Prostaprime Jonathan Story SP - Online Marketing System Pro ...

Tezi Dume Yako Inaendelea Kuvimba Zaidi Kadri Siku Zinavyozidi Kwenda Na Kufanya Uwe Hatarini Kushindwa Kabisa Kukojoa Kwa Njia Ya Kawaida—Lakini Hivi Ndivyo Unavyoweza Kujitibu na kujikinga kiasili.

Jonathan hakutilia maanani kipimo cha uvimbe wake wa tezi dume kilichosoma 96cc—mpaka aliposhindwa kukojoa kwa njia ya kawaida na kuwekewa mrija wa kukojolea. Hata hivyo—Hivi Ndivyo Mdogo wake (Daktari wa tiba asili) alivyogundua tiba ya kumkomboa...


Usiku wa manane, saa 7:00 kasoro dakika chache.

Nyumba yote imetulia…

Isipokuwa mtu mmoja.

Jonathan tena ameamka.

Safari ya nne ya kwenda chooni ndani ya saa chache tu.

Anajivuta polepole kwenye giza, macho yakiwa mazito kwa uchovu, na moyo ukijaa hasira isiyoisha.

Anasimama pale, kimya. Akiusubiri mwili wake ufanye jambo ambalo zamani lilikuwa rahisi kama kupumua.

Lakini sasa… ni matone tu machache ndiyo yanayotoka.

Matone yanayochelewa kutoka—na yanapotoka, yanajivuta kama mtoto anayejifunza kutembea.

Sauti kutoka chumbani ikasikika ikisema...

"Jonathan… tena?" mke wake anauliza bila hata kufumbua macho.

Lakini angejibu nini?

Kwamba tezi dume yake inamgeuza kuwa mfungwa wa choo?

Kwamba kila usiku anahisi kama mwili wake unamsaliti?

Kwamba amechoka kuishi kama mzee aliyepoteza matumaini… wakati bado ana miaka 65 tu?

Lakini huo ndiyo ukweli.

Kukosa usingizi.

Mikutano iliyojaa aibu ya “samahani, nitarudi dakika moja.”

Hofu ya kila siku—je, atafika chooni kwa wakati kabla hajajikojolea?

Hatimaye akaamua kwenda hospitali kwa uchunguzi.

Lakini majibu aliyopewa yalimkatisha tamaa zaidi.

Daktari alimwambia uvimbe wa tezi dume umefikia 96cc.

"96cc ni uvimbe mkubwa sana kiasi cha kwamba bado kidogo utashindwa kukojoa kwa njia ya kawaida." Daktari alimwambia Jonathan.

Lakini daktari hakuishia hapo.

Aliongezea maneno ambayo Jonathan hata hataki kuyakumbuka:

“Unaweza kuanza Flomax. Ikizidi… tunafanya upasuaji.”

Dawa za kudumu?

Upasuaji kwenye sehemu za siri?

Hapana.

Hakuwa tayari kuishi kwa dawa za kudumu.

Wala kufikiria kufanyiwa upasuaji sehemu zake nyeti.

Alichotaka… ni kurudi kuwa mwanaume aliyekuwa zamani.

Kuondoka nyumbani bila kutafuta choo kwanza.

Kulala usiku mzima bila kuamka.

Kuhisi nguvu, uhuru, na utu wake vikirudi mwilini.

Kwa hasira na kiburi kidogo, Jonathan akapuuzia ushauri wa daktari siku hiyo.

Lakini siku chache tu baadaye…

Alijuta. Vibaya sana.

Usiku mmoja kama kawaida yake akaamka kukojoa.

Lakini safari hii, dakika 5 zikapita… hakuna kitu kilichotoka.

Alisubiri, akajaribu kujikaza, akijua angalau matone yatatoka kama siku zote… lakini wapi.

Hapo ndipo alipojua kwa maumivu kwamba:

Uvimbe wa tezi dume si tatizo la kupuuzwa. Kamwe.

Siku iliyofuata ilibidi akimbie hospitalini, akawekewa mrija wa kumsaidia kukojoa… na akaandikiwa dawa za kutumia haraka iwezekanavyo.

Naitwa Daktari Michael Torres, na Jonathan ni kaka yangu.

Mimi ni daktari wa tiba asilia (naturopathic doctor) ambaye nimefanya utafiti wa afya ya wanaume kwa zaidi ya miaka 18. Nilikuwa na maarifa yote kuhusu uvimbe wa tezi dume…

Lakini nilishindwa kumwokoa mtu wa familia yangu mwenyewe.

Kushindwa huku kuliniumiza moyoni. 

Kila siku nilijilaumu.

Kila usiku wa manane nilikuwa maabara nikitafuta majibu.

Kwa sababu nilijua ukweli mmoja mchungu:

Kisa Cha Jonathan Hutokea Zaidi Ya Mara 270,000 Kila Siku Duniani Kote.

Watu kuwekewa mriji wa kuwasaidia kukojoa au kufanyiwa upasuaji kwa sababu ya uvimbe kuwa mkubwa sana kiasi cha kuziba njia ya mkojo kupita.

Hiki ndicho daktari wako hakwambii:

Kila siku uvimbe wa tezi yako unaongezeka, njia ya mkojo inaanza kuziba taratibu. Hata hivi sasa. Wakati unasoma makala hii.

Uwezo wa kibofu kutunza mkojo unapungua. 

Figo zako zinachoka.

Na kibaya zaidi ni kwamba…

Ni ngumu kujua kama njia ya mkojo inaziba.

Mpaka siku ambayo utakuwa tayari umeshachelewa

Kwa Nini Dawa Za Hospitalini Zinaweza Kuwa Mbaya Zaidi Kuliko Tatizo Lenyewe!

Baada ya Jonathan kuwekewa mrija wa kukojolea, nilishuhudia jambo lililouma moyo wangu zaidi.

Madaktari wake walimpa rundo la dawa zifuatazo:

  • Alpha-blockers zilimpa kizunguzungu kiasi cha kushindwa kuendesha gari
  • 5-alpha reductase  Ziliua kabisa hamu yake ya tendo la ndoa—na kwenye kijikaratasi cha maelezo, waliandika wazi kwamba matatizo hayo ya nguvu za kiume yanaweza kuwa ya kudumu.

Jonathan alibadilika na kupoteza nuru kabisa.

Mtu ambaye hapo awali alikuwa akiheshimika, sasa alikuwa mtu wa kushinda nyumbani maana mda wote alikuwa akishikilia kifuko kilichounganishwa na mrija wa kutoa mkojo.

Usiku alilala kwa shida.

Na kibaya zaidi...

Dawa alizoandikiwa zilimharibu zaidi. 

Sikukubali Hili Liwe Ndiyo Mwisho!

Nilikataa kabisa kuamini kwamba dawa zenye madhara makubwa ndizo pekee zilikuwa “suluhisho.”

Nilijua lazima kutakuwa na njia bora zaidi.

Njia ya asili — inayofanya kazi kwa kushirikiana na mwili, na siyo kinyume chake.

Kwa hiyo nilitumia miaka mitatu maabara mchana na usiku, nikichunguza:

  • kila tafiti za kiafya,
  • kila mmea wenye nguvu za kuimarisha afya ya tezi dume,
  • kila kirutubisho chenye matokeo yaliyothibitishwa kupunguza uvimbe wa tezi dume.

Nilitengeneza fomula 37 tofauti. 

Nikarekebisha viwango na kuongeza viambato vyenye uwezo wa hali ya juu.

Mpaka siku moja…

Hatimaye Nikafanikiwa Kutengeneza Fomula Ya Kimapinduzi!

Baada ya wiki mbili za kutumia fomula hii, Jonathan akaondolewa mrija na akaanza kukojoa kwa njia ya kawaida.

Baada ya wiki 4, alianza kulala fofofo.

Mkojo ulianza kutoka kwa nguvu na pasipo kuusubiri kwa mda.

Hali ya kukojoa mara kwa mara iliisha kabisa.

Kwa mara nyingine tena, Jonathan alijihisi kurudi kama zamani

Niliwapa pia wagonjwa wangu.

Kila mmoja alipata matokeo mazuri.

Hii ndiyo fomula niliyotumia kutengeneza...

Prostaprime.

Na tayari imewasaidia zaidi ya wanaume 87,000 kurudisha usingizi wao, kujiamini kwao, na uhuru wao wa kuishi bila mateso ya tezi dume.

Ukweli Mchungu Kuhusu Kile Kinachoendelea Ndani ya Mwili Wako Sasa Hivi

Kama una zaidi ya miaka 45, kuna uwezekano wa 50% tezi dume yako tayari imeshavimba.

Kadri miaka inavyozidi kuongezeka ndivyo hata uvimbe unaongezeka pia.

Kwa hiyo hali itazidi kuwa mbaya kadri ya siku zinavyozidi kwenda.

Katika utafiti wangu, nimegundua kuna sababu kuu mbili zinazosababisha tezi dume izidi kuvimba:

Sababu ya Kwanza: Kuzalishwa Kwa DHT Nyingi

Kadri unavyozeeka, kimeng’enya kinachoitwa 5-alpha-reductase huanza kubadilisha sehemu kubwa ya "testosterone" yako kuwa DHT—homoni kali sana inayochochea seli za tezi dume kuzaliana kupita kiasi.

Matokeo yake?

Tezi dume inaanza kukua kwa kasi.

Mpaka inaanza kubana njia ya mkojo.

Na hapo ndipo unapopata:

  • Mtiririko dhaifu
  • Matone yanayotoka kwa kuchelewa
  • Hamu ya kwenda chooni kila dakika

Sababu ya Pili: Kuvurugika kwa Homoni (Hormonal Imbalance)

Kadri testosterone inavyoshuka unapozeeka… estrogen huongezeka.

Mabadiliko haya ya homoni yanayokuja kimyakimya:

  • Huchochea ukuaji wa tishu za tezi dume
  • Huongeza ukubwa wake kwa kasi
  • Na hufanya dalili zako kuwa mbaya zaidi

Hii ndiyo sababu unaona wanaume wengi wazima wanaanza kuteseka bila sababu inayoonekana.

Taarifa njema ni kwamba…

Prostaprime inashambulia visababishi vyote viwili kwa Wakati Mmoja

Ndiyo maana tiba zingine hazifanyi kazi. Kwa sababu zinashughulikia kisababishi kimoja wapo tu na sio vyote viwili kwa pamoja.

Tazama… fomula iliyotumika kutengeneza Prostaprime ilinichukua miaka mitatu kuweza kuigundua na kuhakikisha kila kiambato kinafanya kazi inavyotakiwa na kwa kipimo stahiki kulingana na tafiti nyingi zilizofanyika na majaribio yaliyothibitishwa na mamlaka husika.

Vijenzi 4 Vya Prostaprime Vinavyofanya Kazi Kwa Kushirikiana!

Vidonge vya Prostaprime vimetengenezwa kutoka kwenye muungano wa vijenzi dawa asili vinne vifuatavyo:

🌿1. Saw Palmetto Extract (320mg)

Dhahabu ya asili kwa wanaume wenye tezi dume iliyovimba

Kwa zaidi ya karne moja, wataalamu wa dawa asili barani Ulaya wamekuwa wakitumia saw palmetto kusaidia wanaume wenye matatizo ya tezi dume.

Jinsi inavyofanya kazi:

  • Inazuia kimeng’enya cha 5-alpha-reductase—kinachobadilisha testosterone kuwa DHT, homoni inayoongeza ukubwa wa tezi dume
  • Inapunguza uvimbe na maumivu ya tezi dume
  • Ina mafuta muhimu na phytosterols zinazosaidia mtiririko mzuri wa mkojo

Katika utafiti mmoja, wanaume waliotumia saw palmetto uvimbe ulipungua kwa kiasi kikubwa.

Kazi Zake Kuu:

✔️ Inapunguza uzalishaji wa DHT
✔️ Inapunguza uvimbe wa tezi dume
✔️ Inaimarisha mtiririko na uwezo wa kukojoa

🌱2. Nettle Root Extract (300mg)

“Nguzo muhimu ya afya ya tezi dume kwa wanaume Barani Ulaya”

Kwa miaka mingi, mizizi ya mkunazi (nettle root) imekuwa miongoni mwa tiba rasmi nchini Ujerumani—hadi leo inaidhinishwa na Commission E (FDA yao) kutumika kutibu dalili za uvimbe wa tezi dume.

Jinsi inavyofanya kazi:

  • Inasawazisha homoni kwa kupunguza estrogen kupita kiasi
  • Inazuia SHBG ili mwili utumie testosterone vizuri
  • Inapunguza uvimbe ndani ya tishu za tezi dume

Katika jaribio la kitabibu la wanaume 100, waliotumia nettle waliona matokeo makubwa sana ya uvimbe kupungua ndani ya wiki 3-4. Utafiti mwingine mkubwa wa zaidi ya wanaume 600 ulionyesha kwamba 81% ya waliochukua nettle walipata nafuu ndani ya mwezi mmoja.

Kazi Zake Kuu:

✔️ Inasawazisha homoni
✔️ Inapunguza uvimbe wa tezi dume
✔️ Inaimarisha dalili za kukojoa mara kwa mara

 🍇3. Resveratrol (Kutoka Japanese Knotweed) – 150mg

“Nguzo ya uhai, kinga na afya ya seli za tezi dume”

Resveratrol mara nyingi hujulikana kama kiungo cha “maisha marefu” kinachopatikana kwenye divai nyekundu—lakini watafiti wamegundua pia kina uwezo mkubwa katika kulinda na kusawazisha seli za tezi dume.

Jinsi inavyofanya kazi:

  • Inazuia ukuaji usio wa kawaida wa seli
  • Inapunguza uvimbe na mkusanyiko wa sumu mwilini
  • Inapambana na oxidative stress (chanzo cha uharibifu wa seli)

Utafiti uliochapishwa katika BMC Complementary Medicine ulionyesha resveratrol ina uwezo wa kuzuia ukuaji wa seli za tezi dume na kusaidia kuzirejesha katika mfumo salama wa mwili.

Kazi Zake Kuu:

✔️ Inapunguza uvimbe
✔️ Inalinda seli za tezi dume
✔️ Inapunguza uharibifu wa seli unaotokana na sumu

 🔥4. Panax Ginseng Extract (200mg)

“Dawa ya kale inayothibitishwa kisayansi—mkombozi wa wanaume”

Kwa maelfu ya miaka, Panax ginseng imekuwa ikitumika kama tiba ya nguvu, ustahimilivu, na afya ya wanaume.

Leo, sayansi imeonekana kuthibitisha ukweli ambao mababu wa Asia walijua zamani.

Jinsi inavyofanya kazi:

  • Inazuia 5-alpha-reductase — kama dawa za hospitali, lakini bila madhara
  • Inapunguza uvimbe wa tezi dume
  • Inasaidia tishu laini za njia ya mkojo kufanya kazi vizuri
  • Inaongeza kasi, nguvu na urahisi wa kukojoa

Katika utafiti mmoja, wanyama waliotibiwa kwa ginseng walipata kupungua kwa uzito na ukubwa wa tezi dume kwa kiasi kikubwa.
Na katika utafiti wa mwaka 2024, wanaume waliotumia mafuta ya red ginseng:

  • 69% yao hamu ya kukojoa mara kwa mara ilipungua
  • 65% yao safari za kwenda chooni mara kwa mara zilipungua
  • 61% yao hali ya mkojo kuchelewa kutoka ilipungua

Kazi Zake Kuu:

✔️ Inapunguza ukubwa wa tezi dume
✔️ Inaongeza kasi na nguvu ya mtiririko wa mkojo
✔️ Inapunguza dalili zinazokutesa usiku na mchana

Kama unavyoona kila kiambato kiko kwenye kiasi halisi kilichothibitishwa kisayansi, na vyote vinashirikiana kama injini moja yenye nguvu kuunda Prostaprime.

Baada ya miaka 3 ya utafiti, vipimo, na majaribio ya ustadi… nilijua prostaprime itasaidia.

Lakini sikujua itafanya kazi haraka hivi.

Ndipo nilipoanza kupokea ujumbe mmoja baada ya mwingine — kutoka kwa wanaume waliokuwa tayari wamesahaau ladha ya maisha bila kukojoa mara kwa mara.

Hawa hapa ni baadhi tu kati ya watu wengi waliopata kutumia Prostaprime.

Mzigo wa kifamilia uliokuwa mkubwa umeondoka kwa sababu prostaprime imeniponya uvimbe ulionitesa kwa muda mrefu.

Peter  | Dar es Salaam.

Familia yangu ilikuwa imekata tamaa kwa sababu ya hali yangu. prostaprime imenirejeshea afya yangu na furaha kwa familia.

James  | Dar es Salaam

Gharama za matibabu zilikuwa kubwa sana. prostaprime imenisaidia kuokoa pesa nyingi na amani ya familia yangu.

Masoud  | Morogoro.

Uvimbe uliporudi, nilihisi nitaishi na tatizo hilo milele. prostaprime imenibadilisha mawazo.

Prosper  | Rukwa.

Nilikuwa nimekata tamaa kwa sababu uvimbe ulinirudia mara mbili. prostaprime imenifanya niamini tena

Samson  | Singida.

Baada ya upasuaji wa kwanza, uvimbe ulirudi. prostaprime imenimalizia kabisa tatizo hili.

Cornelius  | Lindi.

Uvimbe mkubwa ulionekana hauwezi kuondoka bila upasuaji, lakini prostaprime imenionyesha kuwa dawa za asili zinaweza.

Mwakipesile  | Mbeya.

prostaprime imenisaidia kuondoa uvimbe bila hata kupoteza gharama nyingi kwa tiba za hovyo.

Martin  | Tanga.

Nilikuwa nimeambiwa hakuna njia nyingine zaidi ya upasuaji. prostaprime imenithibitishia vinginevyo.

Benjamin  | Kilimanjaro.

Maumivu ya wakati wa kukojoa yalinifanya nisiwe na amani. prostaprime imeniponya kabisa.

Elisha  | Pwani.

Kupata maumivu makali wakati wa kukojoa kuliathiri maisha yangu ya kila siku. prostaprime imenifanya nihisi mwenye nguvu tena.

Adam  | Ruvuma.

Nilihisi kama naungua wakati wa kukojoa. prostaprime imeniondolea uchungu huu mara moja.

Richard  | Kigoma.

Maumivu makali nilipokuwa nikienda haja ndogo yamepotea kabisa baada ya kutumia prostaprime kwa siku 10 tu.

Josephat  | Singida.

Matone ya mkojo yaliyoendelea kutoka baada ya kukojoa yalininyima amani. prostaprime imenifanya niwe huru kabisa.

Antony  | Iringa.

Nguo zangu za ndani zilikuwa zikitoka harufu mbaya kila siku. prostaprime imenisaidia kurudisha heshima yangu.

Kelvin  | Dar es Salaam.

Kujikojolea matone kulifanya maisha yangu kuwa magumu sana. prostaprime imenifanya kuwa mtu mpya.

Boniface  | Mwanza.

Kila wakati nilihisi aibu mbele ya watu kwa sababu ya harufu ya mkojo. prostaprime imenisaidia kuondoa hali hii, na sasa ninajiamini tena.

Andrew  | Arusha.

Mkojo kusalia kibofuni kulinifanya nihisi kutaka kukojoa kila baada ya muda mfupi. prostaprime imeniondolea mateso haya.

Daudi  | Geita.

Nilikosa raha kwa sababu ya mkojo kusalia kibofuni. prostaprime imenisaidia, na sasa ninafurahia maisha yangu.

Patrick  | Tabora.

Kibofu changu kilikuwa hakifanyi kazi ipasavyo, na nilikuwa nasikia kama mkojo umesalia kila mara. prostaprime imenibadilishia maisha.

Yusuf  | Morogoro.

Nilikuwa na hisia ya mara kwa mara ya haja ndogo hata baada ya kukojoa. prostaprime imenisaidia kuondoa tatizo hilo, na sasa nipo huru.

Mathias  | Dodoma.

Kukojoa kwa kuchelewa kulinifanya nihisi kukata tamaa. Sasa naweza kukojoa kwa uhuru, shukrani kwa prostaprime.

Lucas  | Mbeya.

Nilihisi uchungu kila mara nilipojaribu kukojoa kwa sababu mkojo ulikuwa hautoki haraka. prostaprime imeniondolea kero hiyo kabisa.

Charles  | Manyara.

Kukojoa kwa shida kulikuwa kero kubwa. Baada ya kutumia prostaprime kwa siku 10 tu, tatizo limekwisha.

Jacob  | Simiyu.

Nilikuwa nikipata aibu kila mara kwenye vyoo vya umma kwa kuchelewa kukojoa. prostaprime imenisaidia sana, na sasa nipo sawa.

Hassan  | Mara.

Familia yangu ilikuwa ikinishauri nipumzike mchana kwa sababu ya kukosa usingizi usiku. prostaprime imenipa nafasi ya kulala vizuri tena.

Edwin  | Rukwa.

Usiku wangu ulikuwa wa mateso sana kwa sababu ya kukojoa mara kwa mara. prostaprime imenibadilisha maisha, na sasa nalala bila wasiwasi.

Julius  | Bukoba.

Kuamka zaidi ya mara nne usiku kulikuwa kunaninyima raha. Ndani ya wiki mbili tu za kutumia prostaprime, sasa naweza kulala mpaka asubuhi bila kero.

Salim  | Mtwara.

Nilikuwa nikihofia kukosa usingizi usiku kwa sababu ya kuamka mara kwa mara kwenda kukojoa. Tangu nianze kutumia prostaprime, hali hii imeisha kabisa. Naweza kulala kwa amani usiku mzima.

Amos  | Njombe.

Gharama za hospitali zilikuwa kubwa mno kwa familia yangu. prostaprime imepunguza mzigo huu kwa kiasi kikubwa, na sasa familia yangu inatabasamu tena.”

Ismail  | Pwani.

Mke wangu alikuwa amechoshwa na suala la mimi kuamka kila mara usiku. prostaprime imenirejeshea nguvu na uhuru wangu, na sasa mke wangu kapata utulivu.”

Daniel  | Kigoma.

Baada ya uvimbe kurudi, nilihisi kukata tamaa. prostaprime imenisaidia kwa haraka sana na sasa hali yangu ni nzuri.

Musa  | Lindi.

Nilifanyiwa upasuaji miaka miwili iliyopita, lakini uvimbe ulirudi tena. Nilipata taarifa kuhusu prostaprime kutoka kwa rafiki yangu, na sasa uvimbe umepotea kabisa ndani ya wiki tatu. Ningejua mapema, nisingefanya upasuaji

Francis  | Iringa.

Niliogopa sana kufanyiwa upasuaji kwa sababu ya uvimbe kuwa mkubwa. prostaprime imeniondolea hofu na uvimbe huo bila sindano wala kwenda hospitali.”

Abdallah  | Zanzibar.

Nilikuwa tayari nimepangiwa upasuaji kwa sababu ya uvimbe wa tezi dume kuwa mkubwa sana, lakini daktari alinishauri nijaribu prostaprime kwanza. Ndani ya mwezi mmoja, uvimbe umepotea kabisa, na sijawahi kuwa na amani kama hii maishani mwangu.

Ramadhan  | Tabora.

Maumivu kila wakati wa kukojoa yalinifanya nisite kukojoa hadi pale ambapo sikuvumilia tena. prostaprime imenisaidia kuondokana na mateso haya ndani ya siku 15.

John  | Shinyanga.

Nilikuwa nikipata maumivu makali sana wakati wa kukojoa, kiasi kwamba nilikuwa naogopa kwenda chooni. Baada ya kutumia prostaprime kwa wiki moja tu, maumivu hayo yamepotea kabisa.”

Baraka  | Singida.

Sikuwa najua nini cha kufanya kuhusu kujikojolea matone baada ya kukojoa. Ilikuwa ni shida kubwa. prostaprime imeondoa kabisa hali hiyo, na sasa ninajiona mwenye afya na heshima.

Jonas  | Dodoma.

Matone ya mkojo yalinifanya nihisi aibu kila wakati. Nguo zangu za ndani zilikuwa zinanuka hata baada ya kufua. Nilipoanza kutumia prostaprime, matone hayo yamekoma kabisa na sasa ninajiamini tena.

Emmanuel  | Morogoro.

Baada ya kukojoa, bado nilihisi mkojo haujaisha. Nilihofia kuwa hali hii ingetaka upasuaji, lakini prostaprime imenionyesha kuwa haihitaji. Ndani ya wiki mbili tu, mkojo unatoka wote bila tatizo.

Robert  | Kilimanjaro.

Nilikuwa na hisia ya kuwa na haja ndogo kila wakati kwa sababu mkojo ulikuwa unasalia kibofuni. Hili lilinisumbua sana kazini. prostaprime imenisaidia kuondoa tatizo hili kabisa, na sasa nipo huru kufanya kazi bila usumbufu.

Alfred  | Tanga.

Kukojoa kwa shida kulifanya maisha yangu kuwa magumu. Nilikuwa nahofia kwenda kwenye vyoo vya umma kwa sababu ya muda niliokuwa natumia. Sasa tatizo limekwisha kabisa baada ya kutumia prostaprime kwa mwezi mmoja.

Hamisi  | Mbeya.

Kila mara nilipokuwa najaribu kukojoa, mkojo ulianza baada ya sekunde 30 hadi dakika. Ilikuwa ni mateso makubwa. Baada ya kutumia prostaprime kwa siku 20, sasa mkojo unatoka mara moja bila usumbufu wowote.

Said  | Dar es Salaam.

Kuamka usiku kila baada ya saa moja kukojoa kulinifanya nisiwe na amani. Nilijaribu dawa nyingi bila mafanikio. prostaprime imenisaidia kuondokana na tatizo hilo ndani ya wiki tatu, na sasa ninalala kama mtoto mdogo.

Joseph  | Mwanza.

Nilikuwa nikiamka zaidi ya mara tano kila usiku kwenda kukojoa. Nilikuwa siwezi kulala vizuri, na mwili ulikuwa umechoka kila wakati. Baada ya kutumia prostaprime kwa wiki mbili, sasa naweza kulala usiku mzima bila kusumbuliwa. Familia yangu imefurahi sana kuniona nimepata usingizi wa amani

Ibrahim  | Arusha.

Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?

  • Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya masaa 24 ya kuanza kutumia Prostaprime.
  • Wapo wengine wanao anza kuona mabadiliko ndani ya siku mbili za kuanza kutumia Prostaprime.
  • Hata hivyo, mamia ya wahanga waliotumia Prostaprime, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku tatu tu za kuanza dozi ya Prostaprime.
  • Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku tatu na kuendelea.

Inagharimu Kiasi Gani Kupata Tiba Hii Ya Prostaprime?

Kabla sijakwambia bei ya kutumia Prostaprime kutibu uvimbe wa tezi dume, ningependa wewe mwenyewe ujipangie bei.

Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho ambalo linaweza kukuvusha kutoka kwenye maumivu, usumbufu wa kukojoa, na hofu ya upasuaji hadi hali ya kuwa na afya bora na maisha ya amani ndani ya siku 30 tu?

Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba ambayo utafiti na teknolojia yake imegharimu mamilioni ya pesa ili kuhakikisha inafanya kazi bila madhara?

Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba inayokuwezesha kupona bila kufanyiwa upasuaji au kutumia gharama kubwa za hospitali?

Nadhani ukijipangia 1,500,000/= utakuwa upo sahihi. Hata hivyo, hiyo milioni moja na nusu ni ndogo sana ukilinganisha na thamani ya afya yako na uhuru wa maumivu utakayopata.

Lakini unajua cha kushangaza ni nini? Hutalipa hiyo 1,500,000/=

Pesa utakayolipa hata nusu ya hiyo milioni moja na nusu haifiki.

Utapata tiba hii kwa gharama ya:

450,000/=

Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.

Kama utaweka ODA yako kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa 300,000/= tu (Chupa Mbili)

Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 450,000/=

Usikubali kupitwa na fursa hii. Jinyakulie OFA yako leo na uanze safari ya kupona kabisa uvimbe wa tezi dume!

Hata hivyo, kama utashindwa kutoa 300,000/= yote kwa pamoja, unaweza kuanza na nusu dozi kwa 150,000/= (Chupa moja)

Kuhusu Kampuni Inayosambaza Prostaprime

Kwa Tanzania dawa hizi za Prostaprime zinasambazwa na kampuni moja inayoitwa "Mamwira Natural Care" chini ya mkurugenzi anayefahamika kwa jina la Mr Bokko.

Ofisi yao ipo Dar es Salaam Makumbusho stand ya daladala, Sakafu (Floor) ya pili kwenye ghorofa lenye ATM ya NMB na CRDB kwa chini. Mlango wa Kwanza upande wa kulia.

Ofisi inafunguliwa kuanzia saa 9:00 Asubuhi mpaka 6:30 Jioni. Jumatatu mpaka Jumamosi.


Unasubiri nini kuweka ODA yako? Hii ni tiba mpya, ya gharama nafuu, inayokuletea matokeo ya haraka na ya kudumu. Hii ni tiketi yako ya kuondokana na uvimbe wa tezi dume kwa njia ya moja kwa moja – fanya mabadiliko leo na jiokoe kwa njia rahisi na yenye nguvu!

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Kwa chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kuweka ODA. Kuweka ODA ni rahisi. Utabonyeza sehemu iliyoandikwa "NAHITAJI KUWEKA ODA"

Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako, Mr Bokko atakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M-pesa au NMB Bank.

Namba ya M-pesa ni 0768354507 jina ni ADELARD NTAMABOKO

Namba ya Account ya NMB ni 20110062131 jina ni ADELARD ALOYCE NTAMABOKO.

Utaratibu wa Malipo Upo Kama Ifuatavyo:

Tunatambua kwamba mtandaoni kuna utapeli mwingi na watu wa mikoani (Nje ya Dar) wanaibiwa pesa zao kila siku. Kwasababu hiyo tulijaribu kufanya utaratibu wa wateja wetu wa mikoani kulipia gharama zote baada ya kuwa wamepokea mizigo yao lakini tunasikitika kwamba asilimia kubwa ya wateja wa mikoani hawakuonesha ushirikiano mzuri. Wengi wao baada tu ya kujulishwa kwamba mizigo yao imefika waifuate ndo wafanye malipo hawakupokea simu zetu tena na wengine wakasema wameghairi kuchukua dawa, hivyo ilitulazimu kuisafirisha mizigo kuirudisha Dar kitu ambacho kilileta hasara kwa upande wetu. 

Kwasababu hiyo utaratibu wetu mpya wa malipo uko kama ifuatavyo; kama upo mkoani (nje ya Dar) ili uweze kutumiwa mzigo mkoani itakubidi ufanye malipo kwanza halafu utaratibu wa kutumiwa mzigo wako kuja mkoani ndipo utakapofanyika.

Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo...

Kama upo Dar, unasubiri kuletewa dozi yako na...

Kama upo mkoani (nje ya Dar) unafanya kwanza malipo ya 150,000/= kama utachagua kuanza na nusu dozi au 300,000/= kama utachagua kuanza na dozi kamili. Malipo yote yanafanyika kupitia kupitia M-PESA au NMB Bank. Baada ya kuwa umefanya malipo ndo dawa yako inatumwa kuja mkoani ulipo.

Kujaza fomu ya kuweka ODA ni rahisi.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa NAHITAJI KUWEKA ODA. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu au kukutumia SMS kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Una kila sababu ya kuweka ODA yako sasa hivi maana unalindwa na guarantee (Dhamana) ifuatayo:

Guarantee image

Dhama hii iko hivi:

Tumia Prostaprime kwa muda wa siku 30. Kama baada ya siku 30 utakua bado unakojoa mara kwa mara, unakojoa mkojo usioisha au uvimbe utakua haujaisha au kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaipenda Prostaprime piga simu kwenda namba 0768354507 toa taarifa utarudishiwa pesa zako zote bila kinyongo chochote.

Hata hivyo nina imani utaipenda Prostaprime na utalidhika kwa maajabu ambayo itakufanyia.

Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa na uwezo wa dawa hii wa kuyeyusha uvimbe wa tezi dume haraka na kukupatia matokeo ya ndani ya muda mfupi.

Ukweli ni kwamba kwa kuitumia Prostaprime pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.

Weka ODA yako sasa.

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. M/Mungu akubariki.

Ni mimi mwenye kujali afya yako,
Daktari Michael Torres.

P.S: Bado unasita kuweka ODA yako?

Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa dawa hii haitakusaidia kuondokana na uvimbe wa tezi dume ndani ya siku 30.

Huna cha kupoteza. Una kila sababu ya kuweka ODA yako sasa hivi ili uanze kuishi maisha yenye furaha na amani bila karaha za kwenda chooni kila baada ya muda mfupi.

Copyright - Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

>
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications
Seraphinite AcceleratorOptimized by Seraphinite Accelerator
Turns on site high speed to be attractive for people and search engines.