Masato’s P.E Sales page-1. - Online Marketing System Pro

Jinsi Ambavyo Kwa Kutumia Mmea Wa Polygonum Cuspidatum Unaweza Kupona Uvimbe Wa Tezi Dume Na Usijirudie Tena (Hata Kama Ushawahi Kufanya Upasuaji Zaidi Ya Mara Moja) Na Pasipo Kufanyiwa Upasuaji Kwa Ambaye Hajawahi Kufanyiwa Kabla Hata Mara Moja!

Mpendwa msomaji,

Kama unataka kupona uvimbe wa TEZI DUME pasipo kufanyiwa UPASUAJI...

Ili uanze kukojoa mkojo wa moja kwa moja na unaoisha bila kujikamua na pasipo maumivu ya aina yoyote ile...

Na kuondokana na karaha ya safari za kwenda kukojoa mara kwa mara nyakati za usiku...

Hivyo kuanza kulala usingizi murua kabisa.

Na hatimaye kusafiri au kwenda matembezi kwa amani pasipo kuhofia kubanwa na mkojo wa kukufanya utake kukojoa mara kwa mara...

Basi unahitaji kusoma kila neno katika ukurasa huu kwasababu...

Unaelekea Kugundua Njia Mpya Na Ya Kipekee Ambayo Haina Madhara Yoyote Mwilini Na Imethibitishwa Na Mamlaka Za Afya Kwa Kuyeyusha Uvimbe Wa Tezi Dume Kama Mafuta Yaliyoganda Kwenye Kikaangio Cha Moto!

Kwa majina naitwa Reginald Masato. Najua ni kwa jinsi gani uvimbe wa TEZI DUME unakukosesha amani kwasababu nina ndugu yangu ambae alikuwa na tatizo kama lako.

Nina uhakika kama ilivyokuwa kwa ndugu yangu hata wewe pia umejaribu njia mbalimbali za kuweza kuondoana na uvimbe wa tezi dume lakini umeishia kupoteza hela na muda kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.

Tazama, ndugu yangu alijaribu kutumia mitishamba akiwa na imani itamsaidia lakini cha kushangaza mwezi mmoja mbele baada ya kwenda kucheki hospitalini kuona kama Uvimbe umepungua hakunaamini majibu aliyoambiwa.

Aliambiwa uvimbe umeongezeka mara mbili ya mwanzo kabla hajaanza kutumia mitishamba.

Hakuishia hapo...

Akaanza kutumia dawa za hospitalini.

Alitumia dawa za hospitalini kwa muda wa mwaka mmoja. Taarifa mbaya ni kwamba uvimbe haukuisha bali aligeuka kuwa mtumwa wa kumeza hizo dawa kila siku na bado uvimbe haukuisha.

Akashauriwa ili uvimbe uishe inatakiwa afanye upasuaji. Hakuwa na namna akafanya upasuaji.

Uvimbe ukaisha kabisa lakini chakushangaza baada ya mwaka mmjoa na miezi kadhaa uvimbe ukarudi tena.

Akaanza hekaheka za kutafuta dawa za kumsaidia kuondokana na uvimbe uliojirudia.

nikamshauri huyu ndugu yangu atumie dawa fulani kutoka shirika ninapofanyia kazi akawa mgumu kunisikiliza.

Kwa jeuri yake akaenda kununua virutubisho kutoka kampuni ambayo sitoitaja hapa maana sipo kwa ajili ya kupondea biashara za watu hapa.

Basi akanunua virutubisho lishe hivyo na akaanza kuvitumia.

Mwenzi mmoja kupita hakuna alichoambulia zaidi ya kupoteza pesa zake.

Kwa upole akanifuata na kuniambia sasa yupo tayari kujaribu dawa nilizomshauri atumie.

Alivyoanza kutumia dawa hizi wiki ya kwanza tu alianza kuona mabadiliko.

Safari za usiku kwenda kukojoa zikaanza kupungua.

Hali ya kukojoa kwa kujikamua ikaanza kutoweka taratibu siku hadi siku.

Mpaka mwezi kuisha mkojo ukaanza kutoka moja kwa moja na kuisha kabisa.

Baada ya kutumia dozi kamili sasa yapata mwaka wa 2 uvimbe haujawahi kurudi tena na tatizo hilo limebaki historia kwake.

Pengine unatamani kujua ndugu huyu alitumia dawa zipi ambazo zimemsaidia kuondokana na UVIMBE WA TEZI DUME na kuzuia uvimbe kutojirudia tena...

Usijali ndani ya dakika 2 zijazo nitakwambia alitumia nini lakini kwanza unatakiwa ujue kwamba...

Tafiti Za Kisayansi Zinaonesha Kwamba Wanaume Wote Wenye Umri Kuanzia Miaka 50 Kupanda Juu Wana Uvimbe Wa TEZI DUME!

Na kati ya wote wenye uvimbe wa tezi dume, nusu (50%) yao uvimbe huo haujaanza kuwaletea shida na wakati nusu iliyobaki ni ambao uvimbe huu wa tezi dume ushaanza kuwaletea shida.

Kwahiyo kama hujaanza kupata shida yoyote kwenye suala la ukojoaji tambua kwamba uvimbe unao lakini upo kwenye kundi la watu wenye uvimbe wa tezi dume ambao haujaanza kuleta madhara.

Lini utaanza kukuletea madhara? Hakuna anayejua. Muda wowote -Unaweza ukaanza kukuletea madhara mwilini.

Kwa ambae uvimbe huu ushaanza kuleta madhara mwilini athari zake zipo kwenye ukojoaji. Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku, ukikojoa mkojo hautoki wote, Kukojoa kwa kujikamua, kukojoa mkojo unaorudi kwa nyuma na dalili nyingine nyingi.

Kuna baadhi dalili za uvimbe huu ni kali sana wakati wengine ni za kawaida.

Tafiti zinaonesha kwamba dalili kuwa kali haitokani na uvimbe kuwa mkubwa. Kuna watu wana uvimbe mdogo na dalili zake ni kali sana, wakati wengine wana uvimbe mkubwa na dalili zake ni za kawaida. Miili inatofautiana, hivyo ukubwa wa uvimbe sio kigezo cha kupata maumivu makali.


Taarifa mbaya ni kwamba...


Tafiti nyingi zimefanyika juu ya kisababishi cha uvimbe huu wa tezi dume kutokea lakini mpaka leo hii bado haijajulikana uvimbe wa tezi dume unasababishwa na nini.


Kwakuwa tatizo hili linawakumba wanaume ambao umri umeenda kuanzia miaka 50 na kupanda, makisio yanayotolewa ni kwamba huenda kisababishi kikawa ni magonjwa ya uzeeni au mabadiliko ya vichochezi vya mwili (Homoni)

Lakini hayo ni makisio tu. Hakuna ambaye mpaka sasa anajua kwa uhakika tatizo hili linasababishwa na nini.


Kwasababu kisababishi cha tatizo kimekuwa kigumu kubainika, hivyo imekuwa ngumu kutengeneza dawa sahihi ya kuondoa uvimbe huu pasipo kujua kinachopelekea uvimbe huu kutokea.

Ili dawa sahihi itengenezwe lazima kwanza kinachosababisha uvimbe kutokea kijulikane.

Ndio maana kwa miaka mingi sasa suluhisho pekee la kuondoa uvimbe huu limekuwa ni kufanyiwa upasuaji.


Ukifanyiwa upasuaji uvimbe unatoka lakini baada ya muda uvimbe unarudi tena kama ulivyoona kwa ndugu yangu.

Si hivyo tu...

Baada ya kufanyiwa upasuaji, upasuaji huu unapelekea upate tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Kwahiyo, kufanyiwa upasuaji sio njia ya kuondoa uvimve na kuutokomeza usijirudie tena.

Chanzo Cha Kutengenezwa Kwa Dawa Iliyomsaidia Ndugu Yangu Mpaka Akapona Na Kuzuia UVIMBE Usijirudie Tena!

Kama nilivyokwambia huwezi ukatengeneza tiba ya tatizo fulani la kiafya wakati hujui kisababishi cha tatizo hilo ni kipi.

Lakini NATURE'S WAY katika tafiti zao za muda mrefu wameweza kugundua moja ya visababishi vya tatizo hili.


Na ugunduzi huu wa mojawapo ya visababishi vya uvimbe kutokea ndio umepelekea shirika hili la kimarekani kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge asilia kabisa ambavyo vinayeyusha uvimbe wa tezi dume yako haijawahi kutokea.


Kisababishi cha UVIMBE WA TEZI DUME walichokigundua ni Dihydrotestosterone (DHT). Naomba nikuelezee:


Kwa kawaida kila mwanaume anazaliwa akiwa na Tezi dume. Kadri unavyozidi kukua ndivyo hata tezi hii inazidi kukua pia. Lakini unavyofika umri wa kubarehe tezi hii inakua mara mbili zaidi ya kipindi cha nyuma kabla ya kubarehe.

Baada ya hapo makuzi ya tezi hii yanaendelea taratibu kama kawaida mpaka siku ya mwisho wa uhai wako.

Makuzi ya tezi hii hayana madhara yoyote lakini madhara yatatokea endapo tezi hii itakua sana na kutanuka zaidi ya kawaida na kupelekea ianze kuvimba.


Tezi hii kwakuwa ipo katikati ya kibofu cha mkojo na uume. Na mrijia wa kutoa mkojo nje ya mwili unapita katikati ya tezi hii. Kwahiyo, tezi hii ikivimba kibofu cha mkojo na mrija wa kutoa mkojo vinaanza kugandamizwa.

Hali hii ya kugandamizwa kwa kibofu na mrija wa kutoa mkojo inaleta athari kwenye kukojoa. Lazima uanze kukojoa kwa shida. Na uwezo wa kibofu kutoa mkojo wote unapungua.


Kwahiyo, utajikuta kila ukikojoa mkojo uliopo kwenye kibofu hautoki wote. Matokeo yake kila baada ya muda mfupi utakuwa unahisi kutaka kukojoa kwasababu ukikojoa sio mkojo wote unaotoka kutokana na hali ya kugandamizwa kwa kibofu na mrija wa kutoa mkojo.

Uvimbe unavyozidi kuongezeka inafika mahali mrija wa kutoa mkojo unaziba kabisa na kibofu kinakuwa hakina uwezo tena wa kutunza mkojo.


Kwahiyo, ikifikia hali hiyo unakuwa huna uwezo wa kukojoa tena. Kinachofuata ni kutobolewa na kuwekewa mrija ili figo lako nalo lisije kupata shida kwasababu lenyewe litaendelea kuzalisha mkojo (taka mwili) kama kawaida. Kama mkojo utaendelea kuzalishwa halafu usitolewe lazima figo nalo litapata shida.

Kwahiyo, ni vyema sana kuuwahi uvimbe wa tezi dume kabla haujaanza kuleta madhara makubwa mwilini.


Ni Kwa Namna Gani Dihydrotestosterone (DHT) Inachangia Katika Kusababisha Uvimbe Wa Tezi Dume Kutokea?

Kama ulivyoweza kuona kadri unavyozidi kukua ndivyo ambavyo hata tezi dume yako inazidi kukua na kutanuka pia. Inavyokua na kutanuka zaidi inafika mahali inaanza kuvimba na kuleta madhara.

Kinachosababisha uvimbe huo utokee ni DHT.

Kivipi? Kwa namna ifuatayo:


Makuzi ya tezi dume yanategemea DHT. Yaani Kuanzia siku unazaliwa na kadri ya umri unavyozidi kwenda DHT ndio inachochea Tezi dume yako iweze kukua na kutanuka. Bila DHT tezi dume yako haiwezi ikakua.

Kwahiyo, kwa namna moja au nyingine kwakuwa DHT inachochea kukua na kutanuka kwa tezi dume basi na yenyewe ni moja ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume yako kutokea.


Kwanini? Kwasababu nimekwambia makuzi ya tezi dume yako yanaendelea mpaka siku utakayokufa. Na kwakuwa DHT Ndio inachochea kukua na kutanuka kwa tezi dume yako basi ndio maana nature’s way wamegundua kwamba na yenyewe ni mojawapo ya visababishi vya tezi dume yako kuvimba.

Unajua kwanini ukifanyiwa upasuaji baada ya muda UVIMBE unajirudia tena?


Kinachosababisha uvimbe urudi ni DHT kwasababu baada ya kufanya upasuaji makuzi ya tezi dume yanaendelea chini ya uchochezi wa DHT. Kwahiyo makuzi yakiendelea itafika muda uvimbe utajirudia tena.

Kila Kitu Kinachozalishwa Mwilini Lazima Kina Chanzo Chake. Kwahiyo Ngoja Nikuoneshe Chanzo Cha DHT Katika Mwili Wako Ni Kipi!

Kwakuwa DHT ni moja ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume. Kwahiyo kuzuia uvimbe huo usitokee tena ni kujua chanzo chake ni kipi mwilini ili kuweza kudhibiti uzalishaji wake usiwe wa kiasi cha kusababisha madhara.


Ukiweza kudhibiti uzalishaji wa DHT unaoleta madhara mwilini mwako utakuwa umefanikiwa kuzuia makuzi ya haraka ya tezi dume yako. Kwahiyo, kama unauvimbe baada ya kudhibiti uzalishaji wa DHT kinachobaki ni kuyeyusha uvimbe. Kwa kufanya hivyo, uvimbe unaisha na unakuwa na uhakika wa kutopata tena uvimbe kwasababu uzalishaji wa DHT unakuwa katika kiwango cha kawaida kisicholeta madhara ya uvimbe kutokea tena.

Swali la kujiuliza ni kwamba...


DHT inatoka wapi au inazalishwa na nini mwilini?

DHT Ni Kama Unga Ambao Ni Matokeo Ya Kusagwa Kwa Mahindi Mashineni.

Ili upate unga lazima mashine iyasage na kuyaponda ponda mahindi kuyageuza unga.

Mashine ikisaga mahindi mengi utapatikana unga mwingi. Na mashine ikisimama kusaga mahindi au ikipunguza kasi ya kusaga mahindi maana yake utapatikana unga kidogo.


Kwa mfano huo ndivyo ilivyo kwenye utengenezwaji wa DHT mwilini. Ili DHT ipatikane lazima mashine ya mwili (Enzyme) iitwayo 5-alpha Reductase ifanye kazi ya kuigeuza homoni ya kiume iitwayo Testosterone kuwa Dihydrotestosterone (DHT).

Baada ya Testosterone kugeuzwa kuwa DHT, DHT ndio inafanya kazi yake ya kuchochea ukuaji wa tezi dume yako.


Kwahiyo,Kwakuwa DHT ndio mojawapo ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume kutokea, njia rahisi ya kudhibiti uzalishaji wa DHT ili isiendelee kuleta madhara ni kudhibiti mashine inayopelekea DHT ipatikane. Mashine hiyo ni 5-alpha Reductase

Ukiweza kudhibiti mashine hii maana yake ni kwamba kiasi kidogo cha DHT kitazalishwa na hivyo kiasi hiki hakitakuwa na madhara yoyote kwenye makuzi ya tezi dume yako.

Kwa maelezo rahisi ni kwamba...

Kama Una Uvimbe Wa Tezi Dume 5-alpha Reductase Sio Rafiki Yako Mzuri.

Tazama, kisababishi mojawapo cha uvimbe wa tezi dume yako ni DHT. Na 5-alpha Reductase ndio mashine pekee mwilini ya kuzalisha hiyo DHT. Kwahiyo, unaweza ukaona kwamba 5-alpha Reductase sio rafiki yako mzuri kwasababu asipodhibitiwa ataendelea kuzalisha DHT nyingi ambayo itapelekea uvimbe uelendee kukua mpaka hatua ya kusababisha usipate mkojo kabisa.


Nature’s way kwa kuligundua hilo wamefanikiwa kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge ambavyo kwanza, vinaenda kudhibiti mashine hii inayozalisha DHT iweze kuzalisha kiwango ambacho hakitakuwa na madhara yoyote kwenye makuzi ya tezi dume yako na pasipo dawa hii kuwa na side effect yoyote ile mwilini mwako.

Pili, vidonge hivyo vinaenda kuyeyusha uvimbe wote na kuiacha tezi dume yako ikiwa katika hali yake ya awali.


Si hivyo tu...


Kwakuwa inakisika kwamba visababishi vingine vya uvimbe huu wa tezi dume kutokea ni magonjwa ya uzeeni kama kisukari, presha, mwili kufa ganzi, viungo kuuma n.k ...vidonge hivi vimetengenezwa katika namna ambayo itasaidia kupunguza makali ya magonjwa hayo yote ya uzeeni.


Kwahiyo, ukitumia vidonge hivi vitakusaidia kuondoa uvimbe wa tezi dume na kuzuia usijirudie tena na vidonge hizi vitakusaidia kupunguza makili ya magonjwa ya uzeeni.

Kwakuwa kazi ya vidonge hivi ni kurejesha tezi dume yako katika hali yake ya awali, Nature’s way wamevipatia vidonge hivi jina la RestorLyf (Yaani vinarudisha hali mbaya katika hali yake ya awali).

RestorLyf

Restorlyf ni vidonge ambavyo vimetengenezwa kwa kirutubisho lishe kinachoitwa Resveratrol kutoka kwenye mmea asilia wa kijapani unaoitwa Polygonum Cuspidatum (Japanese knotweed).

Kirutubisho hiki ndio kinavipa vidonge hivi upekee wa kuweza kuyeyusha uvimbe wa tezi dume yako ni haijawahi kutokea.


Vidonge hivi vimetengenezwa kiasilia kabisa katika namna ambayo haitaleta madhara ya aina yoyote ile mwilini mwako.

Si hivyo tu...

Vidonge hivi vimethibitishwa na mamlaka za chakula na dawa (FDA) duniani na TMDA kwa hapa Tanzania.


Kwahiyo, wasiwasi wako wa kupata madhara yoyote baaba ya kutumia vidonge hivi uweke pembeni kabisa. Vidonge hivi ni salama kwa afya ya mwili wako.

Utakapoanza kutumia vidonge hivi siku hadi siku.... wiki hadi wiki... Utashangazwa sana kwa mabadiliko utakayoanza kuyaona.

Uvimbe utaanza kuyeyushwa kama yanavyoyeyuka mafuta yaliyoganda kwenye kikaangio cha moto.


Utaanza kupata mkojo bila shida yoyote. Hali ya kukojoa kila baada ya muda mfupi itaondoka kabisa. Usiku utaweza kulala kwa amani bila usumbufu wa kuamka ovyo kwenda kukojoa.

Kiufupi baada ya kumeza vidonge hivi changamoto na karaha zote zitokanazo na uvimbe wa tezi dume yako zitaisha kabisa.

Mfumo wako wa mkojo utarudi kuwa kama wa kijana wa miaka 25.

Hakika Vidonge Hivi Ni Tiba Mpya Na Ya Kipekee Ambayo Haijawahi Kugunduliwa!

Usiyaamini maneno yangu. Baadhi ya watu waliotumia vidonge hivi wana yafuatayo ya kusema:

Sio kwamba RestorLyf imenisaidia kuyeyusha uvimbe peke yake. Kilichonishangaza ni kwamba hata presha yangu imeshuka kabisa wakati imekuwa ikinisumbua kwa muda mrefu. Hakika sitoacha kuendelea kuitumia RestorLyf katika maisha yangu.

Omari Hussein ... kutoka Dar

Nina miaka 73 nilidhani RestorLyf haitanisaidia. Nimepona uvimbe wa tezi dume. Mgongo hauniumi tena. Maumivu ya maungio yametoweka kabisa. Hii dawa ni kiboko ya magonjwa ya uzeeni.

Felix Eliud ... kutoka Mbeya

Wiki ya pili baada ya kutumia RestorLyf niliamua kurudi hospitalini kupima kuona uvimbe umefikia wapi. Majibu yalitushangaza sana mimi na doctor. Vipimo vilionyesha sina uvimbe tena. “Umetumia nini mpaka uvimbe huo kuondoka bila kufanyiwa upasuaji?” Aliuza Doctor. Bila kusita nikamwambia ni RestorLyf.

Ramadhan Kassim ... kutoka Tanga:

RestorLyf ni kiboko. Nilikuwa nimechoshwa na hali ya kuamka zaidi ya mara 7 usiku mzima kwenda kukojoa. Na nikikojoa unatoka mkojo kidogo tu. Kwa sasa mambo ni safi kabisa. Usiku siamki hata mara moja kukojoa. Nalala kwa amani kabisa.

Daud John ... kutoka Dodoma

Nilikuwa nimechoshwa na hali ya kuulizia choo kiko wapi kila mahali nilipojua nitakaa zaidi ya dakika 10. Lakini baada ya kutumia RestorLyf nimeshangazwa sana maana sio kawaida yangu kukaa sehemu zaidi ya saa moja bila kuhisi kutaka kwenda kukojoa.

Damian Samwel ... kutoka Arusha:

Kama unavyoona hicho ndicho walichokipata baadhi ya wahanga wa tatizo baada ya kutumia Vidonge hivi vya (RestorLyf)

Dozi kamili ya kuyeyusha uvimbe mpaka ukaisha kabisa na usijirudie tena ni siku 90. Kama uvimbe wako sio mkubwa sana kuna uwezekano wa kuwahi kupona kabisa kabla ya siku 90. Lakini hata kama utawahi kupona kabla ya siku 90 tunashauri umalize dozi kamili ili kuzuia uvimbe usiweze kujirudia tena.

Matumizi ya Restorlyf ni kama ifuatavyo. Unameza kutwa mara moja (1x1). Muda mzuri wa kumeza ni wakati wa usiku.

Wakati huo wa usiku unaweza kuamua kumeza kabla hujala au baada ya kula chakula cha usiku.

Ukiamua kumeza kabla ya chakula cha usiku hakikisha unafanya hivyo mpaka mwisho wa dozi na ukiamua kumeza baada ya chakula cha usiku hakikisha unafanya hivyo mpaka mwisho wa dozi.

Kama ukimeza kabla ya chakula cha usiku inatakiwa baada ya kumeza ukae lisaa limoja pasipo kula kitu chochote ili kuiacha dawa ifanye kazi kwanza halafu baada ya lisaa limoja unaweza kula kitu chochote kulingana na mapenzi yako. 

Na kama utaamua kumeza baada ya kula chakula cha usiku inatakiwa baada ya kula ukae masaa 2 kwanza halafu ndio umeze kidonge chako 1.

Na endapo kuna dawa zingine unatumia usiziache ghafla kwasababu zitaupwa mwili mshituko. Unachotakiwa kufanya endelea kuzimeza kwa muda hata wa wiki 2 halafu ndio uziache. Lakini hakikisha unazimeza muda tofauti na Restorlyf. Tenganisha muda wa kumeza angalau wa masaa 2.

Kwa kufanya hivyo baada ya siku kadhaa utaanza kuona mabadiliko kwenye suala la ukojoaji. na baada ya mwezi mmoja au na zaidi utakuwa umeona madailiko makubwa sana na UVIMBE utakuwa umeisha.

Restorlyf Inagharimu Kiasi Gani?

Virutubisho vya aina kama ya Restorly kutoka makampuni mengine dozi ya miezi 3 ni 1,500,000/=

kwahiyo nikisema dozi ya Restorlyf ya miezi 3 utaipata kwa 800,000/= itakuwa ni bei rafiki sana.

Ukizingatia Nature's way wametumia mabilioni ya pesa kufanya utafiti wa kugundua Restorlyf na pia utengenezaji wa dawa hizi unatumia teknolojia ya kisasa hivyo gharama zinazotumika kutengeneza Restorlyf zipo juu sana.

Kwahiyo kwa 800,000/= unakuwa umepata bei rafiki ukilinganisha na bei ya makampuni mengine.

Lakini unajua nini? Hutalipia hiyo 800,000/= kupata dozi kamili ya Restorlyf.

Pesa utakayolipia hata haifiki nusu ya hiyo laki nane.

Unaweza ukajipatia dozi kamili ya Restorlyf kwa...

300,000/= 

Kuna sababu kwanini nimeamua kutoa punguzo la bei kubwa sana hivyo.

Sababu ni kwamba napata wateja wengi kupitia watu ambao wamepona kwa kutumia Restorlyf. Yaani watu ambao wamepona kwa kutumia Restorlyf wamekuwa mabalozi wazuri wa kuniletea watu wengi wenye changamoto hiyo.

Kwasababu hiyo ndio maana nimetoa punguzo la bei ili kukupatia urahisi wa kupata dozi ya Restorly. Kwakua nina imani 100% dozi hii itakusaidia kupona uvimbe wa tezi dume hivyo hata wewe utakuwa balozi wangu mzuri wa kuniletea wahanga wengine.

Na hata hivyo...

Kama utashindwa kutoa 300,000/= yote kwa pamoja usijali unaweza kuanza kidogo kidogo mpaka kumaliza dozi kamili.

Nimeweka utaratibu wa mtu kuchukua kwa awamu. Unaweza ukachukuwa dozi ya mwezi mmoja, miezi miwili au dozi kamili ya miezi 3.

Lakini punguzo hili la bei na utaratibu huu wa kuchukuwa kwa awamu hautakuwepo siku zote.

Restorlyf inatengenezwa marekani. Kwasasa mzigo ambao tumebakinao kwa hapa Tanzania ni Dozi ya watu 100. Kwahiyo, kwa watu 100 watakaokuwa wa kwanza kununua RestorLyf watapata OFA hii ya punguzo la bei kwa kiwango chochote watakachokuwa wameanza nacho na watasajiliwa kwenye “Club” inayoitwa “Rudisha Uhalisia wake ” . Ukisajiliwa kwenye club hii faida yake ni kwamba utaendelea kupata punguzo la bei kwa oda zingine utakazoagiza zaidi na zaidi hata kama bidhaa zingine zitaletwa kutoka Marekani.

Watu 100 wanaonekana wengi lakini kumbuka Tangazo hili linaonekana kwa Watanzania wote wenye simu kubwa za kuweza kuingia mtandaoni na wengi wao ni watu ambao wamechoka kuendelea kupoteza muda na pesa kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi. Kwahiyo, nina uhakika ndani ya siku kadhaa au wiki kadhaa watu hao 100 watakuwa tayari wamechukuwa ODA zao.

Baada ya Oda hizo 100 kuchukuliwa Hutopata tena punguzo la bei ambalo tunalitoa kwa watu hawa 100.

Na sio hivyo tu...

Kama utapitwa na OFA hii itakubidi usubiri siku 120 (miezi 4) kuja kwa mzigo mwingine wa RestorLyf kutoka marekani. 

Miezi yote hiyo ya kusubiri unaweza ukajikuta uvimbe umeongezeka sana kiasi cha kwamba madhara yake yatakuwa ni makubwa sana.

Sikuombei itokee hivyo lakini ni vyema ukachukuwa Oda yako mapema kwasababu zipo Oda za watu 100 tu kwa sasa.

Pengine umetumia dawa za aina mbalimbali lakini hazijakusaidia kupona tatizo lako. Zaidi umeishia kupoteza pesa zako bure na unaogopa kuzidi kupoteza. Naelewa unavyojisikia lakini kukuhakikishia kwamba "Restolyf" itakusaidia kuondokana na tatizo lako na likaisha kabisa, nakuuzia dawa hii kwa dahamana (Guarantee)

Dhamana hii iko hivii...

Tumia dozi ya RestorLyf kwa muda wa siku 90 nina uhakika utaipenda. Ikitokea kwa sababu yoyote ile hujaipenda RestorLyf au haijakupatia matokeo yote niliyoyasema hapo juu piga simu 0743270011 kutoa taarifa na utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.

Aidha RestorLyf ikusaidie upone tatizo lako kabisa au nikurudishie pesa zako zote. Huna cha kupoteza.

Hata hivyo nina uhakika utakavyoanza kuitumia RestorLyf siku hadi siku... wiki hadi wiki utasitaajabishwa kwa matokeo utakayoyapata na wala hutokumbuka tena kuomba kurudishiwa pesa zako kwasbabu utakuwa umejawa na furaha ya kuondoakana na uvimbe wa tezi dume bila kufanyiwa upasuaji..

Unachotakiwa kufanya kwa sasa angalia mpangilio wa dozi hapa chini kisha jaza fomu ili kutuma oda ya dozi utakayoanza nayo.

  • Dozi ya mwezi mmoja ­200,000 100,000/=
  • Dozi ya miezi miwili 500,000  200,000/=
  • Dozi ya miezi mitatu 700,000  300,000/=

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M-pesa au NMB Bank.


Namba ya M-pesa ni 0743270011 jina ni REGINALD MASATO


Namba ya Account ya NMB ni 60510037475 jina ni REGINALD MASATO.


Kwa mtu wa Dar es Salaam hutakiwi kutuma hela kwasababu utaletewa mpaka popote utakapokuwa kwa gharama zangu mwenyewe halafu baada ya kupokea mzigo wako ndipo utakapofanya malipo.

Bokko's Free Delivery service

Kwa wa mkoani unalipia pesa yote ya dozi utakayokuwa umechagua kupitia moja ya account za malipo hizo hapo juu halafu unaongezea na 10,000/= kama gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya bus au Boat kuja mkoani ulipo ndipo unatumiwa mzigo wako.


Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda ya dozi uliyoichagua halafu baada ya hapo kama upo Dar unasubiri kuletewa siku uliyochagua na...


Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya dozi na gharama ya kusafirisha halafu baada ya hapo mzigo wako unatumwa mkoani ulipo kwa njia ya bus au boat (wale wa zanzibar)


Kujaza fomu ni rahisi.


Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “ODA YANGU”. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza taarifa zako na kutuma oda yako (Taarifa Zako zitatunzwa hatakuwepo mtu mwingine tofauti na mimi atakayejua kuhusu tatizo lako)


Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Ahsante kwa muda wako.

Ni mimi,

Reginald Masato!

>>>0743270011<<<

P.S: Kama nilivyokwambia zipo oda za watu 100 tu kwa sasa.

Saa iliyopo hapo juu itakaposoma sifuri maana yake oda zote zimechukuliwa na tangazo hili hautoliona tena mpaka pale tutakapopata mzigo mpya na kuanza kutangaza kwa mara nyingine tena.

Kwahiyo, usiendelee kusubiri wakati suluhisho la tatizo lako liko mbele yako. Tuma oda yako mapema kabla hujawahiwa.

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.

Copyright - Online Marketing System Pro

>
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications