Jiunge Kwenye Kozi Ya Proof Ads Hack
Kwa 25,000/= Tu
Kufanya malipo ni rahisi tu.
hatua ya kwanza: Bonyeza hapo chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA" kisha jaza taarifa zako kikamilifu halafu bonyeza sehemu iliyoandikwa "Pay" na usubiri ukurasa mpya wa kufanya malipo ufunguke.
Hatua ya pili: Chagua mtandao wa simu ambao utautumia kufanya malipo kati ya hii: Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money au Halopesa
Hatua ya tatu: Weka namba yako ya simu ya mtandao husika ambao umechagua kwenye hatua ya pili.
Hatua ya nne: Bonyeza kulipa na utapokea push meseji kwa juu ya screen ya simu yako, weka namba yako ya siri kuruhusu pesa ikatwe.
Note 01: Hakikisha kwenye simu yako una kiasi cha 25,000/= jumlisha pesa ya makato ya mtandao husika na serikali.
Note 02: Kwa sasa kuna shida kwenye mfumo wa malipo kwa kutumia M-Pesa. Kwa hiyo kama hela yako ipo kwenye M-Pesa, ihamishe kwenda kwenye laini yako ya airtel, tigo, au halotel halafu ndo ufanye malipo.