Kama unajua kucheza mchezo wa Meta Ads lakini mabadiliko ya Andromeda yamekufanya uonekane kama hujui kitu – umefika mahali sahihi...

HATIMAYE IMEVUJISHWA: Siri Ya Andromeda Ambayo Itakufanya Urudi Kuwa Mtaalamu Anayewapatia Wafanyabiashara MAFULIKO YA WATEJA Ili Waache Kukukimbia

Angalia video hii kabla sifa yako kama mtaalamu wa matangazo haijaendelea kushuka wakati mtaalamu mwingine anajifunza siri hii kabla yako na kuanza kuwachukua wafanyabiashara wanaokukimbia.

Kutoka kwa: Mr Bokko

Godfather wa Meta Ads Tanzania.

Dar es Salaam.


Mabadiliko ya mfumo wa matangazo ya kulipia Meta yameibua matabaka mawili ya wataalamu wa kurusha matangazo

  1. Wataalamu ambao bado wanacheza mchezo wa zamani. Ambao zama zake zimeshapita.

Hawa ni wale ambao bado wanarusha matangazo kwa mbinu za kizamani bila kutambua wanajenga uadui na mfumo mpya wa matangazo ya kulipia wa Meta unaoitwa: Andromeda

Ukweli mchungu ni kwamba Andromeda inawachukia sana wataalamu ambao bado wanarusha matangazo kizamani…

Kwa sababu wanakinzana nayo. Yenyewe inataka mchezo uchezwe na ngoma za kisasa zaidi lakini wao wanacheza mchezo kwa ngoma ambazo ni zilipendwa.

Kwahiyo sasa, ukiwarushia wateja wako matangazo kizamani maana yake unaiambia Andromeda ifanye kazi ambayo ilikuwa inafanywa na mfumo wa zamani. Kitu ambacho hakiwezekani.

Matokeo yake ni kwamba unaishia kuwachomea bajeti kila siku na sasa wameanza kukukimbia kwa sababu huduma yako haiwaletei matokeo mazuri.

Lakini kuna kina hawa hapa…

    2. Wataalamu ambao wanacheza mchezo wa matangazo ya kulipia kisasa zaidi.

Hawa wanaelewa kwamba zama zimebadilika. Mfumo wa matangazo ya kulipia wa zamani sio wa sasa.

Wa zamani ulichezwa kivyake. Na huu wa sasa unachezwa kwa style yake mpya.

Na wanaocheza mchezo huu kisasa, Andromeda inawaweka mjini kwa KUWAZAWADIA MAFULIKO YA WATEJA kwenye matangazo wanayowasetia wafanyabiashara.

Na wakati wanaocheza kwa njia za kizamani, wanakimbiwa na wateja wao kwa sababu ya kuwachomea bajeti kila siku bila matokeo mazuri.

Swali kwako: Unacheza mchezo mpya wa Andromeda kama inavyokutaka ucheze au bado unacheza kizamani?

Baada ya kuangalia video ya sehemu ya kwanza ya kozi yangu mpya inayoitwa “Meta Ads Mastery” hapo juu jibu unalo.

Na ni wazi kwamba Meta Ads Mastery ni daraja la kukutoa kwenye kundi la kwanza la wataalamu kwenda kwenye kundi la pili.

Aidha upite darajani uvuke salama au ujaribu kuruka mto mkubwa bila kupita darajani uishie kuelea majini.

Tayari nimeshakutengenezea daraja…

Je, uko tayari kulitumia?

Tazama, sihitaji nikushawishi sana kujiunga kwenye kozi ya Meta Ads Mastery….

Kwa sababu naamini video hiyo hapo juu ambayo ni sehemu ya kwanza kati ya sehemu tano za kozi hii mpya, inatosha kukufanya uone uzito na thamani ya kilichopo mbele yako.

Ukweli ni kwamba “Meta Ads Mastery” ni dhahabu ambayo iko sehemu ya wazi kabisa mbele yako.

