Kama unavyoona hicho ndicho walichokipata baadhi ya wahanga wa tatizo baada ya kutumia Vidonge hivi vya (RestorLyf)
Mpaka sasa nadhani utakuwa upo tayari kuijaribu dawa hii ili wewe mwenyewe ujionee maajabu yake.
Kwasababu Restorlyf ni dawa pekee ambayo imefanyiwa tafiti za kisayansi na ni dawa ambayo ina rekodi ya kuyeyusha uvimbe wa tezi dume ndani ya muda mfupi.
Dozi kamili ya kuyeyusha uvimbe mpaka ukaisha kabisa na usijirudie tena ni siku 90. Kama uvimbe wako sio mkubwa sana kuna uwezekano wa kuwahi kupona kabisa kabla ya siku 90. Lakini hata kama utawahi kupona kabla ya siku 90 nakushauri umalize dozi kamili ili kuzuia uvimbe usiweze kujirudia tena.
Matumizi ya Restorlyf ni kama ifuatavyo. Unameza kutwa mara moja (1x1). Muda mzuri wa kumeza ni wakati wa usiku.
Wakati huo wa usiku unaweza kuamua kumeza kabla hujala au baada ya kula chakula cha usiku.
Ukiamua kumeza kabla ya chakula cha usiku hakikisha unafanya hivyo mpaka mwisho wa dozi na ukiamua kumeza baada ya chakula cha usiku hakikisha unafanya hivyo mpaka mwisho wa dozi.
Kama ukimeza kabla ya chakula cha usiku inatakiwa baada ya kumeza ukae lisaa limoja pasipo kula kitu chochote ili kuiacha dawa ifanye kazi kwanza halafu baada ya lisaa limoja unaweza kula kitu chochote kulingana na mapenzi yako.
Na kama utaamua kumeza baada ya kula chakula cha usiku inatakiwa baada ya kula ukae masaa 2 kwanza halafu ndio umeze kidonge chako 1.
Na endapo kuna dawa zingine unatumia usiziache ghafla kwasababu zitaupwa mwili mshituko. Unachotakiwa kufanya endelea kuzimeza kwa muda hata wa wiki 2 halafu ndio uziache. Lakini hakikisha unazimeza muda tofauti na Restorlyf. Tenganisha muda wa kumeza angalau wa masaa 2.
Kwa kufanya hivyo baada ya siku kadhaa utaanza kuona mabadiliko kwenye suala la ukojoaji. na baada ya mwezi mmoja au na zaidi utakuwa umeona madailiko makubwa sana na UVIMBE utakuwa umeisha.
Ukilinganisha bei ya Restorlyf na dawa zingine za tezi dume ambazo kimsingi hata hazimalizi tatizo likaisha kabisa binafsi utapendekeza bei ya Restorlyf iwe juu.
Na ukizingatia wateja wetu wengi waliotumia restorlyf wameweza kupona uvimbe wa tezi dume ndani ya muda mfupi na pasipo kuendelea kupoteza pesa kwenye njia kama upasuaji na madawa mengine ya gharama ambayo hayafanyi kazi wengi wao wanasema hata gharama ya restorlyf ingekuwa 2,000,000 wangenunua.
Fikiria kwa muda ni kiasi gani ungekuwa tayari kulipa ili kukusaidia wewe kuweza kukojoa bila shida mara kadhaa tu kwa siku (Kiafya), kuwa na stamina nzuri wakati wa tendo na kulala vizuri bila karaha za kuamka kwenda kukojoa matone au...
Ni kiasi gani ungekuwa tayari kutoa kupata tiba ambayo kwa asilimia 100% unajua lazima ifanye kazi?
700,000? 1,000,000? Au 2,000,000?
Lakini unajua nini? Hutalipia pesa hiyo.
Nature's Way (Shirika linalotengeneza Dawa Hii huko Marekani) Limeamua kuweka bei ambayo kila mtu anaweza akaimudu na kwa wakati huo huo pesa hiyo iweze kusaidia kuendesha uzalishaji wa dawa zingine kulingana na uhitaji wa dawa hii kuwa mkuwa.
Kwahiyo leo kwenye ukurasa huu na hakuna sehemu nyingine unaweza kuipata dawa hii kwasababu haipo hospitalini na wala kwenye maduka ya dawa. Kwenye ukurasa huu ndio sehemu pekee ya kuipata Restorlyf dozi kamili ya siku 90 kwa bei ya...
300,000/=
Kuna sababu kwanini bidhaa hii inauzwa kwa bei ndogo sana hivyo.
Ni rahisi kuelewa sababu hiyo.
Lengo la Nature's Way ni kuwasaidia wahanga wa uvimbe wa tezi dume duniani kuacha kuendelea kupoteza pesa kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.
Endapo gharama ya Restorlyf ingekuwa juu maana yake wahanga wengi wangeshindwa kumudu bei.
Hivyo basi ndio maana wakaamua kutoa punguzo la bei kubwa ili wahanga wengi wapate suluhisho sahihi la kumaliza kiini cha tatizo na kufurahia uzee wao.
Na kulingana na mrejesho kutoka kwa wateja wetu...
Wengi waliotumia dozi kamili ya siku 90 ndo wameweza kupona kabisa uvimbe ukaisha.
Kwahiyo ukichukua dozi ya siku 90 utakuwa na uhakika kabisa wa tatizo lako kuisha.
Hata hivyo, kama utashindwa kumudu 300,000/= kupata dozi kamili nimekuwekea utaratibu wa kuchukua kwa awamu.
Hii inamaanisha ukishindwa kuchukua dozi ya 300,000/= unaweza chukuwa dozi ya mwezi mmoja au miezi miwili ambazo gharama yake itakuwa ni chini ya hiyo laki tatu (Bei ya dozi kamili)
Bidhaa zilizopo ni chache na uhitaji ni mkubwa sana kwahiyo kama una uwezo wa kumudu 300,000/= nakushauri uchukue dozi kamili kwasababu watu wengi wanachukuwa dozi kamili kwahiyo muda wowote kuna uwezekano mkubwa dozi tulizobaki nazo hapa kwenye stoo yetu zikawa zimeisha.
Zikiisha huwa inachukuwa miezi 4 mpaka 6 dawa zingine kutoka marekani kuja Tanzania. Na hapo ni endapo bidhaa zinakuwa zipo kwenye stoo za Marekani. Kama bidhaa kwenye stoo za marekani zinakuwa zimeisha huwa inachukuwa miezi 9 kuzalisha zingine.
Kwahiyo unaweza ukaona ni mchakato ambao unachukuwa siku nyingi kiasi kwamba miezi hiyo ikipita hujatumia dawa tatizo litakuwa lishakuwa kubwa na kukusababishia matatizo makubwa.
Hivyo ni vyema ukachukua dozi kamili ili uwe na uhakika wa kuwepo kwa vidonge vya kumeza kila siku kwa muda wa siku 90 wa tatizo lako kuisha.
Ukichukuwa dozi ya mwezi mmoja kwasababu ya uhitaji mkubwa na watu wengi wanachukuwa dozi kamili unaweza kujikuta pindi unahitaji dozi ya kuendelea dawa zikawa zimeisha hivyo kujikuta unasubiria miezi mingi ili dawa zingine ziletwe na kujikuta unaharibu dozi yako.
Na kama utaondoka kwenye ukurasa huu pasipo kuweka ODA yako kuna uwezekano mkubwa pindi utakaporudi ukakuta bidhaa zimeisha.
Kwahiyo usitoke kwenye ukurasa huu bila kuweka ODA yako uhitaji wa dawa hii ni mkubwa sana kwahiyo bidhaa tulizonazo stoo zitaisha muda wowote.
Na ukumbuke ukurasa huu ndio sehemu pekee ya kuipata dawa hii. Dawa hii haiuzwi sehemu nyingine yoyote tofauti na hapa kwenye ukurasa huu.
Kama una hofu ya dawa hii kutofanya kazi naelewa kabisa hata mimi ningekuwa kwenye nafasi uliyopo kwa sasa lazima ningekuwa na wasiwasi wa kupoteza pesa lakini ili kukuondolea wasiwasi huo bidhaa hii utaipata kwa dhamana (Guarantee)