Unataka Kupata Wateja Kwa Kutumia Mitandao Ya Kijamii?

Jinsi ya Kutengeneza Pesa Online Kwa Kuuza Taarifa, Ujuzi au Utaalamu Wako

Watu wengi hawajui kama unaweza kutengeneza pesa online kwa kuuza Taarifa.

Huhitaji kufungua duka wala kuwa na mtaji mkubwa.

Kupitia aina hii mpya ya biashara inayoitwa "Information Marketing Business" utaweza kujiingizia kipato kwa kuwauzia watu taarifa.

Kivipi? Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "Nahitaji Kujifunza Zaidi"

Jinsi Ya Kutengeneza MFUMO Wa Kuuza VIRUTUBISHO LISHE Masaa 24 Pasipo Kuchat Na Wagonjwa

Kama wewe ni networker ambaye unahitaji kupata wateja endelevu kila mwezi pasipo kuchat na wagonjwa wapoteza muda basi unahitaji kutengeneza MFUMO ambao utakuwa unachat na wateja kwa niaba yako.

Kwa maelezo zaidi kuhusu kutengeneza MFUMO bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "Nahitaji Mfumo"

Jinsi Ya Kurusha Matangazo Facebook na Instagram Yenye Kuleta Watalii Ndani Ya Masaa 48 au Chini Ya Hapo!

Kama wewe ni Tour Operator ambaye unahitaji kupata watalii katika misimu yote ya mwaka mzima basi unahitaji kuzijua MBINU hizi zinazotumiwa na Tour Operators kutoka Thailand, Ugiriki, Ufaransa, na Ufilipino.

Kwa maelezo zaidi kuhusu MBINU hizi, bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "Nahitaji Watalii"

About the Author

Mr Bokko

Mr Bokko ni Founder & CEO wa Online Marketing System Pro Co Ltd -Kampuni yenye kuwasaidia Wafanyabiashara na wajasiriamali njia rahisi ya kutumia matangazo ya kulipia mtandaoni kuweza kunasa wateja pasipo kupoteza muda na pesa kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.

>
error: Content is protected !!
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications