Hongera! Umefanikiwa Kujisajili Kwenye Mafunzo ya Siku 5 ya Bure

Naitwa Irene Shayo

Umechukua hatua muhimu sana kuanza kujifunza jinsi ya kujenga kipato cha ziada kwa kutumia mfumo huu.

Namna mafunzo yatakavyokuwa:

Kwa muda wa siku 5, nitakuwa nakutumia mafunzo kupitia WhatsApp inbox yako kila siku.

Kila siku utapokea:

  • link ya video ya siku husika
  • utaangalia kwa muda wako
  • na kama kuna swali, utauliza kwenye jukwaa au inbox

👉 Hakikisha unaangalia kila siku ili usipoteze muendelezo wa mafunzo.

Mafunzo haya yameandaliwa na Mr Bokko, ambaye ana uzoefu mkubwa wa kusaidia watu kujenga mifumo ya kipato mtandaoni.

Nimechagua kushirikiana naye ili kukuletea mfumo huu kwa njia rahisi zaidi na inayoeleweka.

Ndani ya siku 5, utajifunza:

  • Siku ya 1: Kwa nini watu wengi wanaona mfumo huu ni wa kitapeli — na ukweli halisi uliopo nyuma yake
  • Siku ya 2: Njia 2 rahisi za kuanza kupata kipato cha ziada kupitia mfumo huu
  • Siku ya 3: Mambo 3 muhimu ya kuzingatia ili kuingiza kipato kupitia njia ya kwanza
  • Siku ya 4: Jinsi ya kupata kipato endelevu kupitia njia ya pili
  • Siku ya 5: Hatua za kuanza mara moja na kuanza kunufaika

Bonyeza hapa chini palipoandikwa “NIKO TAYARI KWA MAFUNZO” kupata mafunzo ya siku ya kwanza

© 2026, Online Marketing System Pro

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications