Novage SP - Online Marketing System Pro

Umejaribu Cream Za Kila Aina Lakini Makunyanzi Yanazidi Kuongezeka?

Mmea Huu Wa Bluu Kutoka Misri Ulitumiwa na Wanawake Wa Kifalme Kuondoa Makunyanzi, Kupunguza Kasi Ya Ngozi Kuzeeka Haraka, na Kufanya Uonekane Kijana Hata Kama Umri Wako Umeenda!


“Vivian, una miezi 4 tu kabla sijakufukuza kazi.”

Alisema boss wangu bila hata kuinua macho kutoka kwenye laptop yake.

Nilicheka kwa aibu.

Nilidhani anatania.

Lakini alipoinua macho akanitazama usoni kwa sekunde chache—kama mtu anayepima kitu kilichoharibika—akaniambia kwa sauti nzito:

“Mwonekano wako umebadilika sana.”

“Uso wako una makunyanzi, unaonekana umechoka… umezeeka kuliko umri wako.”

Kisha akamalizia kwa maneno yaliyoniumiza zaidi na kunichoma moyo:

“Unajua kabisa kazi yako inategemea sura yako. Nitapataje wateja ikiwa biashara yangu inatangazwa na mtu mwenye muonekano wa kizee kuliko umri wake halisi?”

Moyo wangu uliwaka moto.

Sikuiba.

Sikuvunja sheria.

Sikufanya kosa kazini.

Lakini uso wangu ulikuwa umenisaliti.

Nikiwa na miaka 37 tu, nilionekana kama mwanamke wa miaka 57.

Mvuto wangu wa asili ulikuwa umefifia.

Uso wangu ulikuwa umejaa makunyanzi magumu yasiyoisha.

Kila nilipojitazama kwenye kioo, mimi mwenyewe binafsi nilijikataa.

Nilijaribu cream za kila aina.

Za bei ghali.

Maarufu.

Zenye ahadi tamu tamu.

Lakini hakuna hata moja iliyobadilisha chochote.

Nilifika hatua ya kukata tamaa…

Lakini presha ya kufukuzwa kazi ilinilazimisha kuendelea kutafuta suluhisho—sio kwa ajili ya urembo tu…

Bali kwa ajili ya maisha yangu.

Mwezi mmoja baadaye tulisafiri kwenda Sweden kwa mkutano wa kibiashara.

Ndipo nilipokutana na mwanamke mmoja ambaye ngozi yake ilinifanya nisahau nilikuwa kwenye mkutano.

Uso wake ulikuwa laini, umejaa uhai, bila makunyanzi ya kukatisha tamaa.

Nilijua kwa macho yangu—huyu si mtu wa cream za kawaida.

Nilipomwuliza umri wake, alinitabasamu.

“Nina miaka 48.”

Nilishtuka.

Kwa mtazamo wangu, nilidhani ana miaka 35.

Alionekana mdogo kuliko mimi—wakati mimi nilikuwa mdogo kwake kwa miaka 11.

Kwa shauku kubwa nilimuuliza siri yake.

Hakuniuzia cream.

Hakunitajia brand.

Alisema tu kwa utulivu:

“Nilikutana na dermatologist (daktari wa ngozi) mwenye suluhisho kwa makunyazi na changamoto za ngozi zilizoshindikana”

Kisha akaongezea:

“Anaitwa Dr. Joanne… na yeye ndiye aliyefufua fomula ya mmea wa bluu wa kale kutoka Misri—uliotumiwa kulinda ngozi za wanawake wa kifalme dhidi ya kuzeeka.”

Tukapanga siku ya kuonana na Dr. Joanne.

Siku hiyo ilipofika, swali langu la kwanza lilikuwa moja tu:

Kwa nini Licha Ya Kutumia Cream Mbalimbali, Makunyanzi Yanazidi Kuongezeka?

Alinitazama kwa utulivu, kisha akasema:

“Vivian, chanzo kikuu cha makunyanzi si umri mkubwa kama watu wengi wanavyodhani…”

“Bali ni enzyme inayoitwa collagenase—ambayo huanza kufanya kazi kupita kiasi kuanzia miaka ya 30 na kuendelea.”

Akaendelea:

“Bila kudhibiti enzyme hii, hata utumie cream ya bei gani… makunyanzi hayawezi kuisha.”

Alichomaanisha ni hiki:

Ndani ya ngozi kuna enzyme inayoitwa collagenase.

Kazi yake ni kuvunja collagen— nguzo zinazoshikilia ngozi ibaki laini, thabiti na changa.

Kuanzia miaka ya 30 na kuendelea, collagenase huanza kufanya kazi kupita kiasi— ikivunja collagen haraka kuliko ngozi inavyoweza kujijenga upya.

Matokeo yake?

Ngozi inapoteza uwezo wa kujijenga upya.

Ina legea.

Uso unakunjamana.

Na kama cream au suluhisho lolote halilengi kudhibiti enzyme hii…

Ni sawa na kupaka rangi ukuta unaoporomoka— unaonekana mzuri kwa muda, lakini msingi unaendelea kuanguka.

Dr. Joanne aliendelea kwa kuniambia jambo ambalo sikulitarajia kabisa.

Alisema hakuwahi kuamini sana kwenye “siri ya urembo wa kale”… mpaka safari moja ya kitaaluma ilipobadilisha mtazamo wake kabisa.

Miaka 9 kabla ya kukutana, Dr. Joanne alikuwa akishiriki utafiti wa ngozi Afrika Kaskazini—akiangalia jinsi mazingira, mimea, na mtindo wa maisha unavyoathiri kuzeeka kwa ngozi.

Wakati wa safari hiyo, alifika Misri ya juu, karibu na maeneo ya kale yaliyokuwa yakihusishwa na wanawake wa kifalme wa Misri.

Kilichomshangaza si maandiko…wala sanamu…

Bali ngozi ya wanawake wa eneo hilo.

Licha ya jua kali, vumbi, na umri mkubwa, baadhi yao walikuwa na:

  • ngozi thabiti
  • mistari michache sana ya makunyanzi
  • na muundo laini usioendana na umri wao

Alipochunguza zaidi, akagundua jambo moja la ajabu:

Wanawake hao walikuwa wakitumia mchanganyiko wa asili uliorithishwa kizazi hadi kizazi— uliohusisha mmea adimu wa rangi ya bluu uliokuwa ukiota kandokando ya maeneo ya kale ya ziwa Nile.

Mmea huo ulikuwa umetajwa pia kwenye maandiko ya kale kama:

“Mlinzi wa ngozi ya Malkia.”

Hapo ndipo Dr. Joanne alianza kuchunguza kwa kina.

Dr. Joanne alifanya kile ambacho wanasayansi hufanya vizuri zaidi:

Akaacha imani, akaanza kupima.

Alipochambua mmea huo maabara, aligundua kitu cha kushangaza sana.

Mmea wa bluu ulikuwa na phyto-compounds adimu zenye uwezo wa:

  • kuzuia (inhibit) collagenase
  • kupunguza kasi ya kuvunjwa kwa collagen
  • na kulinda muundo wa ngozi dhidi ya kuharibika mapema

Kwa lugha rahisi:

Wakati collagenase inajaribu “kula” collagen… mmea wa bluu unaizuia kabla haijafanya uharibifu.

Hii ndiyo sababu wanawake wa kale wa Misri:

  • Hawakulazimika “kuficha” makunyanzi
  • Bali waliweza kuyazuia yasitokee mapema

Dr. Joanne alinieleza hivi:

“Hii si cream ya kuongeza unyevunyevu tu, Vivian. Huu mmea unalinda msingi wa ngozi.”

Changamoto kubwa haikuwa kugundua mmea…

Ilikuwa kuufanya upatikane kwa usalama, ubora, na kwa kiwango kikubwa.

Dr. Joanne aliniambia hakutaka:

  • Kuharibu mazingira
  • Wala kutumia mmea wa porini bila udhibiti

Ndiyo maana alianzisha shamba maalum (controlled plantation) kwa kushirikiana na wakulima wa eneo hilo.

Kila mmea: 

  • Hulimwa bila kemikali kali
  • Huvunwa kwenye hatua sahihi ya ukomavu
  • Na kusindikwa kwa njia inayohifadhi ubora wake dhidi ya collagenase

Lakini hakuishia hapo…

Kwa sababu, kama alivyosema:

“Kuzima collagenase pekee haitoshi— ngozi pia inahitaji kujengwa upya.”

Ndipo akaongeza viambato muhimu vya kusaidia ngozi kujijenga upya yenyewe.

Baada ya miaka ya utafiti na majaribio, Dr. Joanne aliunda fomula kamili ya kutengeneza cream ambayo si kama cream ya kawaida…

Bali kama mfumo wa kurejesha ngozi kwenye ubora na ujana wake.

Sasa nilikuwa na furaha kubwa sana maana niliamini nimepata suluhisho sahihi na sikuwa na wasiwasi tena wa kufukuzwa kazi.

Nilivyoanza kutumia cream routine hii, ndani ya siku tatu tu nilianza kuona mabadiliko makubwa. 

Mpaka wiki mbili kufika karibu makunyazi yote yalikuwa yameisha na ngozi yangu ilianza kuonekana laini, thabiti na ya kuvutia.

Kama ungependa kujaribu cream hii iliyonisaidia kuondokana na makunyazi yaliyoshindikana fanya hivyo sasa. Cream hii inaitwa…

NOVAGE

Hizi Hapa Faida Chache Kati Ya Nyingi Utakazopata Kwa Kutumia Cream Hii:

  •  Ngozi Kukaa Laini na Imara Bila Kukunjamana: Makunyanzi yataanza kupungua hatua kwa hatua, jambo litakalokufanya uonekane mchanga zaidi unapojitazama kwenye kioo. Utaanza kujiamini tena bila kujificha nyuma ya makeup nzito. Watu watakuuliza umefanya nini — sio kukuonea huruma, bali kukuonea wivu.

  •  Ngozi Kujijenga Upya Kama Ya Kijana: Novage inazuia collagenase, hivyo ngozi yako inaanza kujirekebisha yenyewe badala ya kuharibika kila siku. Hii inamaanisha ngozi haitakaa legelege tena — itarudisha ule muonekano wa ujana. Uso wako utarudia kuhisi “uhai”, sio mzito wala mlegevu.

  •  Uso Kuonekana Thabiti na Umenyooka: Mashavu, paji la uso, na maeneo yaliyokuwa yanaanza kudondoka yataanza kukaza taratibu. Hii hukupa muonekano wa mtu anayejitunza, anayejiheshimu, na anayejua thamani yake. Hakuna tena uso unaoonekana kuchoka wala kuzeeka kabla ya wakati.

  •  Muundo Wa Ngozi Kuwa Laini, Ang’avu, na Wenye Kuvutia: Badala ya ngozi yenye makunyanzi, mistari, na ukavu, utaanza kuona uso ulionyooka, laini, na usiodhurika kirahisi na jua. Unapopita mbele ya watu, macho yao yatakaa usoni kwako sekunde chache — si kwa sababu ya makeup, bali kwa sababu ya ngozi yako.

  •  Mwonekano Mdogo Kuliko Umri Wako Halisi: Watu wataanza kukuona una umri mdogo kuliko ulionao. Si kwa bahati — bali kwa sababu chanzo cha kuzeeka (collagenase) kimeanza kudhibitiwa. Utaanza kupiga picha bila filter.

Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?

  • Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya masaa 24 ya kuanza kutumia Novege.
  • Wapo wengine wanao anza kuona mabadiliko ndani ya siku mbili za kuanza kutumia Novege.
  • Hata hivyo, mamia ya wahanga waliotumia Novege, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku tano tu za kuanza kutumia Novege.
  • Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku tano na kuendelea.

Novege Inagharimu Kiasi Gani?

Kabla sijakwambia bei ya kutumia NovAge kurejesha ujana wa ngozi yako, nataka kwanza wewe mwenyewe ujipangie thamani yake.

Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho linaloanza kuondoa makunyanzi, kukaza ngozi iliyolegea, kurejesha mng’ao wa uso wako na kukufanya uonekane mdogo kuliko umri wako halisi?

Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba itakayokurudishia uso laini, wenye maji ya ndani, unaong’aa na kukufanya ujiangalie kwenye kioo kwa tabasamu badala ya kujilaumu kimya kimya?

Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho litakalokuokoa na gharama za kliniki za ngozi, peeling, sindano za “anti-aging”, vipimo na bidhaa za majaribio zisizo na matokeo?

Unajipangia bei kiasi gani kwa mfumo kamili wa kurekebisha ngozi uliotengenezwa kwa teknolojia ya juu ya urejeshaji wa seli, collagen renewal, antioxidants na ulinzi wa SPF — utafiti uliogharimu mamilioni kuhakikisha ngozi inarejeshwa bila kuharibiwa?

Nadhani ukiweka thamani ya 2,000,000/= bado hujafikia thamani halisi ya uso wako, kujiamini kwako, hadhi yako na namna unavyoonekana mbele ya watu.

Lakini unajua cha kushangaza ni nini?

Hutalipa hiyo 2,000,000/=

Hutalipa hata nusu yake.

Kwa sababu NovAge haijatengenezwa kwa ajili ya matajiri pekee —bali kwa mwanamke wa kawaida wa Tanzania anayetaka kurudisha ubora wa ngozi yake.

Utapata seti nzima ya kurejesha ngozi yako kwa gharama ya:

650,000/=

Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.

Kama utaweka ODA yako kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa 500,000/= 

Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 650,000/=

Usikubali kupitwa na fursa hii. Jinyakulie OFA yako leo na uanze safari ya kurejesha ngozi yako katika ubora wake.

Unasubiri nini kuweka ODA yako? Huu ni mfumo mpya wa kisasa wa kurejesha ngozi, wa gharama nafuu, unaoanza kufanya kazi haraka na kutoa matokeo yanayoonekana na kudumu.

Hii ndiyo tiketi yako ya kuondokana na:

  • Ngozi kavu na iliyokosa mng’ao
  • Makunyanzi na kulegea kwa uso
  • Kuonekana mchovu na mzee kuliko umri wako
  • Aibu ya kujitazama kwenye kioo
  • Kupotea kwa kujiamini kama mwanamke

Chukua hatua leo, kabla muda haujaacha alama zisizorekebishika kwenye uso wako.

Anza kurejesha uso wako, heshima yako na kujiamini kwako — kuanzia leo.


UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Kwa chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kuweka ODA. Kuweka ODA ni rahisi. Utabonyeza sehemu iliyoandikwa "NAHITAJI KUWEKA ODA"

Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya Mix by Yas au M-Pesa.

Namba ya Mix by Yas ni 0713044404 jina ni Dianarose Mwanyika

Namba ya M-Pesa ni 0746342921 jina ni Dianarose Mwanyika.

Utaratibu wa Malipo Upo Kama Ifuatavyo:

Tunatambua kwamba mtandaoni kuna utapeli mwingi na watu wa mikoani (Nje ya Dar) wanaibiwa pesa zao kila siku. Kwasababu hiyo tulijaribu kufanya utaratibu wa wateja wetu wa mikoani kulipia gharama zote baada ya kuwa wamepokea mizigo yao lakini tunasikitika kwamba asilimia kubwa ya wateja wa mikoani hawakuonesha ushirikiano mzuri. Wengi wao baada tu ya kujulishwa kwamba mizigo yao imefika waifuate ndo wafanye malipo hawakupokea simu zetu tena na wengine wakasema wameghairi kuchukua dawa, hivyo ilitulazimu kuisafirisha mizigo kuirudisha Dar kitu ambacho kilileta hasara kwa upande wetu. 

Kwasababu hiyo utaratibu wetu mpya wa malipo uko kama ifuatavyo; kama upo mkoani (nje ya Dar) ili uweze kutumiwa mzigo mkoani itakubidi ufanye malipo kwanza halafu ndo utaratibu wa kutumiwa mzigo kuja mkoani unafanyika.

Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo...

Kama upo Dar unaweza kufika ofisini kwetu au unaweza kufanyiwa delivery lakini gharama za delivery ni juu yako.

Kama upo mkoani (nje ya Dar) unafanya kwanza malipo ya 500,000/= jumlisha 10,000 gharama za kusafirisha mzigo wako. Baada ya kuwa umefanya malipo ndo mzigo wako utatumwa mkoani.

Kujaza fomu ya kuweka ODA ni rahisi.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa NAHITAJI KUWEKA ODA. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu au kukutumia SMS kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Naweza kughairi kuweka ODA yangu sasa hivi nikaja kuweka badae au siku nyingine? Ndio, unaweza kuweka ODA yako badae au siku nyingine lakini ukifanya hivyo mambo yafuatayo yatatokea:

  • Mikunjo Itaendelea Kuchora Mistari Mpya Kwenye Uso Wako: Kila siku unayosubiri, collagen inaendelea kupungua na mikunjo inazidi kuwa ya kudumu. NovAge huanza kuchochea urejeshaji wa ngozi mapema — kuchelewa kunamaanisha mikunjo kuota mizizi zaidi.
  • Ngozi Itaendelea Kukauka, Kukaza na Kupoteza Mwanga Wake: Kusubiri kunamaanisha kuendelea kuhisi ngozi ikikaza, kuwasha na kuonekana imechoka. Ukianza kutumia NovAge leo, ngozi huanza kupata maji ya ndani na mwanga wa asili mapema.
  • Uso Wako Utaendelea “Kuanguka” Bila Wewe Kugundua: Kila siku inayopita bila kutumia NovAge, uimara wa ngozi unapungua. Mashavu huanza kushuka, mstari wa taya hupoteza umbo. Kuchelewa kunamaanisha kukubali uso kulegea zaidi.
  • Mabaka Meusi na Rangi Isiyo Sawa Vitaendelea Kuongezeka: Kila siku, Jua na uchafu vinaendelea kuacha alama zake. Bila ulinzi na matengenezo sahihi, madoa yatazidi kuongezeka na rangi ya ngozi itazidi kubadilika.
  • Macho Yako Yataendelea Kuonyesha Uchovu Ulio Ndani Yako: Kila siku unayosubiri, mikunjo midogo, kuvimba na giza chini ya macho huendelea kuongezeka. NovAge huanza kurekebisha maeneo haya mapema. Kuchelewa ni kuendelea kuonekana umechoka hata ukiwa na nguvu.
  • Kujiamini Kwako Kutaendelea Kupungua Kila Unapotazama Kioo: Kadri ngozi inavyoendelea kubadilika bila msaada sahihi, ndivyo unavyoanza kujificha, kupunguza tabasamu na kuepuka picha.

Kadri unavyoendelea kusubiri ndo unaruhusu mambo yote hayo yazidi kukutokea. Usiendelee kusubiri, weka ODA yako mapema na isitoshe unapata guarantee (Dhamana) ifuatayo:

Guarantee image

Dhama hii iko hivi:

Tumia NovAge kwa siku 30 mfululizo.

Kama baada ya siku 30 bado unaona:

  • Ngozi yako iko kavu, imechoka na haina mng’ao
  • Uso wako unaendelea kulegea na kuonekana mzee
  • Makunyanzi na mistari na mikunjo inaendelea kuongezeka
  • Vipodozi havikai vizuri kwa sababu ya ukavu
  • Bado hujiamini ukijitazama kwenye kioo
  • Au kwa sababu yoyote ile hujaridhika na NovAge…

Piga simu mara moja. Utarudishiwa pesa zako zote — bila kuulizwa maswali, bila visingizio, bila kinyongo chochote.

Lakini ukweli ni huu:

Wewe mwenyewe utashangazwa na mabadiliko yatakayoanza kuonekana:

  • Ngozi itaanza kuwa laini na yenye unyevunyevu
  • Mng’ao wa asili utaanza kurudi
  • Uso utaanza kukaza na kuonekana mchanga
  • Mistari midogo itaanza kupungua
  • Vipodozi vitakaa vizuri na kwa mvuto zaidi
  • Kujiamini kwako kutaongezeka kila siku

Na pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwa krimu zisizo na matokeo, sabuni kali na “kujaribu-jaribu” kusikoisha — utaendelea kuzibakisha mfukoni mwako huku ukirejesha ubora wa ngozi yako.

Weka ODA yako sasa — kabla muda haujaacha alama zisizorekebishika kwenye ngozi yako.

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. M/Mungu akubariki.

P.S: Bado unasita kuweka ODA yako?

Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa NovAge haitakusaidia kurejesha ubora wa ngozi yako.

Huna cha kupoteza. Una kila sababu ya kuweka ODA yako sasa hivi ili uanze kurejesha muonekano wako wa kujiamini.

Copyright - Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications