Customer Acquisition Engine (CAE) 2.0
Premium course
Intermediate
Premium course
Intermediate
Video/Text
General
13 Lessons
0% Not started
Premium course
Link ya kujiunga kwenye group maalumu la whatsapp kwa ajili ya sapoti sehemu utakayokwama kwenye program.
Premium course
Katika video hii utapata picha nzima ya ambacho tunaenda kukifanya ndani ya wiki 4 za program.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza maana copywriting.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza maneno ya ushawishi ambayo inatakiwa uyaandike ili mgonjwa akiyasoma awe tayari kutoa pesa.
Premium course
Katika video hii utajifunza hatua 3 ambazo inatakiwa uzifuate wakati unaandika maandishi ya kumshawishi msomaji awe tayari kutoa pesa baada ya kusoma.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutumia ChatGPT (Artificial intelligence) kupata majibu ya maswali kuhusu mteja wako
Premium course
Video hii ni mwendelezo wa utafiti kuhusu mteja wako.
Premium course
Kwenye Video hii utajifunza jinsi ya kutumia Amazon na YouTube kufanya utafiti kuhusu mteja wako.
Premium course
Video hii inahusu jinsi ya kufanya utafiti kuhusu bidhaa yako (Zako)
Premium course
Video hii inahusu kutumia ChatGPT kugundua wazo lililopo nyuma ya kutengenezwa kwa bidhaa yako. Wazo hili ndo litatumika kuiuza bidhaa yako.
Premium course
Kazi ya mwisho wa wiki-1
Premium course
Premium course
Kwenye ukurasa huu ndo utazipata BONUS nilizokuahidi.
Follow
Mr Bokko ni Social Media Marketing & Advertising Expert + Founder & CEO wa Online Marketing System Pro Co Ltd - Kampuni yenye kuwasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali njia rahisi ya kutumia matangazo ya kulipia mtandaoni (Facebook & Instagram) kuweza kunasa wateja pasipo kupoteza muda na pesa kwenye njia ambazo hazifanyi kazi.
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.