Kama unataka kujulikana sana na kuliteka soko…

Hii Hapa Njia PEKEE Ambayo Itakupa UMAARUFU wa HARAKA Wa Kukufanya Uwe Kimbilio Pekee La Wateja Kwenye Soko Lako Na Kuigeuza Biashara Yako Kuwa BRAND Kubwa Mtandaoni!

Bokko's image

Kutoka kwa: Mr Bokko (Adelard Ntamaboko)

Social media Marketing & Advertising Expert.

Dar Es Salaam.


NJIA HII NI YA TOFAUTI

Na ni kwa ajili ya watu wanao fanya...

  • Biashara ya fashion (Nguo, Viatu na accessories zote)
  • Biashara ya vyombo
  • Biashara ya Computer
  • Biashara ya fenicha
  • Biashara ya electronics
  • Biashara ya simu/ laptop na vifaa vyake
  • Biashara ya home decor
  • Na biashara nyingine za kufanana na hizo isipokuwa biashara ya kuuza virutubisho lishe (Network Marketing).

Kama unafanya moja ya biashara hizo na unataka KUJULIKANA kwenye soko lako na kujenga BRAND kubwa mtandaoni...


Na kuwa maarufu kwenye aina HIYO ya biashara unayoifanya...


Na kuliteka soko la mtandaoni ili kila mtu anayehitaji bidhaa kama unayoiuza sehemu ya kwanza kufikiria kwenda kununua iwe KWAKO...


Basi unahitaji kusoma kila neno kwenye ukurasa huu kwasababu...

Unaelekea Kugundua Njia Rahisi Ya Kujulikana Kwenye Soko Lako, Kuwa Maarufu, Kujenga BRAND Kubwa Mtandaoni Yenye Kukupatia Wateja Endelevu Pasipo Kupost Post Ovyo Na Pasipo Kutumia Pesa Nyingi Kwenye Matangazo Ya Kulipia!

Naitwa mr Bokko. Natumia mitandao ya kijamii kukuza biashara yangu kama wewe.


Mwaka huu 2023 mwezi wa 4 nilifungua rasmi kampuni yangu inayoitwa Online Marketing System Pro Company Limited.


Lengo la kampuni ni kutoa elimu ya masoko ya mtandaoni (Digital marketing & Advertising education) kwa wafanyabiashara na wajasiriamali.


Sasa, ili upate wateja kwa kutumia mitandao ya kijamii kuna njia 2 tu zifuatazo:

 

  1. Kufanya matangazo ya kulipia (Paid advertising)
  2. Kujenga BRAND  yako mtandaoni (Social media Branding)


Kuna ufanano na utofauti wa njia hizo 2. Nitakwambia hapo mbele kidogo kwa sasa ngoja nikwambie hili:


Kabla sijafungua kampuni nilikuwa tayari nipo vizuri sana kwenye njia ya kwanza (Kufanya matangazo ya kulipia) lakini...


Nikawa bado sina elimu na mbinu za kutosha kuhusu kumsaidia mfanyabiashara kujenga BRAND yake mtandaoni.


Hivyo basi baada ya kufungua kampuni ikanilazimu nianze kufanya utafiti na kupata maarifa sahihi juu ya kusimamisha BRAND kubwa mtandaoni.


Kabla sijakwambia jinsi nilivyofanya utafiti huo naomba nikuelezee utofauti wa njia hizi mbili za kupata wateja mtandaoni.


Kufanya matangazo ya kulipia mtandaoni maana yake ni kulipia ili kupata wateja sasa hivi. Yaani ni sawa na kuchuma matunda yanayoning’inia mtini(Low hanging fruits). Usipolipia au ukiacha kulipia hupati wateja.


Na wakati kujenga BRAND maana yake ni kuifanya biashara yako kuwa maarufu kwa wateja kana kwamba hata usipofanya matangazo ya kulipia unapata wateja. Kwa mfano Apple wakitoa taarifa kuhusu toleo jipya watu wanakuwa na mzuka mkubwa wa kununua hilo toleo jipya. Kwanini? Apple tayari ni BRAND kubwa kwahiyo hata wasipotangaza lazima watu wapange foleni kupata iPhone mpya na bidhaa zao zingine.


Faida kubwa ya kujenga BRAND ni kwamba unakuwa KINARA kwenye soko lenye ushindani mkubwa na hivyo kufanya wateja waje kwako badala ya kwenda kwa washindani wako.


Usipokwa na BRAND ni ngumu kupenyeza kwenye soko lenye ushindani mkubwa. Badala yake utakuwa unaishia kuona wateja wanaenda kununua kwa VINARA na watu MAARUFU kwenye soko lako


Japokuwa inachukua muda kujenga brand kubwa lakini ukishaijenga utanufaika milele labda itokee uanze kuzingua.


Uzuri ni kwamba unaweza kutumia matangazo ya kulipia kwa lengo la kujenga brand yako kwa HARAKA. Na kinachofurahisha zaidi ni kwamba wakati unajenga brand yako unapata na wateja pia. Kwahiyo ni sawa na kuua ndege 2 kwa jiwe moja.


Sasa kama nilivyokwambia baada ya kufungua kampuni yangu ilinibidi nianze mchakamchaka wa kupata maarifa na mbinu za kumsadia mfanyabiashara kama wewe kujenga BRAND kubwa mtandaoni.


Katika tafiti zangu nikawa nataka kujua MSINGI wa kukuza biashara ndogo mpaka kuwa BRAND kubwa mtandaoni ni upi.


Haikuwa rahisi lakini kwa bahati nzuri nikakutana na stori ya bwana mmoja wa Marekani anayeitwa LOUIS.


Huyu jamaa alikuwa sio mtaalamu wa masuala ya masoko (Marketing)


Lakini mwaka 1948 aliandika tangazo moja BOVU katika historia ya matangazo yote ya MAGAZETINI.


Nasema tangazo bovu kwa sababu kadhaa zifuatazo:


Moja: Kila mtu kwenye kampuni alilicheka tangazo hilo la bwana Louis.


Mbili: Wataalamu wote wa masoko walio kuwa wameajiriwa kwenye kampuni hiyo waliona tangazo hilo halifai kabisa.


Tatu: Hakuna mtu alikuwa tayari na kutaka tangazo hilo lirushwe gazetini (Enzi hizo hakukuwa na mitandao ya kijamii. Kwahiyo matangazo yote yalikuwa yanafanyika kupitia magazeti)


Kiufupi...

TANGAZO LILIKUWA NI UTOPORO AMBAO HAUKUWAHI KUFANYIKA KABLA!

Na kusema ukweli... Hata mimi ningekuwepo enzi hizo lazima ningelipinga tangazo hilo.


Na ningewaomba wasilirushe magazetini...


Maana kwa uhakika kabisa tangazo hilo lazima lingepoteza hela kwasababu...

  • Jumla ya maneno kwenye tangazo hilo ilikuwa ni zaidi ya 6500. Kwahiyo tangazo lilikuwa refu sanaaaaaaaaaaa. (Kwenye magazeti tangazo lako likichukua nafasi kubwa sana unalipa pesa nyingi)
  • Maandishi yalikuwa ni madogo mnoooo kana kwamba ilikubidi ukodoe kama vile macho yanakutoka ndo ungeweza kusoma vizuri.
  • Tangazo hilo halikuuza kitu chochote.
  • Wito kwa msomaji ilikuwa ni sentensi moja mwishoni kabisa ya kumwambia msomaji kama angependa kupata taarifa zaidi afanye nini.


Kama nilivyosema.


Tangazo hilo lilikuwa ni utoporo.


Lakini chakushangaza lilifanya kazi.


Na ukweli ni kwamba...

Tangazo Hilo Liliwafanya Watu Zaidi Ya MILION 3 Watume Ujumbe Wa Kutaka Taarifa Zaidi Na Mwisho Wa Siku Watu Hao Waliishia Kuwa Wateja Wa Kampuni Hiyo!

Unaweza kuamini hilo?


Matokeo makubwa hivyo kutoka kwenye tangazo ambalo lilikuwa ni utoporo, ngumu kusomeka na ambalo halikuuza chochote!


Ilishangaza sana.


Nilivyolisoma na kulifuatilia tangazo hilo la bwana Louis kiundani zaidi niligundua sababu ya kwanini lilikuwa na mwitikio mkubwa na tangazo hilo hilo ndio lililoifanya kampuni hiyo kuwa BRAND kubwa ambayo mpaka leo bado ipo.


Na kuanzia mwaka huo 1948 ndo ilizaliwa aina ya marketing inayoitwa CONTENT MARKETING (Mwanzilishi akiwa bwana Louis)


Leo kwenye mitandao ya kijamii utasikia kila mtu anaongelea kuhusu content marketing lakini wengi wao hawajui ilianzia wapi.


Aina hii ya marketing ndo inatumika kukuza BRAND mtandaoni.


Tatizo ni kwamba watu wanadhani kupost maudhui (Content) ndo kukuza brand.


Siri ipo kwenye AINA ya maudhui unayoyapost.


Kwa kujifunza kutoka kwenye tangazo hilo la bwana Louis nimeweza kubaini siri na fomula ya kufanikiwa kwa tangazo hilo.


Lakini fomula hiyo ina madhaifu yake kwa baadhi ya aina za biashara.


Nitakwambia madhaifu yake hapo mbele kidogo.


Hata hivyo, kutokana na madhaifu haya ya fomula hii kwa baadhi ya aina za biashara nikaamua niendelee kufanya utafiti kubaini msingi wa kukuza brand ya aina yoyote ile ya biashara.


Nikanunua baadhi ya “course” kadhaa zinazohusu kukuza BRAND mtandaoni.


Course hizi ni nzuri sana lakini madhaifu yake ni kama fomula ya kufanikiwa kwa tangazo la bwana Louis. Na sababu ni kwamba hawa wote wanakopi kutoka kwa bwana Louis. Course Zao zimejikita kufundisha jinsi ya kutumia “Concept” ya Bwana Louis mtandaoni.


Madhaifu yake ni kwamba fomula hii inasaidia ikiwa biashara yako ipo kwenye tasnia (Industry) ya UTOAJI wa elimu (Uelimishaji).


Kama upo kwenye biashara ya uelimishaji fomula hii ukiitumia unakuza BRAND kubwa ndani ya muda mfupi ni hautaamini.


Vipi kwa ndugu zangu wa biashara ambazo sio za utoaji wa elimu inakuaje?


Fomula hii itakusaidia kwa kiasi kidogo sana.


Kwa mfano biashara yako ni ya viatu. Utaelimisha watu kuvaa viatu?


Au unauza Boxer. Unataka uniambie utawafundisha watu jinsi ya kuvaa boxer?


Au unauza vyombo. Utawafundisha watu kutumia vyombo?


Au unauza simu. Unataka uniambie utaanza kufundisha watu jinsi ya kutumia simu?


Jibu ni hapana.


Kwahiyo ndio maana nimekwambia fomula hiyo ya bwana Louis ina madhaifu. Na madhaifu yake ndo hayo kwamba kuna baadhi ya biashara huwezi ukaitumia.


Mpaka hapo utafiti wangu ukawa bado haujakamilika kwasababu asilimia kubwa ya biashara kwa hapa Tanzania ni ambazo hazipo kwenye tasnia ya uelimishaji.


Kwahiyo kampuni yangu itashindwa kuwasaidia wafanyabiashara wa namna hii kukuza BRAND kubwa mtandaoni.


Hali hii ikawa inanivuruga kichwa na kunifanya nizidi kutafuta msingi wa kukuza BRAND kubwa mtandaoni kwa aina hizi za biashara.


Nikaamua nianze kufuatilia BRAND kubwa (Kama Nike, Levis, Starbucks n.k) kuweza kubaini njia walizozitumia kujenga BRAND kubwa mtandaoni.

Katika kufuatilia BRAND hizi kubwa kwa muda wa miezi 2 nimegundua mambo mengi sana lakini mambo 2 ndo msingi wa BRAND zao kukua.

Moja: Nimegundua kwamba kwenye maudhui (Content) wanayopost kila siku yote yapo kwenye mfumo wa aina 3 za post.


Licha ya kwamba wanaweza kupost vitu vingi kwa siku lakini kila wanachokipost kinaanguka kwenye moja ya aina hizi 3 za post.


Mbili: Kwenye post zao hawauzi. Badala yake wanasema kama unahitaji bidhaa hii link ipo kwenye bio. Link iliyopo kwenye bio inawapeleka wateja kwenye CATALOGUE (Ukurasa wenye bidhaa zao mbalimbali)


Kwanini aina 3 za post na kwanini hawauzi kwenye post zao?


Nisikilize kwa makini jibu la swali hili ndipo siri yao ya kukuza BRAND kubwa mtandaoni ilipojificha.


Hawa jamaa wanaelewa kwamba kitu cha msingi cha kukuza BRAND kubwa Mtandaoni ni ENGAGEMENT na sio kuwa na followers wengi.


