Usipoteze muda wako kusoma ujumbe huu endapo tayari unajua jinsi ya kutengeneza pesa ukiwa hata umelala. Hata hivyo, kama utapenda kugundua fursa mpya ya kutengeneza pesa zaidi online, Hivi ndivyo…
Kwa Biashara Hii Mpya Mtu Yeyote Mwenye Mtaji Mdogo, Asiye na Uzoefu Wowote wa Biashara–Unaweza Kutengeneza Pesa Online Kwa Kuuza Taarifa, Ujuzi au Utaalamu Wako.
Hata Kama Huna Taarifa, Ujuzi Au Utaalamu wa Kukufanya Watu Wakulipe Pesa, Kopi Hatua Hizi 3 za Kupata Taarifa Ambazo Zinauzika Kwa Haraka na Kwa Gharama Kubwa!
Kutoka kwa: Mr Bokko
Dar es Salaam.
Mpendwa mjasiriamali mwenzangu wa online,
Unajua jinsi ya kutengeneza pesa online ukiwa hata umelala? Kama jibu ni hapana, unatakiwa baada ya kusoma ujumbe huu wote uwe unajua kwa asilimia 100% jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kuwafanya watu wakulipe pesa kwa namna ifuatayo…
Kwanza kabisa unatakiwa ufahamu: Kama huna pesa haimaanishi kila mtu hana pesa!
Taarifa njema ni kwamba –Pesa ina safiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine... Kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine.
Lakini haisafiri bila sababu. Kwahiyo…
Swali la kujiuliza ni kwamba: pesa itasafirije kutoka kwa mtu mwenye nayo kuja kwako?
Au kwa lugha rahisi: ufanye nini ili mtu mwenye pesa akupe hata kidogo ya pesa aliyonayo?
Hapo ndipo siri ya kutengeneza pesa ilipojificha. Hata hivyo…
Kuna njia 2 za kufanya pesa isafiri itoke kwa mwenye nayo ije kwako. Njia hizo ni hizi hapa:
Njia ya kwanza: Uwe mwizi, tapeli au jambazi.
Sidhani kama njia hii ya kwanza ina kufaa au utaipenda kwasababu itakufanya uishie jera kama sio umauti kukukuta kabla ya muda wako wa kufa kufika.
Kama njia hiyo ya kwanza haikufai na hujaipenda basi tumia hii…
Njia ya pili: Tafuta kundi la watu wenye changamoto au hitaji la kimwili, kimahusiano, kiuchumi au hitaji lolote lile kisha wasaidie kutatua changamoto yao au kupata hitaji hilo.
Hii ndo njia ambayo inakufaa lakini inabidi uelewe kwamba… Njia hii ya pili unaweza kuitimiza kwa namna mbili zifuatazo:
Namna ya kwanza: Anzisha biashara ya kuuza bidhaa (biashara ya duka). Ukiuza bidhaa maana yake pesa itasafiri kutoka kwa mwenye nayo kuja kwako kama mabadilishano ya bidhaa yako na pesa. Mteja atapata bidhaa anayoihitaji kutoka kwako na wewe utapata pesa kutoka kwa mteja (Kila mtu anakuwa kapata anachokihitaji)
Namna ya pili: Uza taarifa, ujuzi au utaalamu wako. Hii ni aina mpya ya biashara kwa hapa Tanzania ambapo utauza taarifa, ujuzi au utaalamu wako kama bidhaa yako. Kwakuwa taarifa, ujuzi au utaalamu wako unasaidia kutatua changamoto fulani au unasaidia kutimiza jambo fulani basi watu wenye changamoto au hitaji ambalo linatimizwa na taarifa, ujuzi au utaalamu wako watakupa pesa ili wapate taarifa kutoka kwako au ujuzi wako au utaalamu wako.
Sogea karibu na unisikilize kwa umakini…
Mteja anachojali ni kutimiza hitaji lake au kutatua changamoto inayomsibu.
Iko hivi –Siku zote mteja hajali kuhusu nini unamuuzia ilimradi tu unachomuuzia kitamsaidia kupata hitaji lake au kutatua changamoto yake, yupo radhi kutoa pesa haijalishi hiyo bidhaa unayomuuzia ipoje.
Sasa chaguo ni juu yako…
Aidha uanzishe biashara ya kuuza duka au biashara hii mpya ya kuuza taarifa, ujuzi au utaalamu wako. Wewe ndo unaamua!
Taarifa mbaya ni kwamba karibia asilimia 99.99% ya watu wanao waza kuanzisha biashara, biashara ya haraka haraka wanayowaza kuanzisha ni hiyo ya kufungua duka na kuuza bidhaa.
Waache waende huko ili watuachie uwanja wazi tujinafasi.
Tazama… Hakuna ubaya wowote wa kuanzisha biashara ya duka isipokuwa tu biashara hii ina changamoto nyingi na inahitaji mambo mengi sana ili uweze kufanikiwa. Kwa mfano:Vipi kama huna mtaji mkubwa, huna “connection” ya machimbo ya kupata bidhaa kwa bei poa, hupendi heka heka za kuamka kila siku kwenda kufungua duka, au tuseme huipendi kabisa biashara ya kufungua duka ufanye nini ili utengeneze pesa?
Karibu kwenye ulimwengu wa biashara ya “Information marketing business”
Hii ni aina mpya ya biashara kwa hapa Tanzania ambayo mtu asiye elewa unafanya nini anaweza dhani wewe ni “jobless” kumbe asijuwe una ingiza pesa kiotomatiki ukiwa umelala, unapiga stori, unaangalia movie au unafanya chochote ambacho kinaupendeza moyo wako.
Haya hapa mambo 5 ambayo unatakiwa uyafahamu kuhusu biashara hii mpya:
Jambo la kwanza: Aina hii mpya ya biashara, BIDHAA yako ni taarifa, ujuzi au utaalamu wako.
Kufanikiwa kwenye biashara hii mpya unachokihitaji ni kuwa na taarifa ambazo watu watakuwa tayari kukulipa pesa kuzipata kutoka kwako, ujuzi ambao watu watapenda kujifunza kutoka kwako au utaalamu wa kufanya jambo fulani ambao watu watakulipa ili uwafundishe.
Kwa mfano:
Hiyo ni mifano michache tu.
Hata kama unahisi huna taarifa, ujuzi au utaalamu ambao utafanya watu wakulipe – Nitakufundisha Hatua 3 Za Kupata Taarifa Ambazo Zinauzika Kwa Haraka Na Kwa Gharama Kubwa!
Kubwa kuliko ni kwamba…
Taarifa, ujuzi au utaalumu wako utakuwa katika mfumo wa Kijitabu (eBook) au video ambapo mtu akiwa sehemu yoyote, muda wowote anaweza kulipia na kupata bidhaa yako (eBook au video)
Tuendelee na…
Jambo la pili unalo takiwa kufahamu kuhusu biashara hii mpya: Aina hii mpya ya biashara inahitaji mtaji mdogo sana.
Ili uweze kuanzisha biashara ya duka itakubidi uwe na mtaji mkubwa wa kununua bidhaa, kulipa kodi ya pango na mambo mengine mengi lakini aina hii mpya ya biashara huhitaji kuwa na duka kwasababu kila kitu kina fanyika online. Kwahiyo unahitaji pesa kidogo sana ya kuseti mifumo ambayo itakuwa inafanya kazi masaa 24 hata ukiwa umelala.
Si hivyo tu…
Jambo la tatu unalo takiwa kufahamu kuhusu biashara hii ya “Information Marketing Business” ni kwamba: Aina hii mpya ya biashara ina kuwezesha kufikia soko ambalo biashara ya duka haiwezi.
Kwakua kila kitu kina fanyika online na mtu anaweza kulipia akiwa sehemu yoyote ile na akapata mafunzo yako muda huo huo maana yake hata kama mtu yupo kijijini (ndani-ndani) bado anaweza kuwa mteja wako.
Unaweza ukaona… Aina hii mpya ya biashara inakupa wigo mpana wa kupata wateja wa mikoa yote au sehemu yoyote ambayo wanaelewa lugha ambayo utaitumia katika utoaji wa taarifa, ujuzi au utaalamu wako.
Jambo la nne: Aina hii mpya ya biashara haihitaji uwepo wako kutengeneza pesa.
Ukiwa na duka lazima kila siku uwe na heka heka za kwenda kufungua duka ili wateja waje kununua bidhaa lakini mambo ni tofauti kwa aina hii mpya ya biashara. Kila kitu ni online maana yake hata saa tisa za usiku mtu anaweza akalipia na bado akapata mafunzo yako muda huo huo.
Tukimalizia…
Jambo la tano unalo takiwa ufahamu kuhusu biashara hii mpya: Faida katika aina hii mpya ya biashara ni kubwa. Angalia…Haikugharimu chochote kutoa taarifa, ujuzi au utaalamu wako kama ilivyo kwa mtu mwenye biashara ya duka. Mtu mwenye biashara ya duka faida yake ni jumla ya mauzo utoe gharama za uendeshaji wa biashara na gharama za msingi (Gharama za bidhaa). Kwahiyo mwenye duka anapata faida ndogo sanaa au itambidi apate wateja wengi sanaaaa kutengeneza faida ya kueleweka na wakati…
Kwa aina hii mpya ya biashara karibia 97% ya mauzo ya jumla ni faida yako. Na unahitaji wateja wachache kutengeneza faida kubwa.
Nina imani mpaka sasa una uelewa kuhusu aina hii mpya ya biashara, sasa tuzungumze kuhusu pesa:
Tuseme umeandaa taarifa, ujuzi au utaalamu wako katika kijitabu (eBook) au video (darasa la video). Usijali nitakufundisha jinsi ya kuweka taarifa, ujuzi au utaalamu wako katika mfumo wa eBook au darasa la video hata kama huna uzoefu wowote katika uandishi au kurekodi video.
Tufanye ili mtu apate mafunzo ya darasa lako moja inatakiwa alipie 30,000/=
Kama kila siku utakuwa unapata mteja mmoja tu maana yake kwa mwezi mzima utakuwa na jumla ya wateja 30 (1 x 30). Tukizidisha hao wateja 30 kwa ADA ya mafunzo ni sawa na 900,000/= (30 x 30,000 = 900,000/=)
Ebu acha kusoma na ufikirie kwa muda… Kama unapata mteja mmoja tu kila siku… Kwa mwezi una 900,000/=
Je, kama kwa siku unapata wateja 5 wapya utatengeneza shilingi ngapi kwa mwezi mmoja? Ngoja tupige hesabu:
Kama kila siku unapata wateja 5 maana yake kwa mwezi mzima utakuwa na jumla ya wateja 150 (5 x 30). Tukizidisha kwa ADA ya kujiunga kwenye darasa lako ni sawa na 4,500,000/= (150 x 30,000 = 4,500,000/=)
Kinacho furahisha zaidi ni kwamba hiyo pesa utakuwa unaitengeneza ukiwa umelala, unaangalia movie, unapiga stori au unafanya chochote ambacho kinaufurahisha moyo wako.
Na hapo tumeongelea kama una darasa moja tu. Vipi kama una madarasa mengi na kila darasa lina ADA yake? Hapo ndo mambo yanazidi kunoga!
Ngoja nikupe mfano halisi.
Mwaka 2023 mwezi wa 5 nilitoa darasa langu la kwanza ambapo ADA ya kujiunga kwenye darasa hilo ni 35,000/= (darasa hili lipo katika mfumo wa video)
Kwa muda wa miezi 7 tu darasa hilo lilikuwa tayari limeniingizia zaidi ya milioni ishirini na moja kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.
Siku za mwanzo nilivyo anza kupata wanafunzi wa kujiunga kwenye darasa hilo ilikuwa kama ifuatavyo:
Kwakua nilikuwa nimeseti mifumo ya mtu kulipia kiotomatiki na pesa ikiingia kwenye akaunti yangu natumiwa “ujumbe wa mlio kwenye simu” kwahiyo ikawa mtu akijiunga kwenye darasa nasikia kimlio tu kwenye simu nachekelea tu najua tayari pesa imeingia.
Kusema ukweli… Siku za mwanzo niliinjoi kusikia hako kamlio lakini kadri siku zilivyozidi kwenda nikaanza kuzoea na mlio huo nikaanza kuona ni kero. Ikabidi nizuwie kutumiwa ujumbe wa mlio pindi mtu anapolipia
Lakini licha ya kuzuia nisitumiwe ujumbe wa mlio pindi mtu anapolipia, bado nikifungua “Gmail yangu” nakutana na ODA mpya za watu walio lipia kujiunga kwenye darasa zimepangana kama inavyo onekana kwenye picha hii hapa chini.
Baada ya kuona darasa hilo limekuwa na mwitikio mkubwa ndani ya muda mfupi –nikaanza kuandaa madarasa mengine mengi mpaka ambayo ADA yake ni 350,000/=
Basi matangazo yangu yakawa yapo kila kona online. Hapo ndipo baadhi ya watu wakaanza kunifata wakitamani kujua njia hii ambayo naitumia kutengeneza pesa masaa 24/7. Sikuwa tayari kutoboa siri yangu nilitaka niyafaidi kwanza matunda vya kutosha.
Lakini sasa hatimaye nimeamua kutoboa siri yangu na siri hii utaipata kwenye program yangu mpya inayofahamika kwa jina la…
Mkwanja Usingizini 1.0
Katika program hii utajifunza mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na machache yafuatayo:
Program hii ya Mkwanja Usingizini 1.0 Inaanza Lini?
Mafunzo ya program hii yameshaandaliwa tayari. Na mafunzo yapo katika mfumo wa video.
Kwahiyo program ishaanza tayari ni wewe kujiunga na kuanza mafunzo haraka iwezekanavyo.
Na mafunzo haya yanatolewa kwenye tovuti yangu (Online) na sio kwa kukutana ana kwa ana na kuanza kufundishana.
Utapata kujifunza ukiwa sehemu yoyote ile hapa Tanzania na kwa muda wako.
Inagharimu kiasi gani kujiunga Kwenye Program hii ya Mkwanja Usingizini 1.0?
Kabla sijakwambia bei ya kujiunga kwenye program hii ningependa wewe mwenyewe ujipangie bei.
Unajipangia bei kiasi gani kwa program ambayo ni daraja la kukuvusha kutoka kwenye kutojua nini ufanye kutengeneza pesa online kuja kwenye ulimwengu wa kutengeneza pesa masaa 24 hata ukiwa umelala?
Unajipangia bei kiasi gani kwa program ambayo mbinu ninazofundisha kwenye program nimeweza kuzipata kwa gharama isiyopungua 7,000,000/=?
Unajipangia bei kiasi gani kwa program ambayo mbinu nitakazokufundisha huwezi kuzipata sehemu nyingine yoyote ile kwa hapa Tanzania tofauti na kwangu?
Nadhani ukijipangia 2,000,000/= utakuwa upo sahihi japo “Walimu” wangu wakisikia nakuuzia kwa hiyo bei wataumia sana na kuniona mimi mwehu maana milioni mbili ni ndogo sana ukilinganganisha na faida utakazozipata kupitia mbinu nitakazokufundisha.
Lakini unajua chakushangaza ni nini? Hutalipia hiyo 2,000,000/=
Pesa utakayolipia hata nusu ya hiyo milioni mbili haifiki.
Utajiunga kwenye program hii kwa ADA ya:
500,000/=
Hata hivyo nakupatia punguzo la bei zaidi.
Kama utawahi kujiunga kwenye program kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri maana yake utalipia 13,500/= Tu
Lakini baada ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri bei itapanda mpaka 500,000/=
Kwahiyo jinyakulie OFA hii kabla hujachelewa.
Kwanini Natoa Punguzo La Bei Kubwa Sana Hivyo?
Kuna sababu 2 na ni rahisi kuzielewa.
- Nashusha ngazi chini ili hata walio chini waweze kufika juu.
Tazama, mafanikio hayapatikani kirahisi.
Na hakuna mtu yeyote hapa chini ya jua ambaye anaweza kufanikiwa pasipo muunganiko wa juhudi binafsi na msaada kutoka kwa watu waliomtangulia.
Tunaishi Dunia ya “Saidiwa Usaidie”
Kuna maarifa nisingeweza kuyapata na nisingekuwa hapa nilipo leo hii endapo nisingepewa punguzo la bei.
Kwahiyo mimi kupunguza bei ni kama kushusha ngazi chini ili ambao wanataka kupanda juu haraka iwe rahisi sana kwao.
2. Nahitaji uwe mteja wangu wa kudumu.
Tazama kwa kupunguza bei nina uhakika ntakuwa nimekuwekea urahisi wa kujiunga kwenye program hii.
Baada ya kujiunga kwenye program hii mbinu utakazojifunza lazima zifungue milango kwako ya kutengeneza pesa online.
Mpaka hapo ntakuwa nimeuteka moyo wako na...
Kwakua nina madarasa mengine mengi ambayo ninauza kwahiyo nina uhakika utanunua maarifa tena na tena kutoka kwangu.
Kwa maelezo rahisi ni kwamba punguzo hili lina faida pande zote 2. Kwako na kwangu.
Hata hivyo, kama ukijiunga kwenye program hii nitakuzawadia na BONUS zifuatazo kwa BURE kabisa kama asante ya kujiunga kwenye program hii.
BONUS-1: Wazo Chap!
Ili uweze kutengeneza pesa kwa aina hii mpya ya biashara lazima uwe na taarifa, ujuzi au utaalamu ambao watu wapo tayari kukulipa pesa kupata taarifa, ujuzi au utaalamu wako.
Changamoto ni kwamba watu wengi wanao anza kwenye biashara hii mpya hawana taarifa, ujuzi au utaalamu wa kuwafanya walipwe.
Taarifa njema ni kwamba ukijiunga kwenye program hii utapata BONUS hii ya "Wazo chap"
Katika BONUS hii utajifunza hatua 3 za kupata taarifa, ujuzi au utaalamu ambao unauzika haraka na kwa gharama kubwa.
Kwahiyo hata kama hujui nini utauza, kupitia bonus hii utajifunza wapi upate taarifa, ujuzi au utaalamu ambao utafanya ulipwe (Taarifa, ujuzi au utaalamu huu unaweza kuupata hata ndani ya siku 3 hivyo kufanya iwe rahisi kwako kuwahi kutengeneza pesa)
Thamani ya BONUS hii ni 150,000/=
BONUS-2: Uza Kabla Ya Kuuza
Si kila taarifa, ujuzi au utaalamu utakufanya watu wakulipe online.
Kuna taarifa, ujuzi au utaalamu ambao upo sokoni (Watu wanauhitaji sana)
Na kuna taarifa, ujuzi au utaalamu ambayo hakuna mtu atakuwa tayari kutoa pesa yake kukulipa.
Swali linakuja, utajuaje kama taarifa, ujuzi, au utaalamu wako watu watakuwa tayari kukulipa pesa kabla hata hujapoteza pesa, muda na nguvu zako kuanza kuandaa darasa ambalo watu hawatakuwa tayari kulipia?
Usijali katika BONUS hii utajifunza fomula ya kufanya majaribio ya taarifa, ujuzi au utaalamu wako ndani ya masaa 48.
Ndani ya masaa 48 utakuwa tayari unajua kama taarifa ulizo nazo, ujuzi wako au utaalamu wako utauzika kabla hata hujaanza kuuza rasmi.
Hii itakusaidia sana usipoteze pesa, muda na nguvu zako kuandaa darasa ambalo hakuna mtu atakuwa tayari kulipia.
Thamani ya BONUS hii ni 100,000/=
Bonus zote 2 Thamani yake Kwa Ujumla Ni 250,000/=
Lakini BONUS hizi 2 utazipata kwa BURE kabisa endapo utajiunga leo kwenye program hii ya Mkwanja Usingizini 1.0
Kwahiyo kwa ujumla, hii hapa orodha ya vitu Vyote utakavyovipata kama utalipia leo:
Jumla ya Thamani ya Kila kitu utakachojifunza ni 750,000/= lakini wewe utalipia 13,500 Tu Kwa Leo kupata kila kitu.
Kama baada ya kujiunga kwenye program hii utakuwa hujalidhishwa na mafunzo ya program hii (Kwa Sababu yoyote) nijulishe kupitia namba hii 0768354507 nitakurudishia pesa zako zote bila kinyongo chochote.
Hata hivyo nina uhakika utaipenda sana program hii na utalidhika kwa mafunzo nitakayokupatia.
Kwanza nadhani wewe mwenyewe utashangazwa kwa kile ambacho naenda kukufundisha kwenye program hii.
Ukweli ni kwamba, unaenda kuwa mtu wa tofauti kwa kuwa na uwezo wa kuuza taarifa, ujuzi au utaalamu wako online.
UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:
Soma kwanza maelekezo yote ya kufanya malipo ya kujiunga kwenye program hapa chini:
Hatua ya 1: Bonyeza kule chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini. (Hii ni picha tu sehemu ya kubonyeza ni kule chini. Kwahiyo soma maelekezo yote kwanza halafu ndo uanze taratibu za kufanya malipo)
Hatua ya 2: Bonyeza kwa juu upande wa kulia sehemu iliyoandikwa "Viewcart" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 3: Hakikisha bei (Price) inasoma 13,500 Idadi (Quantity) inasoma 1 na "subtotal" inasoma 13,500. Baada ya kumaliza uhakiki unabonyeza sehemu iliyoandikwa "Proceed to checkout" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 4: Baada ya kubonyeza "proceed to checkout" utaletwa kwenye ukurasa wa kujaza taarifa zako zote kwa ajili ya mfumo kutengeneza Risti (Receipt) ya malipo utakayofanya ili baada ya kukamilisha malipo utumiwe Risti ya malipo yako. Taarifa hizo ni kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 5: Inatakiwa utengeneze "Username" na "Password ili baada ya kukamilisha malipo mfumo ukupeleke darasani moja kwa moja . Username weka jina lolote kulingana na mapendeleo yako. Na kutengeneza password yako unabonyeza kwenye alama ya jicho kisha unafuta password iliyopo na kutengeneza ya kwako wewe ambayo utaikumbuka. Hata hivyo, kama baada ya kulipia utasahau password yako kuna sehemu utaomba kubadili na kuweka password mpya. Baada ya kukamilisha kutengeneza username na password utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Place order"kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 6: Malipo yanafanyika kupitia moja ya mitandao 4 ya simu. Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel. Unachotakiwa kufanya bonyeza kwenye alama ya pembe tatu halafu chagua mtandao wa simu mmoja ambao utautumia kufanya malipo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 7: Kulingana na mtandao wa simu ambao umechagua kwenye hatua ya 6, Weka namba ya mtandao husika ambayo itatumika kufanya malipo. Kwa mfano; kama kwenye hatua ya 6 umechagua mtandao wa Vodacom, hapa kwenye hatua ya 7 unaweka namba yako ya Voda. Na utafanya hivyo ikiwa umechagua mtandao tofauti. Baada ya hapo utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Pay TZS 13,500" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 8: Baada ya kubonyeza "Pay TZS 13,500" kwenye hatua ya 7, utaletewa USSD Push (Meseji) kwenye simu yako ya kukamilisha malipo. Bonyeza 1 kukubali kufanya malipo. Halafu weka namba yako ya siri ya mtandao ambao unakuwa umechagua kuutumia kufanya malipo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Ukimaliza kuweka namba yako sa siri bonyeza 1 kuruhusu 13,500/= ikatwe kutoka kwenye simu yako. Baada ya pesa kukatwa na malipo kukamilika mfumo utajua na utakupeleka darasani moja kwa moja. Itabaki juu yako kuanza kujifunza muda huo huo au badae au siku nyingine kulingana na mapenzi yako.
Labda tuseme unasoma ujumbe huu kwa kutumia simu yako kubwa halafu namba ya simu ambayo unataka uitumie kufanya malipo ipo kwenye simu nyingine kubwa au kitochi (Ndogo) utafanyaje?
Ni rahisi tu...
Fuata hatua ya 1-7 kwa kutumia simu yako kubwa ambayo unaitumia kusoma ujumbe huu sasa hivi halafu mfumo utatuma meseji hiyo ya hatua ya 8 ya kukamilisha malipo kwenye namba ambayo umeweka. Hata kama namba hiyo itakuwa kwenye simu nyingine (Kubwa au ndogo) mfumo utatuma huko huko kwenye simu nyingine tofauti na hii ambayo ndio unaitumia kufanya mchakato wa malipo. Baada ya mfumo kutuma meseji hiyo kwenye simu nyingine unatakiwa ulipie kupitia simu hiyo ambako meseji imetumwa na baada ya hapo mfumo utagundua kuwa umekamilisha malipo na kwenye simu hii uliyofanyia mchakato wa malipo mfumo utakupeleka darasani moja kwa moja licha ya wewe kukamilisha au kumalizia kufanya malipo kwa kutumia simu nyingine.
Lakini pia unatakiwa kwenye simu yako uwe na zaidi ya 13,500/= maana makato ya serikali na mtandao husika ni nje ya hiyo gharama ya kujiunga kwenye darasa. Kama pesa kwenye simu yako itakuwa 13,500/= kamili au chini ya hapo malipo hayatafanikiwa na pesa haitakatwa kutoka kwenye simu yako.
Hizo ndizo hatua za kufanya malipo. Kwahiyo sasa unaweza kuanza kufanya malipo kwa kubonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA"
13,500/= | 500,000/= | Save 97.3%
Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. Ni matumaini yangu kwamba tutakutana kwenye program hivi karibuni.
Cheers,
Mr Bokko.
Dar es Salaam.
Copyright - Online Marketing System Pro
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.