Kama matangazo yako ya Meta bado yanakuletea wateja wengi, usipoteze muda kusoma ujumbe huu. Lakini kama ni mfanyabiashara ambaye matangazo yako yaliwahi kufanya vizuri lakini sasa yanachoma bajeti bila matokeo mazuri…

Gundua Sababu 8 Kwanini Matangazo Yaliyokuwa Yakifanya Vizuri Yanaanza Kuchoma Bajeti Bila Matokeo —na Siri za Kuyarudisha Kwenye Ubora Wake!

Mr Bokko's profile

From: Mr Bokko

Ndugu mfanyabiashara,

Matangazo yako ya kulipia yanafanya vizuri? Kama jibu ni hapana, basi baada ya kusoma ujumbe huu… unatakiwa uwe na uhakika 100% kwamba… matangazo yako yanaanza kufanya vizuri na kukupatia matokeo makubwa… kuliko hapo awali.

Na hii hapa ndio sababu:

Meta (Facebook & Instagram) hawatabiliki. Kila iitwayo leo wanabadili algorithm na mifumo yao ya kufanya matangazo.

Kama uko makini utagundua hatua za kurusha matangazo siku hizi ni tofauti sana na ilivyokuwa mwaka jana na miaka ya nyuma.

Leo watakuja na hili. Kesho wanakuja na lingine.

Na kibaya zaidi ni kwamba… mfanyabiashara huhusishwi —unashitukia wakati unaseti tangazo lako ndio unakutana na mabadiliko mapya.

Hii inamaanisha kwamba kesho unaweza kuamka na kukuta wamekuja na jambo jipya.

Nani angefikiria kama meta wangeondoa baadhi ya interests (audience) kwenye mfumo wao kipengele cha kuchagua nani alione tangazo lako. Kama hujaligundua hilo basi bado uko nyuma sana.

Meta wamekuwa (kimya kimya) wakiondoa baadhi ya “audiences” kwenye mifumo yao kila iitwayo leo. Audiences ambazo zilifanya vizuri kipindi cha nyuma kwa sasa hazipo tena.

Yaani kiufupi ni kwamba:

Hakuna Mfanyabiashara Yeyote Anayeweza kutabiri Kwa Uhakika Mabadiliko Ambayo Meta Wanaweza Kuyafanya Siku Yoyote!

Hata hivyo, kitu kimoja ni cha uhakika: Haijalishi mfumo unabadilika kila siku, sababu zinazopelekea matangazo yaliyokuwa yakifanya vizuri kuanza kuchoma pesa zinabakia pale pale.

Tazama… Hakuna tangazo ambalo litafanya vizuri siku zote. 

Hata tangazo zuri kuna wakati inafika halifanyi vizuri tena. 

Changamoto kubwa ni kwamba wafanyabiashara wengi hawajui sababu zinazopelekea tangazo lililoluwa linafanya vizuri kuanza kufanya vibaya. Matokeo yake wengi wao huishia kuchoma pesa kwa kufanya mambo kwa kubahatisha.

Lakini (kama utaniruhusu) nataka nikuonyeshe sababu hizi zinazopelekea tangazo lililokuwa likifanya vizuri kuanza kuchoma pesa bila matokeo mazuri.

Tazama… Miaka mingi iliyopita, nilipokuwa mdogo kama miaka 7 hivi, kaka yangu alikuwa na rafiki mmoja. Rafiki yake huyu alikuwa mwalimu wa sanaa za mapigano (martial arts).

Lakini kilichonivutia zaidi siyo tu mbinu alizofundisha. Baada ya kumaliza kukufundisha jinsi ya kupigana, alikuwa akikazia jambo moja muhimu: “Usije ukajihusisha kwenye ugomvi bila sababu. Kwa sababu kwa mbinu ulizo nazo kwa sasa, najua kichapo utakachotoa si cha nchi hii”

Sasa, ili kuhakikisha anapata wanafunzi wengi zaidi, alitumia mbinu ya ajabu. Kila baada ya muda fulani, alikuwa akienda kwenye vijiwe vya kamali. Si kwamba alikuwa bingwa wa kamali — hapana. Alienda kwa makusudi ya kucheza ashindwe halafu agome kutoa hela ili kuzua ugomvi.

Na hapo ndipo mchezo ulipoanza. Kwa sekunde chache tu, alikuwa…

Anagawa Dozi ya Kichapo Kwa Kila Mtu Aliyejipendekeza Kuingilia Ugomvi Huo. na Cha Ajabu, Katika Miaka Yote Aliyofanya Hivi, Hakuwahi Kupigwa Hata Siku Moja.

Kwa miaka mingi, alikuwa mfano hai kwamba kile anachofundisha sio maneno matupu — ni ujuzi unaoweza kukuokoa katika maisha ya kila siku.

Sasa fikiria hivi:

Kama leo ungehitaji kujifunza kupigana ili kujilinda mwenyewe, familia yako, mwenzi wako, au rafiki wa karibu, ungefanya uchaguzi gani? Ungeenda kujifunza kwa mwigizaji wa filamu ambaye hajawahi kupigana kwenye maisha halisi? Au kwa mtu kama rafiki wa kaka yangu — ambaye maisha yake yote ni uthibitisho kwamba mbinu zake zinafanya kazi?

Jibu lipo wazi. Daima unataka kufundishwa na mtu anayeyaishi yale anayoyafundisha.

Na yupo tayari kuthibitisha kuwa anayaweza yale anayofundisha…

Muda wowote. Mahali popote. Sehemu yoyote.

Sasa, linapokuja suala la matangazo ya kulipia Facebook na Instagram, mimi ndiye mwalimu huyo. Sifundishi tu, naishi haya ninayoyafundisha kila siku. Matangazo ya kulipia ndiyo kila kitu kwangu linapokuja suala la kupata wateja mtandaoni.

Kwa mfano, Februari 2025, kuna “digital product” moja nilikuwa naitangaza Marekani, Canada, Australia, na nchi za Ulaya. Ndani ya mwezi mmoja nilitumia bajeti ya matangazo ya dola 6700 (17,420,000) na kutengeneza mauzo ya dola 32,900 (85,540,000). Faida yangu baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji ilikuwa dola 24,500 (63,700,000)

Lakini ukweli ni kwamba, hata uwe na uzoefu mkubwa kiasi gani, matangazo yako mazuri lazima kuna wakati utafika yataanza kuchoma pesa bila matokeo. 

Hata hivyo, utofauti wangu ni huu:

Najua sababu 8 za kwanini matangazo mazuri yanaanza kufeli — na ninajua namna ya kuepuka mtego huo.

Ndiyo maana badala ya kupata presha, ninazitumia siri hizi kutatua chanzo cha tatizo na kurudisha tangazo hewani likiendelea kufanya vizuri tena na tena, bila kubahatisha.

Sasa, kama ungependa nikufundishe sababu hizi 8 na namna ya kuzitatua, nimekuandalia kozi maalum ambayo nimeipa jina:

Meta Ads Profit ToolBox

Katika Kozi Hii Fupi (ambayo unaweza kuimaliza Ndani ya Masaa 2 Tu) Utajifunza:

  • Sababu 8 zinazofelisha matangazo yanayofanya vizuri — na jinsi ya kutatua kila sababu
  • Jinsi ya kutambua tangazo linaloanza kufanya vibaya kabla halijachoma pesa nyingi  
  • Mbinu zinazofanya kazi hata Meta inapobadilisha algorithm au mifumo yake
  • Jinsi ya kuepuka makosa yanayowagharimu pesa na muda wafanyabiashara wengi.

Kozi hii ipo katika mfumo wa video (za kiswahili) ambapo nakuonesha hatua kwa hatua ukiwa unaona mwenyewe jinsi ya jinsi ya kutatua kila sababu inayo pelekea tangazo lako zuri lianze kufanya vibaya.

Kwa nini nimefanya kozi hii iwe katika mfumo wa video? Kwa Sababu video ndio njia pekee rahisi ya kumfundisha mtu akiwa anaona kabisa anachotakiwa kufanya ukiachana na VITABU ambavyo hata huoni unachotakiwa kufanya na kuishia kusoma tu maandishi pasipo kujua jinsi ya kufanyia utekelezaji wa ambacho umekisoma.

Katika kozi hii ninakuonesha kabisa kwamba hapa unafanya hivi na hapa inakuwa hivi ukiwa unaona kabisa jinsi ninavyofanya. Kwa hiyo kwa kufanya hivyo itakuwa rahisi sana kwako kufanya utekelezaji wa haraka wa kile utakachojifunza na kufanya upate matokeo ya haraka hata kama huna uzoefu wowote wa masuala ya “IT”

Kozi Hii ya “Meta Ads Profit ToolBox” Inagharimu kiasi Gani?

Fikiria hivi: Kama tangazo moja tu linaweza kuchoma zaidi ya 50,000 bila matokeo ndani ya wiki moja, je bei ya kujua jinsi ya kuepuka hilo unadhani itakuwa shingapi? 

Kwa hiyo gharama ya mafunzo haya ikiwa 200,000/= ni sawa kabisa ukilinganisha na faida utakazo pata kwa kuwa na maarifa haya.

Lakini kwakua lengo langu ni kutaka wafanya biashara wengi wapate mafunzo haya hutalipia hata nusu ya hiyo laki 2.

Hata robo yake haifiki.

Kama utajiunga kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipia…

25,000/= Tu

Gharama ndogo ukilinganisha na pesa ambazo umeshazichoma kwenye matangazo bila kurudi.

Hata hivyo, saa hiyo hapo juu ikisoma sifuri bei inapanda mpaka 75,000/=

Lakini pia nakuzawadia bonasi zifuatazo kwa BURE kabisa kama utajiunga kwenye kozi hii ya Meta Ads Profit ToolBox kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri.

BONUS #1: Account Freedom Fix

Huenda kikwazo kikubwa cha wewe kushindwa kurusha matangazo kwa sasa ni akaunti yako ya matangazo kuwa “Restricted”


Usijali, bonasi hii lengo lake ni kutoa msaada kwako wa kufungua akaunti yako ambayo imefungwa.


Kwa hiyo akaunti kufungiwa sio kikwazo tena kwako kushindwa kurusha matangazo.


Thamani ya Bonus Hii ni 150,000/=

BONUS #2: Fresh Start Account Setup

Huenda kikwazo kikubwa cha wewe kushindwa kurusha matangazo kwa sasa ni akaunti yako kuwa na deni kubwa.


Usijali, bonasi hii lengo lake ni  kutoa msaada kwako wa kufungua akaunti mpya ambayo haina deni ili usipoteze pesa nyingi kulipa deni ambalo halikukupatia faida yoyote.


Hii haimanishi nafuta deni. Deni huwa halifutwi. Kama mtu alikwambia anafuta madeni ni muongo. Kinachofanyika unafunguliwa akaunti mpya ambayo haina deni na hicho ndicho ambacho bonasi hii inakitoa.


Kwa hiyo kama akaunti yako ina deni kubwa, bonasi hii itakusaidia kuondoa kikwazo hicho ili uendelee kurusha matangazo bila deni.


Thamani ya Bonus Hii ni 150,000/=

Bonus zote 2 thamani yake kwa ujumla ni 300,000/= lakini ukijiunga kwenye kozi ya Meta Ads Profit ToolBox unazipata zote kwa BURE kabisa.

Kwa hiyo kwa ujumla, hii hapa orodha ya vitu Vyote utakavyovipata kama utalipia leo:

  1. Kozi ya Meta Ads Profit ToolBox -Thamani yake 200,000/=

  2. Account Freedom Fix -Thamani yake 150,000/=

  3. Fresh Start Account Setup -Thamani yake 150,000/=

Jumla ya Thamani: 500,000/=

Ofa ya Leo:

25,000/= Tu

Kama baada ya kujiunga na kozi hii utakuwa hujalidhishwa na mafunzo yake (kwa sababu yoyote ile), wasiliana nami kupitia namba ya simu itakayokuwa kwenye risiti yako ya malipo — na nitakurudishia pesa zako zote bila swali wala kinyongo chochote.

Hata hivyo nina uhakika kabisa kwamba utaipenda kozi hii na utaridhika na kile nitakachokufundisha.

Kwanza nadhani wewe mwenyewe utashangazwa kwa kile ambacho naenda kukufundisha kwenye kozi hii.

Ukweli ni kwamba, unaenda kuwa mfanyabiashara wa tofauti kwa kufuzu mafunzo ya kufanya matangazo ya kulipia bila kubahatisha.

Kwa nini Ujiunge Kwenye Kozi Sasa Hivi na Sio Siku Nyingine?

  • Epuka kupoteza pesa zaidi kwenye matangazo yasiyo na matokeo: Ni kawaida kwa tangazo zuri kuanza kufanya vibaya baada ya muda. Lakini kutokujua sababu ya kushindwa kwake ndiko kunakogeuza hali hiyo kuwa shimo la kuchoma pesa kila siku. Jiunge sasa ili upate ufumbuzi na uokoe bajeti yako mapema kabla haijaisha bure.

  • Faida ya bei ya sasa (kabla haijapanda) —Hivi sasa unaweza kujiunga kwa gharama ndogo ya 25,000/= Tu. Lakini kumbuka, muda wa ofa ni mdogo. Saa hiyo hapo juu ikifikia sifuri, bei itapanda mara tatu hadi 75,000.
  • Usisubiri hadi hali iwe mbaya zaidi kwenye biashara yako: Kila siku unayosubiri bila kujua sababu hizi 8, ni siku unayoacha matangazo yako yaendelee kuchoma pesa na kukua kwa washindani wako. Ukisubiri matatizo yazidi, utakuwa umechelewa mno. Jiunge sasa ili kujiweka salama mapema.

Kwa ninavyoona mpaka sasa una machaguo matatu.

Chaguo #1: Unaweza kusahau yote niliyokuambia leo… na ukaendelea kufanya kile ambacho umekuwa ukikifanya siku zote na kupata matokeo yale yale ya siku zote.

Lakini kama ungekuwa unafurahishwa na matokeo unayoyapata kwenye matangazo yako ya kulipia, usingekuwa bado unasoma ujumbe huu.

Na bado unaendelea kusoma, hivyo hiyo inanihakikishia kuwa uko tayari kwa mabadiliko.

Kwa hiyo, kutofanya chochote hakuna maana kabisa. Lazima uchukue hatua.

Chaguo #2: Unaweza kunisahau na kuanza kutafuta kozi zingine.

Kila la kheri kwa chaguo hilo.

Kwa sababu baadhi ya siri ninazokufundisha kwenye kozi hii nina uhakika 100% hakuna mwalimu mwingine wa matangazo ya kulipia kwa hapa Tanzania anazifahamu.

Kwa hiyo, sioni kama hata chaguo hili ni sahihi kwako.

Chaguo #3: Bonyeza hapa chini ujiunge kwenye kozi ya “Meta Ads Profit ToolBox” na upate yote haya:

  • Sababu 8 zinazofelisha matangazo yanayofanya vizuri — na jinsi ya kutatua kila sababu
  • Jinsi ya kutambua tangazo linaloanza kufanya vibaya kabla halijachoma pesa nyingi  
  • Mbinu zinazofanya kazi hata Meta inapobadilisha algorithm au mifumo yake
  • Jinsi ya kuepuka makosa yanayowagharimu pesa na muda wafanyabiashara wengi.

Na mengine mengi, mengi zaidi.

Wafanyabiashara watakao jiunga kwenye kozi ya Meta Ads Profit ToolBox leo na kufanyia kazi kile kinachofundishwa watakuwa wamefuzu mchezo wa kurusha matangazo ya kulipia endelevu yenye kuingiza faida kubwa tena na tena.

Swali pekee sasa ni, ‘Je, utakuwa mmoja wao?’

Kama uko tayari kwa mafanikio, bonyeza ‘LIPIA SASA’ hapa chini.

Asante kwa kuchukua muda wako kusoma ukurasa huu, na natazamia kukutana na wewe darasani hivi karibuni!

Mr Bokko.

Copyright - Online Marketing System ProPrivacy policy | Terms and conditions |

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.  

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications