Kwa mwanachuo anayetaka kuongeza ufaulu darasani…
Sikiliza Audio Hii Ya Dakika 7 Iliothibitishwa Kisayansi Kuwasaidia Wanafunzi Kuongeza Uwezo Wa Ubongo Kuelewa Haraka Darasani na Kukumbuka Kila Kitu Kwa Muda Mrefu Bila Kusoma Mara Kwa Mara!
Audio hii inaamsha “Genius Brain” iliyo ndani yako, ambayo kwa miaka mingi ipo “inactive” bila wewe kutambua.
Ndugu mwanachuo,
Naamini wewe mwenyewe ni shahidi wa hili…
Kuna baadhi ya wanafunzi, lecturer akifundisha darasani wanaelewa na kunasa (kama sumaku) kila kitu muda huo huo na hawasahau hata nukta.
Wakati mimi na wewe tunaweza tukawa tumeelewa lecturer alichofundisha lakini itatubidi turudie kusoma kile kilichofundishwa mara kwa mara maana tusipofanya hivyo lazima tusahau.
Mbaya zaidi ni kwamba baadhi yetu sisi hatuelewi vizuri alichokifundisha lecturer mpaka mwanafunzi mwenzetu mwenye upeo wa juu arudie kukazia na kutufundisha kile ambacho tayari lecturer kashafundisha.
Je, hii inamaanisha hawa ambao wanaelewa haraka na hawasahau kirahisi wao ni “magenius”?
Kishule shule tunapenda kuwaita watu hawa magenius lakini ukweli ni kwamba kila mtu amezaliwa akiwa genius isipokuwa ugenius huu unapotea kwa wengi wetu kadri tunavyokua kwa sababu ambazo nitazielezea hapo mbele kidogo.
Usichokijua ni kwamba; hata wewe ni genius, una uwezo kama walio nao hao wengine unao waona ni magenius…
Sema ugenius wako umelala (upo dormant).
Pengine unajiuliza kama ugenius wako umelala, ufanye nini kuuamsha (kuu-activate)?
Kaa na mimi muda si mrefu nitakuelekeza jinsi ya kuamsha ugenius uliopo ndani mwako ili:
lecturer akifundisha uwe unaelewa kwa haraka, urahisi na bila kusahau kile alichofundisha na bila kurudia kusoma mara kwa mara.
Uwe na uwezo wa kusolve maswali magumu ambayo akili ya kawaida haiwezi
Uwe na kumbukumbu kubwa ya kutosahau kila kinachoingia akilini mwako kirahisi.
Uwe na akili ya kubuni na kutengeneza vitu vya kusaidia jamii. (Creativity)
Uwe na akili ya kutengeneza fursa za biashara kutoka kwenye kichwa chako
Yote haya yanawezekana ikiwa utaamsha ugenius wako ulio lala. Na inachukua dakika 7 tu kila siku kuamsha ugenius huu.
Kabla sijakuelekeza jinsi ya kufanya hivyo, ngoja tuone utafiti wa kisayansi unasema nini kuhusu kila mtu kuwa na ugenius ndani yake…

Naitwa Mr Bokko.
Mimi sio daktari wala sio mwanasayansi lakini taarifa niliyonayo inaweza kukufanya ukarejesha ugenius wako ulio lala ndani yako.
Ninamfahamu daktari na mwanasayansi aliyevumbua njia ya kuamsha ugenius ndani yako na katika ukurasa huu nitakuunganisha naye.
Nipe Dakika 6 Tu, Nami Nitakuonesha Jinsi ya Kuamsha Ugenius Ulio Lala Ndani Yako.

Dr. James Rivers huyu ndiye mvumbuzi wa njia hii ya kuamsha ugenius ulio lala ndani yako.
Uvumbuzi huu ulitokea baada ya daktari huyu kupewa ripoti za tafiti ambazo zilifanywa miaka mingi iliyopita lakini zikawa zimesahaulika.
Tafiti hizi zilifanywa na NASA (National Aeronautics and Space Administration)
NASA ni Shirika la Marekani linalohusika na masuala ya utafiti wa anga, safari za anga, sayansi ya sayari, satelaiti, na teknolojia za anga.
Ripoti ya utafiti wa NASA ambayo ilikuwa imesahaulika inafichua yafuatayo…
NASA ilifanya utafiti wa kupima uwezo wa ubongo (Brain power) kwa wanasanyasi wajao wa kurusha roketi angani.

Wakapima ubongo wa kundi la watoto na walichogundua kiliwashitua na kuwashangaza.
98% ya hao watoto ambao ubongo wao ulipimwa, walikutwa wakiwa na “Genius-Level Brain Power”

Karibia kila mtoto aliyepimwa alikutwa akiwa na ugenius ndani yake, ugenius ambao unaweza kumsaidia kuwa na uelewa wa mambo kwa haraka, kumbukumbu ya hali ya juu, na uwezo wa kutatua changamoto na matatizo magumu.
Hata wewe ulivyokuwa mtoto mdogo ulikuwa na uwezo huo pia.
Miaka 5 mbele, NASA wakarudia kupima uwezo wa ubongo kwa kundi lile lile la watoto waliopimwa mara ya kwanza.
Awamu hii ya pili…
30% tu ya hawa watoto ndio waliokuwa bado wana ugenius ndani yao.
Hii inamaanisha…
Wengine ugenius wao tayari ulikuwa umelala (umekuwa dormant)
Watoto hawa walipofikisha umri wa kubalehe, wakafanyiwa vipimo tena na awamu hii…
12% tu ya hawa watoto ndio waliokuwa bado wana ugenius ndani yao wakati wengine wote ugenius wao tayari ulikuwa umelala (haupo active)
Hii inadhihirisha kwamba kila mmoja wetu amezaliwa akiwa na ugenius ndani yake lakini kadri tunavyozidi kukua ndivyo ambavyo ugenius huu unapotea kwa kulala (kuwa inactive)
Kwanini NASA Waligundua Watoto Wana Akili Sana Kuzidi Watu Wazima?
Nini kimetokea kwetu watu wazima?
Ni wangapi kati yetu (watu wazima) ambao wao bado wana ugenius ambao kila mmoja wetu amezawadiwa na Mwenyezi Mungu pindi tu tunapo zaliwa?
NASA walifanya vipimo vya ubongo wa watu wazima na wakagundua kwamba…
Chini ya 2% ya watu wazima wote ndio ambao wao wanabahatika kubaki na ugenius wao.
Wakati wengine wote (98%) ugenius wao unakuwa “inactive”
Hii inamaanisha ulivyokuwa mdogo, kuna uwezekano 98% ulikuwa na “Genius Brain” lakini sasa umekuwa mtu mzima una uwezekano wa 2% wa ugenius wako kuwa bado upo “active”
Baada ya Dr. Rivers kupata ripoti hii iliyofichua utafiti huu wa NASA, Dr. Rivers akabaki na maswali mengi kama:
Ni kitu gani kinafanya ugenius ambao tunazaliwa nao kupotea?
Nini kifanyike ili kurudisha ugenius huu?
Je, inawezekana kila mmoja wetu kurudisha ugenius ambao mwanzo tulikuwa nao lakini ukapotea?
Maswali haya ndiyo ulikuwa mwanzo wa utafiti wa Dr. Rivers.

Dr. Rivers katika utafiti wake aligundua yafuatayo:

Alivyo scan ubongo wa mtoto mdogo kwa kutumia mashine ya EEG alibaini kwamba watoto wana “active Theta Wave”

Na alivyo scan ubongo wa mtu mzima kwa kutumia mashine hii ya EEG alibaini kwamba watu wazima wana Theta wave pia lakini wao ipo “inactive” yaani haifanyi kazi inavyotakiwa.

Wanasanyasi wakubwa duniani ambao wamesoma zaidi kuhusu ubongo wa mwanadamu wanaripoti kwamba “Theta wave” ni mawimbi ya ubongoni ambayo kazi yake ni kuamsha na kuunganisha (reactivate & connect) sehemu mbalimbali za ubongo ili ubongo uweze kufanya kazi zake kama ilivyo kusudiwa tangu mtu anapozaliwa.
Wanasayansi hawa wanaendelea kwa kusema kwamba…
“Mtu anapokuwa na “Active Theta wave” ubongo wake unakuwa “superbrain” yaani wenye uwezo wa hali ya juu; kama uelewa wa mambo kwa haraka, kumbukumbu ya muda mrefu, uvumbuzi wa vitu, na utatuzi wa changamoto kubwa.”
Chanzo Cha Kupotea Kwa Ugenius Wako.
Dr. Rivers aliweza kubaini kisababishi cha ugenius wako kuwa “inactive”
Kisababishi hiki ni: “Inactive Theta wave”
Iko hivi: Utafiti unaonesha kwamba mienendo ya maisha ya kisasa inafanya “Theta wave” zina lala (zinakuwa inactive) kadri tunavyokua.
Na kwakua Theta wave ndio zinazofanya ubongo wako uwe “Genius Brain” basi kulala kwake kunafanya hata ugenius wako ulale pia.
Ndio maana inakuchukua muda mrefu kuelewa mambo wakati wachache wenye bahati ya kuwa na “Active Theta wave” wanaelewa haraka na hawasahau kirahisi.
Ndio maana wakati mwingine majibu sahihi ya maswali ya mtihani yanakuja akilini mwako baada ya kuwa umemaliza kufanya mtihani wakati wenye “active Theta wave” majibu yanakuja haraka wakati wapo kwenye mtihani.
Taarifa njema ni kwamba unaweza kuamsha Theta wave zako ili urejeshe ugenius wako.
Katika ripoti ya siri ya Thomas Edison (mwanasayansi aliyevumbua taa za umeme na mengineyo) ilikutwa nyalaka moja ikisema moja ya vitu vilivyomsaidia kufanya uvumbuzi huu ni kutengeneza kifaa ambacho kilimsaidia kuamsha (Reactivate) Theta wave.

Hizi Hapa Njia 4 Za Kuamsha (Reactivate) Theta Wave Kuanzia Leo…
Njia ya kwanza: Meditation (Kutafakari)

Kama unaweza ku-meditate kila siku mara 2, kwa dakika 20, utafanikiwa kuamsha Theta wave.
Njia hii sio chaguo la wengi kwa sababu ni ngumu halafu inachukua muda mrefu.
Njia ya pili: Kuamka kila siku saa kumi (4AM) asubuhi.

Njia hii inatumiwa sana na mabilionea.
Lakini nayo pia ni ngumu na inachosha.
Njia ya tatu: Kutumia mashine ya Biofeedback.

Licha ya mashine ya Biofeedback kuwa na faida nyingi lakini inaonesha kwamba inaweza kuamsha Theta wave.
Lakini gharama ya session moja kwa lisaa si chini ya dola 300 (laki nane kasoro)
Njia ya nne: Kutumia “neuroscientist-backed sound wave” (mawimbi ya sauti iliyothibitishwa na wanasayansi wa neva)

Hii ndio njia rahisi kuliko zote na ipo audio ya dakika 7 yenye mawimbi ya sauti ambayo tayari imeandaliwa kwa ajili yako. Kazi yako ni kubonyeza “play” na mchakato wa kuamsha Theta wave unaanza mara moja.
Jinsi Ambavyo Dr. Rivers na Wenzake Walivyogundua “Audio” Ya Kuamsha Ugenius Ndani Yako!
Baada ya tafiti za muda mrefu, usiku na mchana bila mafanikio, hatimaye Dr. Rivers na wenzake waliweza kufanikiwa kutengeneza suluhisho la kurejesha ugenius wako.
Lengo lao lilikuwa ni kutengeneza suluhisho ambalo ni…
Rahisi na lenye kuleta matokeo ya haraka ukiwa mahali popote.
Na walijua uvumbuzi huu utakuwa wa kipekee maana hakuna suluhisho kama hili limewahi kutokea kabla.
Suluhisho walilogundua ni “audio” yenye mawimbi ya sauti maalumu ya kuamsha Theta wave na kurejesha ugenius wako.
Audio hii ni ya dakika 7 tu na wameipa jina la…

Baada ya kutengeneza audio hii ya “The Genius Wave,” Dr. Rivers na wenzake walianza kwa kuijaribu wao wenyewe.
Kwa sababu walikuwa na wasiwasi kama itafanya kazi vile ambavyo utafiti wao unavyoonesha…
…na kama njia ya kujiridhisha hakuna walichosahau.
Kwahiyo kila siku kwa dakika 7 wali sikiliza audio hii yenye mawimbi ya sauti maalumu.
Wali hakikisha hata siku moja haipiti bila kusikiliza kwa dakika 7 tu.
Baada ya wiki kadhaa walijua “The Genius Wave” inafanya kazi maana walishangazwa kwa uwezo wa akili zao ulio ongezeka.
Sio wao tu…
Kuna mmoja alimuhimiza mwanae kusikiliza kwa dakika 7 tu kila siku na ufaulu wake ndani ya wiki kadhaa ulibadilika kutoka Grade C mpaka Grade A.
Wapo maelfu ya watu ambao tayari wanashuhudia maajabu ya “The Genius Wave”
Matumizi yake ni rahisi tu.

Tafuta sehemu iliyotulia kisha kaa pozi lolote ambalo utakuwa “Comfortable” kwa kutumia simu, laptop au tablet weka earphone au headphone kisha sikiliza kwa dakika 7 tu kila siku.
Kwa kufanya hivyo unaanza kuamsha Theta wave ambazo zitaanza kuunganisha sehemu mbalimbali za ubongo wako na hatimaye unaanza kuwa na “Genius-level brain power” ambayo ita badilisha maisha yako ya masomo, kiuchumi, mahusiano na kijamii.
Huhitaji kuandika maandishi yoyote wala kukumbuka kitu chochote.
Wewe kaa zako au lala sehemu tulivu kisha sikiliza “The Genius Wave” kwa dakika 7 tu kila siku utashangazwa na matokeo yake.
Akili yako itakuwa ya tofauti sana pindi utakapoanza kusikiliza “The Genius Wave”
Inagharimu Kiasi Gani Kupata Audio Hii Ya The Genius Wave?
Binafsi nilinunua audio hii tarehe 09/12/2024 kutoka kwenye tovuti ya Dr. Rivers kwa lengo la kuongeza uwezo wa akili yangu kuwa “Creative” na kunipa “ideas” ambazo zitabadilisha maisha yangu.

Nashukuru tangu nianze kusikiliza audio hii akili yangu imenipa ideas nyingi ambazo zimesha niingizia mamilioni ya pesa.
Akili yangu iko sharp sana tofauti na ilivyokuwa hapo mwanzo.
Na nakumbuka sana kila kitu ninachojifunza tofauti na mwanzo ambapo nilikuwa nawahi kusahau.
The Genius Wave inauzwa kwa dola 39 kwenye tovuti ya Dr. Rivers na ndiyo bei ambayo mimi nilinunulia.


Hata hivyo dola 39 ni ndogo sana ukilinganisha na matokeo utakayopata kwa kusikiliza audio hii ya The Genius Wave.
Isitoshe sitakuuzia kwa bei hiyo ya dola 39.
Nina mpango wa kuuza audio hii kwa 30,000/=
Lakini kama utanunua kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri utalipia…
9,500/= Tu
Kwanini nakuuzia kwa bei ndogo sana hivi?
Kwa sababu naelewa wanachuo wanaishi kwa bajeti kali sana, hivyo bei ikiwa kubwa sana itakuwa ngumu kununua na kuongeza ufaulu.
Kwakua lengo langu ni kusaidia wanachuo wengi, ndio maana nimeamua kupunguza sana bei ili kila mmoja apate.
Huna cha kupoteza, una kila sababu ya kuanza kuamsha ugenius wako kwa sababu unalindwa na…
Dhamana (Guarantee) ya siku 60.
Lipia leo na uanze kusikiliza The Genius Wave. Kama baada ya siku 60 uwezo wako wa kuelewa haraka utakuwa haujaongezeka, kumbukumbu kuongezeka, uwezo wa kutoa ideas ambazo zitabadili uchumi wako au kwa sababu yoyote utakuwa hujaipenda The Genius Wave piga simu kudai pesa zako na tutakurudishia bila kinyongo chochote.
Hata hivyo nina imani utakavyoanza kusikiliza The Genius Wave siku hadi siku utastaajabishwa kwa matokeo utakayopata.
Hutakumbuka tena kudai pesa zako hata kama ningesema nakurudishia mara mbili ya pesa yako.
Kwa maana utakuwa umejawa na furaha ya kurejesha ugenius wako ulio kuwa umelala miaka mingi.
Kwa ninavyoona…
Mpaka sasa una machaguo 3.
Chaguo la kwanza: Sahau kila kitu nilichokwambia siku ya leo kwenye ukurasa huu na uendelee kufanya ambavyo umekuwa ukifanya siku zote na upate matokeo yale yale ya siku zote.
Ungekuwa unalidhishwa na kufurahishwa kwa matokeo unayopata usingekuwa bado unasoma.
Na bado unaendelea kusoma, hii inaniambia uko tayari kubadilika.
Chaguo la pili: Sahau kuhusu “The Genius Wave” na utafute njia nyingine ya kuamsha ugenius ulio lala ndani yako.
Kila la kheri kwa chaguo hilo.
Lakini “The Genius Wave” ndio njia pekee rahisi na ya haraka ya kuamsha ugenius ulio lala ndani yako.
Je, utapata njia zingine? Ndiyo lakini sio rahisi na zilizo nyingi zina gharama kubwa na zinachukua muda mrefu kuleta matokeo.
Kwahiyo kutafuta njia nyingine tofauti na “The Genius Wave” ni kufanya mambo yawe magumu sana kwako.
Hivyo hili sio chaguo sahihi kwako.
Chaguo la tatu: Nunua The Genius Wave leo na uanze kuongeza:
Uwezo wa ubongo wako kuelewa haraka darasani.
Uwezo wa ubongo wako kukumbuka yale yote unayojifunza bila kujikumbushia mara kwa mara
Uwezo wa ubongo wako kusolve maswali magumu
Uwezo wa ubongo wako ku-generate “ideas” za kukuingizia kipato
Uwezo wa ubongo wako Kubaini fursa za biashara zinazo kuzunguka kabla ya wengine
Na faida zingine nyingi, nyingi sana.
Copyright - Online Marketing System Pro | Privacy policy | Terms and conditions |
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.