Nianze na Maswali haya machache ambayo Una majibu yake...
Je,
- Unatumia nguvu sana kukojoa?
- Unakojoa mara kwa mara bila sababu?
- Unakojoa matone matone?
- Huwezi kuzuia mkojo hata kwa dakika chache?
Ikiwa jibu ni NDIYO kwenye moja ya maswali hayo au yote kabisa,
Basi Ujumbe huu ni Mhimu sana kwako Sasahivi na si mda mwingine
Usiondoke kwenye ukurasa huu, Ukitoka huenda usiuone tena ukakosa suluhu sahihi ya changamoto yako iliyoijibia NDIYO hapo juu
Kwa sababu Unaenda kufahamu Tezi Dume linatokeaje na Kupata tiba sahihi ya kukomesha tatizo hili kwa kuondosha na kuzuia vyanzo vyote vya Uvimbe wa Tezi Dume kutokea, Usitokee tena moja kwa moja!
Lakini kabla hatujafika huko, Ni Mhimu sana Utambue Taarifa na Data hizi Mhimu sana ili Usipuuze dalili yoyote utakayogundua kuhusu ukojoaji wako na ili uweze kuchukua hatua mara moja na Kukwepa madhara makubwa yatokanayo na tezi dume kuvimba:
Takwimu za vipimo zinazofanyika kwenye taasisi za afya mbalimbali duniani za Kupambana na Kudhibiti mapema Uvimbe wa Tezi Dume Kama:
1. Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) – ya Tanzania
2. South African Medical Research Council (SAMRC) – ya Afrika Kusini
3. All India Institute of Medical Sciences (AIIMS) – ya India
4. Sechenov First Moscow State Medical University – ya Urusi
5. National Institutes of Health (NIH) – ya Marekani
Zinaonesha Kua:
Asilimia 97% ya Wanaume wenye miaka 40 nakuendelea, tayari wana uvimbe wa tezi dume huku baadhi yao (47%) Wakiwa hawajaanza kuonesha dalili zozote tishio ama hatarishi kabisa kwa sababu bado hawajaanza kupata usumbufu wowote wa kukojoa...
Na 50% kati yao tayari wana dalili za waziwazi za Uvimbe wa Tezi Dume Kama:
- Kutumia nguvu sana ili kuweza kukojoa
- Kuamka na kwenda msalani zaidi ya mara 5 ndani ya usiku mmoja
- Kushindwa kumalizia kukojoa mkojo wanaohisi bado upo ila unashindwa kutoka
- Kushindwa kujizuia kukojoa hata kwa dakika chache pindi wanapobanwa na mkojo
Na hii hua ni kero sana hasa wanapokua safarini au kwenye vikao
Hufanya wakose amani kwa kujisikia vibaya na kuona hawapo kama wengine
Kiasi kwamba mambo huharibika (Wanajikojolea) Kabisa kama wasipopata msalani jirani haraka sana
Ni 3% tu pekee kutoka kwenye takwimu hizo ambazo vipimo havijaonesha Uvimbe wowote kwenye tezi dume zao.
Na madhara ya Uvimbe wa Tezi Dume hua ni makubwa na tishio sana kama halitatibiwa mapema.
Madhara yake ni kama vile:
- Kushindwa kushiriki tendo la ndoa
- Njia ya mkojo kuziba na kushindwa kukojoa kabisa
- Kuhatarisha figo kufeli
- Presha kubadilika
Na madhara mengine makubwa zaidi ambayo SIO busara kuyataja hapa!
Itapendeza sana kabla hatujaendelea zaidi, iwe Vyema sana ufahamu kwamba…….
Tezi Dume SIO Ugonjwa, Likivimba Ndipo Matatizo Yake Huanzia Hapo!
Utashangaa kusikia hivyo, lakini ngoja nikuelezee….
Tezi Dume ni kiungo kama viungo vingine kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume.
Linakua kama viungo vingine, lakini mwanaume anapofikisha miaka 40 na kuendelea, linaanza kukua kusiko kwa kawaida na kusababisha matatizo ya kukojoa na kubana kibofu.
Tezi Dume linapatikana chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka mrija wa mkojo (urethra) ambao unapitisha mkojo kutoka kwenye kibofu hadi nje ya mwili.
Kwa kawaida, tezi hili ni dogo mithili ya limao dogo na haliingilii mfumo wa mkojo.
Lakini likianza kuvimba, linaweza kuanza kugandamiza kibofu cha mkojo, Kubana mrija wa mkojo na hatimae kuzuia mtiririko wa mkojo kutoka kwa urahisi.
Hali hii husababisha dalili mbalimbali:
Kwanza, Mkojo kutoka kwa shida – kwa sababu mrija wa mkojo unabanwa,
Mwanaume anapojaribu kukojoa, mkojo hautoki kwa kasi ya kawaida na inaweza kuchukua muda mrefu kumaliza kukojoa tofauti na alivyozoea
Pili, Kukojoa mara kwa mara – kibofu kinapobanwa na Tezi Dume lililovimba, Ujazo wa kibofu hupungua na hivyo kuwahi kujaa na kuhitaji kutolewa kwa mkojo nje ya kibofu (Kukojoa mara kwa mara)
Tatu, Hisia ya kibofu kujaa hata baada ya kukojoa – kwa sababu mkojo hautoki wote kwa urahisi,
Mwanaume anaweza kuhisi kana kwamba bado anahitaji kukojoa hata baada ya kumaliza kukojoa.
Nne, Mkojo kutoka polepole – kwa kuwa mrija wa mkojo unabanwa, mtiririko wa mkojo unatoka kwa kusuasua bila nguvu mithili ya maji ya bomba yanayokatika
Tano, Maumivu wakati wa kukojoa – kwa sababu kibofu kinabanwa na Tezi Dume lililovimba, mkojo unapita kwa shida,
Jambo linaloweza kusababisha maumivu au hisia za kuwashwa unapomaliza kukojoa
Hali hii ikidumu kwa mda, inaweza kusababisha matatizo makubwa zaidi kama vile maambukizi ya njia ya mkojo (UTI),
Mrija wa mkojo kuziba na hata kushindwa kukojoa kabisa, hali ambayo inaweza kuhitaji matibabu ya haraka, ikiwa ni pamoja na upasuaji.
Ndio maana nimekwambia Tezi Dume lenyewe SIO Ugonjwa lakini linapovimba na kuanza kuzuia mtiririko wa mkojo, ndipo matatizo yake huanza.
Chanzo Gani Husababisha Tezi Dume Ivimbe? Gundua Tiba Sahihi inayoweza Kuondosha Chanzo na Kudhibiti Uvimbe Usijirudie Tena
Kama ilivyo Mhimu kumfahamu adui yako ili ujue unajihami vipi au Utakabiliana nae kwa namna gani katika uwanja wa vita
Ndivyo hivohivo ni Mhimu pia kufahamu chanzo cha Ugonjwa ikiwemo hili la Uvimbe wa Tezi Dume
Kwa sababu itakua ni rahisi kuelewa nini kifanyike ili kumaliza Kiini na Chanzo cha tatizo hili.
Usipoelewa inakua ni ngumu kumaliza kiini cha tatizo na Utajikuta tatizo linajirudia tena na tena
Na ukipoteza mda na pesa zako kwenye njia ambazo hazimalizi tatizo
Hii ni Kwa sababu najua ni kwa jinsi gani UVIMBE WA TEZI DUME unakosesha amani
Kwa sababu nakutana na wengi wakihangaika baada ya kutopata tiba sahihi
Na hapa hua namgusia Ndugu yangu ambae alikua na tatizo kama hili lako!
Nina uhakika kama ilivyokua kwa ndugu yangu, hata wewe pia umejaribu njia mbalimbali za kuweza kuondokana na uvimbe wa tezi dume lakini umeishia kupoteza pesa na mda kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.
Tazama, Ndugu yangu alijaribu kutumia mitishamba akiwa na imani itamsaidia lakini aliambulia patupu mara baada ya mwezi mmoja mbele akiwa ametumia dawa hizo alirejea kwenye vipimo na kushangazwa sana na majibu ya vipimo kuwa Uvimbe umeongezeka mara mbili ya mwanzo kabla hajaanza kutumia mitishamba.
Hakuishia hapo…..
Akaanza kutumia dawa za hospitalini
Kwa mda wa mwaka mzima akiwa anatumia dawa za hospitalini, bado Uvimbe haukuisha na badala yake aligeuka kua mtumwa wa kumeza dawa hizo kila siku bila Uvimbe kupungua.
Akashauriwa afanye upasuaji ili uvimbe utolewe. Hakua na jinsi, akafanyiwa upasuaji.
Tatizo la Uvimbe likaisha kabisa lakini cha kusikitisha baada ya mwaka mmoja na miezi kadhaa, Uvimbe ukaanza kurudi tena kwa kasi.
Ndugu yangu akaanza tena hekaheka za kufuata dawa za kutuliza uvimbe uliojirudia.
Nikamshauri atumie dawa fulani kutoka shirika ninapofanyia kazi akawa mgumu kunisikiliza wala kuniamini.
Kwa jeuri yake akaenda kununua virutubisho kutoka kwenye kampuni ambayo sio vizuri kuyataja hapa kwa sababu sipo hapa kupondea huduma za watu
Basi akanunua virutubisho hivyo na akaanza kuvitumia
Baada ya mwezi mmoja kupita hakuona nafuu yeyote zaidi ya kupoteza mda na pesa zake
Safari hii kwa unyenyekevu na upole, akanifuata akaniambia yupo tayari kutumia tiba nilizomshauri atumie.
Sikuwa na hiyana, nikampa akaanza kutumia na ndani ya siku 10 tu alishuhudia mabadiliko makubwa.
Safari za kwenda kukojoa zikapungua sana
Hali ya kutumia nguvu sana kujikamua ili kuweza kukojoa ilianza kuisha
Hadi mwezi unaisha, hakuhisi mkojo unabaki tena, alikojoa moja kwa moja mkojo wote
Na aliweza kuzuia mkojo usitoke pindi ulipomubana akiwa mbali na msalani tofauti na mwanzo ambapo alikua hawezi kujizuia hata kidogo
Akajihimu kumaliza dozi kamili kabisa na hadi sasa imetimia zaidi ya miaka 2 Uvimbe haujarudi tena wala halalamikii usumbufu wowote aliokua akiupata kabla ya kuanza dozi niliyomshauri wakati ule.
Huenda unatamani sana kufahamu ndugu yangu nilimshauri atumie dawa gani na ikamsaidia kutokomeza kabisa tatizo la UVIMBE WA TEZI DUME na Kuzuia Uvimbe kujirudia tena…..
Usijali kabisa, Hivi punde naenda kukuambia hilo lakini nataka kwanza ufahamu Kiini/Vyanzo vya Uvimbe ili ujue dawa itaenda kupambana vipi na adui hawa bila kukuachia madhara yoyote mwilini mwako…..
Kisababishi Kikuu Cha Tezi Dume Kuvimba Ni Dihydrotestosterone (DHT)
Dihydrotestosterone (DHT) ni nini?
Swali zuri sana….
Kama umekua mfuatiliaji mzuri wa maelezo haya, Utagundua hapo awali nilisema Mwanaume anapofikisha miaka 40 nakuendelea, Tezi Dume linaanza kukua kusiko kwa kawaida
Umekumbuka? ….. Vizuri
Bila shaka ulijiuliza kwanini miaka 40 nakuendelea, jibu lake ni hili:
Iko hivi…..
Kawaida, Mwanaume tangu kuzaliwa kwake hua na Tezi Dume na viungo vingine vinavyounda sifa ya mwanaume kama korodani, uume n.k
Vyote hivyo huchochewa na homoni ya Kiume iitwayo Testosterone.
Inapofika Umri wa barehe, homoni hiyo huanza kuchakatwa na Kimeng’enya ndani ya Tezi Dume kiitwacho 5-Alpha Redactase
Na kuibadilisha homoni hiyo kua DHT ambayo ni mhimu sana kwa ajili ya makuzi na kazi za Tezi Dume
Ambazo ni Kuzalisha 25% mpaka 30% ya Shahawa zote anazozalisha mwanaume
Kutanuka na kujibana wakati wa kumwaga mbegu za kiume ili ziwe na Uwezo wa kuruka mbali
Kuzuia mwingiliano wa mkojo na mbegu za kiume kutochangamana hata kama vyote vinategemea njia hiyohiyo moja kutoka nje ya mwili ambayo ni mrija uliopo katikati ya uume!
Uhitaji huu wa mwili katika kipindi cha barehe na kuendelea, hufanya tezi dume likue mara mbili zaidi ya tangu ulipozaliwa
Sasa, Mwanaume anapofika umri wa makamo zaidi hasa miaka 40 kupanda, Kazi za Tezi Dume huhitajika maradufu zaidi
Hali hii husababisha homoni ya kiume ya Testosterone kuhitajika kwa wingi na hivyo kuchakatwa kwa wingi zaidi kua DHT ili kumudu mahitaji ya kazi za Tezi Dume
Kwa hiyo, kadri DHT inavozalishwa ili kumudu mahitaji ya Tezi Dume ndivyo na makuzi yake yanavyoendelea kua makubwa zaidi na zaidi.
Ni Kwa Namna Gani Dihydrotestosterone (DHT) Inasababisha Uvimbe Wa Tezi Dume Kutokea?