Mizizi na Majani Yaliyotumika na Babu Zetu Zaidi ya Miaka 1700 Iliyopita Kutibu Uvimbe wa Tezi Dume Kiasili — Sasa Yamegunduliwa Tena!

Wanaume wengi hudhani uvimbe wa tezi dume ni tatizo jipya la kisasa… Lakini ukweli ni kwamba hata babu zetu walipambana nalo — na walikuwa na tiba ya kiasili.


Utandawazi na mitandao ya kijamii vinatufanya tusahau asili yetu—hekima na njia za mababu zetu walizotumia kujitibia changamoto mbalimbali za kiafya.

Leo, matatizo mengi ya kiafya yanaonekana kama ni ya kisasa. Lakini ukweli ni kwamba: yapo matatizo ya kisasa kabisa… na yapo matatizo ambayo yamekuwepo tangu enzi na enzi za mababu zetu.

Mojawapo ya matatizo hayo ni uvimbe wa tezi dume. Wanaume wengi hudhani tatizo hili limeanza hivi karibuni, kutokana na mabadiliko ya maisha ya kisasa. Lakini la hasha—tatizo hili lilikuwepo tangu enzi za mababu zetu!

Tofauti ni kwamba, enzi hizo hakukuwa na televisheni, sayansi ya kulipa tatizo hili jina rasmi, au mitandao ya kijamii ya kulisambaza. Lakini hilo halimaanishi kuwa halikuwepo…

Swali la kujiuliza ni hili:

Ikiwa Tatizo Hili La Uvimbe Wa Tezi Dume Lilikuwepo Tangu Enzi Za Mababu Zetu… ni Tiba ipi ya kiasili Waliyoitumia Kutibu Changamoto Hii ya Kukojoa Mara Kwa Mara Usiku na Mchana?

Ifahamike kwamba miaka 1700 iliyopita, viwanda vya kutengeneza dawa vilikuwa havijavumbuliwa. Hivyo basi, kama dawa za kisasa hazikuwepo… lazima babu zetu kuna tiba asili walitumia.

Na ukweli ni kwamba…kulikuwa na wataalamu wa tiba asili waliokuwa na maarifa ya kipekee. Walijua kuchanganya aina fulani ya mizizi na majani ya msituni kutengeneza tiba ya kutibu changamoto hii.

Mizizi na majani hayo yalikuwa na nguvu ya ajabu—yaliweza kuyeyusha uvimbe wa tezi dume kiasili, kusafisha mfumo wa mkojo, na hata kurejesha nguvu za kiume zilizopotea.

Enzi hizo, mwanaume mwenye miaka 40 na zaidi akianza kuona dalili za kukojoa mara kwa mara, mkojo usioisha, au mkojo unaorudi nyuma… alifika kwa mtaalamu wa tiba asili. Na mtaalamu huyu alichanganya mizizi na majani kwa usahihi wa hali ya juu. Baada ya siku chache au wiki kadhaa za kutumia mchanganyiko huo, tatizo lilikuwa linaisha kabisa.

Lakini kadri miaka ilivyopita…wajuzi wa kuchanganya mizizi na majani haya asili wakaanza kupungua hivyo kupelekea tiba asili za tatizo hili kupotea taratibu.

Kwa miaka mingi, ilikuwa ngumu mno kujua ni mizizi ipi hasa iliyokuwa ikitumika na mababu zetu kutibu uvimbe wa tezi dume kiasili.

Lakini sasa, kuna habari njema:

Shirika moja la Marekani limefanya tafiti za kina kwa zaidi ya miaka 35 hatimaye wamegundua upya aina ya mizizi na majani yale yale yaliyotumika na mababu zetu miaka 1700 iliyopita.

Hii ni mizizi na majani ambayo... ukitumia mchanganyo wake... ndani ya siku au wiki kadhaa unapona kabisa tatizo la uvimbe wa tezi dume kama walivyopona babu zetu.

Baada ya wanasanyi hawa kutoka shirika hili la Marekani kugundua mizizi na majani haya yaliyotumiwa na mababu zetu, wakatumia utaalamu wao kutengeneza vidonge vyenye mchanganyo wa mizizi na majani haya.

Kabla ya kuanza kusambaza dawa hii… wakaamua wafanye kwanza majaribio ya kitaalamu. Walichukua wanaume 5000 waliokuwa wanateseka na tatizo la tezi dume. Kila mmoja alitumia tiba hii ya kiasili iliyotokana na mizizi na majani yaliyotumiwa na babu zetu miaka 1700 iliyopita.

Matokeo yalikuwa ya kushangaza: Baada ya siku 30 tu, wanaume 4800 walipona kabisa matatizo yao ya kukojoa mara kwa mara, maumivu ya mkojo, na dalili nyingine za tezi dume.

Kwa maneno mengine, tiba hii ilionesha kiwango cha mafanikio ya karibu 96%—jambo ambalo halijawahi kushuhudiwa kwenye tiba nyingi za kisasa.

Lakini wanasayansi hawakuishia hapo. Wakasema: “Kama mizizi na majani haya yameleta matokeo makubwa hivi, je, tukiyachanganya kwa usahihi zaidi, kwa kipimo sahihi kama wataalamu wa asili walivyofanya, si kila mwanaume anaweza kupata uponyaji wa kudumu?”

Hivyo basi, waliamua kuboresha mchanganyo wa mzizi na majani haya kimaabara zaidi ili kila mwanaume anayetumia tiba hii apate matokeo ya uhakika—kurejesha afya ya tezi dume, kuondoa dalili zote za kukojoa mara kwa mara, na kurudisha nguvu za kiume kama zamani.

Ndipo likazaliwa suluhisho la kisasa, rahisi kutumia, na lenye matokeo ya haraka linaloitwa…

ProstaPrime

Kabla ya Kutumia ProstaPrime

❌ Kuamka mara kwa mara usiku kwenda kukojoa na kushindwa kupata usingizi wa kutosha…


❌ Kukaa muda mrefu chooni kusubiri mkojo kidogo au wakati mwingine matone tu ndio yanatoka…


❌ Kuhisi aibu na kupoteza heshima yako ya kiume mbele ya mwenzi wako…


❌ Kuishi kwa wasiwasi, ukijiuliza kama utalazimika kufanyiwa upasuaji au kutumia dawa zenye madhara…


❌ Kukosa amani ya akili kwa sababu afya yako haiko sawa na kila siku hali inazidi kuwa mbaya…


❌ Kupoteza hela nyingi kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi.

Baada ya Kutumia ProstaPrime

✅ Uvimbe wa tezi dume unayeyuka kiasili na tatizo la kukojoa mara kwa mara linaisha kabisa…


✅ Unaweza kulala fofofo usiku mzima bila kuamka mara kwa mara kwenda chooni…


✅ Unakojoa kwa nguvu, bila maumivu, bila kubaki chooni muda mrefu wala mkojo kusalia kwenye kibofu…


✅ Nguvu zako za kiume na hamu ya tendo la ndoa zinarejea kama kijana…


✅ Unapata amani ya moyo, heshima yako ya kiume inarudi, na familia yako inafurahia afya yako bora…


✅ Pesa ambazo ungezidi kuzipoteza kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi, unazifanyia mambo yako mengine ya msingi.

Usiyaamini maneno yangu. Hawa hapa ni baadhi ya wahanga wa uvimbe wa tezi dume ambao baada ya kutumia Prostaprime wana yafuatayo ya kusema:

Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?

  • Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya masaa 24 ya kuanza kutumia Prostaprime.
  • Wapo wengine wanao anza kuona mabadiliko ndani ya siku mbili za kuanza kutumia Prostaprime.
  • Hata hivyo, mamia ya wahanga waliotumia Prostaprime, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku tatu tu za kuanza dozi ya Prostaprime.
  • Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku tatu na kuendelea.

Inagharimu Kiasi Gani Kupata Tiba Hii Ya Prostaprime?

Kabla sijakwambia bei ya kutumia Prostaprime kutibu uvimbe wa tezi dume, ningependa wewe mwenyewe ujipangie bei.

Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho ambalo linaweza kukuvusha kutoka kwenye maumivu, usumbufu wa kukojoa, na hofu ya upasuaji hadi hali ya kuwa na afya bora na maisha ya amani ndani ya siku 30 tu?

Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba ambayo imetengenezwa kwa mizizi na majani yaliyotumiwa na babu zetu zaidi ya miaka 1700 iliyopita?

Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba ambayo utafiti na teknolojia yake imegharimu mamilioni ya pesa ili kuhakikisha inafanya kazi bila madhara?  

Nadhani ukijipangia 1,500,000/= utakuwa upo sahihi. Hata hivyo, hiyo milioni moja na nusu ni ndogo sana ukilinganisha na thamani ya afya yako na uhuru wa maumivu utakaopata.

Lakini unajua cha kushangaza ni nini? Hutalipa hiyo 1,500,000/=

Pesa utakayolipa hata nusu ya hiyo milioni moja na nusu haifiki.

Utapata tiba hii kwa gharama ya:

450,000/=

Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.

03
Days
:
 
01
Hours
:
 
20
Minutes
:
 
29
Seconds

You missed out!

Kama utaweka ODA yako kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa 300,000/= tu (Chupa Mbili)

Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 450,000/=

Usikubali kupitwa na fursa hii. Jinyakulie OFA yako leo na uanze safari ya kupona kabisa uvimbe wa tezi dume!

Hata hivyo, kama utashindwa kutoa 300,000/= yote kwa pamoja, unaweza kuanza na nusu dozi kwa 150,000/= (Chupa moja)

Unasubiri nini kuweka ODA yako? ProstaPrime ni tiba iliyotumiwa na babu zetu miaka 1700 iliyopita, ya gharama nafuu, inayokuletea matokeo ya haraka na ya kudumu. Hii ni tiketi yako ya kuondokana na uvimbe wa tezi dume kwa njia ya moja kwa moja – fanya mabadiliko leo na jiokoe kwa njia rahisi na yenye nguvu!

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Kwa chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kuweka ODA. Kuweka ODA ni rahisi. Utabonyeza sehemu iliyoandikwa "NAHITAJI KUWEKA ODA"

Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Mpangilio wa Dozi ni kama ifuatavyo:

  •  Dozi kamili (siku 30) Chupa Mbili: 450,000 300,000/=
  •  Nusu dozi (Siku 15) Chupa moja 225,000 150,000/=

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M-pesa au NMB Bank.

Namba ya M-pesa ni 0768354507 jina ni ADELARD NTAMABOKO

Namba ya Account ya NMB ni 20110062131 jina ni ADELARD ALOYCE NTAMABOKO.

Utaratibu wa Malipo Upo Kama Ifuatavyo:

Tunatambua kwamba mtandaoni kuna utapeli mwingi na watu wa mikoani (Nje ya Dar) wanaibiwa pesa zao kila siku. Kwasababu hiyo tulijaribu kufanya utaratibu wa wateja wetu wa mikoani kulipia gharama zote baada ya kuwa wamepokea mizigo yao lakini tunasikitika kwamba asilimia kubwa ya wateja wa mikoani hawakuonesha ushirikiano mzuri. Wengi wao baada tu ya kujulishwa kwamba mizigo yao imefika waifuate ndo wafanye malipo hawakupokea simu zetu tena na wengine wakasema wameghairi kuchukua dawa, hivyo ilitulazimu kuisafirisha mizigo kuirudisha Dar kitu ambacho kilileta hasara kwa upande wetu. 

Kwasababu hiyo utaratibu wetu mpya wa malipo uko kama ifuatavyo; kama upo mkoani (nje ya Dar) ili uweze kutumiwa mzigo mkoani itakubidi ufanye malipo kwanza halafu utaratibu wa kutumiwa mzigo wako kuja mkoani ndipo utakapofanyika.

Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo...

Kama upo Dar, unasubiri kuletewa dozi yako na...

Kama upo mkoani (nje ya Dar) unafanya kwanza malipo ya 150,000/= kama utachagua kuanza na nusu dozi au 300,000/= kama utachagua kuanza na dozi kamili. Malipo yote yanafanyika kupitia kupitia M-PESA au NMB Bank. Baada ya kuwa umefanya malipo ndo dawa yako inatumwa kuja mkoani ulipo.

Kujaza fomu ya kuweka ODA ni rahisi.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa NAHITAJI KUWEKA ODA. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu au kukutumia SMS kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.

Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Ofisi yetu ipo Makumbusho stand ya daladala, Sakafu (Floor) ya pili kwenye ghorofa lenye ATM ya NMB na CRDB kwa chini.

Mlango wa Kwanza upande wa kulia "Mamwira Natural Care" ndo ofisi yetu.

Tunafungua kuanzia saa 9:00 Asubuhi mpaka 6:30 Jioni. Jumatatu mpaka Jumamosi.

Naweza kughairi kuweka ODA yangu sasa hivi nikaja kuweka badae au siku nyingine? Ndio, unaweza kuweka ODA yako badae au siku nyingine lakini ukifanya hivyo mambo yafuatayo yatatokea:

  • Matatizo ya Mkojo Yasiyoisha Hayataisha Bila Suluhisho La Haraka: Ukiendelea kusubiri, matatizo yako ya mkojo yatadumu na kuendelea kukusumbua. Prostaprime inatoa suluhisho la haraka, hivyo kuchelewa kuweka ODA yako mapema maana yake unapenda kuendelea kukabiliana na usumbufu wa mkojo wa mara kwa mara.
  • Muda wa Kusubiri Umekwisha: Kusubiri kwa muda mrefu kunaweza kuharibu hali yako ya afya na kuongeza hatari ya matatizo zaidi. Ni bora kuchukua hatua leo ili kuepuka madhara ya uvimbe wa tezi dume kuendelea kuathiri afya yako.
  • Furahia Maisha Bila Upasuaji—Sasa! Ukichelewa, huenda ukahitaji upasuaji, jambo ambalo linahusisha gharama kubwa, maumivu, na muda mrefu wa kupona. Prostaprime inakupa suluhisho lisilo la upasuaji ambalo lina matokeo ya haraka na ya kudumu.
  • Prostaprime Inahakikisha Matokeo ya Kudumu—Usikose Fursa Hii! Ikiwa utasubiri, uvimbe wa tezi dume utazidi kuongezeka. Lakini kwa kuweka ODA ya kupata Prostaprime sasa, unapata matokeo ya kudumu na kurudi kwenye maisha yako ya kawaida bila matatizo ya mkojo.
  • Matokeo ya Haraka—Uvimbe wa Tezi Dume Unapungua Ndani ya Siku 30: Usisubiri tena—Prostaprime inatoa matokeo ndani ya siku 30 tu, na uvimbe wa tezi dume utaanza kupungua haraka. Kukawia kuweka ODA yako kutakufanya upoteze fursa ya matokeo bora na ya haraka.
  • Gharama Nafuu, Tiba Yenye Matokeo Bora: Prostaprime inatoa suluhisho la gharama nafuu na matokeo bora, na unapoendelea kuchelewa, huenda ukajikuta ukitumia pesa zaidi kwa tiba zisizo na matokeo.
  • Kurudisha Uhuru wa Maisha ya Kila Siku: Ikiwa utaendelea kuchelewa, utajikuta bado unakumbana na usumbufu wa mkojo wa mara kwa mara. Kwa kutumia Prostaprime, utapata uhuru wa kurejea kwenye maisha yako ya kawaida bila kikwazo.
  • Familia Yako Itajivunia Afya Yako Leo, Bila Kusubiri: Familia yako itaendelea kuwa na wasiwasi kuhusu hali yako ya kiafya, na kusubiri zaidi kunamaanisha mzigo kwao pia. Chukua hatua sasa ili kurudisha furaha na amani kwa familia yako.
  • Maisha Bora, Afya Nzuri—Chukua Hatua Leo: Kila siku unayosubiri ni nafasi ya kupoteza. Usikubali kupoteza fursa ya kuishi maisha yenye afya bora na furaha. Prostaprime inatoa matokeo ya haraka, na kwa kuweka ODA yako leo kutakurudisha kwenye maisha ya furaha na afya bora.

Na kwa wote ambao hawataweka kabisa ODA zao, watakuwa wamejikosesha faida hizi muhimu:

  •  Uhuru wa kukojoa mkojo unaomalizika kikamilifu bila kubaki kibofuni: Kama hutaweka ODA yako kabisa, utakua umekosa nafasi ya kuondoa kabisa uchafu kwenye kibofu na mfumo wa mkojo, na utaendelea kusumbuliwa na changamoto ya mkojo kusalia kwenye kibofu kila unapokojoa.
  •  Kujivunia maisha bila aibu au usumbufu: Usipoweka ODA yako utakua umejikosesha nafasi ya kurejesha uhuru wako wa kweli, huku changamoto za mkojo zikiendelea kukufanya ujihisi kama mateka wa mwili wako.
  •  Usingizi wa usiku wenye utulivu bila kusumbuliwa: Usipotumia Prostaprime utaendelea kuamka mara kwa mara usiku kwenda chooni, utakosa utulivu wa usingizi unaoleta afya bora na furaha.
  •  Nguo za ndani kavu na safi bila kunuka mkojo: Usipotumia Prostaprime utakua umejiweka mbali na suluhisho la kweli la kukomesha hali ya kujikojolea matone ya mkojo kwenye nguo zako za ndani, hali inayosababisha boxer zako kunuka mkojo muda wote.
  •  Uhuru wa kuhofia upasuaji na maumivu yake: Usipotumia Prostaprime utakua umejikosesha suluhisho salama na asilia, na hivyo utalazimika kuendelea kuhofia gharama na maumivu ya upasuaji.
  •  Uwezo wa kurudi kwenye shughuli za kila siku bila usumbufu: Kama hutaweka ODA yako kabisa, utakua umechezea fursa ya kuondokana na changamoto za mkojo, hali itakayokuzuia kufurahia maisha ya kawaida na kazi zako za kila siku.
  •  Kuondokana na mateso ya kusubiri mkojo kwa muda mrefu kabla ya kutoka: Fikiria umebanwa na mkojo halafu ukienda kukojoa hautoki mpaka usubiri kwanza kwa muda ndo utoke. Kwahiyo usipotumia Prostaprime utakua umekosa nafasi ya kuondoa kero ya mkojo kuchelewa kutoka, hali itakayozidi kukuathiri kimwili na kihisia.

  •  Maisha bila utegemezi wa vidonge vya kila siku: Prostaprime ndo tiba pekee ya kumaliza uvimbe wa tezi dume ndani ya siku 30 tu. Usipoweka ODA yako, utakua umekosa nafasi ya suluhisho la kudumu, na hivyo kuendelea kuwa mateka wa kumeza vidonge kila siku maisha yako yote.
  •  Maisha bila aibu ya kutafuta vyoo kila mara: Usipotumia Prostaprime, utakua umeikataa nafasi ya kurejesha hadhi yako ya kuishi bila kizuizi, huku ukibaki ukisumbuka na changamoto hii kwa muda mrefu zaidi.
  •  Utulivu kwa familia Yako: Kama hutaweka ODA yako kabisa, nafasi ya kuipunguzia familia yako mzigo wa kihisia na kiakili utakuwa umeipoteza, na kibaya zaidi ni kwamba wataendelea kushuhudia afya yako ikiporomoka kila siku.
  •  Kuepuka gharama Kwa Tiba zisizo na matokeo: Usipotumia Prostaprime, utakua umekosa nafasi ya kutumia suluhisho lenye uhakika na la gharama nafuu, utajikuta ukitumia pesa nyingi kwa matibabu yasiyoleta matokeo.
  •  Uhuru wa matembezi bila hofu ya aibu: Fikiria kuwa na uhuru wa matembezi kwenda sehemu yoyote ile bila kuhofia aibu ya kwenda chooni kila baada ya dakika chache tu. Kwahiyo usiponunua Prostaprime utakua umekataa uhuru huu wa kufurahia maisha ya furaha, huku ukijizuia kwenda matembezi kwa kuhofia matatizo yako ya mkojo.
  •  Kunywa Kinywaji chako pendwa bila wasiwasi: Kama hutaweka ODA yako kabisa, utakua umeipuzia nafasi ya kufurahia vinywaji vyako unavyovipenda, kwa sababu ya hofu ya kukojoa mara kwa mara.
  •  Maisha mapya yenye afya bora na furaha: Usipotumia Prostaprime, utakua umekosa nafasi ya kufungua ukurasa mpya wa maisha yako, huku ukiendelea kuishi na changamoto za tezi dume ambazo zinaweza kuzidi kuwa mbaya zaidi.

Kadri unavyoendelea kusubiri ndo unajikosesha mambo yote haya. Isitoshe unapata na guarantee (Dhamana) ifuatayo:

Guarantee image

Dhama hii iko hivi:

Tumia Prostaprime kwa muda wa siku 30. Kama baada ya siku 30 utakua bado unakojoa mara kwa mara, unakojoa mkojo usioisha au uvimbe utakua haujaisha au kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaipenda Prostaprime piga simu kwenda namba 0768354507 toa taarifa utarudishiwa pesa zako zote bila kinyongo chochote.

Hata hivyo nina imani utaipenda Prostaprime na utalidhika kwa maajabu ambayo itakufanyia.

Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa na uwezo wa dawa hii wa kuyeyusha uvimbe wa tezi dume haraka na kukupatia matokeo ya ndani ya muda mfupi.

Ukweli ni kwamba kwa kuitumia Prostaprime pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwenye tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.

Weka ODA yako sasa.

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. M/Mungu akubariki.

Ni mimi mwenye kujali afya yako,
Mr Bokko.

Dar es Salaam.

P.S: Bado unasita kuweka ODA yako?

Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa dawa hii haitakusaidia kuondokana na uvimbe wa tezi dume ndani ya siku 30.

Huna cha kupoteza. Una kila sababu ya kuweka ODA yako sasa hivi ili uanze kuishi maisha yenye furaha na amani bila karaha za kwenda chooni kila baada ya muda mfupi.

Copyright - Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications