Ukomo Wa Hedhi SP - Online Marketing System Pro

Acha Kuruhusu Ukomo Wa Hedhi Uibe Furaha Ya Maisha Yako.

Tiba Hii Asili Imeandaliwa kitaalamu Kumsaidia Mwanamke Yeyote Aliyefikia Ukomo Wa Hedhi Kuepuka Changamoto Zote Zinazojitokeza Baada Ya Kufika Ukomo Wa Hedhi.

Husaidia kuondoa hali ya uke kuwa mkavu, kukosa hamu ya tendo, ngozi kuwa kavu, joto la ghafla na jasho la usiku, maumivu ya mifupa na viungo, kukosa usingizi, na kupungua kwa kumbukumbu.


Picha unayoiona hapo juu inaonyesha box la vidonge vya Wellosophy Woman, virutubisho vilivyo tengenezwa kitaalamu kuondoa changamoto zote zinazojitokeza wakati wa ukomo wa hedhi.

Ukifika ukomo wa hedhi, homoni ya kike iitwayo “estrogen” inapungua sana mwilini na kupungua kwake kunaleta madhara kwenye mifumo mitatu ya mwili.

  1. Mfumo wa ubongo (Brain chemistry): Mfumo huu unaratibu hisia, usingizi na kumbukumbu.
  2. Mfumo wa ulainishaji wa viungo na mifupa (Joint & tissue lubrication): Mfumo huu unaratibu maumivu ya mwili, kukakamaa kwa viungo na uke mkavu.
  3. Mfumo wa kinga ya seli na mmeng’enyo wa chakula (Cell protection & metabolism): Mfumo huu unaratibu kuongezeka uzito na uchovu wa mwili.

Mabadiliko ya mifumo hiyo mitatu kutokana na kupungua kwa kiwango cha homoni ya “estrogen” ndiyo yanayopelekea ukomo wa hedhi uambatane na changamoto zote hizi:

  • Joto la ghafla na jasho la usiku linalovuruga usingizi wako
  • Uke mkavu unaopelekea upate maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
  • Kupotea kwa hamu ya tendo kunakofanya usitamani kushiriki starehe ya tendo la ndoa
  • Ngozi kuwa kavu kupelekea urembo wako asili kupotea na kuonekana mzee kabla ya wakati.
  • Maumivu ya viungo na mifupa yanayokwamisha shughuli zako za kila siku
  • Kupata usingizi kwa shida.
  • Kusahau ovyo kwa sababu ya kupungua kwa kumbukumbu.
  • Kuongezeka uzito bila sababu za kueleweka
  • Mwili kuchoka mara kwa mara bila hata ya kufanya kazi nzito

Wataalamu walio tengeneza Wellosophy Woman kwa kutambua chanzo cha changamoto zote hizi ni mabadiliko ya mifumo hiyo mitatu ya mwili, basi wakatengeneza vidonge vya aina tatu ambavyo vinaenda kuweka sawa mifumo yote mitatu.

Kwahiyo box moja la Wellosophy Woman lina saketi 21 na kila saketi moja ina jumla ya vidonge 4.

  •  Kidonge kimoja cha “Multivitamin” ambacho kinaimarisha mfumo wa ubongo.
  • Vidonge 2 vya “Omega-3” ambavyo vinaimarisha mfumo wa ulainishaji wa viungo na mifupa
  • Kidonge kimoja cha “Antioxidant” ambacho kinaimarisha mfumo wa kinga ya seli na mmeng’enyo wa chakula

Wellosophy Woman ndio tiba pekee inayotoa msaada kamili kwa mifumo yote mitatu inayoathiriwa na kupungua kwa homoni ya “estrogen” wakati wa ukomo wa hedhi.

Matumizi ya Wellosophy Woman ni rahisi tu. Unameza saketi moja kwa siku ambayo ina jumla ya vidonge 4 ambavyo vinaenda kufanya kazi ya kuweka sawa mifumo mitatu inayoathiriwa wakati wa ukomo wa hedhi.

Hizi Hapa sababu Zinazofanya Wellosophy Woman Kuwa Tiba Ya Kipekee Tofauti Na Tiba Zingine Zote!

  •  Furahia kulala usiku mzima bila kuamka na jasho: Kwa kutumia Wellosophy Woman, mwili wako utaanza kupata utulivu wa ndani unaokuwezesha kulala usingizi mzito, bila kuamka umechoka na kulowa jasho.

  •  Amka asubuhi bila maumivu ya mifupa na viungo: Wellosophy Woman husaidia mwili kujilainisha kwenye viungo na mifupa, kukurudishia uhuru wa kuamka, kutembea na kufanya kazi bila kukwamishwa na maumivu ya viungo.

  •  Ondoa hasira na msongo wa mawazo usio na sababu: Kwa kutumia Wellosophy Woman, hisia zako huanza kuwa tulivu, moyo unapata amani, na unarudi kuwa mwanamke mtulivu na mwenye furaha nyumbani na kazini.

  •  Acha kujihisi mzee kabla ya wakati wako: Kwa kutumia Wellosophy Woman, mwili unaanza kupata msaada sahihi wa ndani, nguvu hurudi, uchovu hupungua, na unajihisi kijana na mchangamfu tena.

  •  Rudisha furaha ya tendo la ndoa: Wellosophy Woman husaidia kulainisha uke na kuongeza hamu ya tendo la ndoa–kufanya ufurahie tendo la ndoa kikamilifu bila maumivu yoyote na bila kumkwepa mwanaume wako.

  •  Rudisha ushapu wa akili na kumbukumbu imara: Kwa kutumia Wellosophy Woman, hakuna tena kusahau sahau ovyo–utakuwa na kumbukumbu ya muda mrefu na akili yako itakuwa shapu kila mara.

  •  Furahia ngozi laini, yenye unyevunyevu na kung’aa: Kwa kutumia Wellosophy Woman, mwili unapata ulinzi wa seli, ngozi inaanza kuonekana changa na laini.

Je, Nitaanza Kuona Mabadiliko Baada Ya Muda Gani?

  • Kuna ambao wanaanza kuona mabadiliko ndani ya masaa 24 ya kuanza kutumia Wellosophy Woman.
  • Wapo wengine wanao anza kuona mabadiliko ndani ya siku mbili za kuanza kutumia Wellosophy Woman.
  • Hata hivyo, mamia ya wahanga waliotumia Wellosophy Woman, wametoa mrejesho wa kuanza kuona mabadiliko ndani ya siku tano tu za kuanza dozi ya Wellosophy Woman.
  • Hivyo basi, kwa uhakika kabisa, utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku tano na kuendelea.

Wellosophy Woman Inagharimu Kiasi Gani?

Kabla sijakwambia bei ya kutumia Wellosophy Woman kurejesha furaha ya maisha yako wakati wa ukomo wa hedhi, nataka wewe mwenyewe ujipangie thamani yake.

Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho linalokurudishia usingizi mzito bila jasho, kukurudishia utulivu wa hisia, kuondoa maumivu ya mwili na kukufanya ujisikie hai tena?

Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba itakayokurudishia kujiamini, kukurudishia mvuto wako kama mwanamke, na kukuondolea hisia ya “mimi nimepotea” uliyoanza kuishi nayo kimya kimya?

Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho litakalokuokoa na gharama za hospitali, vipimo, sindano, dawa za kemikali na ushauri wa “vumilia tu ni kawaida”?

Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa virutubisho vya hali ya juu, Omega-3 na antioxidants — teknolojia iliyogharimu mamilioni kuhakikisha mwili wa mwanamke wakati wa ukomo wa hedhi unakuwa salama?

Nadhani ukiweka thamani ya 1,800,000/= utakuwa bado hujafikia thamani halisi ya afya yako, usingizi wako, ndoa yako, akili yako na amani yako ya ndani.

Lakini unajua cha kushangaza ni nini? Hutalipa hiyo 1,800,000/=

Hutalipa hata nusu ya hiyo.

Kwa sababu Wellosophy Woman imeamuliwa isiwe kwa ajili ya matajiri pekee — bali kwa mwanamke wa kawaida wa Tanzania anayehitaji kurudisha furaha ya maisha yake wakati wa ukomo wa hedhi.

Utapata tiba hii kwa gharama ya:

450,000/=

Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.

Kama utaweka ODA yako kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa 250,000/= 

Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 450,000/=

Usikubali kupitwa na fursa hii. Jinyakulie OFA yako leo na uanze safari ya kuondokana na changamoto zote za wakati wa ukomo wa hedhi.

Unasubiri nini kuweka ODA yako? Hii ni tiba mpya, ya gharama nafuu, inayokuletea matokeo ya haraka na ya kudumu. Hii ni tiketi yako ya kuondokana na changamoto zote zinazosumbua wakati wa ukomo wa hedhi – fanya mabadiliko leo na jiokoe kwa njia rahisi na yenye nguvu!

UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:

Bonyeza hapa chini kupata dozi yako.

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya Mix by Yas au M-Pesa.

Namba ya Mix by Yas ni 0713044404 jina ni Dianarose Mwanyika

Namba ya M-Pesa ni 0746342921 jina ni Dianarose Mwanyika.

Utaratibu wa Malipo Upo Kama Ifuatavyo:

Tunatambua kwamba mtandaoni kuna utapeli mwingi na watu wa mikoani (Nje ya Dar) wanaibiwa pesa zao kila siku. Kwasababu hiyo tulijaribu kufanya utaratibu wa wateja wetu wa mikoani kulipia gharama zote baada ya kuwa wamepokea mizigo yao lakini tunasikitika kwamba asilimia kubwa ya wateja wa mikoani hawakuonesha ushirikiano mzuri. Wengi wao baada tu ya kujulishwa kwamba mizigo yao imefika waifuate ndo wafanye malipo hawakupokea simu zetu tena na wengine wakasema wameghairi kuchukua dawa, hivyo ilitulazimu kuisafirisha mizigo kuirudisha Dar kitu ambacho kilileta hasara kwa upande wetu. 

Kwasababu hiyo utaratibu wetu mpya wa malipo uko kama ifuatavyo; kama upo mkoani (nje ya Dar) ili uweze kutumiwa mzigo mkoani itakubidi ufanye malipo kwanza halafu ndo utaratibu wa kutumiwa dawa kuja mkoani unafanyika.

Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo...

Kama upo Dar unaweza kufika ofisini kwetu au unaweza kufanyiwa delivery lakini gharama za delivery ni juu yako.

Kama upo mkoani (nje ya Dar) unafanya kwanza malipo ya 250,000/= jumlisha 10,000 gharama za kusafirisha mzigo wako. Baada ya kuwa umefanya malipo ndo dawa yako itatumwa mkoani.

Kuagiza dozi yako ni rahisi.

Bonyeza hapa chini.

Naweza kughairi kuweka ODA yangu sasa hivi nikaja kuweka badae au siku nyingine? Ndio, unaweza kuweka ODA yako badae au siku nyingine lakini ukifanya hivyo mambo yafuatayo yatatokea:

  • Jasho la Usiku Litaendelea Kukunyima Usingizi: Kadri unavyosubiri, ndivyo jasho la usiku, kuamka mara kwa mara na uchovu wa asubuhi vitaendelea kukuibia nguvu zako. Wellosophy Woman huanza kusaidia mwili wako kurudisha utulivu wa ndani mapema unapochukua hatua leo.
  • Maumivu na Ukavu wa Viungo Vitaendelea Kuongezeka: Kuchelewa kutumia Wellosophy Woman kunamaanisha kuendelea kupata maumivu endelevu ya viungo. Ukianza kutumia Wellosophy Woman leo unaupa mwili wepesi wa kuanza kulainisha viungo haraka na kuzuia maumivu endelevu.
  • Mabadiliko ya Hisia na Hasira Bila Sababu Vitaendelea: Kila siku ya kusubiri ni siku nyingine ya msongo wa mawazo, kukasirika ghafla na kuchoka kihisia. Wellosophy Woman husaidia kutuliza mwili na akili — ukianza kutumia mapema, utarudisha amani yako mapema.
  • Hisia ya “Kuzeeka Kabla ya Wakati” Itaendelea: Kuchelewa kunamaanisha unafurahia ngozi yako kuwa kavu na kuonekana kama mzee. Kwa kuanza kutumia Wellosophy Woman leo, utarejesha mng’ao na mwonekano wa kujiamini.
  • Ukaribu na Mwanaume Wako Utaendelea Kuathirika: Kusubiri kunamaanisha kuendelea kuogopa maumivu, ukavu, kupotea kwa hamu na aibu ya kushiriki tendo. Wellosophy Woman husaidia mwili wako kurudisha faraja na ujasiri wa kushiriki tendo — kuanza kutumia mapema, kunarejesha furaha ya tendo mapema.

Kadri unavyoendelea kusubiri ndo unaruhusu mambo yote hayo yazidi kukutokea. Usiendelee kusubiri, weka ODA yako mapema na isitoshe unapata guarantee (Dhamana) ifuatayo:

Guarantee image

Dhama hii iko hivi:

Tumia Wellosophy Woman kwa muda wa siku 21 mfululizo.

Kama baada ya siku 21 bado unaamka usiku ukiwa umejaa jasho, bado una maumivu ya mifupa na viungo, bado una uke mkavu na kukosa hamu ya tendo, bado una hasira za ghafla, bado unajisikia umechoka, umepotea au hujaona mabadiliko yoyote — au kwa sababu yoyote ile hujaridhika na Wellosophy Woman…

Piga simu mara moja. Utarudishiwa pesa zako zote — bila kuulizwa maswali, bila kukupa visingizio, bila kinyongo chochote.

Hata hivyo, nina imani kubwa sana kwamba utaipenda Wellosophy Woman.

Kwa sababu kwanza kabisa, wewe mwenyewe utashangazwa na jinsi mwili wako utakavyoanza kubadilika:

  • Usingizi wako utaanza kuwa mzito na mtulivu
  • Jasho la usiku litaanza kupungua
  • Maumivu ya mwili yatapungua
  • Hisia zako zitakuwa tulivu
  • Akili yako itakuwa shapu
  • Na kujiamini kwako kutaanza kurudi

Ukweli ni huu: kwa kutumia Wellosophy Woman, pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwa virutubisho, dawa na hospitali zisizoleta faraja, utazibakisha mfukoni mwako — huku ukiyarudisha maisha yako.

Weka ODA yako sasa.

Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. M/Mungu akubariki.

Ni mimi mwenye kujali afya yako,
Madam Dianarose.

Dar es Salaam.

P.S: Bado unasita kuweka ODA yako?

Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa dawa hii haitakusaidia kuondokana na changamoto zote za wakati wa ukomo wa hedhi.

Huna cha kupoteza. Una kila sababu ya kuweka ODA yako sasa hivi ili uanze kuishi maisha yenye furaha na amani.

Copyright - Online Marketing System Pro

This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM  Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM  in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.                

>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications