa kuzalisha urease, kimeng’enya kinachobadilisha urea kuwa ammonia – ambayo hupunguza ukali wa asidi karibu naye, na kumsaidia kujificha ndani ya ukuta wa tumbo.
Hatua ya pili: Kuchimba na kuvunja ulinzi wa tumbo
Ukuta wa tumbo una tabaka la ute mzito (mucus) unaolilinda dhidi ya asidi inayozalishwa tumboni mwako kila siku.
Kinachotokea ni kwamba; H. pylori huchimba kupitia ute huu na kushikamana moja kwa moja na seli laini za ukuta wa tumbo (epithelial cells).
Hii ni sawa na moto kuwaka nyuma ya kinga – ukuta unaanza kuchomwa kutoka ndani.
Hatua ya tatu: Kutokea kwa uvimbe mkubwa (Gastritis)
Mwili wako unapogundua kuwa kuna mgeni (H. pylori), unatuma askari wa kinga — lakini badala ya kumuangamiza tu, kinga zako huanza kupambana vibaya na kusababisha uvimbe wa ndani, kuharibu seli, na kuzalisha sumu ndogo ndogo (toxins na cytokines) zinazoendelea kuharibu zaidi.
Matokeo yake? Ukuta wa tumbo unakuwa dhaifu, unaumia kwa ndani, na asidi inapata nafasi ya kuingia moja kwa moja.
Hatua ya nne: Kutokea kwa vidonda vya tumbo
Kwa kuwa kinga inayoulinda ukuta wa tumboni mwako imevunjwa, asidi ya tumbo na kimeng'enya chenye nguvu sana kiitwacho pepsin huanza kushambulia seli za ukuta wa tumboni moja kwa moja.
Hii huleta vidonda vya kweli — yaani sehemu wazi, zenye maumivu makali, zinazochoma kama moto.
Kwa maelezo rahisi: vidonda hutokea pale ambapo bakteria wa H. pylori hushambulia na kuharibu ukuta wa ndani wa tumbo — ukuta ambao kazi yake ni kulinda tumbo dhidi ya madhara ya asidi na kimeng'enya cha pepsin kinachozalishwa kila siku. Pindi ulinzi huu unapoharibika, asidi na pepsin huanza kushambulia tishu laini za tumbo, na hapo ndipo vidonda huanza kuibuka.
Lakini ifahamike kwamba H. pylori siyo kisababishi pekee kinachopelekea vidonda vya tumbo kutokea.
Dawa za kupoza maumivu (NSAIDs) ya kichwa, tumbo hedhi n.k ni kisababishi kingine hatari kisichoeleweka na wengi.
Dawa hizi hutumika kila siku kupunguza maumivu — lakini kama zinatumika bila ulazima au kwa muda mrefu, huathiri uzalishaji wa ute wa kinga ya tumbo.
Zinafanya tumbo lako lipunguze prostaglandins — kemikali muhimu sana zinazolilinda dhidi ya tindikali.
Matokeo yake? Ukuta wa tumbo unabaki uchi — bila ulinzi wowote.
Kwahiyo ukijumlisha haya mawili:
H. pylori anayevamia kutoka ndani na
NSAIDs zinazotoboa kinga kutoka nje
…tumbo lako linakuwa katika hatari kubwa ya kupata vidonda visivyopona kirahisi.
Nini kifanyike kuweza kutibu vidonda vya tumbo na kuhakikisha havijirudii tena?
Mpaka sasa, naamini tayari umeanza kupata picha halisi ya nini hasa kinahitajika kufanyika ili kuponya vidonda vya tumbo kwa njia ya uhakika na ya moja kwa moja. Lakini kabla ya yote, kuna jambo muhimu unalopaswa kuelewa:
Huwezi kuponya vidonda vya tumbo kwa kudhibiti tu kiwango cha asidi tumboni.
Huwezi kupona kwa kuwaua tu bakteria wa H. pylori.
Huwezi kupona kwa kutibu vidonda tu bila kushughulikia chanzo chake.
Njia sahihi, ya uhakika, na ya kudumu ya kuondoa vidonda vya tumbo ni hii hapa:
- Kuwaangamiza kabisa H. pylori — ili wasiendelee kuharibu kinga ya asili ya tumbo lako.
- Kutibu vidonda vilivyopo — kwa kutumia virutubisho sahihi vinavyosaidia ukuta wa tumbo kupona haraka.
- Kusaidia tumbo kujijenga upya — kwa kulinda na kuimarisha tena ukuta wake wa ndani dhidi ya mashambulizi ya baadaye.
Ukiweza kufanya hatua hizi kwa usahihi na kwa ukamilifu, basi vidonda vya tumbo vitaisha — na hutateseka tena.
Tatizo ni kwamba tiba nyingi zilizopo kwa sasa zimeundwa kwa lengo moja tu: kuwaua bakteria wa H. pylori. Ni kweli — bakteria hao wanaweza kuondoka… lakini vidonda je? Bado vinabaki.
Na kwa kuwa kinga ya asili ya tumbo tayari imeharibiwa, vidonda vinaendelea kuongezeka.
Habari njema ni kwamba: Baada ya zaidi ya miaka mitano ya utafiti wa kina, tumeweza kuunda dawa mbili maalum za vidonda vya tumbo — ambazo hazifanyi kazi moja tu, bali hufanya kazi zote tatu muhimu kwa ukamilifu.

GastroNil Liquid na GastroNil Coat Zinatibu Vidonda Vya Tumbo Katika Hatua 3 Zifuatazo:
1. Huangamiza kabisa bakteria wa H. pylori
GastroNil Liquid inaondoa chanzo kikuu cha vidonda kwa kuwaua H. pylori kikamilifu — bila kuathiri bakteria wazuri tumboni. Hii inasaidia kurejesha usawa wa asili wa mfumo wa mmeng’enyo.
2. Hutibu na kuponya vidonda vilivyopo tumboni
GastroNil Liquid inalenga moja kwa moja maeneo yenye majeraha (vidonda), ikitumia viambato vinavyoharakisha urejesho wa seli na kuponya tishu zilizoharibika.
3. Huimarisha kinga ya ndani ya tumbo kwa kujenga upya ukuta wa ulinzi
GastroNil Coat inasaidia tumbo lako kurudisha tena tabaka lake la ulinzi (mucosal barrier), ili kuzuia asidi na pepsin kuharibu tena kuta za tumbo — na hivyo kuzuia vidonda kurudi.
Hizi hapa sababu 15 kwa nini GastroNil Ni Tiba Tofauti Na Ya Kipekee Kwa Vidonda Vya Tumbo:
GastroNil si dawa za kawaida — ni hatua ya kwanza kuelekea maisha mapya yasiyo na maumivu, wasiwasi, wala masharti magumu ya kila siku. Ni maisha ya uhuru wa kweli!
Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?
- Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya masaa 24 ya kuanza kutumia GastroNil.
- Wapo wengine wanao anza kuona mabadiliko ndani ya siku mbili za kuanza kutumia GastroNil.
- Hata hivyo, mamia ya wahanga waliotumia GastroNil, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku tatu tu za kuanza dozi ya GastroNil.
- Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku tatu na zaidi.
Inagharimu Kiasi Gani Kupata Tiba Hii Ya GastroNil?
Kabla sijakwambia bei ya kutumia GastroNil kuondoa vidonda vya tumbo, ningependa wewe mwenyewe ujipangie bei.
Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho ambalo linaweza kukuvusha kutoka kwenye mateso ya kuamka usiku na maumivu makali ya tumbo, kushindwa kula vyakula unavyovipenda, kuishi kwa hofu ya kiungulia na gesi kila siku?
Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba ambayo inakuondolea vidonda vya tumbo ndani ya siku 30 tu — na kukulinda visirudi tena?
Unajipangia bei kiasi gani kwa dawa ambayo haikugharimu afya yako kwa kemikali kali wala kukupa masharti magumu ya maisha, bali inatibu na kulinda tumbo kwa viambato asilia, salama, na vilivyofanyiwa utafiti wa miaka?
Nadhani ukijipangia Tsh 1,200,000/= hautakuwa umekosea. Kwa sababu thamani ya kuishi bila maumivu, bila hofu, bila kunyimwa raha ya kula — haiwezi kulinganishwa na pesa.
Lakini unajua cha kushangaza ni nini? Hutalipa hata nusu ya hiyo milioni moja na laki mbili.
Utapata GastroNil kwa bei ya kushangaza, ambayo kila mtu anaweza kuimudu — kwa sababu tunajua kilio cha vidonda vya tumbo na hatutaki tena mtu mwingine apitie mateso hayo.
Utapata tiba hii kwa gharama ya:
150,000/=
Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.
Kama utaweka ODA yako kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa...
115,000/=
Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 150,000/=
Usikubali kupitwa na fursa hii ya kipekee!
Chukua OFA yako leo na uanze safari ya kuondokana na mateso ya muda mrefu kama vile maumivu makali ya tumbo, kiungulia cha kila siku, gesi isiyokwisha, choo kigumu cheusi kama cha mbuzi, na hofu ya kula kila unapotaka!
GastroNil ni suluhisho la haraka na la kudumu — lenye viambato asilia vinavyotibu, kuponya na kulinda kabisa. Hii si tiba ya muda mfupi; ni suluhisho la maisha.
Unasubiri nini kuweka ODA yako? Hii ni tiba mpya ya asili, ya gharama nafuu, inayokuletea matokeo ya haraka na ya kudumu. Hii ndiyo tiketi yako ya kuondokana na mateso ya kila siku ya vidonda vya tumbo — maumivu makali, kiungulia, gesi, choo kigumu na hofu ya kula chakula chochote.
Fanya mabadiliko leo. Jiokoe kwa njia salama, asilia na yenye nguvu isiyoruhusu vidonda kurudi tena!
UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:
Bonyeza hapa chini kupata dozi yako.
Malipo yote yanafanyika kwa Lipa Namba Ya Voda
Lipa Namba ya Voda ni 56776685 jina ni Mohamedy Hussein Juma
Utaratibu wa Malipo Upo Kama Ifuatavyo:
Tunatambua kwamba mtandaoni kuna utapeli mwingi na watu wa mikoani (Nje ya Tabora) wanaibiwa pesa zao kila siku. Kwasababu hiyo tulijaribu kufanya utaratibu wa wateja wetu wa mikoani kulipia gharama zote baada ya kuwa wamepokea mizigo yao lakini tunasikitika kwamba asilimia kubwa ya wateja wa mikoani hawakuonesha ushirikiano mzuri. Wengi wao baada tu ya kujulishwa kwamba mizigo yao imefika waifuate ndo wafanye malipo hawakupokea simu zetu tena na wengine wakasema wameghairi kuchukua dawa, hivyo ilitulazimu kuisafirisha mizigo kuirudisha Tabora kitu ambacho kilileta hasara kubwa kwa upande wetu.
Kwasababu hiyo utaratibu wetu mpya wa malipo uko kama ifuatavyo; kama upo mkoani (nje ya Tabora) ili uweze kutumiwa mzigo mkoani itakubidi ulipe kwanza advance 10,000/= halafu utaratibu wa kutumiwa mzigo wako kuja mkoani ndipo utakapofanyika. Baada ya kupokea mzigo unamalizia pesa yote inayokuwa imebaki (105,000/=)
Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo...
Kama upo Tabora, unasubiri kuletewa dozi yako na...
Kama upo mkoani (nje ya Tabora) unalipa kwanza advance 10,000/= Baada ya kuwa umefanya malipo ndo dawa yako inatumwa kuja mkoani ulipo. Ukipokea mzigo wako unamalizia 105,000/=
Kuagiza dozi yako ni rahisi.
Bonyeza hapa chini.
Naweza kughairi kuweka ODA yangu sasa hivi nikaja kuweka badae au siku nyingine? Ndio, unaweza kuweka ODA yako badae au siku nyingine lakini ukifanya hivyo mambo yafuatayo yatatokea:
- Kila Siku Unayochelewa, Vidonda Vinazidi Kuongezeka: Vidonda vya tumbo havisubiri — vinaendelea kuharibu ukuta wa tumbo na kuongeza maumivu. Kila siku ya kuchelewa ni hatari zaidi kwa afya yako.
- Unapoteza Fursa ya Kupona Ndani ya siku 30: Kwa kutumia GastroNil, unakuwa karibu zaidi na kupona. Ukisubiri kesho au kesho kutwa, unachelewesha ahueni yako bila sababu.
- Hujui Maumivu Makali Yatakupata Lini: Maumivu ya vidonda vya tumbo huja ghafla — usisubiri hadi hali iwe mbaya. Leo ndiyo nafasi bora ya kujilinda mapema.
- Unahatarisha Kinga Yako ya Asili Zaidi: GastroNil hujenga tena ukuta wa ndani wa tumbo. Ukisubiri, kinga yako inaendelea kubomoka, na tiba inaweza kuwa ngumu zaidi.
- Bei Inaweza Kubadilika: Leo una uhakika wa bei hii nafuu na punguzo linalopatikana sasa. Kesho inaweza isiwepo tena. Weka ODA yako leo.
- Maelfu Tayari Wamepona — Usiachwe Nyuma: Watu wengine waliokuwa kama wewe walichukua hatua mapema — leo wapo huru. Usipoweka ODA leo, wewe peke yako ndo utaendelea kuteseka na vidonda vya tumbo. Ni zamu yako sasa.
- Unaokoa Fedha kwa Kuepuka Tiba za Mara kwa Mara: Kujichelewesha kwa kutoweka ODA yako leo kunaleta gharama zaidi — hospitali, vipimo, na dawa zisizo na matokeo ya kudumu. GastroNil ni suluhisho la mwisho.
- Huwezi Kuweka Afya Kiporo: Afya haingoji likizo, mshahara, au hali bora. Uamuzi bora ni ule unaofanywa sasa — kwa afya ya leo na kesho. Kujichelewesha kwako kuweka ODA kunafanya hali izidi kuwa mbaya zaidi.
- Kuchelewa Kupata Furaha Mpya ya Maisha: Fikiria kula bila woga, kulala bila maumivu, na kuamka ukiwa huru. Yote yanaanza na hatua moja — leo. Usipoweka ODA leo maana yake utayakosa yote hayo.
Na kwa wote ambao hawataweka kabisa ODA zao, watakuwa wamejikosesha faida hizi muhimu:
Kadri unavyoendelea kusubiri ndo unajikosesha mambo yote haya. Isitoshe unapata na guarantee (Dhamana) ifuatayo:

Dhama hii iko hivi:
Tumia GastroNil kwa muda wa siku 30. Kama baada ya siku hizo utakuwa bado unaendelea kuteseka na kiungulia cha kuunguza kifua, maumivu makali ya tumbo, choo kigumu na cheusi, au kuchoka kwa muda mrefu kutokana na asidi kupanda, na kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaridhika na matokeo ya GastroNil — piga simu kwenda namba 0719627534 toa taarifa, utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.
Hata hivyo nina imani utaipenda GastroNil na utalidhika kwa maajabu ambayo itakufanyia.
Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa na jinsi maumivu yanavyopungua ndani ya masaa 48 tu, na hali yako inavyozidi kuimarika kila siku — bila kurejea tena kwenye mateso ya zamani.
Ukweli ni kwamba kwa kuitumia GastroNil pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwenye dawa na tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.
Weka ODA yako sasa.
Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. M/Mungu akubariki.
P.S: Bado unasita kuweka ODA yako?
Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa dawa hii ndani ya siku 30 haitakusaidia kuondokana na: kiungulia cha kuunguza kifua, maumivu makali ya tumbo, choo kigumu na cheusi, au kuchoka kwa muda mrefu kutokana na asidi kupanda.
Huna cha kupoteza. Una kila sababu ya kweka ODA yako sasa hivi ili uanze kuishi maisha ya amani, bila maumivu, kiungulia, wala wasiwasi wa kila ukila au kunywa kitu chochote.
Copyright - Online Marketing System Pro
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.