Followers hawana maana yoyote kama hawa-engage kwa unachokipost.


Nikisema engagement namaanisha watu kusoma ulichokipost, kukoment, kulike na kushare.


Kwahiyo BRAND hizi kubwa zinatumia aina 3 za post (maudhui) ambazo zinalenga kuongeza engagement.


Na sababu ya kwanini hawauzi kwenye post zao ni kwamba wanataka kukuza engagement.


Unajua kinachotokea kama post zako zinapata engagement?


Kwasababu Facebook Na Instagram Wanapenda Sana ENGAGEMENT. Kwahiyo...


Kama watu wakiwa wanaengage kwenye post zako Facebook na Instagram wanaanza kuwaonesha watu ambao hata hawajakufollow post zako kwa BURE kabisa. Kwahiyo unapata “Free exposure” hivyo kufanya uanze kuwa maarufu kwa BURE kabisa.


Unajua kwanini Facebook na instagram wanafanya hivyo?


Mark Zuckerberg (Mmiliki wa Fb na IG) asilimia kubwa ya utajiri wake ni kupitia pesa tunayoitoa mamilioni ya wafanyabiashara tunaofanya matangazo ya kulipia kwenye platform zake.


Sasa ili Bwana Zuck apate hela inatakiwa mambo 2 yatokee.


Jambo la kwanza: Wafanyabiashara wazidi kufanya matangazo ya kulipia


Jambo la pili: Watu watumie muda wao mwingi kuwepo Facebook na Instagram ili wayaone hayo matangazo ya watu waliolipia.


Watu wakitumia muda wao mwingi Tiktok au YouTube au kwenye platform zingine TOFAUTI na Facebook na Instagram maana yake Facebook atakosa hela kwasababu wafanyabiashara wataacha kufanya matangazo ya kulipia kwenye platform zake na kwenda kufanya matangazo kwenye hizo platform ambazo watu wanatumia muda wao mwingi huko.


Kwahiyo Bwana Zuck anafanya juu chini watu wakae muda mrefu Facebook na Instagram ili waone matangazo ya kulipia ambayo ndo yanampatia hela.


Hivyo basi ikitokea kwa namna yoyote ile post zako zikamfanya mtu akae hata sekunde moja zaidi kwenye platform zake (Fb & IG) zawadi yake kwako ni Free exposure.


Yaani anaona kwakuwa post yako imemfanya mtu mmoja akae sekunde moja zaidi kwahiyo akiwaonesha post yako (Zako) watu wengine kinachotokea ni nini?


Maana yake watu wengi wata-engage na post zako na hivyo kufanya wazidi kuwepo kwenye platform zake kwa muda mrefu.


Wakiwa online kwa muda mrefu yeye atatengeneza hela. Kwahiyo ndio maana kama post zako zinapata ENGAGEMENT mfumo wa bwana Zuck unazifikisha post zako kwa watu wengi hata ambao hawajakufollow ili KUCHOCHEA watu wengi wazidi kuwepo kwenye plaform zake yeye azidi kutajirika.


Ikumbukwe hakuna mtu anayeingia mtandaoni (Facebook na Instagram) kwa lengo la kuangalia matangazo ya kulipia.


Kwahiyo hakuna namna au sababu ya kuwafanya watu kuingia online zaidi ya kuwepo kwa CONTENT ambazo watu wanafurahia kuzipitia au kuzisoma.


Hivyo basi ukiwa mmoja wa watu wenye content za namna hiyo maana yake wewe unakuwa miongoni mwa watu wanaomtajirisha bwana Zuck. Kwahiyo na yeye zawadi yake kwako ni kufikisha post yako (Zako) kwa watu wengi zaidi hata ambao hawajakufollow ili watu wengi wa-engage na kuzidi kuwepo Facebook na Instagram.


Ndio maana nimekwambia ENGAGEMENT ndio kitu cha msingi sana kuliko takataka zinazoitwa followers.


Kwahiyo BRAND hizi kubwa kwa kutumia aina 3 za post wanawafanya watu waengage sana kwenye post zao na hivyo kufanya mfumo wa Facebook na Instagram ufikishe post zao kwa watu ambao hawajawafollow na hivyo kuwafanya wawe maarufu siku hadi siku.


Kila kitu ambacho nimejifunza kutoka kwenye utafiti wangu wa miezi 2 kuhusu kukuza BRAND kubwa mtandaoni nimekinukuu na nimekiweka katika mpangilio ambao mtu yeyote anaweza kufuata na kuifanya biashara yake kuwa BRAND kubwa mtandaoni na maarufu kwenye soko lako.


Kwahiyo kama unataka nikushike mkono nikuelekeze hatua kwa hatua jinsi ya kukuza BRAND kubwa mtandaoni, jinsi ya kuwa maarufu na kujulikana sana kwenye soko lako ili kila mtu anayehitaji bidhaa kama unayoiuza sehemu ya kwanza kufikiria kwenda kununua iwe kwako nitakuwa tayari kukusaidia kwasababu nimeandaa program ambayo inaitwa...

Social Media Branding (SMB)

Social Media Branding


Program hii ni ya wiki 4.


Mpaka wiki 4 kuisha utakuwa tayari umebaini mbinu PEKEE na za KITOFAUTI za kuifanya biashara yako iwe maarufu na BRAND kubwa mtandaoni.


Katika wiki hizi 4 tutakachokifanya ni hiki hapa:

The BRANDING system


Lengo la kujenga BRAND kubwa mtandaoni ni kupata wateja endelevu hata pindi ambapo utakuwa hufanyi matangazo ya kulipia.


Na mauzo yote yatafanyika kwenye WhatsApp yako. Hii inamaanisha kwamba...


Wateja watakuwa wanatoka Facebook na Instagram wanakufuata whatsApp kwa ajili ya wewe kuwauzia Bidhaa zako.


Kwahiyo Kwenye Whatsapp yako ndo sehemu maalumu ya kutoa OFA yako na KUUZA.


Kama kwenye whatsapp yako ndo sehemu maalumu ya kufanya mauzo kwahiyo hii ndo sehemu ya kwanza kabisa ambayo inatakiwa TUIWEKE sawa.


Inakuwa haina maana yoyote watu wengi kuja kwenye whatsapp yako halafu usipate mauzo ya kutosha.


Kama whatsapp yako hatujaiset katika namna ambayo mtu akikutafuta tu tayari huyo anakuwa ni mteja wako basi utapoteza mauzo mengi.


Na hiki ndo kinawatokea wafanyabiashara wengi.


Wanapata watu wengi kwenye whatsapp zao lakini mauzo kidogo. Mauzo ni kidogo kwasababu whatsapp zao hazijasetiwa kama ambavyo naenda kukufundisha kwenye...

Wiki Ya Kwanza: Namna Ya Kumiliki SOKO Na Kuongeza Mauzo Mara DUFU Kwa Kutumia WhatsApp Business!

Kila mfanyabiashara kwa hapa Tanzania naamini anatumia whatsapp Business kwenye biashara yake. (Namaanisha biashara nilizozitaja hapo juu)


Lakini kwa tafiti zangu nimebaini kwamba Watanzania wengi kuna sehemu moja kwenye whatsapp business ambayo hatuitilii maanani na sehemu hiyo ndo mauzo mengi yalipojificha.


Sehemu hiyo ni kwenye CATALOGUE.


Wafanyabiashara wengi Wakitanzania wanachokifanya hapa kwenye catalogue ni hovyo kabisa.


Utafiti nilio ufanya kutoka kwenye BRAND kubwa ni kwamba mabilioni ya pesa wanayatengeneza kupita ONLINE CATALOGUE zao.


Hapa ndo wanawekeza pesa nyingi katika kuwalipa watu wa kuandika “Product Descriptions” ambazo zinashawishi watu kununua bidhaa.


Kwahiyo kwenye wiki ya kwanza nakufundisha Fomula pekee ya kuandika “Product Descriptions” ambazo zinashawishi watu kununua bidhaa zako kupitia WhatsApp CATALOGUE yako.


Baada ya hapo nakupa meseji moja (Ukopi na Kupesti) yenye ushawishi mkubwa kwa mteja ambaye atakutafuta inbox. 1: Ajitambulishe yeye ni nani 2: awe na mzuka wa kusave namba zako. Hii itafanya iwe rahisi wewe kuuza kupitia Whatsapp Broadcast kwa kutuma meseji moja ambayo itawaendea wateja wako wote (Mteja asiposave namba zako huwezi kumuweka kwenye broadcast. Kwahiyo meseji hii nitakayokupatia imethibitika kwa kuwa na ushawishi wa kumfanya mtu afanye vile unavyomwambia yeye afanye)


Sio hivyo tu...


Nitakupa scripts za meseji ambazo inatakiwa uzitume kama broadcast meseji.


Baada ya hapo nitakuelekeza namna sahihi ya kuuza kupitia whatsapp status kwa kutumia MBINU ya “The Halo Effect”. Mbinu hii itaongeza mauzo kupitia whatsapp status yako hutaamini.


Na cha zaidi ni kwamba...


Ntakufundisha jinsi ya kutengeneza OFA ambayo mteja yeyote atajiona mjinga kuikataa OFA yako.


Kwahiyo mpaka wiki ya kwanza kuisha...

  • Utakuwa tayari una uhakika kwamba mtu akikutafuta kwenye whatsapp yako lazima awe mteja wako na sio anaishia kuulizia bei na kupotea.
  • Utakuwa tayari umeset CATALOGUE yako katika namna ambayo itauza bidhaa zako masaa 24. (Inbox ni sehemu ya kupokea ODA na wakati kwenye CATALOGUE ndo sehemu maalumu ya kuuza kwenye whatsapp yako.
  • Utakuwa unajua kuongeza mauzo kwenye status yako kwa kutumia mbinu ya “The Halo Effect”


Baada ya hapo tunaendelea na…

Wiki Ya Pili: Aina 3 Za Post Ambazo Zitaongeza Engagement Na kukufanya Uwe Maarufu Facebook Na Instagram.


Baada ya kuwa wiki ya kwanza tumeseti whatsapp yako vizuri katika namna ya kuhakikisha kila atakayekuja kwenye whatsapp yako anakuwa mteja wako...


Wiki ya pili tunaingia mtandaoni kukinukisha.


Sasa ni wakati wa kujenga BRAND yako na kuwa maarufu mtandaoni.


Ukiwa maarufu na BRAND kubwa maana yake watu wengi wataanza kukutafuta.


Na wengi wao watakutafuta kwenye whatsapp yako.


Kwahiyo ndio maana wiki ya kwanza tunaanza kuweka sawa mazingira ya whatsapp yako ili usipoteze wateja pindi tutakavyoanza kukuza BRAND yako kwenye wiki hii ya pili.


Jinsi ambavyo tutakuza BRAND yako na kukufanya uwe maarufu mtandaoni ni kwa namna ifuatayo:


Nitakufundisha aina 3 za post ambazo BRAND kubwa kama Nike ndo wanazitumia kuzidi kuwa juu kila iitwayo leo.


Post hizi 3 zinalenga kuongeza ENGAGEMENT.


Kwakua Facebook na Instagram wanapenda sana ENGAGEMENT maana yake kadri watu watakavyozidi ku-engage kwenye post zako ndivyo ambayo Facebook Na Instagram watazidi kuzifikisha post zako kwa watu wengi ambao hawajakufollow hivyo kufanya uzidi kujulikana siku hadi siku.


Hata kama huna followers wengi au akaunti yako ni mpya. Facebook au Instagram haangalii idadi ya followers ulio nao.  Anachokiangalia ni je, watu wana-engage kwenye post zako? Ikitokea aka-engage hata mtu mmoja, Facebook na Instagram wanafurahi na kuona kwamba wakifikisha post zako kwa watu wengi basi watu wengi wata-engage na kufanya watu hao wazidi kuwa online kitu ambacho kitamfanya bwana Zuck (Mmiliki wa Fb & IG) azidi kutajirika.


Kwahiyo kwa kutumia aina hizi 3 za post akaunti zako (Page yako Facebook Na account yako Instagram) zitaanza kuwa maarufu kwenye soko lako na kukufanya kuwa mtu wa kwanza kufikirika pindi watu wanapohitaji kununua bidhaa kama zako.


Hivyo basi mpaka wiki ya pili kuisha...

  • Utakuwa unajua aina 3 tu za post ambazo zitakusaidia kukuza BRAND kubwa mtandaoni.
  • Utakuwa unajua njia PEKEE ya kuwa maarufu na kujulikana kwenye soko lako.
  • Utakuwa tayari unajua jinsi ya kupandikiza mbegu ya kuwafanya watu wakutafute kwa taarifa zaidi kuhusu bidhaa zako (Kumbuka hatutumii Facebook Na Instagram yako kuuza. Tunatumia platform hizo kujenga umaarufu ili watu wa-engage na waanze kukutafuta kwenye whatsapp yako kwa sana)

Baada ya wiki ya pili tunaendelea na...


Wiki Ya Tatu: Kuseti Roboti Ambalo Kila  Atakaye-Engage Kwenye Post Zako Linachat Naye Na Kumshawishi Aje Kwenye WhatsApp Yako Kununua Bidhaa!


Kwa kutumia aina 3 za post ambazo utajifunza kwenye wiki ya pili lazima utaanza kuwa maarufu na kujenga BRAND kubwa mtandaoni.


Watu wengi wataanza kukufatilia na ku-engage kwenye post zako.


Lakini Engagement na Umaarufu bila MAUZO ni kazi BURE.


Watu ku-engage kwenye post zako maana yake wanamapendeleo ya bidhaa zako.


Kwahiyo kwenye wiki hii ya tatu nakufundisha jinsi ya kuseti Roboti ambalo litakuwa linachat na kumshawishi kila atakaye-engage kwenye post zako instagram na Facebook aje whasapp kununua bidhaa zako.


Hivyo basi wewe kazi yako itakuwa nikuandaa hizo aina 3 za post kila siku au moja ya aina hizo na kupost (Nitakupatia scripts na mifano kwahiyo kuandaa post hizi kila siku itakuwa haizidi hata dakika 15)


Ukimaliza kupost unasubiri mauzo whatsapp kwasababu mtu aki-engage tu kwenye post zako, Roboti linamfuata inbox kwake na kumshawishi aje whatsapp kununua.


Fikiria mtu akikoment kwenye post yako muda huo huo anatumiwa meseji inbox kwake na akijibu anaanza kuchat na roboti halafu mwishoni roboti linamleta kwenye whatsapp yako kununua!


Na kwakua aina hizi 3 za post utakazojifunza kwenye wiki ya pili zitakuwa zinawafanya watu wacomment sana kwahiyo badala ya wewe kuanza kuchat na kila mmoja wao roboti ndo linaifanya kazi hiyo kwa niaba yako.


Sio hivyo tu...


Nitakufundisha jinsi ya kuseti roboti ili ikitokea mtu akaku-DM (Akakutumia meseji inbox Instagram au Facebook) anaanza kwanza kwa kuchat na roboti halafu Roboti linamleta mpaka kwenye whatsapp yako kwa ajili ya mauzo.


kwahiyo mpaka wiki ya tatu kuisha...

  • Utakuwa umetengeneza mfumo ambao utakuwa unawageuza watu wanao-engage kwenye post zako kuwa wateja
  • Utakuwa umetengeneza mfumo ambao unawageuza watu wanaokufuata inbox kuwa wateja.

Baada ya hapo tunamalizia…


Wiki ya Nne: Jinsi Ya Kupata Umaarufu Wa Haraka Kwenye Soko Lako!


Kwenye wiki ya tatu umejifunza jinsi ya kutengeneza mfumo ambao unageuza umaarufu wako kuwa MAUZO kwa kutumia ROBOT ambalo litakuwa linachat na kumshawishi kila atakaye-engage kwenye post zako kuja whatsapp kununua bidhaa.


Wiki ya nne ni wakati wa kutumia aina pekee ya matangazo ya kulipia ambayo lengo lake ni kukufanya uwe maarufu na upate engagement kubwa kwenye account yako ndani ya muda mfupi.


Kwa kutumia aina hii ya matangazo utapata mamia ya watu wanao-engage kwenye post zako na kwakua tushaset mfumo tayari wa kuwageuza wanao-engage kuwa wateja maana yake utapata UMAARUFU wa haraka na MAUZO ya kutosha vyote kwa pamoja.


Na kama nilivyokwambia kwamba...


Kadri watu wengi wanavyozidi ku-engage kwenye post zako ndivyo ambavyo Facebook Na Instagram wanazidi kufikisha post zako kwa watu wengi hata kwa ambao hawajakufollow.


Kwahiyo kwa kufanya aina hii ya matangazo ya kulipia utakuwa unapata na “MORE FREE EXPOSURE”  kama ZAWADI ya Facebook Na Instagram kwako kwa kuwafanya watu wakae online kwa muda mrefu.


Ndani ya muda mfupi utaliteka soko na kuwa kinara kwenye soko lako.


 Kwahiyo mpaka wiki ya nne kuisha...
  • Utakuwa unajua jinsi ya kurusha matangazo ya KIPEKEE ya kukufanya uwe MAARUFU kwenye soko lako ndani ya muda mfupi
  • Utakuwa tayari unajua jinsi ya kukuza ENGAGEMENT kwenye post zako hata kama huna follower hata mmoja.

Baada ya wiki 4 kuisha hongera sana. Sasa unakuwa umefuzu mafunzo ya kukufanya uwe maarufu na kujenga BRAND kubwa mtandaoni ambayo itakupatia wateja wapya kila siku na itawafanya watu pindi wanapotaka kununua bidhaa kama yako mtu wa kwanza kufikiriwa unakuwa ni wewe.

Program hii ya Social Media Branding (SMB) inaanza lini?


Program hii inaanza Rasmi TAREHE 31/08/2023.


Mpaka tarehe hiyo Mafunzo ya program nzima kuanzia wiki ya kwanza mpaka wiki ya 4 yatakuwa tayari yameandaliwa


Na mafunzo haya yanatolewa kwenye tovuti yangu (Online) na sio kwa kukutana ana kwa ana na kuanza kufundishana.


Utapata kujifunza ukiwa sehemu yoyote ile hapa Tanzania na kwa muda wako.


Ukijiunga kwenye program, hutaweza kupata mafunzo yote kwa pamoja.


Sihitaji uchanganyikiwe ndio maana ni program ya wiki 4. Huwezi ukajifunza yote kwa wiki moja.


Kwahiyo, ukijiunga kwenye program, kuanzia tarehe 20 mwezi huu, mfumo wangu utakuruhusu kupata mafunzo ya wiki ya kwanza tu na kukuzuia usipate mafunzo ya wiki ya 2, 3 na ya 4 licha ya mafunzo hayo kuwa tayari yameshaandaliwa.


Baada ya wiki moja kupita mfumo utakuruhusu upate mafunzo ya wiki ya 2 na kukuzuia usipate mafunzo ya wiki ya 3 na 4.


Wiki ya tatu ikifika mfumo utakuruhusu uweze kupata mafunzo ya wiki ya 3 na kukuzuia usipate mafunzo ya wiki ya 4.


Baada ya wiki 3 kupita mfumo utakuruhusu upate mafunzo ya wiki ya 4.


Kila mtu ataruhusiwa kupata mafunzo kulingana na siku ambayo atakuwa amejiunga kwenye program. Hii inamanisha kwamba wewe ukijiunga leo halafu mwingine akajiunga kesho. Wewe utamtangulia siku moja kupata mafunzo ya wiki ya pili maana utakuwa siku moja mbele yake. Na itakuwa hivyo kwa wiki ya 3 na 4.


Inagharimu kiasi gani kujiunga Kwenye Program hii ya Social Media Branding (SMB) 


Kwa hapa Tanzania wapo watu kadhaa ambao wanafundisha kuhusu kujenga BRAND mtandaoni na "Course" zao ni nzuri.


Lakini Program yangu ni nzuri zaidi kwa maana nafundisha vitu zaidi ya wanavyovifundisha kwenye "Course" zao.


Kuna mmoja ana darasa lake kuhusu BRANDING na gharama ya kujiunga kwenye Darasa lake ni 500,000/=


Kwahiyo nikisema gharama ya kujiunga kwenye program yangu ni milioni moja (1,000,000/=) itakuwa ni bei rafiki sana ukizingatia mimi nakufundisha vitu vya tofauti na kipekee ukilinganisha na course za walimu wengine kwa hapa Tanzania.


Lakini naenda kukushangaza hutaamini.


Pesa utakayolipia kujiunga kwenye program hii haifiki hata nusu ya hiyo milioni moja.


Utajiunga kwenye program hii kwa punguzo la 60%. Yaani badala ya kulipia 1,000,000/= utajiunga kwenye program hii kwa…


400,000/=


Sawa na 14,000/= kila siku kwa muda wa wiki 4 za program


Hata hivyo nakupatia punguzo la bei zaidi. Kama utakuwa miongoni mwa watu 10 wa kwanza kujiunga kabla ya tarehe 31 mwezi huu ambapo ndo program itaanza rasmi utapata punguzo la bei la 100,000/= yaani badala ya kulipia 400,000/= utalipia 300,000/=


300,000/= ni kwa watu 10 tu ambao watajiunga kabla ya tarehe 31 mwezi huu kama unavyoona kwenye saa hiyo hapo juu. Baada ya tarehe 31 gharama ya kujiunga kwenye program hii itakuwa ni 400,000/= kama kawaida.


Ili uweze kulipia hiyo 300,000/= badala ya 400,000/= inatakiwa utumie coupon code ifuatayo:


84PTJHYB

(Ikopi halafu hapo mbele nitakwambia wapi pakuipesti)


Baada ya watu 10 kuitumia coupon code hii, coupon inaexpire. Maana yake Coupon Code hii imeandaliwa kwa ajili ya kupunguza bei kwa watu 10 tu ambao watajiunga kwenye program kabla ya tarehe 31 mwezi huu. Kwahiyo ukiwahiwa na watu 10 maana yake hutapata tena hilo punguzo la 100,000/= maana coupon inaexpire baada ya kutumiwa na watu 10.


Kuna sababu kwanini nakupatia punguzo la bei hili.


Ni rahisi kuielewa sababu hiyo.


Wateja wangu wazuri ni wale wanaojirudia. Yaani wanaonunua maarifa kutoka kwangu kwa zaidi ya mara moja. 


Kwa mantki hiyo…


Program hii nimeiandaa maalumu kwa wafanyabiashara wa aina nilizozitaja juu waliojiunga kwenye darasa la Facebook na Instagram mapene.


Kwakuwa wewe ni mteja wangu tayari ndio maana nakupatia punguzo la bei zaidi kama shukrani ya kuwa mteja endelevu.


Hata hivyo, kama ukijiunga kwenye program hii nitakuzawadia na BONUS zifuatazo kwa BURE kabisa kama asante ya kujiunga kwenye program hii.

BONUS-1: Kukurushia na Kukusetia Matangazo Yote Ya Kulipia Ya Kukuza BRAND Yako Kwa Muda Wa Siku 60


Ukiwa unaanza sio rahisi ufanye mambo fulani kama inavyotakiwa.


Licha ya kwamba kwenye wiki ya 4 ya program nitakufundisha jinsi ya kurusha aina pekee ya matangazo ya kukupatia umaarufu wa haraka, nina wasiwasi kwakua sio mzoefu unaweza ukakosea sehemu na kufanya uishie kupoteza hela zako bure.


Kwahiyo kwa muda wa siku 60 nitakuwa nakusetia na kukurushia matangazo yote ya kujenga BRAND yako mtandani na kukupatia umaarufu wa haraka.


Thamani ya BONUS hii ni 1,000,000/=

BONUS-2: Kukusetia ROBOTI Ambalo Litakuwa Linachat Na Watu Wanao-Engage Kwenye Post Zako Kwa Muda Wa Siku 60


Licha ya kwamba kwenye wiki ya 3 ya program yetu nitakufundisha jinsi ya kuset roboti la kuchat na watu wanao-engage kwenye post zako nina uhakika kama sio mzoefu wa masuala ya IT itakuwea ngumu kwako kwa siku za mwanzoni.


Kwahiyo kwa muda wa siku 60 nitakuwa kila post unayoipost naisetia ROBOTI la kuchat na watu wote watakao-engage kwenye post hizo.


sio hivyo tu...


Hata ROBOTI la kuchat na watu watakao kufuata inbox nitakusetia pia.

 

Thamani ya BONUS hii ni 2,000,000/=


Bonus zote 2 Thamani yake Kwa Ujumla Ni 3,000,000/=


Lakini BONUS hizi 2 utazipata kwa BURE kabisa endapo utajiunga leo kwenye program hii ya Social Media Branding.


Kwahiyo kwa ujumla, hii hapa orodha ya vitu Vyote utakavyovipata kama utalipia leo:

  • Program ya Social Media Branding – Thamani yake 1,000,000/=
  • Kukurushia na Kukusetia Matangazo Yote Ya Kulipia Ya Kukuza BRAND Yako Kwa Muda Wa Siku 60 – Thamani yake 1,000,000/=
  • Kukusetia ROBOTI Ambalo Litakuwa Linachat Na Watu Wanao-Engage Kwenye Post Zako Kwa Muda Wa Siku 60 – Thamani yake ni 2,000,000/=

Jumla ya Thamani ya Kila kitu utakachojifunza ni 4,000,000/= lakini wewe utalipia 400,000 Tu kupata kila kitu.


Kwahiyo kwa 400,000/= utapata kugundua siri zote nilizozifundisha kwenye program hii.

Guarantee image

Kama baada ya wiki 4 utakuwa hujalidhishwa na mafunzo ya program hii (Kwa Sababu yoyote) nijulishe kupitia namba hii 0768354507 nitakurudishia pesa zako zote bila kinyongo chochote.


Hata hivyo nina uhakika utaipenda sana program hii na utalidhika kwa mafunzo nitakayokupatia.


Kwanza nadhani wewe mwenyewe utashangazwa kwa kile ambacho naenda kukufundisha kwenye program hii.


Ukweli ni kwamba, utakuwa MAARUFU kwenye soko lako na utajenga BRAND kubwa mtandaoni na kuanza kupata wateja wapya endelevu na kwakua utakua unajulikana sana kwenye soko lako wewe ndo utakuwa mtu wa kwanza kufikiriwa pindi watu wanapotaka kununua bidhaa kama unayoiuza wewe.


UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Soma kwanza maelekezo yote ya kufanya malipo ya kujiunga kwenye program hapa chini:


Hatua ya 1: Bonyeza kule chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini. (Hii ni picha tu sehemu ya kubonyeza ni kule chini. Kwahiyo soma maelekezo yote kwanza halafu ndo uanze kufuata maelekezo)

SMB payment-1

Hatua ya 2: Bonyeza kwa juu upande wa kulia sehemu iliyoandikwa "Viewcart" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

SMB payment-2

Hatua ya 3: Hakikisha bei (Price) inasoma 400,000 Idadi (Quantity) inasoma 1 na "subtotal" inasoma 400,000. Baada ya kumaliza uhakiki kama nimekupatia Coupon code unatakiwa uikopi na kuipesti kwenye kisanduku cha mshare namba 4. Kama sijakupatia hutakiwi kuweka chochote hapo. Baada ya kuiweka hiyo coupon code unatakiwa ubonyeze mshare namba 5 (Kwenye apply coupon). Ukimaliza kuapply coupon utaona bei inapungua . Baada ya hapo unabonyeza sehemu iliyoandikwa "Proceed to checkout" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

SMB payment-3

Hatua ya 4: Ikiwa kwenye hatua ya 3 wakati unahakiki utabaini kwenye Idadi (Quantity) sio namba 1 na "Subtotal" sio 400,000. Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza alama ya kutoa (-) mpaka idadi (Quantity) isome 1 na baada ya hapo utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Update cart". baada ya kuupdate cart bei itasoma 400,00. kama nimekupatia Coupon code baada ya kuupdate cart unatakiwa uikopi na kuipesti kwenye kisanduku cha mshare namba 3. Kama sijakupatia hutakiwi kuweka chochote hapo. Baada ya kuiweka hiyo coupon code unatakiwa ubonyeze mshare namba 4 (Kwenye apply coupon). Ukimaliza kuapply coupon utaona bei inapungua chini ya hiyo 400,000 . Baada ya hapo unabonyeza sehemu iliyoandikwa "Proceed to checkout" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

SMB payment-4

Hatua ya 5: Kama ushawahi kuwa mteja wangu kabla maana yake ulitengeneza username na password za kulogin kwenye account yako. Kwakua una account tayari huhitaji kutengeneza username au password mpya. Unachotakiwa kufanya ni kulogin kwenye account yako kwanza. Kuna sehemu pameandikwa Returning customer? Click here to login. Bonyeza sehemu iliyoandikwa click here to login kuweka username na password yako kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

CAE Returning customer payment

Hatua ya 6: Baada ya kulogin kwenye account yako utaletwa kwenye ukurasa wa kujaza taarifa zako zote kwa ajili ya mfumo kutengeneza Risti (Receipt) ya malipo utakayofanya ili baada ya kukamilisha malipo utumiwe Risti ya malipo yako. Taarifa hizo ni kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

SMB payment-5

Hatua ya 7: Baada ya kujaza taarifa zako kikamilifu utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Place order"kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

CAE payment-6

Hatua ya 8: Malipo yanafanyika kupitia moja ya mitandao 4 ya simu. Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel. Unachotakiwa kufanya bonyeza kwenye alama ya pembe tatu halafu chagua mtandao wa simu mmoja ambao utautumia kufanya malipo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

SMBPayment step-8

Hatua ya 9: Kulingana na mtandao wa simu ambao umechagua kwenye hatua ya 8, Weka namba ya mtandao husika ambayo itatumika kufanya malipo. Kwa mfano kama kwenye hatua ya 8 umechagua mtandao wa Vodacom, hapa kwenye hatua ya 9 unaweka namba yako ya Voda. Na utafanya hivyo ikiwa umechagua mtandao tofauti. Baada ya hapo utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Pay TZS 400,000" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

SMB payment-9

Hatua ya 10: Baada ya kubonyeza "Pay TZS 400,000" kwenye hatua ya 9, utaletewa USSD Push (Meseji) kwenye simu yako ya kukamilisha malipo. Bonyeza 1 kukubali kufanya malipo. Halafu weka namba yako ya siri ya mtandao ambao unakuwa umechagua kuutumia kufanya malipo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.

SMB payment-10

Ukimaliza kuweka namba yako sa siri bonyeza 1 kuruhusu 400,000/= ikatwe kutoka kwenye simu yako. Baada ya pesa kukatwa na malipo kukamilika mfumo utajua na utakupeleka darasani moja kwa moja. 


Labda tuseme unasoma ujumbe huu kwa kutumia simu yako kubwa halafu namba ya simu ambayo unataka uitumie kufanya malipo ipo kwenye simu nyingine kubwa au kitochi (Ndogo) utafanyaje?


Ni rahisi tu...


Fuata hatua ya 1-9 kwa kutumia simu yako kubwa ambayo unaitumia kusoma ujumbe huu sasa hivi halafu mfumo utatuma meseji hiyo ya hatua ya 10 ya kukamilisha malipo kwenye namba ambayo umeweka. Hata kama namba hiyo itakuwa kwenye simu nyingine (Kubwa au ndogo) mfumo utatuma huko huko kwenye simu nyingine tofauti na hii ambayo ndio unaitumia kufanya mchakato wa malipo. Baada ya mfumo kutuma meseji hiyo kwenye simu nyingine unatakiwa ulipie kupitia simu hiyo ambako meseji imetumwa na baada ya hapo mfumo utagundua kuwa umekamilisha malipo na kwenye simu hii uliyofanyia mchakato wa malipo mfumo utakupeleka darasani moja kwa moja licha ya wewe kukamilisha au kumalizia kufanya malipo kwa kutumia simu nyingine.


Lakini pia unatakiwa kwenye simu yako uwe na zaidi ya 400,000/= maana makato ya serikali na mtandao husika ni nje ya hiyo gharama ya kujiunga kwenye darasa. Kama pesa kwenye simu yako itakuwa 400,000/= kamili au chini ya hapo malipo hayatafanikiwa na pesa haitakatwa kutoka kwenye simu yako.


Hizo ndizo hatua za kufanya malipo. Kwahiyo sasa unaweza kuanza kufanya malipo kwa kubonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA"

400,000/= | 1,000,000/= | Save 60%

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. Ni matumaini yangu kwamba tutakutana kwenye program hivi karibuni.

Cheers,

Mr Bokko.

>>> 0768354507 <<<

Dar Es Salaam.

P.S:  Kama na wewe ni miongoni mwa wale watu (kama mimi) wanaorukia mwishoni mwa ujumbe wowote kabla ya kuusoma iko hivi:


Nimeandaa program ya wiki 4. Program hii inaitwa Social Media Branding.


Kwenye wiki hizi 4 utajifunza jinsi ya kuwa MAARUFU kwenye soko lako, kujenga BRAND kubwa mtandaoni ili uliteke soko lako na kufanya uwe mtu wa kwanza kufikiriwa pindi watu wanapotaka kununua bidhaa kama unayoiuza wewe.


Na pia baada ya program kuisha kama zawadi ya kujiunga kwenye program nitakurushia na Kukusetia Matangazo Yote Ya Kulipia Ya Kukuza BRAND Yako Kwa Muda Wa Siku 60 kwa BURE kabisa


Sio hivyo tu…


Nitakukusetia ROBOTI Ambalo Litakuwa Linachat Na Watu Wanao-Engage Kwenye Post Zako Kwa Muda Wa Siku 60.


Kwa hapa Tanzania wapo watu kadhaa ambao wanafundisha kuhusu kujenga BRAND mtandaoni na "Course" zao ni nzuri.


Lakini Program yangu ni nzuri zaidi kwa maana nafundisha vitu zaidi ya wanavyovifundisha kwenye "Course" zao.


Kuna mmoja ana darasa lake kuhusu BRANDING na gharama ya kujiunga kwenye Darasa lake ni 500,000/=


Kwahiyo nikisema gharama ya kujiunga kwenye program yangu ni milioni moja (1,000,000/=) itakuwa ni bei rafiki sana ukizingatia mimi nakufundisha vitu vya tofauti na kipekee ukilinganisha na course za walimu wengine kwa hapa Tanzania.


Lakini nimeona gharama hiyo itawafanya watu washindwe kujiunga kwenye program hii. Kwahiyo natoa punguzo la bei la 60%.


Yaani badala ya milion 1 utajiunga kwenye program hii kwa kulipia…


400,000/=


Sawa na 14,000/= kila siku kwa muda wa wiki 4 za program


Hata hivyo nakupatia punguzo la bei zaidi. Kama utakuwa miongoni mwa watu 10 wa kwanza kujiunga kabla ya tarehe 31 mwezi huu ambapo ndo program itaanza rasmi utapata punguzo la bei la 100,000/= yaani badala ya kulipia 400,000/= utalipia 300,000/=


300,000/= ni kwa watu 10 tu ambao watajiunga kabla ya tarehe 31 mwezi huu. Baada ya tarehe 31 gharama ya kujiunga kwenye program hii itakuwa ni 400,000/= kama kawaida.


Ili uweze kulipia hiyo 300,000/= badala ya 400,000/= inatakiwa utumie coupon code ifuatayo:


84PTJHYB


Baada ya watu 10 kuitumia coupon code hii, coupon inaexpire. Maana yake Coupon Code hii imeandaliwa kwa ajili ya kupunguza bei kwa watu 10 tu ambao watajiunga kwenye program kabla ya tarehe 31 mwezi huu. Kwahiyo ukiwahiwa na watu 10 maana yake hutapata tena hilo punguzo la 100,000/= maana coupon inaexpire baada ya kutumiwa na watu 10.


Program hii nimeiandaa kwa ajili ya watu waliojiunga kwenye darasa la Facebook na Instagram Mapene na wewe umeshajiunga tayari.


Hivyo kwa heshima ya kuwa mteja wangu endelevu ndio maana naonesha shukrani zangu kwako kwa kutoa punguzo hili la bei.


Kama baada ya wiki 4 utakuwa hujalidhishwa na mafunzo ya program hii (Kwa Sababu yoyote) nijulishe kupitia namba hii 0768354507 nitakurudishia pesa zako zote bila kinyongo chochote.


Hata hivyo nina uhakika utaipenda sana program hii na utalidhika kwa mafunzo nitakayokupatia.


Kwanza nadhani wewe mwenyewe utashangazwa kwa kile ambacho naenda kukufundisha kwenye program hii.


Ukweli ni kwamba, utakuwa MAARUFU kwenye soko lako na utajenga BRAND kubwa mtandaoni na kuanza kupata wateja wapya endelevu na kwakua utakua unajulikana sana kwenye soko lako wewe ndo utakuwa mtu wa kwanza kufikiriwa pindi watu wanapotaka kununua bidhaa kama unayoiuza wewe.


Kufanya malipo ya kujiunga kwenye program hii ni rahisi.


Bonyeza hapa chini kufanya malipo ili uanze kujifunza sasa hivi.


Ndio, Nahitaji kujiunga kwenye Program Hii sasa hivi!

Haya hapa majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara. Bonyeza juu ya swali husika kusoma jibu lake.

Je, bajeti ya kurusha matangazo ya kujenga brand yangu itakuwa humo humo kwenye hiyo 400,000/=?

Hapana. 


400,000/= ni ADA ya kujiunga kwenye program hii.


Bajeti ya matangazo ya kukuza BRAND yako ni nje ya hiyo ADA.

Nahitaji kufungua account tena ya kujiunga kwenye program hii?

Hapana.


Kama ushajiunga kwenye Darasa la Facebook & Instagram Mapene tayari una account.


Kwahiyo huhitaji kufungua account nyingine tena.

program hii itanisaidia kama sina followers wengi au sina kabisa

Ndio Program hii itakusaidia.


Tena kama huna follower hata mmoja na account yako ni mpya program hii itakufaa zaidi maana account yako haina makosa mengi sana kama ya ambao account zao zina followers na washapost posts kibao ambazo zina makosa mengi.

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

Copyright - Online Marketing System Pro

>
error: Content is protected !!
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications