Kama unataka kuuza Virutubisho Lishe Bila Kuchat na wagonjwa…
Igilizia Na UKopi Mfumo Huu Mpya Wa Kuuza Virutubisho Lishe Kutoka Kwa Vincent James Ambae Aliwahi Kutumia Mfumo Huu Kuuza Virutubisho Lishe Na Kutengeneza Faida ya Dola Za Marekani Milion 100 Ndani Ya Miezi 23 Tu.
Mfumo Huu Unafanya Kazi Kwa Niaba Yako Masaa 24 Na Wala Huhitaji Kuwa Na Group Lolote Whatsapp Au Kuchat Na Mgonjwa Yeyote Inbox. Kwa Kutumia Mfumo Huu Utafanya Kazi Dakika 30 Tu Kila Siku!
Kutoka kwa: Mr Bokko
Dar es Salaam.
Mpendwa Networker,
Kama unatumia magroup ya whatsApp, WhatsApp Inbox, messenger au Instagram inbox kuuza virutubisho lishe vyako kuna hela nyingi sana unaziacha mezani.
Kabla sijakwambia kivipi naomba nikuulize swali:
Unaweza kuchat na wagonjwa wapya 200 kila siku bila kuhisi kuzidiwa?
Jibu ni hapana.
Unaweza kuwa na magroup whatsapp zaidi ya 20 ambayo yote kila siku yanakuhitaji upost kitu kipya bila kuhisi kuzidiwa?
Jibu ni hapana.
Ndio maana nimekwambia kuna hela nyingi unaziacha mezani kama unauza virutubisho lishe vyako kwa kuchat na watu whatsapp, messenger au instagram inbox.
Kwasababu pindi unapoacha kuchat na mtu mpya au kupost kwenye group hutengenezi hela yoyote.
Fikiria wakati unafanya mazungumzo na rafiki zako, ndugu zako au unafanya shughuli zingine maana yake hakuna kuuza kwasababu kuuza kwako ni mpaka uchat na mtu mpya au upost kitu kwenye magroup yako.
Kama ilivyokuwa kwangu, nina imani hata wewe ulijiunga kwenye network marketing ili upate uhuru wa Muda na wa kipato.
Sasa…
Unahisi kwa kutumia whatsapp, messenger, instagram inbox utapata uhuru wa muda au kipato?
Jibu ni hapana.
Kwasababu ili utengeneze pesa itakubidi muda mwingi (Kama sio wote) uwe umeganda kwenye simu yako unachat na wagonjwa. Au…
Upo bize unaandaa maudhui (Content) ya kupost kwenye magroup yako.
Ni kweli kwa kutumia platform hizo utapata wagonjwa wa kununua virutubisho lishe vyako lakini kwa kufanya kazi sana kama punda na…
Si hivyo tu…
Utatengeneza hela kidogo wakati hela nyingi utaziacha mezani. Unajua kwanini?
Zipo sababu 2 kwanini unaacha hela mezani kwa kutumia platform hizo. Ngoja nikuelezee:
Sababu ya kwanza: Unafanya kazi ndani ya biashara yako badala ya kufanya kazi kwenye biashara yako!
Kazi ya gari ni kukutoa wewe sehemu moja kwenda nyingine kwa haraka zaidi. Sasa wewe badala ya kulipanda gari likupeleke unakotaka kwenda unalisukuma. Unahisi kwa kulisukuma utafika lini unakoenda? Itakuchukuwa muda mrefu kufika unakoelekea na mpaka unafika utakuwa umechoka sanaaaaaaaa. Kwahiyo…
Kufanya kazi ndani ya biashara yako ni sawa na kulisukuma gari maana yake wewe mwenyewe ndo unatumika kama kila kitu kuiendesha biashara yako.
Usipokuwepo au usipofanya chochote biashara yako inasimama.
Kumbuka kuna masaa 24 tu kila siku. Hayaongezeki wala hayapungui.
Na wewe utabakia kuwa mmoja.
Na kuna mengi ya kufanya kila siku ukiachana na kuendesha biashara yako.
Kwahiyo kama biashara yako ili iingize pesa inakutegemea wewe 100% maana yake kutokuwepo kwako au kusimama kwako kufanya shughuli za kibiashara ndo habari ya kutengeneza hela inakuwa imeishia hapo.
Kwahiyo muda huo ambao utakuwa hufanyi shughuli za kibiashara kuna hela nyingi sana utakuwa unaziacha mezani zinachukuliwa na wengine.
Na wakati Kwa upande mwingine, kufanya kazi kwenye biashara yako maana yake biashara yako inaendeshwa na mfumo wakati wewe kazi yako ni kuuendesha huo mfumo.
Kwakua biashara yako inaendeshwa na mfumo maana yake kutokuwepo kwako (Kutochat na wagonjwa inbox au kutopost kwenye magroup) hakuathiri kipato unachokiingiza kwenye biashara yako…
Na unakuwa umeondoa ukuta wa kukuzuia kutengeneza hela nyingi maana licha ya wingi wa wagonjwa mfumo utaweza kuwamudu wote kwa pamoja hata kama wapo 5000.
Sababu ya pili: Kuuza Virutubisho Lishe unahitaji uwanja tulivu na mpana ili kuweza kuitetea bei yako!
Bei ya virutubisho lishe imechangamka sana, yaani ipo juu.
Sasa ni ngumu kumuuzia mgonjwa kwa kuchat nae dakika kadhaa halafu umwambie dozi ya tatizo lake gharama nzima ni 1,000,000/=
Mgonjwa anaweza kupata mshituko wa moyo wa ghafla kisa bei kuwa kubwa.
Licha ya hivyo…
Wakati unachat nae huenda muda huo huo akawa anachat na watu wengine au wakati anasubiri ujibu meseji yake yupo status anaangalia yaliyojiri. Kiufupi umakini wote wa mgonjwa haupo kwako peke yako. Umegawanyika.
Kwasababu ya kukosa umakini wote wa mgonjwa utakachokisema hakitakuwa na mashiko kwa mgonjwa huyo kununua virutubisho lishe vyako.
Fikiria hospitalini, anakuwa ni mgonjwa mmoja na daktari. Hivyo umakini wote wa mgonjwa unakuwepo kwa anachokisema daktari.
Lakini wewe kwenye group lako whatsapp au inbox mtu huyu wakati huo huo anakuwa na mambo 100 mengine yakiendelea.
Kukosekana kwa umakini wa mtu huyu ukifika wakati wa kumtajia bei kuna uwezekano usimsikie tena kwasababu atakumbuka bei na sio ambacho virutubisho lishe vyako vinaenda kumsaidia na yote ni kwasababu wakati unazungumza nae alikuwa anaendelea na mambo yake mengine.
Ndio maana nimekwambia unahitaji uwanja tulivu ambapo itamlazimu mgonjwa aachane na mambo yake mengine yote akusikilize wewe kwanza utoe maelezo ya kutosha kuitetea bei yako ili ukifika wakati wa kumtajia bei aone ni ya kawaida ukilinganisha na kile ambacho virutubisho lishe vyako vinaenda kumfanyia.
Tazama…
Mpaka 2021 mwezi wa 11 nilikuwa sijawahi kuuza virutubisho lishe na kutengeneza faida ya zaidi ya 600,000/= ndani ya mwezi mmoja.
Na sababu ni kwamba kabla ya 2021 mwezi wa 11 nilikuwa natumia whatsapp kufanya mauzo.
Sio kwamba nilikuwa napenda kutumia whatsApp…
Hapana. Nilikuwa nimeichoka mpaka staki kuisikia.
Kwanza nilianza kwa kuacha kufungua magroup mapya maana hata niliyokuwa nayo ilikuwa imefikia hatua yamenishinda kuyaendesha kila siku.
Hali ya kutengeneza maudhui mapya ya kupost kila siku ikawa imefika hatua naona ni mateso kwangu.
Licha ya hivyo wagonjwa wengine kwenye group walikuwa hata sio wanunuaji zaidi ya kunichora tu.
Unakuta mgonjwa mmoja yupo kwenye magroup ya watu wengine kama 10 anaangalia sehemu ambayo kuna bei ya chini ndio anunue.
Nikaamua nifute magroup yote na kuapa sitafungua group lolote tena kwa ajili ya kuuza virutibisho lishe.
Nikaanza kuuza kupitia whatsapp inbox.
Mwanzoni nikaona afadhali ya magroup lakini shida ilikuja nilipoanza kurusha matangazo ya kulipia Facebook na Instagram.
Watu wakawa wanakuja wengi mno kama mvua kana kwamba nisingeweza kuwamudu wote kwa wakati huo.
Ikawa inanibidi nizime kwanza matangazo.
Wagonjwa wengine wakawa wanalalamika kwamba nachelewa kujibu meseji zao.
Nilikuwa najikuta kutwa nzima niko bize nachat na wagonjwa halafu unashangaa siku nzima sijauza kwa mgonjwa hata mmoja au nimeuza kwa mgonjwa mmoja tu licha ya kuchat na wagonjwa zaidi ya 200.
Ilifika hatua nikawa nazima kwanza data kwenye simu yangu nitoke whatsapp maana unashangaa ndani ya dakika 5 ushatafutwa na watu zaidi ya 80.
Hali hii ilinifanya niwe mtumwa wa simu yangu maana muda wote lazima ungenikuta nachat tu na wagonjwa.
Kama nilivyokwambia nilikuwa nimechoka kutumia whatsapp kufanya mauzo maana nilikuwa nachoka sanaaaa kila siku halafu mauzo kidogo na kibaya zaidi nikawa sipati muda wa kufanya mambo mengine.
Kwasababu ya kuichoka whatsapp, 2020 mwezi wa 6 ivi nikawa nimegundua mfumo ambao unaweza ukanisaidia kuuza virutubisho lishe vyangu pasipo kuhitaji uwepo wangu.
Nilipougundua mfumo huo nilikuwa na shauku kubwa sanaa ya kuanza kufurahia kuuza virutubisho lishe vyangu pasipo kutumia nguvu nyingi.
Tatizo ni kwamba mfumo huo ulihitaji pesa nyingi kidogo kuutengeneza ili uanze kufanya kazi.
Ikumbukwe 2020 ulikuwa ni mwaka wa korona.
Kwahiyo nikamhusisha rafiki yangu kuhusu mfumo huu na kumuomba ushauri ni kwa jinsi gani tupate pesa ya kutengeneza mfumo huo na pia tubaki na pesa za kutusogeza kwa siku kadhaa.
Rafiki yangu akaona kwa kutumia mfumo huo tutapiga pesa nyingi kwahiyo akaniambia ngoja afanye namna apige simu nyumbani kwao (Mwanza) aone kama atapata sapoti yoyote ya kifedha.
Mama yake rafiki yangu akauza akiba yake ya magunia ya mpunga akamtumia rafiki yangu 200,000/=
Na mimi nikaamua nipige simu nyumbani (Kigoma) kuomba sapoti ya kifedha. Dada yangu na shangazi yangu wakajichanga wakanitumia 100,000/=
Kwahiyo tukaongezea hiyo 300,000/= na pesa tuliyokuwa nayo kuweza kutengeneza huo mfumo wa kuuza virutubisho lishe pasipo uwepo wangu.
Mfumo ukatengenezwa. Ikafika muda wa kuujaribu mfumo kuona matokeo yake.
Kuifupisha Stori Ni Kwamba Baada Ya Wiki Moja Za Majaribio, Mfumo Ulitutia Hasara Mpaka Pesa Za Matumizi Tulizokuwa Nazo Zote Ziliisha!
Mfumo uligeuka kuwa zombi ambalo linanyonya kila akiba ya pesa tuliyokuwa nayo (mimi na rafiki yangu)
Baada ya mfumo huo kututia hasara nakumbuka kama vile ilikuwa jana, wiki nzima akili yangu ilikuwa kama vile imeganda. Nilihisi kudata. Nilikuwa mnyonge sanaaaaaaa.
Ndani ya wiki hiyo ya majonzi sikutaka kusikia chochote kuhusu kuuza. Nilikuwa na maumivu makali mno.
Wiki nzima nilikuwa nashinda ndani nimelala naugulia maumivu ya kupoteza hela kwenye mfumo ambao niliamini kwa asilimia zote lazima ufanye kazi.
Hilo likapita. Nikaendelea zangu kuuza kwa kutumia whatsapp (Inbox) lakini kishingo upande.
Mwaka mmoja mbele (2021 mwezi wa 10 ivi) kwenye pita pita zangu mtandaoni nikakutana na habari za jamaa mmoja wa marekani.
Jamaa huyu anaitwa Vincent James.
Huyu Jamaa Amewahi Kuvunja Rekodi Kwa Kuuza Virutubisho Lishe Na Kutengeneza Faida Ya Dola Za Marekani Milioni 100 Ndani Ya Miezi 23 Tu.
Hiyo dola milioni 100 za marekani kwa pesa yetu ya kitanzania ni sawa na Bilioni 200 na milioni 400 ivi.
Fikiria mtu anatengeneza pesa yote hiyo ndani ya miezi 23 tu.
Kilichonishangaza ni kwamba hakuwa Networker ila aliuza virutubisho lishe.
Na alikuwa anapata wateja wapya elfu arobaini (40000) kila mwezi.
Habari kuhusu huyu jamaa zilinivutia zaidi nikaanza kuchimba na kudadisi ni njia ipi anaitumia huyu jamaa.
Nilijuwa siwezi nikatengeneza kama hela alizozitengeneza lakini kama nikitumia njia aliyoitumia kuna uwezekano mkubwa na mimi nikaanza kutengeneza milioni kadhaa kila mwezi.
Nilivyomfuatilia huyu jamaa kiundani zaidi niligundua kwamba alikuwa na mfumo ambao hauhitaji uwepo wake kutengeneza hela.
Marekani ni tofauti na Tanzania.
Marekani unaruhusiwa kuanzisha kampuni yako mwenyewe ya virutubisho lishe na ikaanza kufanya kazi ndani ya siku au wiki kadhaa tofauti na bongo yetu.
Kwahiyo huyu jamaa alichokifanya aligundua kuna soko na uhitaji mkubwa sana wa virutubisho lishe ndio maana zinafunguliwa kampuni nyingi za network marketing kila iitwayo leo.
Badala ya kujiunga kwenye network marketing…
Alichokifanya alienda kwa wataalamu wa lishe wamchanganyie virutubisho lishe na kutengeneza dawa ambayo ataipa jina la brand yake na kuanza kuiuza kama yake.
Kwakua alikuwa na mfumo mathubuti akaanza kuuza virutubisho lishe hivyo chini ya brand yake na kwa kutumia mfumo wake akawa anapata wateja wapya 40000 kila mwezi.
Ndani ya miezi 23 akawa tayari kavunja rekodi ya kutengeneza milioni 100 za marekani.
Hiyo pesa ni nyingi nyingi mnooooooo. Sio rahisi kuitengeneza ndani ya muda mfupi hivo. Lakini yeye kwa mfumo wake aliweza.
Nikajifunza kila kitu kuhusu mfumo wake lakini nikagundua kwa Tanzania yetu ni ngumu kuutumia kama ulivyo.
Lazima kuwepo na marekebisho ya kuufanya mfumo uendane na Tanzania yetu.
Si hivyo tu…
Niligundua kwamba mfumo wake umebebwa na ujuzi mmoja unaoitwa “Copywriting” (Nitakwambia maana yake hapo mbele kidogo)
Basi nikaanza harakati za kujifunza ujuzi huo na kuumiza kichwa ni kwa jinsi gani nifanye marekebisho kwenye mfumo wake ili ufanye kazi kwa Tanzania yetu.
Baada ya majaribio ya wiki kadhaa nikafanikiwa kutengeneza mfumo unaoendana na mfumo wa Vincent James lakini ambao unafanya kazi kwa Tanzania yetu.
Na taarifa njema ni kwamba utengenezaji wa mfumo huu hauhitaji hata senti 5 kama nilivyopoteza pesa nyingine kutengeneza mfumo ambao uliishia kunitia hasara.
Mfumo huu kuutengeneza ni bure kabisa. Hauhitaji vifaa vyovyote vya kulipia.
Kwahiyo nikawa nimeanza kuutumia mfumo huo. Na haya ni baadhi ya matokeo yangu:
Kuanzia hapo nikasema kwaheri ya kuonana whatsapp.
Sijawahi kutumia tena messenger au whatsapp au instagram inbox kama njia ya kupata mauzo ya virutubisho lishe.
Sasa nina uhuru wa kufanya mambo yangu mengine bila kuhofia kupata wateja maana mfumo hauhitaji uwepo wangu ndio nitengeneze kipato.
Mara ya mwisho nilitumia mbinu (ambayo nitakufundisha) kuangalia matangazo yote ya kulipia ambayo watu wanayarusha Facebook na Instagram.
Niligundua kwamba 99% ya matangazo yote yanawatoa watu Facebook au instagram kuwapeleka messenger, instagram inbox au whatsapp.
Kwahiyo 99% ya networkers wote wanaofanya matangazo ya kulipia wanaacha pesa nyingi mezani.
Sasa fikiria wewe ukianza kutumia mfumo huu ambao naenda kukuelekeza unadhani nini kitatokea?
Utafagia wateja maana pesa zote zinazoachwa mezani zitakuwa zako.
Na bado huo sio uzuri wa mfumo huu.
Uzuri mkubwa wa mfumo huu ni kwamba kwa kufanya kazi dakika 30 tu kila siku (asubuhi, mchana au jioni kulingana na mapendeleo yako) utaweza kutengeneza faida kubwa wakati ukiendelea kufanya shughuli zako zingine na pasipo kufanya kazi sana kama punda.
Tazama…. kwenye kampuni uliyopo kila mtu anauza bidhaa kama unayoiuza wewe. Na bado kuna makampuni mengine ya network marketing ambayo wanachama wake wananauza bidhaa kama yako.
Kwahiyo kuna ushindani mkubwa sanaaaaa.
Hata hivyo, ushindani ni ishara ya kwamba kuna pesa na watu wananunua.
Lakini unajua njia ambayo kila mmoja wao anaitumia kuuza ni ipi?
Whatsapp, Messenger na Instagram inbox.
Kwahiyo wewe ukitumia mfumo ambao naenda kukuelekeza maana yake utakuwa miongoni mwa watu wachache sana ambao:
- Wanatumia nguvu kidogo kutengeneza faida kubwa
- Wamejitoa kwenye ushindani
- Mfumo unawafanyia kazi ya kuuza virutubisho lishe wakati wao wanaendelea na mambo yao mengine
- Hawaachi pesa mezani kwa maana mfumo unafanya kazi masaa 24 kwa niaba yako.
Kwahiyo kama unahitaji kuongeza mauzo yako ya virutubisho lishe kwa njia hii mpya na ya kisasa zaidi nakukaribisha kwenye program yangu mpya, inayoitwa…
Customer Acquisition Engine (CAE)!
Katika program hii utajifunza ujuzi wa copywriting ambao ndio msingi wa kutengeneza mfumo wa kuuza virutubisho lishe masaa 24.
Jamaa huyo wa Marekani aliweza kutengeza pesa nyingi sana kwasababu ya ujuzi huu wa copywriting.
Kabla sijakwambia copywriting ni nini, nianze kwa kukwambia kwamba:
Copywriting sio AIDA.
Video nyingi za YouTube zinaongelea sana kuhusu AIDA matokeo yake mtu kujua AIDA ni nini anajiona anajua ujuzi huu wa Copywriting.
Mfumo wangu wa mwanzo ulifeli kwasababu kwa kujua AIDA nilijiona najua ujuzi huu wa Copywriting kumbe hata sijui. Nilijikuta naandika maelezo ya hovyo ambayo hata hayana ushawishi kwa mgonjwa kunipatia pesa pindi anapomaliza kuyasoma. Kwahiyo...
AIDA ni kama algebra kwenye hesabu. Unahisi kuijua topic ya algebra ndo kuijua hesabu?
Jibu ni hapana.
Kuna mengi sanaaaaa ambayo yamejificha nyuma ya pazia kuhusu ujuzi huu.
Kiufupi…
Copywriting ni ujuzi wa kuandika maandishi ambayo yanaiuza bidhaa yako kwa mteja kupitia yeye kuyasoma hayo maandishi pasipo wewe kuwepo wakati yeye anayasoma hayo maandishi.
Uandishi wa maneno haya haufuati taratibu za uandishi wa shuleni.
Kwanza ukiandika maneno haya ukampelekea mwalimu wako wa kiswahili atatapika kabisa maana kiswahili chako kitakuwa hakijanyoka wala kufuata tarataibu za uandishi wa shuleni.
Lakini chakushangaza maneno hayo hayo yataweza KUWASHAWISHI wagonjwa wakutumie hela kiurahisi bila hata kuongea nao au kuchat nao.
Kwahiyo hata kama ulifeli somo la kiswahili shuleni uandishi wa maneno haya hauna uhusiano kabisa na taratibu za uandishi wa shuleni.
Sasa... ujuzi huu wa copywriting au uandishi wa maneno ambayo yatauza bidhaa kwa niaba yako unafuata hatua 3 zifuatazo:
Kwahiyo kwenye program hii tutakachokifanya ni hichi:
Nitakufundisha kutumia akili ya bandia (Artificial intelligence) Ikupatie Maelezo Yenye Ushawishi Mkubwa Wa Kuiuza Bidhaa Yako Masaa 24.
Sasa, ili akili bandia ikupatie maelezo yenye ushawishi wa kuiuza bidhaa yako masaa 24 inatakiwa uanze kwa kufanya utafiti wa mambo 2.
Moja: kuhusu mteja wako na mbili: kuhusu bidhaa yako (zako).
Lengo la kutumia akili bandia kufanya utafiti kuhusu mteja wako ni kutaka kujua na kupata maneno ambayo ukiyatumia yatamshawishi mgonjwa akiyasoma awe tayari kutoa pesa kununua virutubisho lishe vyako.
Na lengo la kutumia akili ya bandia kufanya utafiti kuhusu bidhaa yako ni kutaka kujua ni maelezo gani yanayoihusu bidhaa yako ukimwambia mgonjwa atakuwa na shauku kubwa ya kutaka kuinunua bidhaa yako.
Kwahiyo, ukipata mafunzo ya program hii hii:
Hawa hapa ni baadhi ya wanafunzi wangu ambao wamehitimu mafunzo ya program hii. Huyu wa kwanza anaitwa Benjamin.
Mfumo wake tayari unafanya kazi masaa 24 anapiga hela mpaka mimi mwenyewe mwalimu naanza kumuogopa mwanafunzi wangu kwa maokoto anayopata
Mwingine huyu hapa ambae kamaliza program hivi karibuni na MFUMO wake tulikua tunaufanyia majaribio.
Mwingine tena huyu hapa kamaliza mafunzo na sasa tupo kwenye majaribio ya mfumo wake
Mwingine baada ya kuhitimisha kutengeneza mfumo wake na kuanza kuona matunda ana yafuatayo ya kusema...
Bado anaendelea kutoa ushuhuda wa kila mwezi. Hii inaonesha MFUMO unamuingizia kipato endelevu
Program hii ya Customer Acquisition Engine (CAE) inaanza lini?
Mafunzo ya program nzima yameshaandaliwa tayari.
Kwahiyo program ishaanza tayari ni wewe kujiunga na kuanza mafunzo haraka iwezekanavyo.
Na mafunzo haya yanatolewa kwenye tovuti yangu (Online) na sio kwa kukutana ana kwa ana na kuanza kufundishana.
Utapata kujifunza ukiwa sehemu yoyote ile hapa Tanzania na kwa muda wako.
Inagharimu kiasi gani kujiunga Kwenye Program hii ya Customer Acquisition Engine (CAE)
Nimetafuta kila kona kwa hapa Tanzania kuona kama kuna mtu anafundisha kama ninachokifundisha kwenye madarasa yake, taarifa mbaya ni kwamba sijafanikiwa kuona sehemu hata moja.
Lengo la kutafuta madarasa yanayofundisha kama ninachokifundisha ni kutaka kujua gharama zao zipoje lakini kwa hapa Tanzania sijaona hata mtu mmoja ambae anafundisha kama ninachokifundisha kwenye program hii.
Ikanibidi niangalie program za Marekani ambazo zinafundisha kama ninachokifundisha. Nikagundua gharama ya program hizo ni kuanzia dola 997 mpaka dola 3000 (2,442,650/= mpaka 7,350,000/=)
Kwahiyo nikisema gharama ya kujiunga kwenye program yangu ni milioni mbili (2,000,000/=) itakuwa ni bei rafiki sana ukizingatia mimi ntakuwa nauza kwa bei ya chini kabisa ya program zote za marekani zinazofundisha kama ninachokifundisha.
Lakini naenda kukushangaza hutaamini.
Pesa utakayolipia kujiunga kwenye program hii haifiki hata nusu ya hiyo milioni mbili.
Utajiunga kwenye program hii kwa punguzo la 75%. Yaani badala ya kulipia 2,000,000/= utajiunga kwenye program hii kwa...
500,000/=
Hata hivyo nakupatia punguzo la bei zaidi.
Kama utawahi kujiunga kwenye program kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri maana yake utalipia 13,500/= Tu
Lakini baada ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri bei itapanda mpaka 500,000/=
Kwahiyo jinyakulie OFA hii kabla hujachelewa.
Kwanini natoa OFA hii kabambe?
Kwasababu kutoa punguzo la bei kunafanya watu wengi wajiunge kwenye program na kwakua lengo langu ni kusaidia NETWORKERS wengi waweze kuwa na MFUMO wa kuuza VIRUTUBISHO LISHE masaa 24 ndio maana natoa punguzo la bei kubwa hivyo.
Hata hivyo, kama ukijiunga kwenye program hii nitakuzawadia na BONUS zifuatazo kwa BURE kabisa kama asante ya kujiunga kwenye program hii.
BONUS-1: Dakika 60.
Kitabu hiki kinafichua hatua 9 za kutengeneza mashine ya kunasa downlines wapya kwa kufanya kazi dakika 60 tu kila siku.
Kitabu hiki kinauzwa 20,000/= lakini kama utajiunga kwenye program hii leo utakipata BURE kabisa.
Thamani ya BONUS hii ni 20,000/=
BONUS-2: Facebook & Instagram Mapene
Hii ni course iliyokamilika ambapo nafundisha mbinu ya "Targeting Hack" kufanya matangazo ya kulipia mtandaoni (Fb & Insta) yenye kuanza kuleta mafuliko ya wateja Ndani Ya Masaa 72 au chini ya Hapo!
Wakati nimeileta sokoni course hii kwa mara ya kwanza nilikuwa naiuza kwa 80,000/= na watu wengi tu walinunua. Badae nikaamua nipunguze mpaka 35,000/= ambayo ndo bei yake mpaka sasa.
Wanafunzi ambao washajiunga kwenye course hii mpaka sasa kama unavyoona kwenye picha hapo juu ni 558.
Ikiwa utajiunga kwenye program hii ya CAE leo nitakuzawadia course hii kwa BURE kabisa.
Thamani ya BONUS hii ni 35,000/=
Bonus zote 2 Thamani yake Kwa Ujumla Ni 55,000/=
Lakini BONUS hizi 2 utazipata kwa BURE kabisa endapo utajiunga leo kwenye program hii ya Customer Acquisition Engine.
Kwahiyo kwa ujumla, hii hapa orodha ya vitu Vyote utakavyovipata kama utalipia leo:
Jumla ya Thamani ya Kila kitu utakachojifunza ni 2,055,000/= lakini wewe utalipia 13,500 Tu Kwa Leo kupata kila kitu.
Kama baada ya kujiunga kwenye program hii utakuwa hujalidhishwa na mafunzo ya program hii (Kwa Sababu yoyote) nijulishe kupitia namba hii 0768354507 nitakurudishia pesa zako zote bila kinyongo chochote.
Hata hivyo nina uhakika utaipenda sana program hii na utalidhika kwa mafunzo nitakayokupatia.
Kwanza nadhani wewe mwenyewe utashangazwa kwa kile ambacho naenda kukufundisha kwenye program hii.
Ukweli ni kwamba, unaenda kuwa mtu wa tofauti kwa kuwa na mfumo ambao utakuwezesha kufanya kazi dakika 30 tu kila siku huku ukipata wateja wa kukupatia faida ya malengo yako ya kila mwezi.
UNACHOTAKIWA KUFANYA SASA HIVI NI HIKI:
Soma kwanza maelekezo yote ya kufanya malipo ya kujiunga kwenye program hapa chini:
Hatua ya 1: Bonyeza kule chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini. (Hii ni picha tu sehemu ya kubonyeza ni kule chini. Kwahiyo soma maelekezo yote kwanza halafu ndo uanze taratibu za kufanya malipo)
Hatua ya 2: Bonyeza kwa juu upande wa kulia sehemu iliyoandikwa "Viewcart" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 3: Hakikisha bei (Price) inasoma 13,500 Idadi (Quantity) inasoma 1 na "subtotal" inasoma 13,500. Baada ya kumaliza uhakiki unabonyeza sehemu iliyoandikwa "Proceed to checkout" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 4: Baada ya kubonyeza "proceed to checkout" utaletwa kwenye ukurasa wa kujaza taarifa zako zote kwa ajili ya mfumo kutengeneza Risti (Receipt) ya malipo utakayofanya ili baada ya kukamilisha malipo utumiwe Risti ya malipo yako. Taarifa hizo ni kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 5: Inatakiwa utengeneze "Username" na "Password ili baada ya kukamilisha malipo mfumo ukupeleke darasani moja kwa moja . Username weka jina lolote kulingana na mapendeleo yako. Na kutengeneza password yako unabonyeza kwenye alama ya jicho kisha unafuta password iliyopo na kutengeneza ya kwako wewe ambayo utaikumbuka. Hata hivyo, kama baada ya kulipia utasahau password yako kuna sehemu utaomba kubadili na kuweka password mpya. Baada ya kukamilisha kutengeneza username na password utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Place order"kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 6: Malipo yanafanyika kupitia moja ya mitandao 4 ya simu. Vodacom, Tigo, Halotel na Airtel. Unachotakiwa kufanya bonyeza kwenye alama ya pembe tatu halafu chagua mtandao wa simu mmoja ambao utautumia kufanya malipo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 7: Kulingana na mtandao wa simu ambao umechagua kwenye hatua ya 6, Weka namba ya mtandao husika ambayo itatumika kufanya malipo. Kwa mfano; kama kwenye hatua ya 6 umechagua mtandao wa Vodacom, hapa kwenye hatua ya 7 unaweka namba yako ya Voda. Na utafanya hivyo ikiwa umechagua mtandao tofauti. Baada ya hapo utabonyeza sehemu iliyoandikwa "Pay TZS 13,500" kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Hatua ya 8: Baada ya kubonyeza "Pay TZS 13,500" kwenye hatua ya 7, utaletewa USSD Push (Meseji) kwenye simu yako ya kukamilisha malipo. Bonyeza 1 kukubali kufanya malipo. Halafu weka namba yako ya siri ya mtandao ambao unakuwa umechagua kuutumia kufanya malipo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa chini.
Ukimaliza kuweka namba yako sa siri bonyeza 1 kuruhusu 13,500/= ikatwe kutoka kwenye simu yako. Baada ya pesa kukatwa na malipo kukamilika mfumo utajua na utakupeleka darasani moja kwa moja. Itabaki juu yako kuanza kujifunza muda huo huo au badae au siku nyingine kulingana na mapenzi yako.
Labda tuseme unasoma ujumbe huu kwa kutumia simu yako kubwa halafu namba ya simu ambayo unataka uitumie kufanya malipo ipo kwenye simu nyingine kubwa au kitochi (Ndogo) utafanyaje?
Ni rahisi tu...
Fuata hatua ya 1-7 kwa kutumia simu yako kubwa ambayo unaitumia kusoma ujumbe huu sasa hivi halafu mfumo utatuma meseji hiyo ya hatua ya 8 ya kukamilisha malipo kwenye namba ambayo umeweka. Hata kama namba hiyo itakuwa kwenye simu nyingine (Kubwa au ndogo) mfumo utatuma huko huko kwenye simu nyingine tofauti na hii ambayo ndio unaitumia kufanya mchakato wa malipo. Baada ya mfumo kutuma meseji hiyo kwenye simu nyingine unatakiwa ulipie kupitia simu hiyo ambako meseji imetumwa na baada ya hapo mfumo utagundua kuwa umekamilisha malipo na kwenye simu hii uliyofanyia mchakato wa malipo mfumo utakupeleka darasani moja kwa moja licha ya wewe kukamilisha au kumalizia kufanya malipo kwa kutumia simu nyingine.
Lakini pia unatakiwa kwenye simu yako uwe na zaidi ya 13,500/= maana makato ya serikali na mtandao husika ni nje ya hiyo gharama ya kujiunga kwenye darasa. Kama pesa kwenye simu yako itakuwa 13,500/= kamili au chini ya hapo malipo hayatafanikiwa na pesa haitakatwa kutoka kwenye simu yako.
Hizo ndizo hatua za kufanya malipo. Kwahiyo sasa unaweza kuanza kufanya malipo kwa kubonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa "LIPIA SASA"
13,500/= | 2,000,000/= | Save 99.99%
Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. Ni matumaini yangu kwamba tutakutana kwenye program hivi karibuni.
Cheers,
Mr Bokko.
Dar Es Salaam.
Copyright - Online Marketing System Pro
This site is not a part of the FacebookTM website or FacebookTM Inc. Additinally, this site is NOT endorsed by FacebookTM in any way. FACEBOOKTM is a trademark of FACEBOOKTM, inc.