SUBIRI: AKAUNTI YAKO YA MAFUNZO INATENGENEZWA...
Usiondoke kwenye ukurasa huu wala kubonyeza kitufe cha kurudi nyuma —mfumo unakamilisha uthibitisho wa utambulisho wako na kutengeneza akaunti ambayo itakuwezesha kupata mafunzo ukiwa sehemu yoyote na muda wowote.
Hii itachukua dakika chache tu.
Wakati unasubiri, ngoja nikuoneshe:
Jinsi Ya Kuanza Kupata Matokeo Ndani Ya Masaa 24 Tu Yajayo
Kwanza kabisa hongera kwa kufanya uamuzi wa kipekee ulipokubali kujiunga kwenye kozi ya "Meta Ads Profit ToolBox”
Sasa unajua kitu ambacho 99% ya wafanyabiashara hawatawahi kugundua: Sababu 8 zinazosababisha matangazo mazuri kufeli na kuanza kuchoma pesa bila matokeo mazuri.
Maelfu ya wafanyabiashara ambao matangazo yao hayafanyi vizuri tena wameona ukurasa huo huo wa kujiunga kwenye kozi hii kama ulivyoona wewe.
Na ingawa wengi wao wameelewa ukweli wa kile nilichosema kwamba hata tangazo zuri kuna wakati unafika linaanza kuchoma pesa — mamia hawajachukua hatua.
Wameogopa kukubali kwamba sababu hizi 8 sio chanzo cha matangazo yao ya zamani kutofanya vizuri. Wamekuwa wavivu kupata mafunzo ya kufuzu mchezo wa matangazo ya kulipia. Wamelidhika na hali ya kuzidi kuchoma hela kwenye matangazo ambayo hayaleti matokeo mazuri.
Ukweli ni kwamba, hiyo ni hasara kwao.
Kwa sababu tofauti na hao ambao hawajachukua hatua, sasa unajua sababu zinazofanya matangazo mazuri kufeli na kuanza kuchoma pesa pamoja na siri ya kuziepuka. Kwa hiyo hakuna tena kupoteza pesa kwenye matangazo ambayo hayaleti matokeo mazuri.
Lakini kuna tatizo moja ambalo nadhani unakubaliana na mimi…
Unapoanza kufanya jambo fulani kwa mara ya kwanza hata kama utaelekezwa jinsi jambo hilo linavyofanyika kwa usahihi, lazima kuna makosa utafanya.
- Makosa haya, mara nyingi ndiyo huwakwamisha watu wengi kusonga mbele na kukata tamaa.
- Wakati mwingine mtu upo bize sana kana kwamba unakosa muda wa kukaa na kujifunza, hivyo kuishia kununua maarifa ambayo hutayafanyia kazi.
- Au mwingine hataki kabisa kujihusisha na masuala ya “IT” —kuseti seti mavitu ambayo yanaishia kumchanganya na kupoteza muda.
- Stress za maisha nazo zinachangia akili kuwa nzito kujifunza jambo jipya kiufasaha kabisa.
Sasa, kwa kuyatambua yote hayo, ndiyo maana nimekuandalia “Done For You Meta Ads” —Yaani nitakufanyia setup zote mpaka hatua ya tangazo lako kuruka ndani ya masaa 24 tu.
Huduma hii ni bora zaidi kama unahitaji matokeo ya haraka kwa sababu:
- Wakati unaendelea kupata mafunzo, tayari tangazo lako linakuwa liko hewani linakuletea wateja kwa sababu mimi nafanya kila kitu kwa niaba yako ndani ya masaa 24 tu.
- Hii itakuepusha kupoteza muda kufanya makosa ambayo yata kuchelewesha kupata matokeo.
- Kwa ambaye yupo bize sana, huduma hii itamsaidia kuendelea na majukumu yake kama kawaida, wakati mimi namfanyia kila kitu ndani ya masaa 24 tu ili aweze kupata matokeo haraka zaidi.
- Kwa ambaye hapendi kabisa kujihusisha na masuala ya ki-IT, habari njema kwake, namsetia kila kitu pasipo yeye kugusa kitu chochote.
- Kwa ambaye ana stress za maisha kana kwamba akili imekuwa nzito kujifunza mambo mapya, usijali wakati akili yako inarudi kwenye ukawaida wake, mimi nachukua nafasi ya kukufanyia kila kitu ili uanze kunufaika haraka iwezekanavyo.
Gharama ya huduma hii ya kukufanyia kila kitu pasipo wewe kufanya lolote ni 150,000/= lakini kama utalipia kwenye ukurasa huu, nakupatia OFA ya punguzo zaidi.
Lipia 100,000 na ndani ya masaa 24 yajayo, tangazo lako litakuwa hewani kuanza kukuletea wateja.
Ila kama ukiondoka kwenye ukura huu bila kulipia, OFA hiyo ya punguzo la bei utakuwa umeikosa. Badala yake itakubidi ulipie 150,000 kupata huduma hii kwa hapo badaye.
Kufanya malipo ni rahisi.
Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “LIPIA SASA” kufanya malipo yako.
Hii Hapa Ahadi Yangu Kwako...
Dhamana Ya Siku 30 Ya Kurudishiwa Pesa Zako Zote!

Najua umeshawahi kununua maarifa mengi ambayo hayakukulidhisha. Najua umechoka kununua mafunzo na huduma zinazoahidi mafanikio na kukuletea uchovu na upotezaji wa pesa zaidi.
Ndio maana ninaweka jina langu mstari wa mbele kwa dhamana hii:
Pata huduma hii ya "Done-For-You Ads." Acha mimi nifanye kila kitu kwa ajili yako. Kama ndani ya siku 30 utakuwa hujaona ongezeko la wateja kwenye biashara yako...
Nitakurudishia pesa zako zote bila kinyongo chochote.
Lakini nina amini jambo hili litatokea: Ndani ya siku 3 mpaka 7 utaanza kuona ongezeko la wateja kwenye biashara yako.
Copyright - Online Marketing System Pro | Privacy policy | Terms and conditions |