Mwongozo Checkout - Online Marketing System Pro

Ofa Ya 9,500 Inatoweka

Baada Ya Saa Kusoma Sifuri

Mara baada ya kukamilisha malipo utatumiwa mwongozo wako kupitia whatsapp

Kufanya malipo ni rahisi tu.

hatua ya kwanza: Bonyeza hapo chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA" kisha jaza taarifa zako kikamilifu halafu bonyeza sehemu iliyoandikwa "pay" na usubiri ukurasa mpya wa kufanya malipo ufunguke.

Hatua ya pili: Chagua mtandao wa simu ambao utautumia kufanya malipo kati ya hii: Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money au Halopesa

Hatua ya tatu: Andika namba yako ya simu ya mtandao husika ambao umechagua kwenye hatua ya pili.

Hatua ya nne: Bonyeza kulipa na utapokea push meseji kwa juu ya screen ya simu yako, weka namba yako ya siri kuruhusu pesa ikatwe.

Note 01: Hakikisha kwenye simu yako una kiasi cha 9,500/=  jumlisha pesa ya makato ya mtandao husika na serikali.

Note 02: Kwa sasa mfumo unapokea malipo kutoka mitandao mitatu tu ya simu yaani Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money na Halopesa . Kama unahitaji kufanya malipo kwa njia nyingine tofauti na hii, wasiliana nasi kwa namba hii: 0768354507

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications