Utandawazi na mitandao ya kijamii vinatufanya tusahau asili yetu—hekima na njia za mababu zetu walizotumia kujitibia changamoto mbalimbali za kiafya.
Leo, matatizo mengi ya kiafya yanaonekana kama ni ya kisasa. Lakini ukweli ni kwamba: yapo matatizo ya kisasa kabisa… na yapo matatizo ambayo yamekuwepo tangu enzi na enzi za mababu zetu.
Mojawapo ya matatizo hayo ni uvimbe wa tezi dume. Wanaume wengi hudhani tatizo hili limeanza hivi karibuni, kutokana na mabadiliko ya maisha ya kisasa. Lakini la hasha—tatizo hili lilikuwepo tangu enzi za mababu zetu!
Tofauti ni kwamba, enzi hizo hakukuwa na televisheni, sayansi ya kulipa tatizo hili jina rasmi, au mitandao ya kijamii ya kulisambaza. Lakini hilo halimaanishi kuwa halikuwepo…
Swali la kujiuliza ni hili:
Ifahamike kwamba miaka 1700 iliyopita, viwanda vya kutengeneza dawa vilikuwa havijavumbuliwa. Hivyo basi, kama dawa za kisasa hazikuwepo… lazima babu zetu kuna tiba asili walitumia.
Na ukweli ni kwamba…kulikuwa na wataalamu wa tiba asili waliokuwa na maarifa ya kipekee. Walijua kuchanganya aina fulani ya mizizi na majani ya msituni kutengeneza tiba ya kutibu changamoto hii.
Mizizi na majani hayo yalikuwa na nguvu ya ajabu—yaliweza kuyeyusha uvimbe wa tezi dume kiasili, kusafisha mfumo wa mkojo, na hata kurejesha nguvu za kiume zilizopotea.
Enzi hizo, mwanaume mwenye miaka 40 na zaidi akianza kuona dalili za kukojoa mara kwa mara, mkojo usioisha, au mkojo unaorudi nyuma… alifika kwa mtaalamu wa tiba asili. Na mtaalamu huyu alichanganya mizizi na majani kwa usahihi wa hali ya juu. Baada ya siku chache au wiki kadhaa za kutumia mchanganyiko huo, tatizo lilikuwa linaisha kabisa.
Lakini kadri miaka ilivyopita…wajuzi wa kuchanganya mizizi na majani haya asili wakaanza kupungua hivyo kupelekea tiba asili za tatizo hili kupotea taratibu.
Kwa miaka mingi, kundi moja la wataalamu wa tiba asili nchini Marekani wamekuwa wakifanya utafiti wa kina kuweza kubaini mizizi ipi hasa iliyokuwa ikitumika na mababu zetu kutibu uvimbe wa tezi dume kiasili.
Taarifa mbaya ni kwamba licha ya tafiti za kina za mda mrefu bado wataalamu hawa wameshindwa kugundua mizizi na majani yaliyotumiwa na babu zetu miaka 1700 iliyopita.
Hali hiyo ya kushindwa kubaini mizizi na majani yaliyotumiwa na babu zetu haikuwakatisha tamaa...
Badala yake wataalamu hawa wa tiba asili wakaamua kujikita zaidi katika kufanya majaribio ya vyakula ambavyo vinaweza kusaidia kupona uvimbe wa tezi dume.
Walifanya majaribio ya vyakula tofauti tofuati kwa miaka miwili lakini bado vyakula vingi vilionyesha kutosaidia kutibu uvimbe wa tezi dume.
Katika tafiti zao wakagundua baadhi ya mimea ambayo inasaidia kutibu uvimbe wa tezi dume lakini iliwawea ngumu kutumia mimea hiyo kwa sababu ingewabidi waanzishe kilimo kikubwa na waweze kutengeneza vidonge ndo wasambaze kwa wahanga na watumiani.
Kwakua lengo lao kuu ni kusaidia watu kupona uvimbe wa tezi dume nyumbani na kiasilia hivyo waliachana na habari za mimea hiyo.
Hata hivyo iliwabidi waendelee na utafiti wao wa kubaini njia asilia ya kutibu tatizo hili nyumbani.
Baada ya tafiti za mda mrefu walijidharau sana maana walikuja kugundua jinsi ya kutibu uvimbe wa tezi dume kwa kutumia vitu ambavyo hawakutegemea kabisa.
Hakuna ambaye aliamini kama kwa kutumia aina moja ya mbegu zinazopatikana sokoni kwa urahisi, aina tatu za viungo muhimu, na tunda moja ambalo watu wengi wanalipuuzia, vingeweza kutibu uvimbe wa tezi dume ndani ya wiki chache tu.
Ugunduzi huo wa:
- Aina moja ya mbegu
- Aina tatu za viungo na
- Tunda moja
Ulileta ukombozi kwa wahanga wengi wa uvimbe wa tezi dume. Na mpaka sasa ni maelfu ya wahanga wameweza kupona uvimbe wa tezi dume kwa kufuata muongozo wa utumiaji wa vitu hivi.
Taarifa njema ni kwamba utapata kugundua vitu hivi na njia sahihi ya kuvitumia kutoka kwenye kijitabu changu kipya ambacho nimekipa jina la:
Mwongozo Wa Kutibu Uvimbe Wa Tezi Dume Nyumbani
Usiyaamini maneno yangu. Hawa hapa ni baadhi ya wahanga wa uvimbe wa tezi dume ambao baada ya kufuata mwongozo huu wana yafuatayo ya kusema:
Kabla sijakwambia bei ya nakala ya Mwongozo wa kutibu uvimbe wa tezi dume nyumbani kiasili, ningependa wewe mwenyewe ujipangie bei.
Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho ambalo linaweza kukuvusha kutoka kwenye maumivu, usumbufu wa kukojoa, na hofu ya upasuaji hadi hali ya kuwa na afya bora na maisha ya amani?
Nadhani ukijipangia 100,000/= utakuwa upo sahihi. Hata hivyo, hiyo laki moja ni ndogo sana ukilinganisha na thamani ya afya yako na uhuru wa maumivu utakaopata.
Lakini unajua cha kushangaza ni nini? Hutalipa hiyo 100,000/=
Pesa utakayolipa hata nusu ya hiyo laki moja haifiki.
Utapata nakala ya mwongozo huu kwa:
30,000/=
Hata hivyo, nakupatia punguzo kubwa zaidi.
Kama utalipia kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa 9,500/= kupata nakala yako.
Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 30,000/=
Usikubali kupitwa na fursa hii. Jinyakulie OFA yako leo na uanze safari ya kupona kabisa uvimbe wa tezi dume!