Uamuzi ni wako. Uichukue urejeshe sifa yako kama mtaalamu wa kweli au ufanye kama vile hujaiona umuachie mtaalamu mwingine anayejua kucheza mchezo kisasa aanze kuwachukua wafanyabiashara wanaokukimbia — uanze kumuona ndiye mchawi wako.

Hata hivyo, haya hapa ni baadhi ya mambo machache kati ya mengi ambayo utajifunza kutoka kwenye sehemu nne zilizobaki za Meta Ads Mastery.

Part 1: Understanding The Algorithm

Kuelewa jinsi mfumo mpya wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram (Andromeda) unavyofanya kazi na unakutaka wewe mrusha matangazo ufanye nini kupata matokeo mazuri.

Hii sehemu tayari umeangalia kwenye video hapo juu. Kama hujaangalia video hiyo, hakikisha unaangalia mwanzo mpaka mwisho.

Hata hivyo, itakuwepo ndani ya kozi kwa ajili ya marudio maana yaliyomo ni “heavy” kiasi cha kwamba kuangalia mara moja tu haitoshi.

Part 2: Creative Research & Production

Baada ya kuelewa jinsi Algorithm mpya inavyofanya kazi, sasa utajifunza kutumia mfumo wangu wa Avatar Discovery System kuitengenezea Andromeda risasi (creatives) zinazolenga walengwa sahihi.

Part 3: Campaign Structure & Testing

Baada ya kutengeneza risasi hizo, utajifunza mfumo mpya wa kupangilia matangazo na jinsi ya kubaini ni tangazo lipi hasa linaloleta MAFULIKO YA WATEJA

Part 4: Scaling Winners

Baada ya kubaini tangazo linaloleta MAFULIKO YA WATEJA, sasa ni wakati wa kulifanya LISABABISHE MAFULIKO ENDELEVU YA WATEJA bila kuharibu performance yake.

Part 5: Launching Ads

Tunamalizia kwa kutekeleza kila kitu ulichojifunza kuanzia Part 1 mpaka Part 4 kwa vitendo ndani ya Ads Manager, hatua kwa hatua, mpaka uweze kurusha campaigns za wateja wako kisasa zaidi.

Mpaka sasa najua unajiuliza swali moja tu kichwani mwako…

Meta Ads Mastery Inagharimu Kiasi Gani?

Fikiria hili…

Nimewekeza  dola 2997 (Tsh 7,000,000+) kupata haya madini yaliyomo kwenye Meta Ads Mastery. 

Lakini wewe utalipia Tsh 150,000 tu kuyapata. 

Niambie kama huo sio wizi ni nini.

Ni sawa na kusema nipe Tsh 150,000 halafu mimi nikupe Tsh 7,000,000 

Hata hivyo, kama utakuwa miongoni mwa watu 100 wa kwanza, utajipatia kozi hii kwa bei sawa na jeans moja pale kariakoo.

Tsh 45,000 Tu

(Una-save  Tsh 105,000 nzima)

Chaguo ni lako, aidha uendelee kutumia mbinu za kizamani ambazo zinakufanya uonekane kama hujui kitu mbele ya wafanyabiashara wanaokukimbia…

Au ulipie Meta Ads Mastery kwa Tsh 45,000 ikufundishe kucheza mchezo mpya wa Andromeda uwapatie wateja wako MAFULIKO YA WATEJA – na sifa yako kama mtaalamu wa kweli irudi tena.

Lakini inabidi ufanye maamuzi haraka kwa sababu wakitimia watu 100 wa kwanza, bei inarudi kwenye Tsh 150,000.

Wataalamu watakaojiunga kwenye kozi hii leo, ndani ya siku 30 zijazo watakuwa kwenye maandalizi ya KUWAPATIA wateja wao MAFULIKO YA WATEJA – na wafanyabiashara wataanza kuwakimbilia badala ya kuwakimbia.

Swali pekee kwako ni hili: Je, utaungana nao urejeshe sifa yako ya mtaalamu wa kweli au utawaangalia wakifanikiwa wao peke yao huku wewe ukiendelea kuona wafanyabiashara wanakukimbia mmoja baada ya mwingine?

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications