...

Wanaume wengi wanatibu uvimbe wa tezi dume kama mtu anayekata miwa shambani akitegemea kwamba miwa haitachipua tena.



Chakushangaza baada ya muda miwa inaanza kuchipua tena kama kawaida.



Swali la kujiuliza ni kwamba; Kwanini miwa inachipua tena hali ya kuwa imekatwa?



Jibu ni rahisi. Miwa inachipua tena kwasababu chanzo chake kinakuwa bado kipo– na chanzo hicho ni mashina yake.



Ni ukweli ulio dhahili kwamba bila mashina ya miwa kuondolewa haijalishi ni mara ngapi utaikata miwa, miwa bado itachipua tena na tena.



Tazama; Mfano huo wa miwa unatoa picha kamili ya kwanini huponi uvimbe wa tezi dume licha ya kutumia tiba mbalimbali.



Iko hivi; matibabu ya tatizo lolote lile la kiafya huwa ni ya hatua mbili.



Hatua ya kwanza: Kutibu madhara ya tatizo.


Kutibu madhara ya tatizo maana yake ni kutibu athari zitokanazo na tatizo husika.


Au kwa lugha nyingine ni kutibu matokeo ya tatizo ambayo yanaonekana nje ya mwili.


Kwa mfano: Tatizo la uvimbe wa tezi dume madhara yake ni:-


  • Kukojoa mara kwa mara.
  • Kukojoa kwa kujikamua
  • Kukojoa mkojo usioisha
  • Kukojoa mkojo unao rudi nyuma
  • Na madhara mengine mengi

Sasa matibabu haya ya hatua hii ya kwanza yanalenga kutibu kile kinachoonekana  nje ya mwili.


Ukipata matibabu haya utapata NAFUU na sio kupona tatizo kabisa.


Na usichokijua ni kwamba dawa nyingi zimetengenezwa katika namna ambayo zinalenga kutoa matibabu haya ya hatua ya kwanza. Ndio maana kwa muda mrefu umekuwa ukitumia dawa mbalimbali pasipo kupona kabisa tatizo lako.


Kwahiyo kwa ufupi ni kwamba matibabu ya hatua ya kwanza sio suluhisho la kudumu la tatizo lako.


Ngoja tuangalie matibabu ya hatua ya pili yapoje.


Matibabu ya hatua ya pili yanahusu kutibu chanzo na kiini cha tatizo.


Ili upone kabisa na uvimbe usiweze kujirudia tena na tena unatakiwa upate matibabu haya ya hatua ya pili ambayo yanalenga kwenda kutokomeza kabisa kiini na chanzo cha tatizo.


Pengine unajiuliza kiini na chanzo cha tatizo kwenye mwili kinapatikana wapi? 


Ngoja nikujibu;  chanzo cha tatizo lolote lile la kiafya kipo kwenye seli za sehemu husika ndani ya mwili.


Kumaliza chanzo hiki inatakiwa ipatikane dawa ambayo ukiitumia inapenyeza mpaka chanzo kilipo na kupambana nacho.


Kwa bahati mbaya ni kwamba dawa nyingi kulingana na teknolojia inayotumika kuzitengeneza hazina uwezo wa kusafiri mpaka kufika kwenye seli  ambapo ndipo chanzo kilipo.


Ili dawa ifike kwenye chanzo cha tatizo inatakiwa iwe imetengenezwa kwa teknolojia inayoitwa “Nano-technology”


Nano-technology –ni teknolojia ya kutengeneza vitu na kuvipa uwezo wa kusafiri mpaka kufika sehemu ambazo vitu vya kawaida ni ngumu kufika.


Kwahiyo dawa ikitengenezwa kwa kutumia teknolojia hii inakuwa na uwezo mkubwa wa kusafiri mpaka kwenye seli sehemu pekee ambapo kiini cha tatizo kilipo.

Swali la kujiuliza ni kwamba utaipataje dawa iliyotengenezwa kwa teknolojia hii mpya na ya kisasa zaidi? 

Nisikilize kwa dakika chache nami nakuahidi kukufichulia dawa ambayo imetengenezwa kwa teknolojia hii ya kisasa ya nanoteknolojia.

Nina uhakika utasitaajabishwa kwa uwezo wa dawa hii kuyeyusha uvimbe wa tezi dume yako kwa haraka zaidi pasipo uvimbe kujirudia tena wala kuleta madhara yoyote mwilini mwako.

Nakuahidi utaanza kuona mabadiliko punde tu baada ya kuanza kutumia dawa hii na utatamani ungeitumia siku zote hizo ambazo umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote zaidi ya kupotez pesa zako.

Ebu fikiria ni utofauti gani dawa hii itauleta kwenye maisha yako ikiwa:

  • Mkojo utakuwa ukitoka wenyewe moja kwa moja bila kukaa kuusubiri kwa muda mrefu ndo utoke!
  • Utakojoa mkojo wa moja kwa moja bila mkojo kurudi nyuma
  • Mkojo wote utatoka kwenye kibofu bila kuhisi mkojo wowote kubaki
  • Hutakojoa tena mara kwa mara hasa nyakati za usiku.
  • Hutapata maumivu ya aina yoyote ile wakati wa kukojoa.
  • Hutakuwa tena na safari za mara kwa mara za usiku kuelekea chooni zinazoharibu usingizi wako.
Utajisikiaje ikiwa yote hayo yatatokea kuanzia leo hii?

Sasa kabla sijakwambia wapi pakuipata dawa hii iliyotengenezwa kwa teknolojia hii ya kisasa ngoja kwanza tuone tafiti za kisayansi zinasemaje kuhusu uvimbe wa tezi dume.

Tafiti za kisayansi zinaonesha kwamba wanaume wote wenye umri wa kuanzia miaka 50 kupanda juu wana uvimbe wa TEZI DUME!


Na kati ya wote wenye uvimbe wa tezi dume, nusu yao uvimbe huo haujaanza kuwaletea shida na wakati nusu iliyobaki ni ambao uvimbe huu wa tezi dume ushaanza kuwaletea shida.


Kwahiyo kama hujaanza kupata shida yoyote kwenye suala la ukojoaji tambua kwamba uvimbe unao lakini upo kwenye kundi la watu wenye uvimbe wa tezi dume ambao haujaanza kuleta madhara.


Lini utaanza kukuletea madhara? Hakuna anayejua. Muda wowote -Unaweza ukaanza kukuletea madhara mwilini.


Kuna baadhi dalili za uvimbe huu ni kali sana wakati wengine ni za kawaida.


Tafiti zinaonesha kwamba dalili kuwa kali haitokani na uvimbe kuwa mkubwa. Kuna watu wana uvimbe mdogo na dalili zake ni kali sana. Wakati wengine wana uvimbe mkubwa na dalili zake ni ndogo.


Miili inatofautiana, hivyo ukubwa wa uvimbe sio kigezo cha kupata maumivu makali.


Kwahiyo kama una miaka 50 au na zaidi nakuhimiza uanze kutumia suluhisho la kumaliza uvimbe wa tezi dume kabla haujaanza kukuletea madhara makubwa kama:

  • Kushindwa kukojoa kabisa
  • Kufeli kwa figo
  • Kushindwa kuhimili tendo la ndoa vizuri
  • Na madhara mengine makubwa sana ambayo sio vizuri kuyataja hapa.

Lakini kabla hatujafika mbali unatakiwa uelewe kwamba...

kila mwanaume ana Tezi Dume na kuwa Na Tezi Dume sio tatizo!

Ni kweli kila mwanaume anazaliwa na tezi dume. Kazi ya hii tezi dume ni kuzalisha ute ute wa kulinda mbegu za kiume wakati wa tendo la ndoa.


Makuzi ya tezi hii yanaanza pindi unapozaliwa mpaka pindi unapokufa. Hii inamaanisha kila siku tezi yako inakua na kuongezeka ukubwa.


Madhara ya tezi dume yanaanza pindi ambapo tezi dume yako imekuwa kubwa sana kiasi cha kwamba inaanza kuleta athari zake kwenye ukojoaji.


Kuanzia mwaka mmoja mpaka miaka ishirini ukubwa wa tezi hii ni kama punje moja ya karanga yenye uzito wa gramu 20.

Punje ya karanga

Miaka ishirini mpaka miaka arobaini ukubwa wa tezi dume ni kama mpira wa tenesi wenye uzito wa gramu 30 mpaka 35.

Mpira wa tenesi

Kuanzia miaka arobaini na kupanda tezi dume inakuwa kubwa kama kiazi kitamu chenye uzito wa gramu 500.

Kiazi kitamu

Pengine unajiuliza; nini kinasababisha Tezi Dume ivimbe na Kuanza kuleta madhara kwenye ukojoaji?

Tazama, ni muhimu kujua nini kinapelekea mpaka tezi dume yako ivimbe kwasababu ukijua inakuwa ni rahisi kuelewa nini kifanyike kuweza kumaliza kiini na chanzo cha tatizo.


Usipoelewa chanzo cha tatizo ni nini lazima iwe ngumu kumaliza tatizo kwasababu unaweza kujikuta siku zote unatumia tiba ambazo haziendi kumaliza chanzo cha tatizo na hivyo kujikuta unapoteza pesa na muda kwenye tiba za hovyo ambazo hazifanyi kazi.


Iko hivi; Kuna mambo 2 ambayo yanasababisha tezi dume ivimbe kwa mwanaume mwenye miaka Hamsini au na zaidi. Mambo hayo ni yafuatayo:-

Kisababishi Cha Kwanza ni Dihydrotestosterone yaani DHT

Makuzi ya tezi dume yanayotokea kila siku yanategemea DHT. Yaani Kuanzia siku unazaliwa na kadri ya umri unavyozidi kwenda DHT ndio inachochea Tezi dume yako iweze kukua na kutanuka. Bila DHT tezi dume yako haiwezi ikakua.


Inapofika miaka arobaini na kupanda kunakuwa na uzalishwaji wa DHT usio wa kawaida.


Hali hii inapelekea kuwa na makuzi ya tezi dume yasiyo ya kawaida na hivyo kupelekea tezi dume yako ianze kuvimba.


Na DHT ndio sababu ya kwanini ukifanyiwa upasuaji baada ya muda uvimbe unarudi tena.


Uvimbe unarudi tena kwasababu baada ya kufanya upasuaji makuzi ya tezi dume yanaendelea chini ya uchochezi wa DHT. Kwahiyo makuzi yakiendelea itafika muda uvimbe utajirudia tena.

Sasa unatakiwa ufahamu kwamba; Kila Kitu Kinachozalishwa Mwilini Lazima Kina Chanzo Chake. Kwahiyo Ngoja Nikuoneshe Chanzo Cha DHT Katika Mwili Wako Ni Kipi!

Kwakuwa DHT ni moja ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume. Kwahiyo kuzuia uvimbe huo usitokee tena ni kujua chanzo chake ni kipi mwilini ili kuweza kudhibiti uzalishaji wake usiwe wa kiasi cha kusababisha madhara.


Ukiweza kudhibiti uzalishaji wa DHT unaoleta madhara mwilini mwako utakuwa umefanikiwa kuzuia makuzi ya haraka ya tezi dume yako.


Kwahiyo kama tezi dume yako imevimba baada ya kudhibiti uzalishaji wa DHT kinachobaki ni kuyeyusha uvimbe. Kwa kufanya hivyo, uvimbe unaisha na unakuwa na uhakika wa kutopata tena uvimbe kwasababu uzalishaji wa DHT unakuwa katika kiwango cha kawaida kisicholeta madhara ya uvimbe kutokea tena.


Swali la kujiuliza ni kwamba; DHT inatoka wapi au inazalishwa na nini mwilini?

DHT ni kama unga ambao ni matokeo ya kusagwa kwa mahindi mashineni.

Ili upate unga lazima mashine iyasage na kuyaponda ponda mahindi kuyageuza unga.


Mashine ikisaga mahindi mengi utapatikana unga mwingi. Na mashine ikisimama kusaga mahindi au ikipunguza kasi ya kusaga mahindi maana yake utapatikana unga kidogo.


Kwa mfano huo ndivyo ilivyo kwenye utengenezwaji wa DHT mwilini. Ili DHT ipatikane lazima mashine ya mwili inayofahamika kwa jina la 5-alpha Reductase ifanye kazi ya kuigeuza homoni ya kiume iitwayo Testosterone kuwa Dihydrotestosterone yaani DHT.


Baada ya Testosterone kugeuzwa kuwa DHT, DHT ndio inafanya kazi yake ya kuchochea ukuaji wa tezi dume yako.


Ikitokea ikazalishwa DHT nyingi matokeo yake ni makuzi ya haraka ya tezi dume na hivyo kupelekea tezi dume ianze kutanuka na kuvimba.


Kwahiyo kwakuwa DHT ndio mojawapo ya visababishi vya uvimbe wa tezi dume kutokea, njia rahisi ya kudhibiti uzalishaji wa DHT ili isiendelee kuleta madhara ni kudhibiti mashine inayopelekea DHT ipatikane ambayo ni 5-alpha Reductase.


Ukiweza kudhibiti mashine hii maana yake ni kwamba kiasi kidogo cha DHT kitazalishwa na hivyo kiasi hiki hakitakuwa na madhara yoyote kwenye makuzi ya tezi dume yako.


Tuendelee na kisababishi cha pili cha tezi dume yako kuvimba.


Tafiti za hivi karibuni kutoka chuo kikuu cha Harvard nchini marekani, sekta ya afya, zinaonesha kwamba KISABABISHI cha pili cha uvimbe wa tezi dume ni maji ya bombani.


Tazama, maji yote ya bombani yana uchafu mwingi usioonekana kwa macho ya kawaida na yana calcium. Maji haya yakipita sehemu fulani kwa muda mrefu, unga unga misili ya chokaa yaani calcium deposits unatokea.


Kwahiyo unapokunywa maji ya bombani, yawe ya kuchemshwa au yasiyochemshwa, kwakua sio safi na salama – ikimaanisha yana uchafu mwingi ambao ukiingia mwilini mwako unaenda kujikusanya na kujirudinka kwenye kuta za kibofu chako cha mkojo na kusambaa kwenye mfumo mzima wa mkojo.


Kadri uchafu huo unavyozidi kujirundika na kukaa kwa muda mrefu kwenye kuta za kibofu cha mkojo na kwakua tezi dume imepakana na kibofu cha mkojo kama pua na mdomo, basi tezi dume yako inaanza kufyonza huo uchafu ambao unaenda kujazana na kurundikana ndani ya tezi yako. Mrundikano huu wa uchafu unaanza kuzalisha presha ndani ya tezi dume yako ambayo taratibu siku hadi siku inafanya tezi yako inaanza kuvimba.


Baada ya miaka mingi ya presha hii kusababisha tezi dume yako ivimbe ndo unaanza kupata madhara ya uvimbe wa tezi dume.


Hali hii inapotokea mwili unakusaidia kuondoa huo uchafu na sumu kwa kukufanya uhisi kukojoa mara kwa mara lakini ukweli ni kwamba unapokojoa uchafu na sumu hizo havitoki.


Kwa hali ya kawaida unapokuwa na hamu ya kukojoa mara kwa mara, wewe mwitikio wako ni kutotaka kukojoa mara kwa mara lakini hiyo ni mbaya kwasababu kadri ambavyo uchafu huo uliopo kwenye kuta za kibofu unavyozidi kukaa kwa muda mrefu, ndivyo ambavyo unazidi kuganda na kufanya iwe vigumu kutoka kirahisi.


Ukitaka kuthibitisha ukweli huu unaweza kufanya jaribio lifuatalo:


Chukua glass ya maji inayopitisha mwanga yaani transparent glass au chupa ya maji yenye kupitisha mwanga yaani transparent bottle weka maji kisha yaache kwa siku kadhaa.


Kama unaona vitu vyeupe vyeupe kwenye kuta za glass fikiria kama umekuwa ukinywa maji hayo kwa miaka mingi ni kiasi gani cha huo uchafu kimerundikana kwenye mfumo wako wa mkojo.


Labda unafikiria kunywa maji mengi kutasaidia kuondoa huo uchafu; Lakini hiyo ni mbaya zaidi maana kadri unavyozidi kunywa maji ndivyo ambavyo huo uchafu unafyonzwa kwenye kuta za kibofu chako na kufanya hali izidi kuwa mbaya.


Na kibaya zaidi ni kwamba unapokojoa, mkojo peke yake ndo unatoka ikimaanisha kwamba presha ya kwenye kibofu inasukuma mkojo utoke halafu unga unga kama chokaa unabakia.


Kadri ya siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo uchafu huu na sumu hizi zinazidi kurundikana na ndio maana uvimbe wa tezi dume unatokea kwa watu wenye umri mkubwa–ikimaanisha ni matokeo ya mrundikano wa huo uchafu na presha kuongezeka taratibu ndani ya tezi dume yako kwa miaka mingi.


Hata kama manispaa uliyopo wanajitahidi kuweka dawa yaani chlorine kwenye maji kuua wadudu na bacteria wabaya; Lakini umewahi kujiuliza kwanini hao bacteria na wadudu wanakufa? Jibu rahisi ni kwamba hiyo dawa inayowekwa kwenye maji ni sumu.


Ni sumu ambayo kulingana na EPA, Hospitali ya Massachusetts, Chuo kikuu cha Alabama, Chuo kikuu cha Georgia na chuo kikuu cha Floria Marekani vyote vinathibitisha kwamba kunywa maji yenye chlorine kunaongeza uwezekano wa kufa kwa cancer kwa asilimia 44.


Labda tuseme baada ya dawa kuwekwa na wadudu wakafa maji yatachujwa na kuwa salama. Lakini fikiria uchafu uliogandana ndani ya kuta za mabomba na maji inatakiwa yasafiri umbali mrefu mpaka kufika majumbani. Unahisi maji hayo yanakuwa bado ni safi na salama?


Kwahiyo kiufupi maji ya bomba yana uchafu na bacteria wengi ambao wakiingia mwilini kuna uwezekano wakaanza kukuletea magonjwa ya ajabu ambayo hutapenda hata uyajue.


Pengine bado hujaanza kupata madhara makubwa lakini kadri ya siku zinavyozidi kwenda upo hatarini kupoteza uwezo wa kukojoa kabisa.


Kwahiyo kama chanzo cha uvimbe wa tezi dume yako ni maji ya bombani suluhisho pekee ni kusafisha mrundikano wa uchafu kwenye kibofu na tezi dume yako na kuvitoa nje ya mwili.


Natumaini mpaka sasa umejua visababishi viwili vya tezi dume yako kuvimba na nini kifanyike kuweza kupona changamoto hii. Kilichobaki ni kujua nini utumie kuweza kuyeyusha uvimbe huo.


Taarifa njema ni kwamba Nature’s Way, shirika la marekani kwa tafiti za muda mrefu wameweza kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge asilia kutoka kwenye mmea asilia wa Kijapani unaoitwa “Polygonum Cuspidatum yaan Jananese knotweed.


Majani ya mmea huu yanasifika kwa kuyeyusha uvimbe wa aina yoyote ile, kusafisha na kuondoa sumu na uchafu mwilini.


