TUMBOPRO - Online Marketing System Pro ...

Asilimia 93% Ya Watu Hawana Habari Unga Wa Mastic Gum, Polaprezinc, na DGL Licorice Unaponya Vidonda Vya Tumbo Ndani Ya Siku 5 Tu Bila Kujirudia Tena

Picha unayoiona hapo juu, ni dawa ya vidonda vya tumbo inayoitwa TUMBOPRO.

Kwa kutumia kopo moja tu la dawa hii utapona vidonda vya tumbo ndani ya siku 5 tu na havitarudi tena.

Kwanini Utumie TUMBOPRO?

Jibu liko kwenye kuelewa kitu kimoja ambacho dawa nyingi hazikizingatii.

Fikiria hivi.

Kila siku, hata kama hujala, tumbo lako huendelea kuzalisha hydrochloric acid (HCl). Lakini unapokula, kuona chakula, au hata kunusa chakula, uzalishaji wa acid huongezeka zaidi. 

Kazi yake ni moja tu — kumeng'enya chakula unachokula.

Sasa hapa ndipo jambo la kushangaza linatokea.

Tumbo lako lina uzio wa ndani — ukuta wa ulinzi — ambao unalizuia tumbo lako lenyewe lisijidhuru na acid yake.

Bila uzio huu — acid hii ingekuwa inakuchoma mwenyewe kila siku.

Kwa maana hiyo hakuna kiumbe chochote kinaweza kuishi sehemu ya wazi tumboni.

Lakini bacteria mmoja mdogo anayeitwa H.Pylori anajua siri ya kukaa salama ndani ya tumbo lako.

Baada ya bacteria huyu kufika tumboni mwako… Ili abaki salama… anachokifanya ni hiki…

Anatoboa kwenye uzio huo wa ulinzi. Anajificha nyuma yake.

Na anaendelea kuishi huko salama — wakati acid inayozalishwa kila siku inapita juu yake bila kumdhuru.

Lakini matundu aliyoyatoboa kwenye uzio wako —Yanabaki wazi.

Na acid ile ile inayotakiwa kumeng'enya chakula chako —Inaanza kupenya kwenye matundu hayo.

Inachoma nyama ya tumbo lako.

Hapo ndipo vidonda vinaanza kutokea.

Na si hivyo tu.

Acid inayochoma nyama yako inazalisha moshi — gas — ambayo inasambaa tumboni.

Ndiyo maana unapata hali ya tumbo kujaa gesi.

Ndiyo maana kifua kinawaka moto.

Ndiyo maana maumivu yanazidi kila unapokula.

Kwa sababu ukila chakula —acid lazima izalishwe kwa kiasi kikubwa — na ikizalishwa —vidonda vinaongezeka na vinaambatana na maumivu makali zaidi, gesi inajaa, kifua kinawaka moto.

Mzunguko huo unaendelea bila kusimama.

Sasa hapa ndipo udhaifu mkubwa wa dawa nyingi unapoonekana.

Dawa nyingi zinafanya kitu kimoja tu — zinawaua bacteria wa H.Pylori.

Ni jambo zuri.

Lakini haitoshi kukufanya wewe upone vidonda vya tumbo na visirudi tena.

Kwa sababu bacteria tayari wameshafanya uharibifu.

Matundu yaliyotobolewa kwenye uzio wako — bado yako wazi.

Acid bado itapenya kupitia matundu hayo.

Vidonda bado vitazidi kuongezeka.

Gesi bado itajaa.

Kifua bado kitawaka moto.

Na hapo ndipo utofauti wa TumboPro na dawa zingine zote unapoonekana wazi.

TumboPro haiishii tu kwenye kuua bacteria kama hizo zingine.

Inashughulikia tatizo zima katika hatua tatu zinazofanya kazi pamoja kwa wakati mmoja.

Hatua ya 1

Kuua H.Pylori na Kumaliza Maumivu Kwa Haraka

Ndani ya TumboPro kuna kitu kinachoitwa Mastic Gum — machozi ya mti wa Pistacia lentiscus yanayooteshwa kwenye visiwa vya Chios nchini Ugiriki.

Kazi yake ni moja tu — kushambulia na kuangamiza H.Pylori bila kuathiri bacteria wazuri waliobaki tumboni.

Na wakati huo huo — inamaliza hali ya tumbo kujaa gesi na kifua kuwaka moto ambavyo vinakusumbua kila unapokula.

Hatua ya 2

Kuponya Vidonda Vilivyopo Tumboni

Bacteria wamekufa. Lakini vidonda bado vipo.

Uzuri ndani ya TumboPro kuna Polaprezinc.

Kazi yake ni kusaidia vidonda vilivyopo kupona haraka — kuanzia siku za mwanzo za kutumia TumboPro.

Hatua ya 3

Kujenga Upya Uzio Ulioharibiwa

Hii ndiyo hatua ambayo dawa nyingine zote hata haziizingakitii kabisa.


Bacteria wamekufa. Vidonda vimepona. Lakini matundu kwenye uzio wako bado yako.


Na kama matundu hayo hayatazibwa — bacteria wapya wanaweza kuingia tena kwa urahisi. Acid itaendelea kupenya kila siku. Vidonda haviponi kabisa.

Ndiyo maana TumboPro ina DGL Licorice — ambayo kazi yake ni moja tu — kuziba matundu yaliyopo kwenye uzio wako na kuusaidia kujijenga upya.

Uzio ukiwa imara tena — acid inayozalishwa kila siku haiwezi tena kupenya mpaka kwenye nyama.

Na vidonda vinapona moja kwa moja na haviwezi kujirudia tena.

Hivyo ndivyo TumboPro inavyofanya kazi.

Sio kuua bacteria tu.

Sio kupunguza maumivu tu.

Sio kuponya vidonda tu.

Kushughulikia kila hatua — kwa viambato asilia vyenye nguvu — ili upone kabisa na vidonda visirudi tena.

MATUMIZI YA TUMBOPRO

Dawa hii ipo katika mfumo wa unga na matumizi yake ni rahisi: Unaweka vijiko viwili kwenye maji au maziwa fresh kisha unachemsha baada ya hapo unakunjwa kama chai.

Hizi Hapa Faida Utakazopata Kwa Kutumia TUMBOPRO

  •  Matokeo ya Haraka na ya Kudumu. Ndani ya siku 5 tu, unaweza kuwa huru kabisa na maumivu ya vidonda vya tumbo — bila hofu ya kurudi tena.

  •  Huimarisha Kinga Asili ya Tumboni. Tofauti na dawa nyingi, TumboPro hujenga tena ukuta wa ndani wa tumbo (mucosal lining) unaolinda tumbo dhidi ya asidi.

  •  Haina Madhara Yoyote. Tofauti na antibiotics na dawa za kupunguza asidi, TumboPro ni salama kwa matumizi na haina madhara kwa mwili.

  •  Imetengenezwa Kwa Viambato Asilia 100%. Kila kiambato kimethibitishwa kuwa salama, chenye nguvu ya tiba, na bila kemikali hatarishi.

  •  Hupunguza Gesi, Kiungulia, na Maumivu Haraka Sana. Huna haja ya kusubiri wiki au miezi — utulivu huanza mapema sana baada ya matumizi.

  •  Haina Masharti Magumu ya Mlo. Unaweza kutumia bila kubadilisha kabisa aina ya chakula unachopenda kula.

  •  Hushughulikia Tatizo Katika Hatua Tatu. Huua H. pylori, hutibu vidonda, na huimarisha kinga ya tumbo — suluhisho la kina, si la muda mfupi tu.

  •  Imewasaidia Maelfu Waliohangaika Kwa Miaka. Watu waliokuwa wamekata tamaa sasa wanaishi bila maumivu — kwa msaada wa TumboPro.

  •  Huzuia Kurudia kwa Vidonda. Kwa kuwa inajenga kinga mpya, vidonda haviwezi kurudi kwa urahisi.
  •  Haina ladha kali au harufu mbaya — rahisi kutumia.
  •  Hupunguza Matumizi ya Dawa Nyingine. Baada ya kutumia TumboPro, hutahitaji tena kutumia dawa nyingi kila siku.
  •  Imefanyiwa Utafiti wa Kina Kwa Zaidi ya Miaka 5. Dawa hii si ya kubahatisha — imetengenezwa kwa utafiti wa muda mrefu, uangalifu na majaribio halisi.
  •  Husaidia Kupunguza Msongo Unaosababishwa na Maumivu ya Mara kwa Mara. Kwa kuwa hutoa nafuu ya haraka, inakupatia utulivu wa mwili na akili.
  •  Huondoa tatizo la choo kigumu na cheusi kama cha mbuzi. TumboPro husaidia kurekebisha mfumo wa mmeng'enyo na kufanya choo kiwe laini na cha kawaida bila maumivu.
  •  Husafisha mwili kwa kuondoa sumu (detox) Viambato vya asili ndani ya TumboPro husaidia kutoa sumu na taka hatarishi mwilini, hivyo kuupa mwili nafasi ya kupona haraka na kuwa na afya bora zaidi.

TumboPro si dawa ya kawaida — ni hatua ya kwanza kuelekea maisha mapya yasiyo na maumivu, wasiwasi, wala masharti magumu ya kila siku. Ni maisha ya uhuru wa kweli!

Lakini usichukue maneno yangu kama ushahidi pekee… Sikiliza wanachosema watu waliokuwa na vidonda sugu vya tumbo — baada ya kutumia TumboPro:

Nilikua naishi kwa maziwa na supu tu. Kila ninapokula chakula chenye chumvi au asidi, tumbo linaniuma hadi machozi. Nilijaribu antibiotics na dawa za hospitali lakini nafuu ilikuwa ya siku mbili tu. TumboPro imeniondoa kabisa kwenye maumivu haya ndani ya wiki mbili! Sasa nakula kila aina ya chakula bila hofu.

Mwanaidi Juma  | Morogoro

Vidonda vilikuwa vimenifanya kila usiku nakesha nikiugulia maumivu makali. Msongo ulizidi. Nilitumia dawa nyingi hadi nikapata side effects. TumboPro imeniponya bila kunipa madhara yoyote. Sasa nalala vizuri na nguvu zimerudi.

Salum Athumani  | Mwanza

Nilikuwa na choo kigumu, cheusi, na maumivu makali ya tumbo kila siku. Niliambiwa ni ulcers lakini dawa zote za hospitali zilinifanya niwe mnyonge zaidi. TumboPro imenirudisha kwenye afya yangu. Najisikia huru tena!

Agnes Mwambene  | Mbeya

Sikuwahi kuamini dawa ya asili inaweza kufanya kazi hivi. TumboPro imenifanya nisahau kabisa kama nilikuwa na vidonda vya tumbo. Sina kiungulia, sina gesi, sina maumivu!

Rehema Ally  | Dar es Salaam

Nilikuwa nafikiri nitakufa kwa maumivu makali ya tumbo. Kila daktari alinipa antibiotics mpya, lakini nafuu inakaa siku 3 halafu mwendo ni ule ule. TumboPro imeniondoa kwenye mateso. Sasa najihisi huru kwa mara nyingine tena.

Jackson Mwakipesile  | Mbeya.

Baada ya miaka 4 ya kuumia na kutaabika, hatimaye nimepata tiba ya kweli. TumboPro imeniponya, imetuliza gesi, kiungulia na maumivu ya kifua. Nashukuru sana.

Joyce Masanja  | Kilimanjaro

Nilipoteza hamu ya kula, kila chakula kilikuwa kinaniletea mateso. Nilipoanza kutumia TumboPro, baada ya siku 3 tu nilianza kula chakula tena vizuri. Nimepona kabisa ndani ya wiki 2.

Mohamed Kondo  | Zanzibar

Niliwahi kujaribu mlo wa diet kali, dawa za kupunguza asidi, kila kitu. Lakini niliishia kupata nafuu ya muda mfupi tu na baada ya hapo maumivu yalirudi tena yakiwa ni makali zaidi. TumboPro imenifanyia miujiza. Nimepona kabisa ndani ya wiki 2 tu.

Ramadhani Musa  | Tanga

Nilifikia hatua ya kuchukia kula. Nilikuwa na hofu ya kila mlo. TumboPro imenipa uhuru. Nimepona, najihisi hai tena!

Esther Mtei  | Arusha

Hospitali walinipa dawa nyingi lakini bado maumivu yaliendelea. TumboPro imenipa matokeo ya ajabu. Naipendekeza kwa kila mwenye vidonda.

Selemani Njenje  | Tabora

Vidonda vyangu vilinifanya nisiweze hata kusafiri. Kila sehemu ni maumivu. TumboPro imenifanya nianze kuishi kama mwanzo. Ilinichukua siku 4 tu kuona tofauti.

Fatuma Rashid  | Lindi

Niliamini ni ugonjwa wa milele. Nilijitenga na familia kwa sababu ya maumivu ya mara kwa mara. TumboPro imeniponya kabisa. Sina hata chembe ya dalili sasa.

Frank Mollel  | Singida

Niliambiwa kuwa lazima ninywe dawa za kudhibiti asidi maisha yote. TumboPro imeniondoa kwenye utegemezi wa hizo dawa. Sasa najisikia huru na mwenye afya.

Asha Mrema  | Manyara

Gesi, kiungulia, kuchoka kila wakati... TumboPro imenitibu ndani ya wiki moja. Sijaona dawa yenye nguvu kama hii.

Rashid Kalumuna  | Kigoma

Niliteseka kwa miaka 3. Katika muda huo nimetumia dawa kibao lakini niliambulia nafuu tu ya mda mfupi. TumboPro imenitibu kabisa. Sina hata dalili tena.

Neema Bwire  | Mtwara

Dawa zote nilizowahi kutumia zilinishusha kinga. TumboPro siyo tu imeniponya vidonda bali imenipa nguvu mpya mwilini.

Elias Mbogo  | Ruvuma

Baada ya wiki moja tu na TumboPro, nilihisi tofauti kubwa. Hakuna gesi, hakuna maumivu, na najihisi mwenye afya kuliko hapo awali.

Lilian Gervas  | Shinyanga

Vidonda vyangu vilikuwa vya muda mrefu. TumboPro imenionyesha nguvu ya tiba sahihi. Sina choo cheusi tena, wala kiungulia.

Nasoro Kondo  | Mara

Niliishi kwa mateso miaka 6. TumboPro imeniondolea yote hayo. Hii si dawa ya kawaida.

Janeth Lutengano  | Dar es Salaam.

Gesi ilinikosesha amani kazini. TumboPro imeniponya kabisa. Naweza hata kusimama muda mrefu bila maumivu.

Abdallah Nyoni  | Rukwa.

Hata watoto wangu walijua mama anaumwa. TumboPro imenifanya nirudi kuwa mama mwenye nguvu. Ninamshukuru Mungu.

Eva Mushi  | Mbeya

Niliwahi kufikiri vidonda haviponi. TumboPro imenionyesha kuwa vinaweza kupona kabisa.

Juma Kassim  | Pemba

Nimewahi kutumia kila aina ya dawa, lakini TumboPro imekuwa ya kipekee. Nimepona kabisa na siogopi kula tena.

Elizabeth Shabani  | Arusha

Inagharimu Kiasi Gani Kupata Dawa Hii Ya TUMBOPRO?

Nitakwambia bei yake baada ya muda mfupi.

Lakini kwanza...

Kuna hesabu moja nataka tufanye pamoja.

Umeshatoa pesa kiasi gani mpaka leo kutafuta suluhisho?

Labda ulianza na Tsh 250,000 hapa...

Ikashindikana.

Ukanunua nyingine ya Tsh 120,000...

Hakuna kilichobadilika.

Mtu akakushauri ujaribu nyingine...

Ukalipa tena.

Halafu nyingine...

Na nyingine tena.

Ukijumlisha pesa zote ulizotumia kwa vitu ambavyo havikukupa matokeo uliyokuwa unatalajia...

Huenda tayari umeshatumia pesa nyingi kuliko unavyofikiria.

Lakini gharama kubwa zaidi haikuwa pesa.

Ilikuwa ni kila mara uliponunua ukiwa na matumaini...

Ukajiambia:

"Labda safari hii nimepata suluhisho."

Halafu ukasubiri...

Na mwisho wake ukajikuta pale pale ulipoanzia.

Hiyo ndiyo gharama ambayo sitaki uendelee kuilipa.

Ndiyo maana sitaki nikupigie hesabu za kufikirika na kukuambia TUMBOPRO ina thamani ya milioni mbili...

Au milioni moja...

Halafu nikushushie bei kana kwamba tupo mnadani.

Hapana.

Nitakwambia bei halisi.

Na wewe mwenyewe utaona kama unaweza kuimudu au la.

Bei halisi ya TUMBOPRO ni:

Tsh 150,000 Tu

Unapataje Dawa Hii?

Kupata dawa hii ni rahisi tu.

Kwa chini ya maelezo haya kuna sehemu ya kuweka ODA yako. Baada ya Kuweka ODA ako...

Kama upo Dar: unaweza kufika ofisini kwetu Makumbusho stand ya daladala au bodaboda wetu anaweza kukufanyia delivery mpaka utakapokuwa na gharama za delivery ni juu yetu sisi. Wewe utalipia tu bei ya dawa: Tsh 150,000

Kama upo mkoani (nje ya Dar): Unalipa kwanza pesa yote halafu baada ya hapo ndio taratibu za kutumiwa mkoani ulipo zinafanyika.

Hii hapa sababu kwanini hatutumi dawa mkoani bila mtu kulipa kwanza: Mwanzoni tulikuwa na utaratibu wa wateja wetu wa mikoani kulipia gharama zote baada ya kuwa wamepokea mizigo yao lakini tunasikitika kwamba asilimia kubwa ya wateja wa mikoani hawakuonesha ushirikiano mzuri. Wengi wao baada tu ya kujulishwa kwamba mizigo yao imefika waifuate ndo wafanye malipo hawakupokea simu zetu tena na wengine wakasema wameghairi kuchukua dawa, hivyo ilitulazimu kuisafirisha mizigo kuirudisha tena Dar kitu ambacho kilileta hasara kubwa kwa upande wetu.

Kwahiyo ili utumiwe dawa mkoani lazima ufanye malipo kwanza kisha ndio unaagiziwa kwa njia ya bus au boat wale wa Zanzibar.

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya M-pesa au NMB Bank.

M-pesa: 0768354507

NMB: 20110062131

Majina: ADELARD NTAMABOKO

Jinsi Ya Kuweka ODA Yako

Kuweka ODA ni rahisi.

Bonyeza kwenye kitufe kilichoandikwa "NAHITAJI KUWEKA ODA" baada ya hapo itafunguka fomu ya kuweka ODA yako.

Jaza fomu ya ODA yako kikamilifu kisha itume.

Baada ya kupokea fomu yako, kama uko Dar tutamuagiza bodaboda akuletee na kama uko mkoani fanya malipo kwanza halafu ndio tutafanya taratibu za kukutumia mkoani ulipo.

Unalindwa na Dhamana Hii Hapa

Dhama hii iko hivi:

Tumia TumboPro mpaka dawa yote kwenye kopo iishe. Kama baada ya kutumia dawa yote utakuwa bado unaendelea kuteseka na kiungulia, kifua kuwaka moto, maumivu makali ya tumbo, choo kigumu na cheusi, au kuchoka kwa muda mrefu kutokana na asidi kupanda, na kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaridhika na matokeo ya TumboPro — piga simu kwenda namba 0768354507 toa taarifa, utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.

Hata hivyo nina imani utaipenda TumboPro na utalidhika kwa maajabu ambayo itakufanyia.

Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa na jinsi maumivu yanavyopungua ndani ya masaa 24 tu, na hali yako inavyozidi kuimarika kila siku — bila kurejea tena kwenye mateso ya zamani.

Ukweli ni kwamba kwa kuitumia TumboPro pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwenye dawa na tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.

Weka ODA yako sasa.

Kwanini Uweke ODA Yako Sasa Hivi

Ukweli wa kwanza ni huu— TumboPro inafanya kazi na uhitaji wake ni mkubwa sana.

Ukweli mwingine ambao unahitaji kujua sasa hivi ni huu:

Kulingana na uhitaji kuwa mkubwa sana bidhaa hii huwa inaisha mara kwa mara

Na hivi sasa ofisini zimebaki chupa 67 tu.

Hii sio mbinu ya uuzaji.

Ni ukweli kulingana na kiambato kimoja ambacho upatikanaji wake ni wa shida.

Mastic Gum.

Mastic Gum haipatikani kama viungo vya kawaida unavyonunua dukani.

Inapatikana kutoka kwenye miti ya Pistacia lentiscus inayoota kwenye visiwa vya Chios nchini Ugiriki peke yake.

Msimu wake ni mfupi.

Kiasi kinachokusanywa ni kidogo.

Na mahitaji duniani yanaendelea kuwa makubwa.

Kwa hivyo hizi chupa 67 zilizobaki zikiisha...

Hatuwezi kuahidi utakapata TumboPro tena wapi au lini.

Haitoshi kusema "nitaagiza kesho au siku nyingine"

Kwa sababu kesho chupa zinaweza kuwa zimeisha.

Na utajikuta unaendelea kuteseka — sio kwa sababu suluhisho halikuwepo — Bali kwa sababu ulichelewa siku moja tu.

Agiza chupa yako sasa hivi — wakati bado ipo.

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. M/Mungu akubariki.

Ni mimi mwenye kujali afya yako,
Mr Bokko.

Dar es Salaam.

Copyright - Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

>
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications
Seraphinite AcceleratorOptimized by Seraphinite Accelerator
Turns on site high speed to be attractive for people and search engines.