CAE Week 2

Premium course

Intermediate

Video

Video

Meta Ads

13 Lessons

0% Not started

CAE Week 2

13 Lessons

Premium course

Katika video hii utajifunza ni mambo gani uyafanye kabla hujaanza kuandika ujumbe (Sales letter) wako kwa mara ya kwanza

Video lesson

Premium course

Video hii inafundisha jinsi ya kuamsha hisia za kununua ndani ya ubongo na moyo wa msomaji.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza hatua 18 ambazo utazifuata wakati unaandika ujumbe wenye ushawishi kwa msomaji kutoa pesa bila kuchat na wewe.

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza hatua ya 3 ya hatua 18

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza hatua ya 5 ya hatua 18

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuielezea bidhaa yako katika namna ambayo itaifanya ionekane ni ya kipekee kwa msomaji.

Video lesson

Premium course

Video hii ni mwendelezo wa hatua ya 6 ya hatua 18

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuitambulisha bidhaa yako kwa msomaji

Video lesson

Premium course

Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutumia shuhuda kuongeza ushawishi kwa msomaji kununua bidhaa zako.

Video lesson

Premium course

Video hii ni mwendelezo wa jinsi ya kuongeza thamani ya bidhaa yako

Video lesson

Premium course

Video hii inafundisha jinsi ya kutoa wito kwa msomaji ili anunue bidhaa zako

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu hatua ya 3 ya ujuzi wa copywriting ya kufanya marekebisho kwenye ujumbe wako uliouandika kwa mara ya kwanza.

Video lesson

Premium course

Video hii inahusu hatua ya 1 ya hatua 18

Video lesson

Follow

About the teacher

Mr Bokko

Mr Bokko ni Godfather wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram Tanzania nzima na Co-Founder wa Sell Digital— Kampuni yenye kusaidia wafanyabiashara kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii.

{"email":"Email address invalid","url":"Website address invalid","required":"Required field missing"}
>
error: Copying is not allowed on this website
Powered by ProofFactor - Social Proof Notifications