Jiunge Kwenye Program Ya CAE
Kwa 95,000/=
Kufanya malipo ni rahisi tu.
hatua ya kwanza: Jaza taarifa zako kwenye fomu hapa chini kikamilifu kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa "Lipia Sasa 95,000" na usubiri ukurasa mpya wa kufanya malipo ufunguke.
Hatua ya pili: Chagua mtandao wa simu ambao utautumia kufanya malipo kati ya hii: Mixx by Yas (Tigo), Airtel Money au Halopesa
Hatua ya tatu: Weka namba yako ya simu ya mtandao husika ambao umechagua kwenye hatua ya pili.
Hatua ya nne: Bonyeza kulipa na utapokea push meseji kwa juu ya screen ya simu yako, weka namba yako ya siri kuruhusu pesa ikatwe.
Note 01: Hakikisha kwenye simu yako una kiasi cha 95,000 jumlisha pesa ya makato ya mtandao husika na serikali.
Note 02: Kwa sasa kuna shida kwenye mfumo wa malipo kwa kutumia M-Pesa. Kwa hiyo kama hela yako ipo kwenye M-Pesa fanya hivi: Tuma 95,000/= kwenye namba hii 0768354507 jina litatoka ADELARD NTAMABOKO. Baada ya kufanya malipo tuma uthibitisho wa muamala whatsapp kwa namba hiyo hiyo baada ya hapo nitakutumia link ya kuanza mafunzo.
[cartflows_checkout]