CAE Week 4
Premium course
Intermediate
Premium course
Intermediate
Video/Text
Meta Ads
12 Lessons
0% Not started
Premium course
Video hii inaonesha hatua za kufungua page ya biashara Facebook na Business manager pamoja na jinsi ya kuunganisha account yako ya Instagram na page yako ya biashara.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza Pixel kwenye Business manager yako
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuweka (Kupesti) meta pixel kwenye sales page yako ya system.io
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kukonfiga "content view event" kwenye sales page yako.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza custom audience ya watu wote ambao watatembelea sales page yako.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutumia ad library kuona matangazo yote ya washindani wako.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuweka mahesabu yako vizuri ili matangazo ya kulipia yawe na Faida kwako.
Premium course
Jifunze jinsi ya kuandika matangazo mazuri ya kuvutia
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kudesign picha zenye mvuto kwa kutumia application ya Canva
Premium course
Kwenye video hii utajifunza hatua zote za kurusha tangazo kwa kutumia dhumuni (Objective) la sales.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuconfirm ODA ya mteja.
Premium course
Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kuuza bidhaa zaidi ya moja kwa mteja mmoja.
Follow
Mr Bokko ni Godfather wa matangazo ya kulipia Facebook & Instagram Tanzania nzima na Co-Founder wa Sell Digital— Kampuni yenye kusaidia wafanyabiashara kuongeza mauzo kupitia mitandao ya kijamii.
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.