...

Hii ni kwa ajili yako kama wewe ni:

  • Mfanyabiashara anayechoma pesa kwenye matangazo ya kulipia Meta (Facebook & Instagram) bila kupata wateja.
  • Mfanyabiashara anayetaka kuanza kurusha matangazo ya kulipia kwa mara ya kwanza lakini anaogopa kuchoma pesa bila matokeo
  • Mfanyabiashara anayerushiwa matangazo ya kulipia na wataalamu lakini bado anapata matokeo duni.
  • Mfanyabiashara ambaye matangazo yake yanafanya vizuri kidogo lakini kila akijaribu kuongeza bajeti ili apate matokeo makubwa zaidi anaishia kuchoma pesa.
  • Mtaalamu wa kurusha matangazo ya kulipia ambaye wafanyabiashara wameanza kumkimbia kwa sababu mbinu zake zimepitwa na wakati

HATIMAYE IMEVUJISHWA: Siri Ambayo Andromeda Inataka Ujue Ili Ikuletee MAFULIKO YA WATEJA Kupitia Matangazo Ya Kulipia Facebook & Instagram

Kwenye video hii utajifunza:

  • Jinsi ambavyo Andromeda inavyofanya kazi na inakutaka wewe mrusha matangazo ufanye nini ili ikupatie mafuliko ya wateja
  • Aina mpya ya matangazo yenye kuleta mafuliko ya wateja
  • Mbinu moja rahisi ya kurusha matangazo yasiyochoma bajeti yako
  • Jinsi ya kuifanya Andromeda ikupendelee kwa kukupa mafuliko ya wateja kwa bajeti ndogo
  • Na mbinu zingine kibao
>
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications
Seraphinite AcceleratorOptimized by Seraphinite Accelerator
Turns on site high speed to be attractive for people and search engines.