Nature's way kwa kutambua kwamba ili uvimbe wa tezi dume uweze kuisha na usijirudie tena inatakiwa dawa iwe na uwezo wa kusafiri mpaka kufika kwenye kiini na chanzo cha tatizo. Kwahiyo wameweza kutumia teknolojia ya nanoteknoloji kuweza kutengeneza vidonge ambavyo vitakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufika sehemu yenye kiini na chanzo cha tatizo hivyo kuhakikisha tatizo linaisha moja kwa moja.


Vidonge hivi vimepewa jina la Restorlyf.


Restorlyf ni dawa pekee ambayo imetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ambayo inafanya dawa hii iwe mkombozi pekee kwa wanaume wanaosumbuliwa na changamoto za kukojoa mara kwa mara.


Vidonge vya restorlyf vinafanya kazi zifuatazo mwilini mwako:-

  • kudhibiti mashine inayozalisha DHT iweze kuzalisha kiwango ambacho hakitakuwa na madhara yoyote kwenye makuzi ya tezi dume yako na pasipo dawa hii kuwa na madhara yoyote yale mwilini mwako.
  • Kulainisha mrundikano wa sumu na uchafu yaani Calcium deposits kwenye kibofu chako na tezi dume yako.
  • Kusafisha na kuondoa uchafu na sumu zote kutoka kwenye mfumo wako wa mkojo.
  • Kuyeyusha uvimbe wa tezi dume, kuzuia tezi isivimbe tena, na kuimarisha mfumo wa mkojo.

Si hivyo tu; Kwakuwa inakisika kwamba visababishi vingine vya uvimbe huu wa tezi dume kutokea ni magonjwa ya uzeeni kama kisukari, presha, mwili kufa ganzi, viungo kuuma nakadhalika; vidonge hivi vimetengenezwa katika namna ambayo itasaidia kupunguza makali ya magonjwa hayo yote ya uzeeni.


Kwahiyo ukitumia vidonge hivi vitakusaidia kuondoa uvimbe wa tezi dume na kuzuia usijirudie tena na vidonge hivi pia vitakusaidia kupunguza makali ya magonjwa ya uzeeni.


Vidonge hivi vimetengenezwa kiasilia kabisa katika namna ambayo haitaleta madhara ya aina yoyote ile mwilini mwako.


Bila kusahau kwamba vidonge hivi vimethibitishwa na mamlaka za chakula na dawa yaani FDA duniani na TMDA kwa hapa Tanzania.


Kwahiyo wasiwasi wako wa kupata madhara yoyote baaba ya kutumia vidonge hivi uweke pembeni kabisa. Vidonge hivi ni salama kwa afya ya mwili wako.


Utakapoanza kutumia vidonge hivi siku hadi siku, wiki hadi wiki; Utashangazwa sana kwa mabadiliko utakayoanza kuyaona.


Uvimbe utaanza kuyeyushwa kama yanavyoyeyuka mafuta yaliyoganda kwenye kikaangio cha moto.


Utaanza kukojoa bila shida yoyote. Hali ya kukojoa kila baada ya muda mfupi itaondoka kabisa. Usiku utaweza kulala kwa amani bila usumbufu wa kuamka ovyo kwenda kukojoa.


Kiufupi baada ya kumeza vidonge hivi changamoto na karaha zote zitokanazo na uvimbe wa tezi dume yako zitaisha kabisa. Na mfumo wako wa mkojo utarudi kuwa kama wa kijana wa miaka 25.

Hakika vidonge hivi ni tiba mpya na ya kipekee ambayo haijawahi kugunduliwa!

Usiyaamini maneno yangu. Baadhi ya watu waliotumia vidonge hivi wana yafuatayo ya kusema:

Nakushukuru sana Bokko. Kwa sasa ile hali ya kuamka sana usiku kwenda kukojoa imeisha kabisa. Halafu na mkojo wangu unatoka vizuri kabisa na sipati maumivu yoyote. Dawa yako ni kiboko asee.

Jimmy Haule  | Kutoka Dar es Salaam:

Uvimbe wangu ulikuwa unaongezeka kwa kasi ya ajabu nilikuwa nahofia muda wowote ningeweza kuwekewa mpira maana hali ilikuwa imeanza kuwa mbaya. Nilipata nguvu nilipopata taarifa kuhusu suluhisho hili. Kutoka kukojoa mara 20 au na zaidi kwa siku mpaka kukojoa mara 5 kwa siku nzima sio mbaya.

Juma Abdallah  | Kutoka Tabora:

Tatizo hili linakufanya ujihisi upo gizani, mpweke na mtumwa wa kukojoa kila baada ya dakika 2. Kwa muda wa miaka 5 hayo ndo yalikuwa maisha yangu. Hali ilikuwa ni mbaya sana. Nikichelewa kwenda chooni ilikuwa lazima nijikojolee. Nilivyosikia habari kuhusu njia yako nikaona ngoja nijaribu lakini sikutegemea kama njia yako ingefanya kazi haraka hivyo na ndani ya muda mfupi. Kwa jinsi nilivyo sasa na nilivyokuwa nahangaika. Nakushuru sana. Barikiwa sana.

Ramadhani Masoud  | Kutoka Zanzibar:

Niwe mkweli mwanzoni nilikuwa sina imani kabisa na dawa yako. Lakini unajua ukiwa mgonjwa halafu umepoteza matumaini ya kupona unakuwa tayari kujaribu kila kitu. Namshukuru Mungu nilijaribu restorlyf. Kwa sasa sibanwi na mkojo mara kwa mara. Sipati maumivu nikiwa nakojoa. Nalala kwa amani kama mtoto mdogo. Cha kufurahisha ni kwamba Daktari wangu bado haamini kama dawa yako imeweza kunisaidia au kuna kingine cha ziada.

John Gunda  | Kutoka Dar

Kabla sijatumia restorlyf nilikuwa nimeshasahau ni lini nimewahi kuhisi kibofu changu kutokujaa mkojo. Kila muda nilikuwa nahisi kibofu kimejaa mkojo lakini baada ya kutumia njia yako sasa nakojoa kama bomba la maji ya zima moto. Najihisi mwenye nguvu. Najihisi huru. Asante. Natumai watu wengi watapata taarifa kuhusu njia hii.

Robert Massawe  | Kutoka Moshi

Nina miaka 73 nilidhani RestorLyf haitanisaidia. Nimepona uvimbe wa tezi dume. Mgongo hauniumi tena. Maumivu ya maungio yametoweka kabisa. Hii dawa ni kiboko ya magonjwa ya uzeeni.

Felix Eliud  | kutoka Mbeya

Sio kwamba RestorLyf imenisaidia kuyeyusha uvimbe peke yake. Kilichonishangaza ni kwamba hata presha yangu imeshuka kabisa wakati imekuwa ikinisumbua kwa muda mrefu. Hakika sitoacha kuendelea kuitumia RestorLyf katika maisha yangu.

Omari Hussein  | kutoka Dar

Wiki ya pili baada ya kutumia RestorLyf niliamua kurudi hospitalini kupima kuona uvimbe umefikia wapi. Majibu yalitushangaza sana mimi na doctor. Vipimo vilionyesha sina uvimbe tena. “Umetumia nini mpaka uvimbe huo kuondoka bila kufanyiwa upasuaji?” Aliuza Doctor. Bila kusita nikamwambia ni RestorLyf.

Ramadhan Kassim  | kutoka Tanga:

Nilikuwa nimechoshwa na hali ya kuulizia choo kiko wapi kila mahali nilipojua nitakaa zaidi ya dakika 10. Lakini baada ya kutumia RestorLyf nimeshangazwa sana maana sio kawaida yangu kukaa sehemu zaidi ya saa moja bila kuhisi kutaka kwenda kukojoa.

Damian Samwel  | kutoka Arusha:

RestorLyf ni kiboko. Nilikuwa nimechoshwa na hali ya kuamka zaidi ya mara 7 usiku mzima kwenda kukojoa. Na nikikojoa unatoka mkojo kidogo tu. Kwa sasa mambo ni safi kabisa. Usiku siamki hata mara moja kukojoa. Nalala kwa amani kabisa.

Daud John  | kutoka Dodoma

Kama unavyoona hicho ndicho walichokipata baadhi ya wahanga wa tatizo baada ya kutumia vidonge hivi vya Restorlyf


Mpaka sasa nadhani utakuwa upo tayari kuijaribu dawa hii ili wewe mwenyewe ujionee maajabu yake.


Kwasababu Restorlyf ni dawa pekee ambayo imefanyiwa tafiti za kisayansi, imetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ya nanoteknoloji na ni dawa ambayo ina rekodi ya kuyeyusha uvimbe wa tezi dume ndani ya muda mfupi.

Matumizi ya Restorlyf ni kama ifuatavyo:-

Dozi kamili ya restorlyf ni siku 90.


Ndani ya siku 90 tayari uvimbe utakuwa umeyeyuka na kuisha kabisa. 


Wapo ambao uvimbe unaisha kabla ya siku 90 lakini inashauriwa utumie dozi kamili ya siku 90 ili kuzuia kabisa uvimbe usijirudie tena.


Hata hivyo, mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki ya kwanza ya kuanza kutumia restorlyf.


Matumizi ya dawa hii ni rahisi. Unameza kutwa mara moja kidonge kimoja. Na muda mzuri wa kumeza ni wakati wa usiku.


Wakati huo wa usiku unaweza kuamua kumeza kabla hujala au baada ya kula chakula cha usiku. Ukiamua kumeza kabla ya chakula cha usiku hakikisha unafanya hivyo mpaka mwisho wa dozi na ukiamua kumeza baada ya chakula cha usiku hakikisha unafanya hivyo mpaka mwisho wa dozi.


Kwa kufanya hivyo baada ya siku kadhaa utaanza kuona mabadiliko kwenye suala la ukojoaji. Na baada ya mwezi mmoja au na zaidi utakuwa umeona mabadiliko makubwa sana na UVIMBE utakuwa umeisha.

Inagharimu kiasi gani kupata tiba hii ya restorlyf?

Ukilinganisha bei ya restorlyf na dawa zingine za tezi dume ambazo kimsingi hata hazimalizi tatizo likaisha kabisa binafsi utapendekeza bei ya restorlyf iwe juu.


Na ukizingatia wateja wetu wengi waliotumia restorlyf wameweza kupona uvimbe wa tezi dume ndani ya muda mfupi na pasipo kuendelea kupoteza pesa kwenye njia kama vile; upasuaji na madawa mengine ya gharama ambayo hayafanyi kazi, wengi wao wanasema hata gharama ya restorlyf ingekuwa milioni mbili wangenunua.


Fikiria kwa muda ni kiasi gani ungekuwa tayari kulipa ili usaidiwe kuondokana na hali ya kukojoa mara kwa mara, kuwa na stamina nzuri wakati wa tendo, na kulala vizuri bila karaha za kuamka kwenda kukojoa matone au...


Ni kiasi gani ungekuwa tayari kutoa kupata tiba ambayo kwa asilimia mia unajua lazima ifanye kazi?


laki saba? milioni? Au milioni mbili?


Lakini unajua nini? Hutalipia pesa hiyo.


Shirika hili la Marekani linalotengeneza Restorlyf wameamua kuweka bei ambayo kila mtu anaweza akaimudu na kwa wakati huo huo pesa hiyo iweze kusaidia kuendesha uzalishaji wa dawa zingine kulingana na uhitaji wa dawa hii kuwa mkubwa.


Dawa hii haipatikani hospitalini na wala kwenye maduka ya dawa. Kwenye ukurasa huu ndio sehemu pekee ya kuipata dawa hii.


Dozi kamili ya siku tisini gharama yake kwa bei ya punguzo ni laki tatu tu.


Kuna sababu kwanini bidhaa hii inauzwa kwa bei ndogo sana hivyo.


Ni rahisi kuelewa sababu hiyo.


Lengo la shirika hili la Marekani linalotengeneza Restorlyf ni kuwasaidia wahanga wa uvimbe wa tezi dume duniani kuacha kuendelea kupoteza pesa kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.



Endapo gharama ya restorlyf ingekuwa juu maana yake wahanga wengi wangeshindwa kumudu bei. Ndio maana tumeamua kutoa punguzo la bei kubwa ili wahanga wengi wapate suluhisho sahihi la kumaliza kiini cha tatizo na kufurahia uzee wao


Hata hivyo, kama utashindwa kutoa laki tatu yote kwa pamoja usijali unaweza kuanza kidogo kidogo mpaka kumaliza dozi kamili.


Tumeweka utaratibu wa mtu kuchukua kwa awamu. Unaweza kuchukua dozi ya siku thelathini halafu unapokaribia kumaliza ukachukua ya mwezi wa pili, halafu ukamalizia ya mwezi wa tatu mwishoni.


Lakini kama uwezo wako unaruhusu nakushauri uchukue dozi kamili kwasababu bidhaa zilizopo ni chache na uhitaji wa restorlyf ni mkubwa sana. Kuna uwezekano mkubwa dozi tulizobaki nazo hapa kwenye stoo yetu zikaisha ndani ya wiki tatu zijazo. Kwahiyo weka ODA yako mapema.


Bidhaa zikiisha huwa inachukuwa miezi 4 mpaka 6 dawa zingine kutoka Marekani kuja hapa Tanzania.


Na hapo ni endapo bidhaa zipo kwenye stoo za Marekani. Kama bidhaa kwenye stoo za Marekani zinakuwa zimeisha hua inachukua miezi 10 kuzalisha zingine.


Kwahiyo unaweza ukaona ni mchakato ambao unachukua siku nyingi kiasi kwamba miezi hiyo ikipita hujatumia dawa tatizo litakuwa lishakua sugu na kukusababishia ichukue muda mrefu kuweza kupona. Hivyo ni vyema ukachukua dozi yako sasa hivi.


Na kama utaondoka kwenye ukurasa huu pasipo kuweka ODA yako kuna uwezekano mkubwa pindi utakaporudi, ukakuta bidhaa zimeisha.


Kwahiyo hakikisha unaweka ODA yako sasa hivi. 


Kama una hofu ya dawa hii kutofanya kazi, naelewa kabisa hata mimi ningekuwa kwenye nafasi uliyopo kwa sasa lazima ningekuwa na wasiwasi wa kupoteza pesa lakini ili kukuondolea wasiwasi huo bidhaa hii utaipata kwa dhamana


Dhama hii iko hivi:


Tumia restorlyf kwa muda wa siku tisini. Kama baada ya siku tisini utakua bado unakojoa mara kwa mara au uvimbe utakua haujaisha au kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaipenda restorlyf, piga simu kwenda namba 0768354507 toa taarifa utarudishiwa pesa zako zote bila kinyongo chochote.


Hata hivyo nina imani utaipenda Restorlyf na utalidhika kwa maajabu ambayo itakufanyia.


Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa na uwezo wa dawa hii wa kuyeyusha uvimbe wa tezi dume haraka na kukupatia matokeo ya ndani ya muda mfupi.


Ukweli ni kwamba kwa kuitumia Restorlyf pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Chini ya video hii kuna sehemu ya kuweka ODA yako. ODA zinazopokelewa ni za watu ambao wana uhitaji wa kupokea bidhaa zao haraka kabla ya dawa kuisha. Kwahiyo usiweke ODA kama unajua hutachukua haraka iwezekanavyo.


Mpangilio wa Dozi ni kama ifuatavyo:

  • Dozi ya mwezi mmoja utalipia  laki moja kamili badala ya laki moja na nusu. 
  • Dozi ya miezi miwili utalipia laki mbili kamili badala ya laki tatu.
  • Dozi ya miezi mitatu utalipia laki tatu kamili badala ya laki nne na nusu.

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M-pesa au NMB Bank.


Namba ya M-pesa ni 0768354507 jina ni ADELARD ALOYCE NTAMABOKO


Namba ya Account ya NMB ni 20110062131 jina ni ADELARD ALOYCE NTAMABOKO.


Utafanyiwa Free delivery popote utakapokuwa ndani ya Tanzania. Hii inamaanisha gharama za kusafirisha mzigo mpaka kukufikia ulipo ni juu yangu.


Kwa mteja wa Dar es Salaam, hutakiwi kutuma hela kwasababu utaletewa mpaka popote utakapokuwa kwa gharama zangu mwenyewe halafu baada ya kupokea mzigo ndipo utakapofanya malipo.


Kwa mteja wa mkoani yaani nje ya Dar es Salaam, unalipa kwanza pesa yote ya dozi utakayokuwa umechagua kupitia moja ya account za malipo zilizopo chini ya video hii; halafu baada ya kulipia, gharama ya kusafirisha mzigo mpaka ukufikie popote ulipo ndani ya Tanzania ni juu yangu.


Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo kama upo Dar es Salaam unasubiri kuletewa siku uliyochagua.


Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya dozi halafu gharama za usafiri ni juu yangu nakuagizia mzigo wako mkoani ulipo kwa njia ya bus au boat kwa wale wa zanzibar.


Kujaza fomu ya kuweka ODA yako ni rahisi.


Bonyeza chini ya video hii sehemu iliyoandikwa POKEA ODA YANGU. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako msaidizi wangu au mimi mwenyewe nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Au


Unaweza kuweka ODA yako Kwa kupiga simu moja kwa moja kwenda namba 0768354507


Ni mimi mwenye kujali afya yako, Mr Bokko. Mkazi wa Dar es Salaam.


Nakumbushia tena kwamba bidhaa ni chache na uhitaji ni mkubwa sana.


Watu wengi wanaweka ODA kwahiyo muda wowote bidhaa tulizonazo kwenye stoo yetu zitakuwa zimeisha.


Kwahiyo hakikisha hutoki kwenye ukurasa huu bila kuweka ODA yako kwasababu ukirudi badae au baada ya siku kadhaa unaweza ukakuta bidhaa zote zimechukuliwa na hivyo kujikuta unakosa suluhisho la kweli na la uhakika wa kumaliza tatizo lako mapema.


Na kumbuka bidhaa hii lazima ikusaidie kumaliza tatizo liishe kabisa. Tatizo lisipoisha una haki ya kudai kurudishiwa pesa zako zote.


Hata hivyo utakavyoanza kutumia restorlyf utastaajabishwa kwa matokeo ya haraka utakayoanza kuyaona; na kwakua utakuwa na furaha kubwa hutakumbuka kuomba hela yako badala yake utakuwa ukiwahamasisha ndugu na jamaa zako wenye tatizo kama lako watumie Restorlyf.


Na ukumbuke kadri unavyozidi kusubiri siku hadi siku ndivyo ambavyo tatizo linazidi kuwa kubwa na sugu hivyo kufanya uwe hatarini kuanza kushindwa kukojoa kabisa.


Ukifikia hali hiyo suluhisho pekee ni kuwekewa mpira. Usiombe hali hiyo ikutokee maana muda wote utakua unanuka mkojo.


Kwahiyo kabla hali haijawa mbaya zaidi pata suluhisho la uhakika kwa kuweka oda yako chini ya video hii.


Asante kwa kuangalia video hii. Nasubiri kupokea ODA yako.

© 2026, Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.

>
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications
Seraphinite AcceleratorOptimized by Seraphinite Accelerator
Turns on site high speed to be attractive for people and search engines.